Sijui sasa unakosea wapi ila niuhakika unga ukiwa laini chapati haziwezi kuwa ngumu my dear! Hebu jaribu kukanda unga kwa muda wakutosha, kisha hakikisha unafunika unga wako wakati unasubiri kusukuma ili usikauke pia hakikisha unasukuma na kuchoma hapo hapo. Na mwisho funika chapati zako zinapotoka jikoni.
Nikitumia self raising flour itabidi niongeze baking powder? Tena iliki huitwa aje kwa kiingereza? Na mwisho what is the difference between yeast na baking powder na hutumika wapi/ vipi? Liking your delicious recipes 😉😉😉