Тёмный
No video :(

"Jina la Mchepuko" | MAHABA (Season One) Episode 1 

Loko Motions
Подписаться 203 тыс.
Просмотров 446 тыс.
50% 1

Mahaba is a show that reflects beautiful and dramatic stories of African relationships.
Cast:
- Mukasa
- Beatrice
- Meninah
- Mwijaku
Executive Producer - Crexcel Production
Producer: Docta I. Ulimwengu
Assist. Producer: Rehema Visuallab
Camera: Sicos
One echa
Sound: One Echa
Editor: Sicos
Lights: Rogers
Logistic: John Kanumba
Story: Heri Madini
Production Manager: Doveman
Distributor: Loko Motions
2019 Copyrights Crexcel Co. Ltd

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 400   
@patricklary8239
@patricklary8239 5 лет назад
"Eti wewe ni mchele watu wanakupumulia" Dah, kama umeisikia hiyo 👍
@sampachino5184
@sampachino5184 5 лет назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@jrlamar8925
@jrlamar8925 5 лет назад
Nimecheka kwenye hicho kipengele
@vickyalexandra436
@vickyalexandra436 5 лет назад
Ajali ya moto
@mrmmare6703
@mrmmare6703 4 года назад
Ebwanaaaa noma sana hiyo😂😂😂
@mariamrashid3972
@mariamrashid3972 4 года назад
Bado sana
@dogokahama3016
@dogokahama3016 3 года назад
Mariam
@naimasaid7763
@naimasaid7763 4 года назад
Yani nyinyi mpo wote kila cku kwa ajili ya kazi, kazi zenyewe ndo hizi za kitokuuvaa uhalisia, loh! Hata ningekuwa mm ningeweza
@assumanichance3963
@assumanichance3963 4 года назад
Nimejifunza kitu kwenye iyi vidéo kabisa : Tukiwa wapenzi tunasitahili kutambua makosa yetu na kuomba musamaha kwamakosa tuliyo yafanya. Asante sana kwa wachezaji woote 🙏🙏!!
@queenbibisha1961
@queenbibisha1961 5 лет назад
Menina ayuko serious kabisa ajifunze sana
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 5 лет назад
Umeonaaaa
@mercyroy6396
@mercyroy6396 5 лет назад
Kweli menina hana hisia kabisa sijapenda hata director jitahidi
@sherrysalim50
@sherrysalim50 5 лет назад
Bibisha mt hata kuongea hujui
@priscamlyuka5531
@priscamlyuka5531 5 лет назад
@@mercyroy6396 hksia hamana hata m nna bezi ila kwa bby ningeshusha saut kiasi hana uhalisia
@tausak4568
@tausak4568 5 лет назад
Bibisha mt yaaani jamaniii hajuwii Hata kidogo
@marymariam33
@marymariam33 4 года назад
Hahaha wapongo bwana et ameweka chakifipino "don't play with my heart" huhuhu
@wiseentertainment7210
@wiseentertainment7210 5 лет назад
viwango vya chini sana, waigizaji hawaoneshi hisia, pia hakuna uhalisia kwenye vitendo BEST: quality ni nzuri na sauti iko poa sana,
@sittisalum1862
@sittisalum1862 5 лет назад
Wise Entertainment mwanamke ndio anaharibu mchezo
@wiseentertainment7210
@wiseentertainment7210 5 лет назад
@@sittisalum1862 next time muweke nguvu, tunahitaji kuona vitu vizuri, mtazamaji anatakiwa aangalie aone kama anaangalia matukio ya kweli asione kama anaangalia muvi
@naomidaniel3161
@naomidaniel3161 5 лет назад
hata mm nimeona hilo tatizo
@shylahkawa9074
@shylahkawa9074 5 лет назад
Hamna uhalisia ila evrything is perfect 🤦‍♀️🤦‍♀️
@TheBaronMaestro
@TheBaronMaestro 4 года назад
Dont play with her heart Mwijaku😂😂😂
@irenepatrickdavid5891
@irenepatrickdavid5891 5 лет назад
Story ni nzuri waigizaji hawavai uhusika 😭😭😭😭
@priscamlyuka5531
@priscamlyuka5531 5 лет назад
Yani kama kwa mke wa mwijaku wangemuweka wolper au nisha daaah
@veileronesmo9219
@veileronesmo9219 5 лет назад
We ungeweza
@irenepatrickdavid5891
@irenepatrickdavid5891 5 лет назад
Veiler Onesmo ofcz ningeweza
@loveaurora4830
@loveaurora4830 3 года назад
@@irenepatrickdavid5891 easier said than done
@dorapatric9176
@dorapatric9176 5 лет назад
iviii mwijaku na uyo kaka wamefanana utassema ndugu
@Tiffany340
@Tiffany340 5 лет назад
Dora Patric kwani sio ndugu hawa? basi baba yao alichepuka aihitaji DNA apo
@gloryavelin2583
@gloryavelin2583 5 лет назад
Umeona kama mimi eee
@lollol-xi3oy
@lollol-xi3oy 5 лет назад
@@Tiffany340 😂😂😂🇬🇧
@dazk7861
@dazk7861 5 лет назад
Aisee kweli
@freakyboy5149
@freakyboy5149 4 года назад
Ahh meninah hawezi bado
@aysharamadhani1644
@aysharamadhani1644 5 лет назад
Mke wa mwijaku usipanikini jitaidi ishaallah utakaa sawa mwanzo mgumu
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 5 лет назад
Mwijako hukoseagi mdogo Wangu,komaa upande huu,hela yako iko huku.Kwangu mimi wewe ndio kanumba mpya....sio Duma wala mwenzake yule
@halimafazeli52
@halimafazeli52 3 года назад
Wala awajauwa move mbaya
@rashidizmkunjila9269
@rashidizmkunjila9269 3 года назад
Kuweni makini kwa maongezi
@husseinyusuph4087
@husseinyusuph4087 5 лет назад
Nakuelewaa Sanaa blood mwinjaku kazi iko pww
@K25795
@K25795 5 лет назад
Izi ndo kazi tume kuwa tuki zitaka nimeona tu ep moja tuu nikaelewa stori yote nimepend mlivyo igiza na tungependa msiwi mnatukawiza kutupa bipande vifatayo
@elly_tz1143
@elly_tz1143 3 года назад
Loko motion up
@Jc-wl6yf
@Jc-wl6yf 5 лет назад
Hao wadada wakaze sana ...wanakuwa kama wanacheza kkmbolela
@mmn7480
@mmn7480 3 года назад
umeonaee
@Kaizirege
@Kaizirege 3 года назад
juma lokole
@annwanjiku690
@annwanjiku690 5 лет назад
wow mzuri sana naipenda 🤗🤣
@huseinsenior4429
@huseinsenior4429 5 лет назад
Ann wanjiku🔥🔥🔥niaje
@young_eecarro9507
@young_eecarro9507 4 года назад
Atari #lokomotion
@benyabenjamini456
@benyabenjamini456 3 года назад
Usishindane na moyo wake 😋😋
@mmbarcelona2384
@mmbarcelona2384 5 лет назад
uyu Demu ni Mzuri. ila hajawa na level yakuwa Actress Bora kuliko wale wanaocheza Bongo Movies...🇹🇿
@mwambodzemwangongo3884
@mwambodzemwangongo3884 3 года назад
Ww unaota na unaroho mbaya xana...
@salumuandrew6775
@salumuandrew6775 3 года назад
@@mwambodzemwangongo3884 ni kweli ukiangalia hata anavyoact hayupo serious
@elardmadeez3382
@elardmadeez3382 5 лет назад
sikatai nime cheat ila siyo juma lokole ni happy hahahahaaaaaaaaaaa
@sabinaviolet805
@sabinaviolet805 5 лет назад
Shekhe uko viziri chapakazi😘
@asiazuberi9722
@asiazuberi9722 5 лет назад
Menina hajui kiukweli sijaweza imalizia hii movie kwa ajili yke hajavaa uhusika kabisaaaa
@avitrujweka2113
@avitrujweka2113 5 лет назад
Hatimaye umerejea Mwijaku! Keep the good work alive bro 🔥🔥🔥
@hatamimnimempendabulejaman1596
Da mwejako na recho walikuwa wanatisha halafu walikuwaga pendana kwi walimtowaga gazet in walikuwa wanapendezana hata na wenyewe walisemaga tumeona tu napendezana tukaamuwa kuwa pamoja nakumbuka mwijako nilimuonaga posta
@hatamimnimempendabulejaman1596
Muongeaji hivyo hivyo sijuwi alikuwaga anaongea na nani kama alikuwa anatoka nje ya ofisi flan. Recho mzur na mwijako ana weusi mzur ajisemeaga mama mtu akiwa na weusi mzur anasema weusi wa jongoo
@hatamimnimempendabulejaman1596
Hata huyu dada au hawa wadada wa humu masista du nakumbuka kama nilishawai kuiona Lakin kwenye Simu yangu iliyoalibika
@benedictmasigo3802
@benedictmasigo3802 5 лет назад
Itapendeza sana kama brother k ata join
@angelntandu661
@angelntandu661 4 года назад
Kumbe ilikuwa kweli dah pole mkewe na mwijaku
@benjaminomega5623
@benjaminomega5623 4 года назад
Angel kumbe umeona... kumbe walikuwa wanaingiza kile wanachopitia kwenye maisha harisi ya ndowa zao
@angelntandu661
@angelntandu661 4 года назад
@@benjaminomega5623 mh kweli kjini shule
@fabianfabio490
@fabianfabio490 4 года назад
miss you njoo bac😂😂😂
@zoharimohammed2942
@zoharimohammed2942 5 лет назад
Umeliamsha dudeeeeeee
@ngasalucas8558
@ngasalucas8558 5 лет назад
Dah! N kwel episode hi n Kali ila uhalisia sio kivile ila zile zinazo endelea zingine Yan ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@anithalove104
@anithalove104 2 года назад
Kaigiza vinzur mno 💯💯
@humphreynduye6239
@humphreynduye6239 4 года назад
Menina ,,,,hayuko serious kwel.,,,,,yap Kbisa
@samwelkihongole5346
@samwelkihongole5346 5 лет назад
Ndo shida iz unachepuka na anna jina unasevu shabban haaaahaaaaa 😂😂😂
@angelmwandata2233
@angelmwandata2233 5 лет назад
Samwel Kihongole 😂😂😂😂sana madhala hayo😂😂🙈🙈
@zuushow4338
@zuushow4338 5 лет назад
Nice Nimejifunza jamb hapo
@mwambodzemwangongo3884
@mwambodzemwangongo3884 3 года назад
Hapo mwijaki mko juu
@happymahega2000
@happymahega2000 5 лет назад
Mtukome kina Happy pumbavu nyie😀
@allygambo1618
@allygambo1618 5 лет назад
Mwijaku unajua sana ila muda kidogo tunakuomba ongeza muda kwa vipande
@LokoMotions
@LokoMotions 5 лет назад
Usijali, Episode zinazofuata zitakua na dakika 30
@masoudjuma2180
@masoudjuma2180 5 лет назад
muendelezo vp kaka
@dominicnzai8256
@dominicnzai8256 5 лет назад
Ndio maana ya episode one...yaani sehemu ya Kwanza...nadhani mtatofautisha mwijaku Sasa wee,..jamaa anaelewa anachokifanyaga
@celinamgundoi5601
@celinamgundoi5601 5 лет назад
Loko Motions Tufanyie mpango ili mashabiki zako tucjisahau
@jafarysharo2819
@jafarysharo2819 5 лет назад
Kazi nzuli sana
@nurujulius1920
@nurujulius1920 4 года назад
Wadada wote hamjui kuigiza hasa menina
@zabibunduwimana4612
@zabibunduwimana4612 5 лет назад
Sio Juma 😂😂😂Mwijaku unajuw kweli ongera
@carolcosmas2415
@carolcosmas2415 5 лет назад
Very intresting
@issakamangila9113
@issakamangila9113 5 лет назад
Iko poa sm ni fupi mno na uyo dem wa mwijaku ni actress mzuri sn afocus atafika mbali
@tuwenasitv9695
@tuwenasitv9695 5 лет назад
uko vizur brother mwijaku
@emmanuelmacha9354
@emmanuelmacha9354 5 лет назад
TUWENASI TV
@paulolenard624
@paulolenard624 2 года назад
Vizur xana mwaijaku kaz nzur nimeipenda sana
@chiefndatu1895
@chiefndatu1895 5 лет назад
Ngoj nikangalie kam Sjaku4low ila na Uhakik Tayar, Sas Nmepat Jibu ambalo Sjawaig kuw na Swal lake #Mwijaku Wew Unawezaaa..!Wajifunze Kupitia Kwako.
@kwizeranadia7836
@kwizeranadia7836 5 лет назад
Jmn nacheka na comment zenu wadau🤣🤣🤣🤣 hii tabia ya kusevu namba hivo ninao jmn sijui kwann
@anthonyenglebert145
@anthonyenglebert145 4 года назад
Kuna sehemu hapo haionyeshi uhalisia ,haiwezekan message ya mchepuko inaingia unaficha simu mkeo asiione halafu,unasema umsindikize mgeni na ndio chance ya kwenda kuchati na mchepuko halafu unaacha simu haileta sense jaman jitahidin
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 4 года назад
.....MTOTO MONG’ONYOOOO....! Mnajifanya MNAEKTI kumbe MNANG’ONG’OZOANA kiukweli ukweli....!
@hassanissa4792
@hassanissa4792 5 лет назад
nimecheat lakin sio juma ni happy 😃😁😁😁 sa kwanini uni cheat na happy?
@elizabethmarwa4021
@elizabethmarwa4021 5 лет назад
Hahaaaaa nimecheka
@tundalawokovu
@tundalawokovu 5 лет назад
Ni juma lokole
@ndayisengafrorence3991
@ndayisengafrorence3991 5 лет назад
😂😂😂
@christinalrene1132
@christinalrene1132 5 лет назад
😂😂😂😂
@abubakaryalmas7673
@abubakaryalmas7673 5 лет назад
😀😀😀 Itakua
@marymariam33
@marymariam33 4 года назад
Hahaha namie nimeuliza ivyoivyo
@cassianclement5595
@cassianclement5595 5 лет назад
Nlicho kipenda mwaz mpaka mwisho nikuona mwinjaku kavaa jez ya simba 😂😂
@rachelmrosso2938
@rachelmrosso2938 5 лет назад
Cassian Clement 😁😁😁😁😁 nimejikuta nacheka kwa sauti
@hadijahmwajombe9588
@hadijahmwajombe9588 5 лет назад
safi sana mwijaku
@andrewraphael3098
@andrewraphael3098 5 месяцев назад
😂😂😂😂 mwijaku
@rahillhamidu2544
@rahillhamidu2544 5 лет назад
Hakuna uhalisia kabisa, sauti iko Sawa location nzuri
@crershawmafia1009
@crershawmafia1009 5 лет назад
Yani inaonesha kabisa wanaigiza, hawako calm hasa huyo Menina
@frankelias5988
@frankelias5988 4 года назад
Safisana
@elly_tz1143
@elly_tz1143 3 года назад
Kazi nzuri numepanda sana big yes
@salumjuma5937
@salumjuma5937 5 лет назад
Juma lokole uyo 😂😂😂😂
@shebbykavanda9406
@shebbykavanda9406 5 лет назад
Kali sana
@zawadmohammed1137
@zawadmohammed1137 5 лет назад
Sijui kwann wameshindwa kuweka uzito kwenye hii story hawapo serious kabisaaaaaaaaaaaaaaa
@awadhihemed9405
@awadhihemed9405 3 года назад
Mambo in moto
@jumabajurah1397
@jumabajurah1397 5 лет назад
jina langu limeleta utata
@munirahassan2220
@munirahassan2220 5 лет назад
Kazi Kazi ❤️ ❤️ ❤️ ❤️
@morefravuorgroup3122
@morefravuorgroup3122 5 лет назад
atariiii sanaaaaaa
@safiasaleh4447
@safiasaleh4447 4 года назад
Anaweza menina
@naominandy94
@naominandy94 5 лет назад
Mwijaku simu 😂kamua ku save jina la mwanaume
@shibinjakulwa1627
@shibinjakulwa1627 5 лет назад
Ndio michezo yetu hiyo siku hizi 😄😄😄😄
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 5 лет назад
Menina kaza bado sana hauko serious
@zuwenaalley9187
@zuwenaalley9187 5 лет назад
mwijaku we noma juma happy 😁😁😁😁
@mmungalubunga4404
@mmungalubunga4404 5 лет назад
Mke wa MWIJAKU awezi kuingiza uzuri sio kipaji mwajaku tafuta mwanamke mwenye kipaji huyo dada awez kabisa ayuko siriaz
@abdullatifabdulkarim5316
@abdullatifabdulkarim5316 5 лет назад
Kweli kabisa recho alikua vizr sana nafas yke bado aijazbika
@crershawmafia1009
@crershawmafia1009 5 лет назад
true bro, huyo menina hamna kitu, hamna uhalisia
@aishakyejo5565
@aishakyejo5565 5 лет назад
ni kwel..
@michealphy4013
@michealphy4013 5 лет назад
Yupo vzuri. Anaitaji tu director arekebishe kidogo. Kubadili character inaharibu kabisa . Kama ww unajuwa utaelewa.
@ayadkishuga7229
@ayadkishuga7229 5 лет назад
Nakupenda dada angu meninah
@jrlamar8925
@jrlamar8925 5 лет назад
MENINA HAYUKO SERIOUS. ANASHINDWA KUVAA UHALISIA. AENDELEE KUJIFUNZA KUVAA UHUSIKA
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 2 месяца назад
Mwijaku anajua kuhendo
@jaquubjummah7538
@jaquubjummah7538 3 года назад
Piga mzee kipara🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@sophiajeremiah5521
@sophiajeremiah5521 5 лет назад
Wamefanana mwijaku na uyo mdogo wake ni ndugu kweli ama
@emadasmar5714
@emadasmar5714 5 лет назад
Umeonaeee mpka sauty
@snowwhite4670
@snowwhite4670 5 лет назад
Mwijaku utabakii kuwa juuu
@user-ws9ek8dj5n
@user-ws9ek8dj5n 5 лет назад
Mi ndio naanza angalia wabongo mwanipunga sana,one love ❤❤❤
@wastarashemadanga1817
@wastarashemadanga1817 4 года назад
Zed zed
@khadijahussen2763
@khadijahussen2763 5 лет назад
Hongera sana mwijaku
@deboramrema2861
@deboramrema2861 5 лет назад
Mwijaku amecheza pat yake vizuri ila dada jitahidi kuvaa uhalisia unatoka njee ya uhalisia maoni yangu ila nawapenda wote mnaelimisha
@eliadaboniphace4081
@eliadaboniphace4081 5 лет назад
Na ww umeliona hlo kwanza kulia hawez hata sura ya kuumizwa no.
@iamohani6275
@iamohani6275 5 лет назад
Aisee ifundisha, 🔥🔥🔥
@elishajoram1075
@elishajoram1075 3 года назад
Mwijaku noma
@eligiusedmund115
@eligiusedmund115 3 года назад
Sio juma ni Happy
@suleimankiumwa5328
@suleimankiumwa5328 5 лет назад
Mwijaku mkeo mzuriii
@temesjames8867
@temesjames8867 5 лет назад
Pat one,inamaneno ya hovyo sana haifai kuangaliwa ukiwa na familia mwijaku unaisifia si nzuri
@jescajohn5034
@jescajohn5034 5 лет назад
temes james anavoisifiaga hii tamthilia kumbe hata uhalisia hawana poor acting specially girls
@festomlowegypsum8214
@festomlowegypsum8214 5 лет назад
Tunaomba mwenderezo
@LokoMotions
@LokoMotions 5 лет назад
Leo Saa Mbili usiku
@mwajumaabeidy8137
@mwajumaabeidy8137 5 лет назад
Hv huyu mke wa mwijaku si menina atik ama? Anajitahid kwa kweli
@kushkomal9906
@kushkomal9906 5 лет назад
Naangalia huku nasoma comments ila inaonekana iko OK subir niendelee
@hhassani6832
@hhassani6832 5 лет назад
kz poa sana
@victorcephas3618
@victorcephas3618 4 года назад
Menina vaa uhalisia kama kwenye kale kavideo kako ukipigwa mishe, siyo kwa miguno ile na kale kacheni kako kiunoni. #Bongo_Movie_Mnatuchosha #Mungu_Anawaona.
@josephojuang9040
@josephojuang9040 4 года назад
Banadamu may bias matatizo ya takwisha
@josephojuang9040
@josephojuang9040 4 года назад
Binadamu kaumbiwa matatizo yatakwisha dada yangu wala sio kifo nakupenda sana napenda sana kazi zako nakuomba matatizo ya ishe mapema hurundi kazini ila duu
@kijanaWaMamaBhajia
@kijanaWaMamaBhajia 4 года назад
Katoto kazuri....natamani tu nioe TZ
@alyahmuhsin6061
@alyahmuhsin6061 5 лет назад
Alaa kumbe ndo zenu mnasev juma lokole kumbe happy sasa itabidi tuchunguze sm zenu
@najmasalimsalim2741
@najmasalimsalim2741 5 лет назад
Hahahaha jumalokole
@peterambassada7684
@peterambassada7684 5 лет назад
Nimekipenda kidem
@emanueljohn2878
@emanueljohn2878 5 лет назад
Mwanamke anazingua mwijaku hana hisia kwenye kuigiza
@hamismasoud8306
@hamismasoud8306 4 года назад
Mmh waigizaji hakuna hapo hawako serious na kazi yao hakuna uharisia
@lamiessaed1092
@lamiessaed1092 5 лет назад
Uyo menina hajavaa uhusikaaa asaaa
@adamhashimu4462
@adamhashimu4462 5 лет назад
Hii episode 1 imeanza vzur nimependa
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 4 года назад
😂😂😂 Kwahyo ww mchele
@dullymushsa1450
@dullymushsa1450 5 лет назад
mwejaku kazinzuri tupemwendelezo
@pendocharles8786
@pendocharles8786 5 лет назад
nzuurii jamani nimempenda mke wa mwijaku mibado ni mzuuri unaweza kuniacha nabado nikatoka namwanaum mwingine tupeni mwendelezo bas
@Officalnaph
@Officalnaph 5 лет назад
WAIGIZAJI WANAZINGUA KABISA HAYA HAO WANAWAKE
@muhbmoh7200
@muhbmoh7200 5 лет назад
Kuna jera na guest weweeeh 😂😂
Далее
Timings hated him #standoff #timing #meme
00:14
Просмотров 469 тыс.
Cute kitty gadget 💛💕
00:23
Просмотров 4,7 млн
MABORESHO KATIKA TENDO LA NDOA KWA WANANDOA
15:50
Просмотров 816 тыс.
MAHABUBA❤️ 1 MKOJANI, SAMOFI, KAMUGISHA
10:57
Просмотров 112 тыс.
NURU SHORTFILM
23:18
Просмотров 438 тыс.
KINYOZI MPUUZI
8:16
Просмотров 2 млн
Timings hated him #standoff #timing #meme
00:14
Просмотров 469 тыс.