Тёмный

jina lako Paschal cassian VIDEO officialy musc 

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE
Подписаться 167 тыс.
Просмотров 273 тыс.
50% 1

#call0688199370#paschalcassian#

Опубликовано:

 

30 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 178   
@zanabphilip240
@zanabphilip240 Год назад
Kupitia wimbo huu nimeokoka upya la muhumu jina langu lisomwe kwenye kitabu Cha matendo mema asa nte yesu
@ubuzimabwaclaudine9798
@ubuzimabwaclaudine9798 Год назад
Mungu nisaidiye jinalangu liandikwe mbingune
@emmanuelmtumishi9454
@emmanuelmtumishi9454 Год назад
Amina mwinjilist wa Mungu tuna funguliwa sana
@gidionkasenene4992
@gidionkasenene4992 Год назад
Wambie nahao Wanawake ulio nao kwanza waondoe ayo mawigi. 1 Petro 3 3 : Kujipamba kwenu, kusiwe kujipamba kwa nje, yaani, kusuka nywele; na kujitia dhahabu, na kuvalia mavazi;
@louisejeanne8306
@louisejeanne8306 Год назад
Ubarikiwe sana MTUMISHI 😢😢ujumbe huuu ni ujumbe wa wakati kabisa wakujiuliza kama tutaitwa kwenye kitabu gani 😢😢Mungu wangu nisaidie kutenda matendo mema Baba yangu
@petronjowela6670
@petronjowela6670 Год назад
AMINA
@patriciaalfred1746
@patriciaalfred1746 Год назад
Wimbo mzuri unatufanya tujitafakari, naomba nikushauri jambo maana naona unaupenda Utakatifu wasaidie hata hao wadada wa thamani wa BWANA unaoimba nao bado wako kwenye mapambo ya kidunia wasaidie wafanane na unachokiimba pia. Barikiwa kwa kazi njema Mtumishi wa MUNGU
@hillarytwoli6789
@hillarytwoli6789 Год назад
Barikiwa sana
@kangilejoseph8273
@kangilejoseph8273 Год назад
Wimbo mzuri sana, hongera, nimekuwa nikikufatilia sana katika nyimbo na mahubiri umekuwa mstari WA mbele kukemea mambo mabaya. Juu ya MANABII WA UONGO, na watu waliokoka kuwa kama mataifa, Sasa nauliza hapo mbona waimbaji wako wameweka mirasta katika vichwa vyao?? Ukihubiri hubiri na matendo yaonekane mtumishi. Ila Hilo najua utalifanyia kazi Mungu WA mbinguni akubariki mtumishi
@neyjames7529
@neyjames7529 11 месяцев назад
Good comment
@masweto
@masweto 9 месяцев назад
kweli jitahidi wakate manywele yao wanakuaibisha
@masweto
@masweto 9 месяцев назад
bora uwe unaimba na wanaume tuu au uimbe peke yako
@LawrenceNdauka-in7cr
@LawrenceNdauka-in7cr 7 месяцев назад
MUNGU aturehemu na dunia inatakiwa itubu imrudie Mungu.
@mamyneytariq8458
@mamyneytariq8458 Год назад
Kaka Paschal nakukubali sana nakufuatilia sana Ila hao watu wako wanakuangusha mwingine kifua nje
@stephenonyiso2124
@stephenonyiso2124 Год назад
Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 we love you paschal you are very different from other artists because of your powerful massage in your songs
@doricemrema2177
@doricemrema2177 Год назад
Amina amen, barikiwa saana kaka nyimbo nzuri na ujumbe mzuri , wachanijichunguze Zaid na zaid, nijue jina langu litakuwa wapi, na pia saidia na hao wanawake, wape SoMo wabadilike KIMUONEKANO. Barikiwa kaka Pascal
@rmaryp6269
@rmaryp6269 Год назад
Wimbo mzuri sana barikiwa sana na Mungu! Ila tu wanawake ndo wamekuharibia, sijui uliwashirikisha kwann watu ambao hawataki kumtii Kristo kwa kutokucha bidhàa za Jezebel!!
@queenesther2639
@queenesther2639 Год назад
Waambie mabinti ulio nao waondoe mawigi marasta nywele bandia zote makeup na vipodozi vya kila aina na vichwa wafunge vitambaa vinginevo kuzimu inawahisu
@paulmathias6882
@paulmathias6882 Год назад
Kosa liko wapi??
@novatusyohana9349
@novatusyohana9349 Год назад
Huna hekima ww
@queenesther2639
@queenesther2639 Год назад
Nina hekima sina hekima I don't care siku izi za mwisho haina haja kutafuta hekima ninapoonya Mtu maana kuzimu kunatisha kuliko hekima unayoitafuta kuzimu wapo huko waliotafuta hekima kuzimu haijalishi una hekima kiasi gani lkn inameza waliookoka na wasiookoka
@queenesther2639
@queenesther2639 Год назад
Na vizuri zaidi Mtumishi wa MUNGU Cassian anayapinga sana haya mapambo na huenda basi anatafuta hekima jinsi ya kuwaambia au anajua wanajua lkn kila mtu amepewa kivyake mwenye kuonya tena kwa bidiii maana unapotafuta hekima kifo nacho hutafuta hekima?!!! Huja km mwivi
@queenesther2639
@queenesther2639 Год назад
@@novatusyohana9349 wakati ww una dislike 4 wanalike
@AYUBU.MSANGAWALE
@AYUBU.MSANGAWALE Год назад
Wala hujawahi kukosea kusema ukweli mungu akuongoze vwema uzidi kufanya ukombozi duniani mi mwenyewe najiuliza jina langu limeandikwaje Bado nazidi kuka kalibu na mungu NAMI jina langu liwe miongoni mwa watenda mema ubalikiwe sana mutumishi wa mungu gonga like kama unatamani jina lako liwe miongoni mwa watenda mema 🙏🙏🙏🤝
@doskalunguofficial3057
@doskalunguofficial3057 Год назад
Habari ndio hiyo wapendwa, Hilo jina lako limeandikwa aje mbinguni? Hongera mtumishi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@adamjulius9782
@adamjulius9782 Год назад
Hapo sawa👍mavazi yanasitili. Kahaba kwa wimbo huu unamshiwish kuokoka. Ila ule uliofanya korabo duu! Unatisha, ebu hata wewe utazame Mara mbili mbili
@yvroseguillaume9638
@yvroseguillaume9638 Год назад
Thanks for translating. I'm really blessed with your songs . Keep up the great work my brother.
@faithmueni9020
@faithmueni9020 Год назад
Amen and amen always am blessed with your powerful messages may the God bless you always God's servant🙏🙏, honesty I love your songs pastor paschal the message do go deep in my heart keep doing your call in God mission🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@hossalemanuel1968
@hossalemanuel1968 Год назад
Napendaga message za paschal tango 2014 nilipohokoka, wewe ni moja wa wanaonifanya nisimame! MUNGU azidi kukubaliki zaidi na zaidi
@alesale5564iyydg
@alesale5564iyydg Год назад
Jikakaze sana kushahuri wa dada wetu wahachane na nywele za bandiya na hayo ma pambo ili naho majina yaho ya handikwe katika kitabu cha uzima .
@amyesanga2004
@amyesanga2004 Год назад
Mtumishi WA Mungu amepewa kutambua kweli na kuamua kubadilika ama kutobadilika ni maamuzi ya mtu mwenyewe . Nina Imani kuwa ujumbe unaohusu mapambo wamesikia Ila hawajataka kubadilika Ila mtumishi kamaliza kazi yake .kuchagua uzima au mauti ni kazi ya mtu mwenyewe.
@daisyakhini9331
@daisyakhini9331 Год назад
Amen mwinjilist, 🙌🙌🙏🙏acha nijitafarie njia zangu, na kujichunguza kikamilifu kwa maana siku ya hukumu jirani wala mzazi hatakuwepo kutetea, eeewe mwenyezi mungu nazidi kuka ndani mwako milele na milele Ameen🙏🙏🙏barikiwa sana mwinjilist kwa wimbo huo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦
@BrotherAhadi
@BrotherAhadi Год назад
Amen Amen 🙏🙏🙏 mtumishi MUNGU AKUBARIKI sana kaka Kwa injili ya UKWELI unayo ipaza
@protasd.massawe8013
@protasd.massawe8013 Год назад
Barikiwa mtumishi.
@etonaabwe5318
@etonaabwe5318 Год назад
May God bless you brother and your song has encouraged me to keeping going on with the race for heaven, I believe by his Grace i shall finish my race till the end of my life here on earth.
@emmanuelmahojo1050
@emmanuelmahojo1050 Год назад
Namimi nasikiya kubarikiwa naiyo nyimbo izo ndo nyimbo Zakua nakumbusha watu kwasababu nyakati tumo ndani nizahatari asant sana
@dianahshikanga7344
@dianahshikanga7344 Год назад
Kweli kabisaa jina langu limeandikwa akeje na litakua kitabu kipi? Emungu acha tukutende mema🙏🙏🙌🙇 barikiwa zaidi mtumishi paschal
@godwinambani
@godwinambani Год назад
Wimbo iko poa ni ya mafunzo ya kubadilisha mtu aachane na dhambi barikiwa sana ndugu yangu Paschal cassian lakini hao wanawake ndiyo walioharibu hyo video kwa mavazi yao make sure next time uweze ku correct usiharibu tena kwenye video yoyote ambayo utatowa barikiwa sana na Yesu Kristo wa Nazareth kwa wimbo mzuri 🙏🙏
@alicenalulwe84
@alicenalulwe84 Год назад
I dnt see anything wrong with the ladies,stop judging,good work paschal,God bless ,🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@wesleyMacaris
@wesleyMacaris Год назад
🙏 thanks Bro, congrats
@maryeer6392
@maryeer6392 Год назад
Hakika sijui jina langu limeandikwa je😭😭😭🔥🇰🇪🙏 Amen.
@reaganmwanzongoy7498
@reaganmwanzongoy7498 Год назад
Ashanti mpendwa wa Mungu
@JoramEkaale
@JoramEkaale 3 месяца назад
❤ ndugu paschal Asante sana...Mungu akutumia kama kipasauti chake ...ubarkiwe , Mungu akulinde Tena saidi
@Akinyisafi
@Akinyisafi Год назад
Amen and Amen 🙏🙌 ata sijui langu jina limeandikwaje huko mbinguni Ee YESU NISAMEHE
@joyasan3426
@joyasan3426 Год назад
Pastor wewe ni ushuda tunapokuna Kwa yaleuliyo pitea Good bless u moremtumishi
@Elnathatz9749
@Elnathatz9749 Год назад
Wimbo mzuriiii sana mtumishi Japo wimbo wangu pendwa ni nitie nguvu
@jacksonfelix7270
@jacksonfelix7270 Год назад
Wimbo sawa ila unaharibiwa na hao wanavaa kilimwengu Bora ungeimba peke Yako kama ule wimbo wa hivi mmenyamanza
@lungaitomodari8151
@lungaitomodari8151 Год назад
UJUMBE WA NYAKATI HIZI ZA MWISHO ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-Yh7w06CqR0A.html
@gggghhhbh5755
@gggghhhbh5755 Год назад
Huu wimbo ninaupenda sana niakujenga roho unafanya kazi inaopendeza mungu
@agnesmgina2232
@agnesmgina2232 Год назад
Mungu akubaliki kwaujumbe mzur sana
@EmmanuelTsuma-u3i
@EmmanuelTsuma-u3i Год назад
Asante sana kakaa, nyimbo zako zanijenga.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏
@melphismarsellah8835
@melphismarsellah8835 Год назад
Asante brother wimbo wako unaendelea kunifungua kiroho
@damarisnyaata
@damarisnyaata 9 месяцев назад
Kakangu Bwana asifiwe Naomba pia uwasaidie hao wamama kwa jili ya ufalme wa Mungu watoe hiyo mambo warudi kwa Yesu ndio mwenye mapambo yaliyo mema yanayofa utakativu Samahani!
@zanabphilip240
@zanabphilip240 Год назад
Tangu nianze kumsikiza Sasa ndiyo nimejua mana ya wokovu baada ya kuokoka kwa muda mrefu haki nimekuwa kiumbe kipya nimejifunza kuisoma biblia singonjii pastor anisomee
@sethngolo6558
@sethngolo6558 Год назад
Amen, Amen kwa wimbo mzuri ambao unatufanya tujihoji je tutakuwa upande gani Yesu atakapokuja mara ya pili, barikiwa Mtumishi wa Bwana Paschal Cassian!!
@neemamatiko3745
@neemamatiko3745 Год назад
Mbona sasa waimbaji wako wanamapambo unatuhubiri sawa je tusikie mahubiri yako tusifate tunayoyaonaee Mungu tusaidie ni kazi
@yohanamathiasi2298
@yohanamathiasi2298 Год назад
Mtumishi mbona hao wamama wamevaa cheni wengine k Kifua wazi video ya wimbo wako ulisahau msimamo wako au ulifunika kosa iliupendwe
@barakaothumani6421
@barakaothumani6421 Год назад
haya mavazi Mtumishi yanamaana frani hivi kwenye ushetani, sasa sijakuelewa leo,
@leontinebinlydi9459
@leontinebinlydi9459 Год назад
Amina. Mungu wabikuni atusaidie sana kweli 🥺🙏🙌🥺
@admerarobert3485
@admerarobert3485 Год назад
Sasa Mtumishi wa Mungu Cassian ni kweli unahubili na kukemea dhambi na mapambo ya yelizabeli kwa wanawake Sasa inakuwaje una shoot wimbo na wanawake ambao wamesuka nywele pia wavaa mawigi sasa hapa tuelewe vp
@dastanbushaijabwe5143
@dastanbushaijabwe5143 Год назад
Ubarikiwe mtumishi. Ila hakikisha kila jambo unalofanya umelikagua kabla ujalirusha mitandaoni kwani watu wengi wanakufatilia sana ili waone kama Kuna kosa lolote linalofanana na wale unaowaonya. barikiwa sana tuko pamoja.
@EsterAnyelwisye
@EsterAnyelwisye 2 месяца назад
Hee kyala gwangu ndula niombe e mm mwe natamani kumuona. Mungu wangu ooh Yesu barikiwa tumeishi wa. Mungu
@etonaabwe5318
@etonaabwe5318 Год назад
I like your song it's inspired me a lot But the women should have covered their head scarf and not putting making up. I 'sorry it's just a advice, don't get me wrong at all.
@DeibbyMosses
@DeibbyMosses 3 месяца назад
Huu wimbo umenitafakarisha sana.ahsante sana ujumbe mzuri
@Mwasame_Official1
@Mwasame_Official1 7 месяцев назад
Hawa wana dada na na mawigi na marasta, necklace na hereni jamani hawasikii ama wanaubiri maji na wanakunywa divai??????
@makelelebahati5236
@makelelebahati5236 6 месяцев назад
UBARIKIWE SANA UMENIKUMBUSHA MBARI SANA ,ENDEREA KUWAKUMBUSHA WATU NENO LA MUNGU NA JUMBE KAMA HIZI ZA NYIMBO ASANTE SANA.
@hadijamlokakuzenza2146
@hadijamlokakuzenza2146 Год назад
Mtumishi wa mungu unatukumbusha kwa kweli,ila hao kina dada wamevaa mawigi na tena ni mapambo ya shetwan
@davidmukhwana5283
@davidmukhwana5283 Год назад
Naomba liwe kati ya wale watakao ingia katika uzima wa milele na bwana🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@danielmurwa2613
@danielmurwa2613 Год назад
Asante kwa kutubariki mchungaji
@gib3888
@gib3888 Год назад
kwa kweli jina langu limeatikwa aje Wimbo nzuri snaa may God bless you 🙏🙏
@georgepeter2564
@georgepeter2564 Год назад
Aki MUNGU azidi kukujaza nguvu za roho
@johndavidi2582
@johndavidi2582 3 месяца назад
njia hii ni nyembamba na waionao ni wachache nami najitaidi kuhionyesha kama nimekubaliwa na bwana
@shadrackpaulomabula
@shadrackpaulomabula Год назад
Daaaaah umenifanya nilie kwani nimewapoteza marafiki zangu wengi sana ambao wameondoka bila kuwa na Yesu swari linaloniumiza kichwa mimi je nitamalizaje safari yangu
@paschalcassianoriginal9411
@paschalcassianoriginal9411 Год назад
Pole sana
@louisejeanne8306
@louisejeanne8306 Год назад
Comment yako na mimi inaniliza 😢😢 ndo swari letu hilo sisi bado ambao tupo hai la kujiuliza kwamba tutamalizaje mwendo 😢na je tutaitwaje mbele ya kile kiti cha hukumu 😢😢
@charlesmarwanchama9898
@charlesmarwanchama9898 Год назад
Wimbo huu unanifanya nitafakar itakuwaje
@invisibletv633
@invisibletv633 Год назад
Mungu akutie nguvu zaidi ya kiroho mwinjilist Pascal Cassian na uendelee kueneza habari zake BWANA
@johnmhagama855
@johnmhagama855 Год назад
Pasco cassiani mutumisha wa kazi yako njema San
@mugishomwenda4265
@mugishomwenda4265 Год назад
Wimbo mzuri ila hao wa kina dada uliimba nao wameharibu na ile mapambo yao
@Myboy_1032
@Myboy_1032 3 месяца назад
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa ujumbe mzuri
@johnssaimon450
@johnssaimon450 Год назад
Barikiwa Sana me kassian msg nzuri Sana.
@AaaaUe6s
@AaaaUe6s 11 месяцев назад
hiyo wimbo ananifanya ni lilie mungu zaidi 😢😢😢
@patiencehumbled3519
@patiencehumbled3519 Год назад
Another morning ,hilo jina langu limeandikwa aje
@cosmasmuhofu3687
@cosmasmuhofu3687 Год назад
Mungu nakuomba unipe mwisho mwema baba
@jofreyjohn6360
@jofreyjohn6360 Год назад
Massage send kazi ya Mungu isonge mbele
@furahag3098
@furahag3098 9 месяцев назад
Amen mtumishi wimbo mzuri sana 🙏🙏
@emmanuelmtumishi9454
@emmanuelmtumishi9454 Год назад
Tusikilize ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-5327-a-NNVY.html
@AnastaciajoaquimmiguelMi-rf4vy
Mimi Niko Sumbinhi napenda naza.
@OMEGATVTANZANIA
@OMEGATVTANZANIA Год назад
USIOGOPE paza sauti
@shadrackwere3514
@shadrackwere3514 Год назад
Endelea kusema ukweli baba. Mungu atakulinda. Napenda mwito wako.
@dottodismas6672
@dottodismas6672 Год назад
Hakika mungu Akubaliki mtumishi
@Josephati-e9q
@Josephati-e9q 2 месяца назад
Najua unaelewa nakushukur kwalipi?
@leahleha7000
@leahleha7000 Год назад
Barikiwa na mngu azdi kkuinuwa man of God
@flaramatabala1712
@flaramatabala1712 Год назад
Asante sana mtumishi tuko nyuma yako
@espoirmlondani-ue2fm
@espoirmlondani-ue2fm Год назад
Bwana uwe pamoja na mtumishi wako
@maryncudo4526
@maryncudo4526 Год назад
Thanks Paschal for the english translation. Beautiful song and the music is also beautiful. Is my name written in the book of life? Please MUNGU WANGU. There will be books and there will be A BOOK. Thanks Paschal just beautiful. USA
@amanmalima940
@amanmalima940 Год назад
Mungu anisaidie nimalizie KAZI YAKE salama.Zaidi ya YOTE Mungu aniwezeshe niishi maisha MATAKATIFU na nifike mbinguni!
@masikanasta1027
@masikanasta1027 Год назад
Amen mtumishi ubarikiwe
@vallarybritty7270
@vallarybritty7270 Год назад
My favourite gospel artist has done it again,i love your songs pascal,mungu azidi kukubariki
@victorjaoko3862
@victorjaoko3862 Год назад
Hakika yesu ni mwema🇺🇸🇺🇲🇺🇲🇺🇲
@pascojoseph4624
@pascojoseph4624 Год назад
Barikiwa
@hilamvicent6720
@hilamvicent6720 Год назад
Unaimba rohoni Nabarikiwa
@mfalmewanyika.
@mfalmewanyika. 12 дней назад
JINA LAKO LIMEANDIKWAJE❤❤❤❤
@iidiyavikavu7135
@iidiyavikavu7135 Год назад
Napenda nyimbozako
@solomonade2749
@solomonade2749 Год назад
Wimbo wa kujenga
@odethaezekia2624
@odethaezekia2624 Год назад
Amen amen wimbo mzr sana mungu akuinue Zaidiiiiiiiiiiiii
@tnentertainmenttz8051
@tnentertainmenttz8051 Год назад
much thanks to you man of GOD, your song is powerful in spirictual
@MusyokaJoseph-r4v
@MusyokaJoseph-r4v 2 месяца назад
Uu wimbo unanitia nguvu sana
@christineachote7295
@christineachote7295 Год назад
Swali langu la Kila siku ,,,
@veroslaa1041
@veroslaa1041 Год назад
Amen 🙏 mbarikiwe
@letisiabaritazari7606
@letisiabaritazari7606 2 месяца назад
Hao wadada wana haibu wembo
@HermaniMugabe
@HermaniMugabe 8 месяцев назад
Asante ubalikiiwe
@fifikabene5663
@fifikabene5663 Год назад
Unafudicha mapabo bonana baibaji bako bakonamapabo
@eliazenno9463
@eliazenno9463 Год назад
MUNGU ANASEMA NA WATU WAKE
@IsaacMhagama
@IsaacMhagama Год назад
🎉 nyimbo ni nzuri Sanaa 2
@raphaelmalema8370
@raphaelmalema8370 Год назад
Jina langu mimi ?????
Далее
NIOKOE VIDEO OFFICIALY  EV. PASCHAL CASSIANI.
6:44
Просмотров 844 тыс.
БЕЛКА ЗВОНИТ ДРУГУ#cat
00:20
Просмотров 626 тыс.
Pascal Cassian Chuki Ya Nini Official Video
9:46
Просмотров 592 тыс.
БЕЛКА ЗВОНИТ ДРУГУ#cat
00:20
Просмотров 626 тыс.