Nimerudi tena..., nakushukuru bwana. Since 2021 i lost my job na haijawa rahisi..... Last God did a miracle i got a well paying job. May God remember those who are in need of jobs and restore our strength. Nimerudi kusema asante Mungu❤❤❤❤❤
Bwana nimerudi tena Yesu nakushukuru😢 "Nimeomba mengi umenijibu moja umetutendea wengi mimi nimerudi....japo mengine bado ila natambua, thamani ya hili moja ulilolitenda"😢🙏🧎❤😍
Verse number two is killing Nimeomba mengi umenijibu moja umetutendea wengi mimi nimerudi japo wengine bado ila natambua thamani ya hili moja ulilolitenda 🙏🙏🙏asanteni kwa wimbo mzuri 🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️
Wooooow I only said this with faith . I'm 9 weeks pregnant. Yesu umenitendea hadi ukanifungulia biashara ingine ei wengine sijui lakini hili bwana umenitendea. Asante yesu ❤
Harriet.... Eeeey this calls for cekebration i bless the loed for you. This is divine excellence and speed working on us. Guess what im getting in a n excessively honourable and loving relationship!!! One i have never thought of even divinely heard
Kasoro kubwa ya huu wimbo ni kwamba unaisha, yaani ukiusikiliza hutamani ufike mwisho. Kuna siku nkiuweka kwenye simu yangu huwa naweka "auto replay" yaani hspo ni masaa matatu sibadili wimbo na hamu haikati. Hao waliosolo nao wana sauti tamu asee bila kusahau watu wa vyombo. Mbarikiwe mno🙏🙏🙏
Just like the ten lepers in the bible.Lord may I be that one who came back to say thank you for what you've done ...May i never lack any reason to worship and uplift your name
am leaving this comment here so that years later when someone likes I will be reminded of this masterpiece that we listen over and over again in a day and sing and dance along with my daughter....God has been faithful in my life🙏
Tumeokolewa wengi ila hao wengine mimi sijui, ila mimi nimekuja kukushukuru, when a song is accompanied with the Holly spirit it's no longer a normal song!!!
Jamani watumishi mnanikumbusha mbali nikiwa nasali hapo mbeya forest Kwa mchungaji tambikeni mchungaji wangu kipindi hiko nikiwa nasoma chuo kikuu Mzumbe mbeya forest.Naupenda kweli huo wimbo.
Uhu wimbo unanikumbusha ykuwa nishukuru Kwa Kila jambo mana Kuna ndugu zetu wametwaliwa kwenye haya maisha lkn mim bd ni naneema acha tyu nishukuru mungu😢😢😢😢😢
This not just a praise but a worship When i sing this song my tears start rolling down my cheeks kweli bwana umenitendea ...l have over 1000 testimonies you hve done for me faithful God 🙏🙏
Bwana nimerudi tena,march 11 eleven 2024,nasema asante Baba,3 months to go fir my contract to end here in gulf,haijawa rahisi but you've been with me Lord,nashukuru 🙏🙏🙏😭😭😭
I graduated in 2012 and started searching for a job to no avail. The first job I got was alcohol promotion. I did my masters and graduated in 2018, but I still didn't have a job. At a point, I became homeless and started walking on the streets, winning souls for Christ. I got a job in a tailors shop for 8 months. Later, in 2021, God gave me a job in an international organisation with unpaid accommodation. Glory be to God. Nimekuja kusema Asante.
Wow Tanzania Wana ubora kwenye muziki wao,may the Lord bless you all,excellency at its better,this has been my no 1 list since I heard it since 2023 started the Lord is just doing it for me In all aspects...🙏🙏🙏wueeeh I'm on tears because what the Lord is doing for me 😭😭
I'm here in August 2024 thank you lord for this far it has really taken your mighty hand.All K.C.P.E and K.C.S.E candidates im wishing you success as an the year comes to an end may God remember the works of your hand😊
Today, I just feel like being thankful to God. His blessings are beyond explanation. I just pray that He blesses anyone reading this comment in a similar manner.
😭😭😭😭 my daughter from kutokutembea ad kutembea akiwa na mwaka na miez mitano akaumwa degdeg ya kuangua dah Mungu ukayapangua mashauri yao wakaja kwa kigugumizi nalo ukalitengua😭😭😭😭😭😭 mjane mimi sina cha kukulipa
Najivunia huo wimbo kwa watu nasema kanisa letu kipindi tukiwa tunasoma Chuo kikuu Mzumbe Forest ya Mbeya mmevunja rekodi congratulation wana forest woteeeeeee
This is my song,my children and Grand Grand Grand Grand Grand children they will come to testify the goodness of our Thank you Lord you have done me well.
Just heard this song while at the gym and it blessed my heart. April 9, 2024 Yani hii yataka mtu ambea anajua kuomba na ajua kuna Mungu binguni, na ajue pia lazima tumrudia Mungu kumshukuru anapotutendea wema maishani. Huu wimbo ni ombia la roho. Barikiweni sana.
The healing of 10 leppers 😭, only one came back to say thank you 🙏 after being healed,the nine others didn't come back. Thank you Lord for what you are doing in my life.Your grace is sufficient 🙌✨✨🌟🙏🙏🙏
This song remind me how good God has been to me 😢and how he always saved me from difficulty situations and things that will be put me in shame 🥹i’m forever grateful
Aisee MUNGU UTUKUZWE! Wengi wetu huwa tunasahau kurudi mbele za Mungu kwa ajili ya shukrani mara baada ya kutendewa mambo tuliyomwomba haijalishi ni mangapi tumejibiwa. Tumekumbushwa kurudi tena kumshukuru MUNGU. Mungu awabariki T.A.G Forest P&W Team
Powerful worship 🙌🏽🙌🏽🙌🏽 prayer anthem😭😭😭Everytime I listen to this song there is fresh anointing, a different increased anointing! Mmebarikiwa sana watumishi wa Mungu🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Can't get enough of this song.....i prophecy this song is going to hit 1M+ views.God i don't know the thought, intentions & mindset of others after you did for them but myself i will never be tired of coming back to say THANK YOU! 🇰🇪🇰🇪♥️😭😭
Hallelujah 🙌, so beautiful and inspiring 🙏, this song is sang with such great passion and a lot of gratitude which is intentional, I am so blessed by it, the singing, instruments and dancing 💃, all glory and honour to God 🙏, such a blessing, 🙏, thank you for the beautiful song, so touching, may God bless you and lift you to higher dimensions in Jesus name 🙏🔥
Mimi ni msamaria tu mtu wa makabila mengine wala sikustahili haya uliyonitendea wengine sijui wanaona nini ila Mimi ninaona wema wa ajabu huu mstari ni Sala yangu ya shukrani Kwa mungu wangu Kwa aliyonitendea
Sitaacha kumshukuru Mungu wangu unanitendea mambo ya ajabu sana katika maisha yangu .nipe ROHO ya SIFA nikusifu wewe pekeako.Mbarikiwe sana wanaTAG wimbo mzuri mno kila saa niko hapa.
Dadangu alipenda huu wimbo sana aliaga mwezi miwili iliyo pita najua yuko mahala pema peponi.Nimerudi kusema asante bwana kwa kutupa uhai sio kwa nguvu zetu ila nikwa neema umenitendea
My first time kusikia this song I thought it was essence of worship ju that voice inakaaa yao❤ may God bless you people have listened to this song many times and it's really blessing me
Nausikiliza huu wimbo siku nzima na bado sitosheki .... Mungu awabariki watumishi hawa kwa kutukumbusha kushukuru kwa kila jambo ❤❤❤❤ Asante sana Mungu wangu
Nakosa namna ya kumshukuru Mungu kwa mambo aliyoyatenda. Kafanya kuliko nilivyomwomba. Kafanya kuliko nilivyowaza. Nitakuabudu Mungu wangu siku zote za uhai Mungu wa Rehema na fadhili
Asante bwana mimi nakushukuru kwa wema wako juu ya maisha yangu, Halleluya, beautiful singing by beautiful people and great message, Nawapenda sana., let us always have a heart of gratitude for the doing of the Lord upon our lives despite the circumstances we maybe going through.