Hongera sana , mwenyezi mungu akutie nguvu katika hichi unacho kifanya, maana unacho kifanya ni kikubwa sana . kinalenga kusaidia maisha ya watu kwani una lengo la kuwachia watu uwezo ulionao jambo ambalo ni wachache sana wanao jitolea malipo yako yapo kwa allah
shukrani teacher ila mimi laptop yangu ni mpya imekuja na windows 11 na sina elimu ya kutumia laptop na napenda kujifunza kwako lakini lakini pc yangu hainidhihirishii kama inavyodhihirisha yako mfumo wake siufahamu naomba unasaidia nifanyeje ili iwe inaonesha kila kitu kama yako maana nashindwa kujifunza kwako kwa sababu hii