Тёмный

JIFUNZE UTENGENEZAJI WA BATIKI ,SEHEMU YA (3) 

Yusuph TV Online
Подписаться 3,1 тыс.
Просмотров 27 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 75   
@hervestermsofe9307
@hervestermsofe9307 2 года назад
Hongera sana kaz nzur
@CHESCONYAMBE
@CHESCONYAMBE 7 месяцев назад
Nimeipenda
@ShamsaAdam-f6g
@ShamsaAdam-f6g 5 месяцев назад
🎉🎉🎉
@mkamikimelo9268
@mkamikimelo9268 4 года назад
Nzr,
@joshuachimya3174
@joshuachimya3174 2 года назад
Nimeipenda hy
@lucymutheushanga8841
@lucymutheushanga8841 2 года назад
Ntajaribu
@hosanakomba8463
@hosanakomba8463 5 лет назад
ahsante sana mama kazi yako njema
@lestherusitukanesanasomaam1339
@lestherusitukanesanasomaam1339 6 месяцев назад
Hongera sana kazi nzuri. Maji kiasi gani?
@rossepanduka1461
@rossepanduka1461 2 года назад
Mama uko poa mungu akubari kweli
@sophiamwanjanjoghomi5776
@sophiamwanjanjoghomi5776 6 лет назад
da mama lunyungu kazi yako ni njema sana asante Kwa mafunzo mazuri mama
@josb8247
@josb8247 6 лет назад
Safi sana kwa somo zuri lenye kuleta mafanikio Kwa watakao tendea kazi.
@neemapetertungu677
@neemapetertungu677 Год назад
mama tunashukuru kwa mafunzo kifaa cha kuprint kinapatikana wapi
@aishalaizer8132
@aishalaizer8132 2 года назад
Tuonyeshe jinsi ya kuvikunja Basi,umeanzia katikati mamiii,
@mkamikimelo9268
@mkamikimelo9268 4 года назад
Nmechelewa kukufaham natamani hata nijipige,aisee hayo mabatiki mazuri sana,unapatikana wapi dada
@bernadethambuga2411
@bernadethambuga2411 6 лет назад
asante sana mwalimu...hiki ndo nilikisubir mda mrefu ......
@claramichael6664
@claramichael6664 4 года назад
Dada naomba contact zako
@janetlusko3589
@janetlusko3589 Год назад
Namba zako..na hayo maji ni kiasi gani
@ayubmoshi284
@ayubmoshi284 4 года назад
Chemical zinaitwaje izo mbili Mrs lunyungi
@lallyganally6962
@lallyganally6962 2 года назад
Tunaomba namba ya simu
@pienicolaus5879
@pienicolaus5879 5 лет назад
Asante mamy kwa somo
@rehemachengula8564
@rehemachengula8564 2 года назад
Naomba kujua hicho kibao nahitaj nakipataje na unauza shingapi
@ummyasmaa7095
@ummyasmaa7095 2 года назад
Kwamwanza jamani vifaa vya batiki vinapatikana wapi msaada jamani
@charitysamwel3823
@charitysamwel3823 5 лет назад
asanteni sana
@magrethmartin6248
@magrethmartin6248 5 лет назад
Unatumia kemikali gani ili kupata rangi ya maluni?
@mwakamasam5594
@mwakamasam5594 6 лет назад
Ubarikiwe sana Mama kwa mafunzo mazuri!!!
@viviansheila7337
@viviansheila7337 5 лет назад
How do you do the folding?
@pamellangonyaningonyani7662
@pamellangonyaningonyani7662 6 лет назад
Mnapatikana wapi na rangi hiyo ni Bei gan nimependa hiyo screen
@mohamedkagoma7066
@mohamedkagoma7066 4 года назад
Namba zako mama
@salmamohammed6944
@salmamohammed6944 5 лет назад
Masha Allah .naombanambayako dada tuwasiliane kwa whatsapp
@haikamgonja3871
@haikamgonja3871 6 лет назад
Jaman vinapendeza...
@sarahmwajuma9604
@sarahmwajuma9604 5 лет назад
Sasa mbona ujaonesha ulivyo kunja icho kitambaa ulicho kunjuwa cha kwanza?
@dailesngonya7280
@dailesngonya7280 6 лет назад
Mama naomba namba zako za simu, pili ni aina gani ya rangi inayotumika
@salmasalehe9137
@salmasalehe9137 5 лет назад
..mawasiliano mama jins yakufika kupata izo screen
@estamasato4357
@estamasato4357 4 года назад
inauzwa bei gani hizo
@pienicolaus5879
@pienicolaus5879 5 лет назад
Hicho kibao mama naweza kukipataje
@josephndimi6135
@josephndimi6135 4 года назад
Mama nisaidie kibao
@annahansi23
@annahansi23 6 лет назад
waooo nakupenda bure mama angu!!!
@joycendowo683
@joycendowo683 5 лет назад
Maji moto kiasi gani?
@mwakamasam5594
@mwakamasam5594 6 лет назад
Ukitaka kuiosha screen baada ya matumizi au endapo unataka kubadilisha utumie rangi nyengine,screen unaiosha kwa kutumia nini?
@danielmsemo2822
@danielmsemo2822 6 лет назад
Mwaka MaSam maji..unafanya kama unaloweka
@alfredtibaigana3024
@alfredtibaigana3024 6 лет назад
Asante mama nimependa pia nimejifuza
@jaypclassic1589
@jaypclassic1589 3 года назад
Hivyo vifaa navipataje kwa kahama
@bernadethambuga2411
@bernadethambuga2411 6 лет назад
naomba maelekezo ya kupata hicho kibao..npo mkoa wa geita kama inawezekana kuagiza kwenye mabas
@heriethkisese1407
@heriethkisese1407 4 года назад
Nahitaji hzo chemical na uzi na maelezo zaidi ntapataje maana nipo mbali dada
@annarobert1676
@annarobert1676 6 лет назад
Kazi zuri mama
@rehemachengula8564
@rehemachengula8564 2 года назад
Naomba namba mama angu tuwasiliane
@aquilinamgaya4449
@aquilinamgaya4449 6 лет назад
naomba namba ya mawasiliano tafadhari
@tumamwandu4965
@tumamwandu4965 5 лет назад
Mama naomba ntumie namba yako
@tynerngonyani7298
@tynerngonyani7298 6 лет назад
Tupe mawasiliano ya mama,anapatikana wapi
@amashaamasha3673
@amashaamasha3673 6 лет назад
Naomba unifundishe kukunja mji katikati
@gracemanase2013
@gracemanase2013 5 лет назад
Mambo mazuri,plz namba zenu naombeni niwatafute
@hatamimnimempendabulejaman1596
Ya napenda batiki najuwa nilikuwa natengenezaga Sana nauza
@hatamimnimempendabulejaman1596
Tena ninazo dawa zilibaki
@hatamimnimempendabulejaman1596
Mwisho unachanganya na maji ya moto. Jaman yutubu una raha paka batiki imo
@hatamimnimempendabulejaman1596
Kuna dawa moja kali sana
@hatamimnimempendabulejaman1596
Ya wanakologaga zote wanaweka Kwa pamoja
@lingamakuna5945
@lingamakuna5945 5 лет назад
maua ya kwenye sreen unatengenezaje dia
@sumamwampulo2126
@sumamwampulo2126 5 лет назад
Somo zuri mwl ila tuonyeshe unavyofunga
@kolthoomkolthoom2516
@kolthoomkolthoom2516 6 лет назад
Sauti ya mziki ipo juu mamaetu kipenzi
@anethwillium71
@anethwillium71 4 года назад
Vifaa vya kutengenezea batiki vinapatikana kwe maduka yapi
@sekelaasanga9725
@sekelaasanga9725 3 года назад
Maduka ya wajasiliamali mpenzi vitu vyote hivyo unapata
@elizabethswai9670
@elizabethswai9670 3 года назад
No ya cmu mm
@tynerngonyani7298
@tynerngonyani7298 6 лет назад
Tunaomba mawasiliano
@joycendowo683
@joycendowo683 5 лет назад
Maji lita ngapi ? Hujasema
@amashaamasha3673
@amashaamasha3673 6 лет назад
Naomba unifundishe kukunja hayo maua
@vanessajohnson1543
@vanessajohnson1543 3 года назад
Naweza kupata wapi hizo rangi
@pienicolaus5879
@pienicolaus5879 5 лет назад
Hicho kibao mama naweza kukipataje
Далее
Ванька пошел!!!! 🥰
00:18
Просмотров 681 тыс.
Jifunze namna ya kutengeneza sabuni ya kipande
8:05
Просмотров 40 тыс.
JIFUNZE JINSI YA UTENGENEZAJI WA BATIKI
25:26
Просмотров 19 тыс.
Tie and Dye (Book 7/ Page 69)
5:47
Просмотров 1,8 млн
BABA YANGU KIPOFU Full Episode  /54/ #love
27:41
Просмотров 97 тыс.
UTENGENEZAJI WA MAFUTA YA MGANDO
26:46
Просмотров 20 тыс.