Тёмный

NIOKOE VIDEO OFFICIALY EV. PASCHAL CASSIANI. 

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE
Подписаться 167 тыс.
Просмотров 845 тыс.
50% 1

#0688199370#paschalcassian #0766998994#watsp_status #

Опубликовано:

 

30 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 445   
@binonsakwa1229
@binonsakwa1229 Год назад
Nikumbuke Bwana...😢 Barikiwa sana mtumishi wa Bwana
@pelusiemanueli6926
@pelusiemanueli6926 Год назад
Nakukubal San mpendwa asante san
@edwinsimiyu9940
@edwinsimiyu9940 Год назад
Wakati mwingine tunapitia mambo ambayo tunashindwa kujieleza, lakini Mungu tukumbuke, tuokoe na ututetee. Hongera mtumishi kwa wimbo Mzuri wenye maombi ya matumaini.
@ayubuphanuel7819
@ayubuphanuel7819 Год назад
Amina
@lucybayyo1916
@lucybayyo1916 2 года назад
😭😭😭 Asante kwa kila kitu Mungu Wangu sifa na utukufu ni zako 🙏🙏
@catherinekyalo5474
@catherinekyalo5474 Год назад
More grace to you
@christmandaniel537
@christmandaniel537 2 года назад
Asante sana Mtumishi wa Mungu kwakutusaidia kuomba kupitia huu wimbo, wengi tunavunjika mioyo kwasababu ya shida na matatizo, mpaka tunashindwa tuombe aje. Asante sana, Mungu akuzidishie Nguvu baraka na maarifa
@francisomary
@francisomary Год назад
good song,,,
@christineamukoye9969
@christineamukoye9969 2 года назад
AMEEEN NITETEE EEH MUNGU, HUU WIMBO NIKAMA WANILENGA MIMI KWA YALE MAPITO NINAYO YAPITIA😭😭😭🙌🙌🙌🙌NIOKOE YESU. BARIKIWA SANA MWIJILIST
@rivardslwimba5607
@rivardslwimba5607 2 года назад
NIKUMBUKE NA MIMI EEE MUNGU WANGU , KATIKA SHIDA ZANGU
@maryncudo4526
@maryncudo4526 2 года назад
Thank you Paschal for the english subtitles .Beautiful song very touching may GOD continues to bless you Paschal.
@Hassan_Mengi
@Hassan_Mengi 2 года назад
Ubarikiwe sana mtu wa Mungu na Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi
@josephwijengo8851
@josephwijengo8851 2 года назад
Ujumbe mzito nyimbo nzuri sana na video Kali Barikiwa sana mtumish wa Mungu
@paschalcassianoriginal9411
@paschalcassianoriginal9411 2 года назад
Aamen
@abelmahanga1531
@abelmahanga1531 2 года назад
@@paschalcassianoriginal9411 safi sana
@mzungumaya4379
@mzungumaya4379 2 года назад
God bless you abundantly Man of God am always blessed with your songs from Kenya
@elizwe7599
@elizwe7599 Год назад
Mungu azid kukupa nguvu ili uimbe zaid na zaid
@oscartshibanda
@oscartshibanda Год назад
Good youse
@wallesmdoe9164
@wallesmdoe9164 Год назад
Nimechoka kusindikiza hao wenzangu unikumbuke na mim kaka Mungu akubariki sana nyimbozako Yani nisawa na Nuru gizani zina ujumbe mziiiitoo 🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝
@georgeluoga9969
@georgeluoga9969 2 года назад
Tuko nawe mtumishi tunapokea uponyaji kupitia nyimbo yako nzuri amen
@vallarybritty7270
@vallarybritty7270 2 года назад
You never disappoint my favourite gospel artist,i always listen to your songs every hour of the day, much love from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪may God continue blessing you and your family
@samuelmugonjuguna5811
@samuelmugonjuguna5811 Год назад
I believe Cassian is insisting on people acknowledging God speaking to His people using human beings. Give Glory to the Lord and pray for Mtumishi. All praises belongs to God
@vallarybritty7270
@vallarybritty7270 Год назад
@@samuelmugonjuguna5811 AMEN
@benithomligo9074
@benithomligo9074 2 года назад
Amen amen MUNGU pamoja nawe nasi sote pia mtumishi
@wycliffemutida4013
@wycliffemutida4013 2 года назад
Apa kenya ,I respect you Evagilist strong message,
@amanipeace7811
@amanipeace7811 2 года назад
Best prayer request ever🙏. What can we do by our own power,NOTHING.We need God in ihr everyday Life.... Thank you Bro...🤗💃💃💃
@henrykigugwe5112
@henrykigugwe5112 2 года назад
From Arusha Monduli Glory To Jesus Your great Sir nabarikiwa sana.
@benardshayo3886
@benardshayo3886 2 года назад
Amen amen amen Barikiwa Sana na Mimi na mke wangu tunabarikiwa sana na nyimbo zako Barikiwa Sana from 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@AYUBU.MSANGAWALE
@AYUBU.MSANGAWALE 2 года назад
Amina Amina mungu akutie nguvu wakati wote hakika ata Mimi nimechoka kudhalauliwa bwana atuokowe
@tymansphiri4351
@tymansphiri4351 2 года назад
Every time when i listen to your music i feel blessed 🇿🇲🇿🇲 from Zambia
@josekarani6220
@josekarani6220 Год назад
This is a wonderful prayer 🙏. Mungu niokee, nitetee Mungu , Nikumbuke Mungu nami 🙏
@godisgood1098
@godisgood1098 2 года назад
Amen Amen amen, Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@paschalcassianoriginal9411
@paschalcassianoriginal9411 2 года назад
Aamen
@brayanmfangavo3546
@brayanmfangavo3546 2 года назад
Safi sana huwa huyu mtumishi ananibari sana
@brayanmfangavo3546
@brayanmfangavo3546 2 года назад
Ninaomba no yako mtumishi
@IsayaLeones
@IsayaLeones 5 месяцев назад
Natamani sana niwe mwiimbaji kama wewe baba nixadiye ata nambayako🎉
@nuhumakoga6209
@nuhumakoga6209 2 года назад
Hakika mungu yumwema
@daisyakhini9331
@daisyakhini9331 2 года назад
Oh GOD,!.naomba unifanyie wepesi wa maisha yangu, Amen mwinjilist, song yenye kunitia nguvu na ujasiri. Amen Amen sana mungu n mwema, barikiwa sana mwinjilist nabarikiwa sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦
@paschalcassianoriginal9411
@paschalcassianoriginal9411 2 года назад
❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙏🙏
@annanalompa9289
@annanalompa9289 2 года назад
Namkubali Sana huyu mtumishi Tena sio kidogo
@daisyakhini9331
@daisyakhini9331 2 года назад
@@annanalompa9289 yeah kile mungu alipanda ndani mwake, mimi songs zake hunipa mtisha na iman zaidi
@Neemakilimba
@Neemakilimba 2 года назад
Mtumishi Kama ntapata kibali kwako naomba no yako tafadhali
@eliphazcongera8929
@eliphazcongera8929 2 года назад
Mungu aendelee kukutia nguvu kama unavyotutia nguvu na sisi ktk kuujuwa ukweli mtumishi wa Mungu! Barikiwa sana kwa wimbo mzuri sana
@naomycharles7660
@naomycharles7660 Год назад
Mungu akutangulie Kwa Kila jambo mtumishi unaugusa sana moyo wangu😭😭😭
@michaelpetter3897
@michaelpetter3897 Год назад
Hatakama unapitia shida ya aina gani we mwombe Mungu maana yeye atakukumbuka🙏🙏❤️
@mishekimbuba8260
@mishekimbuba8260 2 года назад
Daaaaah huu Wimbo Mungu ausikieee abadilisheee maishaaa ya baba yanguuu daaah Kwa mapito aliyonayoo hakikaa Mungu amuokoe,amtete tunamuaminuii Mungu atafanya yote
@elifurahamassawe2275
@elifurahamassawe2275 Год назад
Mungu niokoe na mimi 😓😓😓 ubarikiwe sana mtumishi
@EsterJoshua-se3oc
@EsterJoshua-se3oc 5 месяцев назад
Amina mtumish wimbo huu umenibaliki
@Joelhaongaofficial
@Joelhaongaofficial 2 года назад
Hakika nimefarijika kaka mtumish be blessed
@gabrielisack7786
@gabrielisack7786 2 года назад
Ubarikiwe sana mtumishi wa Kristo na wakili wa siri za Mungu kwa wimbo mzuri na uliobeba nguvu ya uponyaji, ulinzi na baraka za Mungu.
@paschalcassianoriginal9411
@paschalcassianoriginal9411 2 года назад
Aamen
@saaderhassan446
@saaderhassan446 2 года назад
Amina mungu nikumbuke nami kupitia wimbo wa mtumishi wako🙏🙏
@gladyswasike
@gladyswasike Год назад
Barikiwa,mtimidhi
@PatrickMakau-vv8zi
@PatrickMakau-vv8zi 2 месяца назад
Amen Amen God is always their for those trust Him
@theonestrenatus954
@theonestrenatus954 2 года назад
Wimbo huu unanguvu za ajabu ukiuimba ikiambatana na maombi katika raho mtakatifu,, MUNGU akukumbuke sana Ev.cassian unabariki mamilioni ya watu..
@MorineKamwera
@MorineKamwera 7 месяцев назад
Mungu alibariki🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@getrudenabwayo4754
@getrudenabwayo4754 8 дней назад
No matter how rude you are, this song inakufanya unapondeka roho time 10, nmejipata nikilia saa 02:31am, mwenye amefanya nikajua nalia n kuomba ni my fellow workmate mwenye tunalala naye Kwa room, yeye ndo ameniguza akaniuliza what's wrong, but lemme tell, nguvu za Mungu Kwa maombi nobody can stop it unless Holly spirit to take control. Whoever is passing a lot, it coming to an end before the end of this month in Jesus name
@annann8214
@annann8214 2 года назад
Am going through a pace where I need God to remember and fight for me 😭😭 Asante kwa huu wimbo mtumishi🙏
@paschalcassianoriginal9411
@paschalcassianoriginal9411 2 года назад
Aamen
@wycliffemutida4013
@wycliffemutida4013 2 года назад
In God all things are possible
@wycliffemutida4013
@wycliffemutida4013 2 года назад
Paschal nyimbo zako ni za ujumbe mzito xana album sauti ya mtu aliye nyikani
@sebonikegobi6244
@sebonikegobi6244 2 года назад
Mungu akubariki mtumishi wimbo huu ni maombi tosha asanté Mungu kwa mtumishi wako huyu
@joannanekesa7758
@joannanekesa7758 Год назад
Nyimbo zako zina uwepo wa MUNGU UBARIKIWE SANA MTUMISHI WA MUNGU
@OscastephenGwivaha-e6y
@OscastephenGwivaha-e6y Год назад
Mtumishi wa Bwana wetu YESU Kristo Ariyehai, kumbewakatiule ulipokuwa Bss Ulikuwa nidhahabu Ikiwa jikoni Ikipikwa na Sasa tunaona Ishaiva natayariipo Sokoni nani Maligafi iliyonathamani Isivyo Kawaidi, YESU Kristo Ariyehai Naazidi Kukupeleka Utukufu hadi Utukufu.
@dannymkogoti961
@dannymkogoti961 2 года назад
Asante brother cassian ... Kweli Mungu akuweke Kwa ajili yetu binafsi nakupenda na ninatamani kufata nyendo zako katika huduma ya huimbaji
@bitishoriziki1113
@bitishoriziki1113 2 года назад
Hiyi nimbo malmu kbs und🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙌🙌👏👏eleley kubarikiwa
@norahstanley3281
@norahstanley3281 Год назад
My seasonal prayer,,may God remember whoever is in need of him 🙏 servant may God bless you abundantly 🙌
@esnartkayuni558
@esnartkayuni558 Год назад
Wimbo uzuli amen and amen
@zakinamkondya5795
@zakinamkondya5795 Год назад
@@esnartkayuni558 wimbo mzuri
@namisisiboe7256
@namisisiboe7256 Год назад
Indeed Man of God u're blessed. May God remember you and me. And pls God connect me to this Grace in Jesus Name. Amen
@simwandumsompola4535
@simwandumsompola4535 2 года назад
Ubarikiwe sana kaka hakika umenitia moyo
@elifurahajoel2725
@elifurahajoel2725 2 года назад
Jehova Elohim awe pamoja nawe Mtumishi Wa Mungu. Yesu Kristo Mwana Wa Daudi akurehemu kama alivyomrehemu Batholomayo.
@perrywanjiru2754
@perrywanjiru2754 2 года назад
Wimbo mzuri sana be blessed mtumishi wa Mungu 🙏
@MiriamuBahati
@MiriamuBahati Год назад
Amen 🙏🙏🙏pls muniombe sana be bless all
@wallesmdoe9164
@wallesmdoe9164 Год назад
Hii nyimbo imenitoa machozi nikikumbuka mapito ninayopitia naona imekuja muda muafaka🤳
@vimohdj6953
@vimohdj6953 2 года назад
Nyimbo zako zanibariki sana 🙏💙💙God bless you.from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@peterodinga2257
@peterodinga2257 2 года назад
We bless the Almighty God for this wonderful and amazing song..Ubarikiwe sana ndugu.From Kenya
@ElizabethMarmo-li8sk
@ElizabethMarmo-li8sk 6 месяцев назад
God bless youMtumishi wa mungu,Mungu akulinde nakukutunza,akufunike ubay , kazi ya adui isifanikiwe,Yeremia 33:3
@ceokinglaiza
@ceokinglaiza 2 года назад
Ujumbe mzito sana mungu akutendee n akuzidishie🤲🏾
@happinessnjoki8381
@happinessnjoki8381 Год назад
Bro mungua kupe maishamarefu uzidi kumtukuza. Happines from Nairobi Kenya nabarikiwa sana.
@GanzaMulinzi
@GanzaMulinzi Год назад
Vraiment mtumishi wabwana Pascal, Mungu akuongezeye nguvu Kurita huu wimbo inanivutiya yenye kusema kama Mungu Aniteteye. Inanigusa sana
@naomesitina5455
@naomesitina5455 2 года назад
Every day when l listen to you songs l feel like l am blesses thank you god 🙏🙏🙏🙏
@erickmpangala1814
@erickmpangala1814 10 месяцев назад
Hakika Mtumishi unaouwezo wa kipekee saaana juu ya Neno la Mungu. Unaweza saaaaaana tena Mnoooo. Wimbo mzuri...Ujumbe safi na video saaaafi...sauti imetuliaaa saaana. Barikiwa saana Pascal Cassian
@marynyambara6735
@marynyambara6735 Год назад
Amen amen asante endelea hivyo hivyo wacharoho wamungu akuogoze usiruhusu mwili ukiogoze maana mwili utapoteza kilicho ndanimwako munguakusaidie sana
@jafeti-ut7gq
@jafeti-ut7gq Год назад
MUNGU WANGU nitete leo MUNGU WANGU nisaidie leo Na madeni haya nitete yesu wangu nikumbuke Mungu wangu sina mwingine ila wew tu
@leandroleonardofidelix3326
@leandroleonardofidelix3326 2 года назад
Amém mtumishi unafanyika Baraka maishani mwangu, na ninahamini hata kwenye Masha ya wengi ubarikiwe, from Mozambique.🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@wanzitaathuman6630
@wanzitaathuman6630 Год назад
Mungu akutangulie mtumishi uzidi kuyatenda mapenzi ya Mungu.toka Singida-Mkalama-Ibaga nimekuwa nikikufutilia toka kipindi ulipopata ajali
@speshoman833
@speshoman833 Год назад
EMEEEEN and EMEEEN nitete mungu muumba mbingu na inji Niko hapa mwanao eee mungu 🙌. Balikiwa mtumishi wamngu Ameen
@brucemunish254
@brucemunish254 Год назад
Nice voice and good song😂😂😂
@joshuajapa2596
@joshuajapa2596 2 года назад
Amina mtumishi barikiwa sana kwa wimbo mzuri huu nikumbuke na Mimi katika maombi
@AmaniMgula
@AmaniMgula 11 месяцев назад
From njombe grory to juses najisikia kwenda mahali pengine mtumishi barikiwa Sana
@raymondkaria1451
@raymondkaria1451 Год назад
Mungu akutunze Mchungaji haki wewe ni Rungu la Bwana naomba wimbo huu ukawe ufunguo wa Vifungo vyote vilivyoyafunga maisha Mungu anitete na kuniokoa
@belindasimiyu2142
@belindasimiyu2142 9 месяцев назад
Mungu akubariki mtumishi kwa mafunzo kwenye nyimbo zako🙏🙏🙏
@harunimatabaro6248
@harunimatabaro6248 2 года назад
Kaka kanzi nzuri Mungu akutunze
@estersilver9872
@estersilver9872 Год назад
Sio kwenye sim tu mtumishi huwezi sikiliza radio zetu asubuhi na mwanao kwenye gari nyimbo Zina maneno machafu mpaka una huzunika moyoni sasa unawaza Hawa nao wanawatoto majumbani kwa hizi nyimbo???
@monicaawino3916
@monicaawino3916 2 года назад
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa ujumbe mzuri, kupitia kwa huu wimbo ☝️☝️☝️🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@lydiajeremiah2553
@lydiajeremiah2553 Год назад
Nabarikiwa Sana mtumishi wa Mungu vile nyimbo zako zinakuwa zinafundisha
@bitishoriziki1113
@bitishoriziki1113 2 года назад
Barikiwa mtumishi wamn🥰👏👏❤gu mngu akulinde san ♥
@emmanuelsimba6651
@emmanuelsimba6651 Год назад
Amen amen❤️❤️❤️❤️
@adelaideatonga5849
@adelaideatonga5849 Год назад
Nashukuru kwa hii wimbo imeninguza ndani ya maisha yngu 😭😭😭mtumishi wa mungu Asante kwa hii wimbo mahali nlipo nko na shida hdi sina la kusema na shida ni forward hii wimbo juu inaninguza sna si umbarikiwe mahali ulipo 🙏🙏🙏
@benedethamapunda71
@benedethamapunda71 Год назад
Dah! ongera sana Mungu akuzidishie nguvu za kuweza kuproduce nyimbo zingine nzuri kama hizo
@cardidoris8422
@cardidoris8422 Год назад
ubarikiwe mutumishi na OMBI le tu kwamungu ni akusaidie kwa kazi lake unalo tumika na azidi inuwa wengine kama wewe ( wewe ni danieli kati WA nabii WA uongo twa juwa wapiganishwa )
@vitreenandeth8481
@vitreenandeth8481 2 года назад
AMEN and amen 😢😢😢😢😢🙏🙏🙏🙏🙏
@carolynekanyanga3911
@carolynekanyanga3911 Год назад
You are a blessing to me nyimbo zako Zina upako sana
@irenemunyiva7543
@irenemunyiva7543 2 года назад
Kweli MUNGU wetu anazo nguvu na mamlaka katika maisha yetu,
@centrinenasambu2422
@centrinenasambu2422 2 года назад
Barikiwa Sana mtumishi wa mungu 🙏🙏
@BahagarheAksanti-gy8vl
@BahagarheAksanti-gy8vl 8 месяцев назад
Mungu nikumbuke Nabi eeeee Mungu, Ila unikumbuke ngisi ulivyo wakumbuka wengine waliyo kuwa kwenye shida.
@mystrocell2
@mystrocell2 Год назад
Asante sana kwa wimbo nineupenda sana Mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juu sana
@moreenidaya1357
@moreenidaya1357 2 года назад
Nikumbuke na mimi mungu wangu Amen
@paschalcassianoriginal9411
@paschalcassianoriginal9411 2 года назад
Atakukumbuka
@adamjulius9782
@adamjulius9782 2 года назад
Jipe moyo mtumishi mwenzagu najua mapito unayopita lakin ktk yote hayo tunashinda zaidi ya kushinda
@AncyMerci-un2nu
@AncyMerci-un2nu 8 месяцев назад
Eeeeeh Mungu nikumbuke na Mimi niokowe nauniteteye 👏👏 barikiwa mtumishi wa Mungu 🙏🙏
@twilumbakabelege3426
@twilumbakabelege3426 Год назад
Nitetee MUNGU, HUU WIMBO UNANITOA MACHOZ KABISA NI KAMA ALIJUA NILIONAYO MOYON
@sebonikegobi6244
@sebonikegobi6244 Год назад
Mungu akubariki Sana mtumishi wa Mungu nabarikiwa na wimbo huyu sichoki kuusikiliza
@lucylucy164
@lucylucy164 2 года назад
Nitetee MUNGU wangu, nikumbuke MUNGU wangu, niponye MUNGU wangu, niokoe MUNGU wangu.
@Robarthmapolu
@Robarthmapolu 8 месяцев назад
Kwa kwel umeokoka kikamilifu unakemea zambi nikifika da ntakutafuta mtumishi niwe pamoja na wewe popote uendako kaka yangu
@sharonsofia8802
@sharonsofia8802 Год назад
Unikumbuke nmm mungu. Nymbo damu akufungue nyinyi. Ubarikiwe zaidi
@jafeti-ut7gq
@jafeti-ut7gq Год назад
MUNGU WA ISAKA NIKMBUKE LEO HIINIMECHOKA KUSENGENYWA KUWASINDIKINZA WENZANGU NIOKOE NA MM NITETE NA MM MUNGU WANGU
@danielkitenge6290
@danielkitenge6290 2 года назад
Kweli mungu hakusahidiye sana mtumishi wa mungu kwa huyu mwimbo mzuri
@abbygaelsharon497
@abbygaelsharon497 Год назад
Hata na Mimi yesu niokoe,nitetee....powerful
@erickchaula1898
@erickchaula1898 Год назад
Mtumishi ubarikiwe..unatubariki na nyimbo zako....
@theresiaswila5638
@theresiaswila5638 Год назад
Kwahuduma Yako mungu akulinde na kukutunza maana umetuvusha wengi tumesimana kwa sababu ya huduma Yako
@SertberitiMsigai
@SertberitiMsigai 11 месяцев назад
Ujumbe mzito sana barakiwa sana mtumishi wa mungu karibu sana Ukerewe mtumishi ninaitaji nikuone hana kwa ana
@rsfdzxzx2274
@rsfdzxzx2274 Год назад
Amin IMANA untubabarire🇧🇮😭😭😭😭🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️🤲🤲😭
@killakadudu5589
@killakadudu5589 Год назад
Upo vema Mungu akulinde na akutetee. Endelea kutoa Siri zao. Unatuokoa wengi.
@killakadudu5589
@killakadudu5589 Год назад
Natamani upitie mashuleni uonbe vipindi uokoe watoto wetu Taifa la leo na la kesho.
@cardidoris8422
@cardidoris8422 Год назад
kweli ni wakati si si wachristo kumwita musadavwetu aji tétée panafasi na kwitelekeza katika kweli la neno lake
@CHRISPINLANGSON
@CHRISPINLANGSON Год назад
Ubalikiwe mtumishi kwa wimbo mzuri hakika umeniponya.
@titohaule4758
@titohaule4758 Год назад
Amina ubarikiwe sana sana hakika wewe ni mtumishi wa mungu na unajuwa kuchunga kondoo wako nanimkweli kwa kukemea manabii wa uongo ni mkweli mungu yupamojanawewe
Далее
WA ACHIENI WATU VIDEO OFFICIALY PASCHAL CASSIAN
11:53
Просмотров 374 тыс.
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Просмотров 32 млн
jina lako Paschal cassian VIDEO officialy musc
8:02
Просмотров 273 тыс.
UINULIWE /EV PASCHAL CASSIAN VIDEO OFFICIAL
6:52
Просмотров 104 тыс.
PASCHAL CASSIAN TURUDI VIDEO AFRCAN
5:21
Просмотров 2 млн
MAJARIBU PASCHAL CASSIAN VIDEO OFFICIALY
4:43
Просмотров 544 тыс.
Pascal Cassian Chuki Ya Nini Official Video
9:46
Просмотров 592 тыс.