Red velvet is such a unique cake because it has a vanilla flavor but also a hint of chocolate
Red Velvet ni keki rahisi kutengeneza ikiwa na mchanganyiko wa rangi nyekundu ya chakula na cocoa powder.
Red Velvet ni keki yenye muonekano wa kuvutia kutokana na rangi yake na radha ya kipekee. Ni keki isiyo na sukari sana invutia haswa kwa watu wasiopenda sana sukari.
23 окт 2021