Тёмный

Jinsi ya Kuandaa na Kuoka Nyama ya Kondoo | Sweet and Sour Roasted Lamb Ribs 

Cooking With Tina
Подписаться 89 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Katika video hii nimeonyesha jinsi ya kuandaa nyama kwa kuweka viungo ambayo zitaipa nyama yako ladha nzuri na kufanya nyama iwe laini. Hii ni nyama ya mbavu za kondoo ambayo ni meloweka katika mchanganyiko wa tomato sauce,soy sauce,sukari ya brown,maji ya limao chumvi,saumu na Dijon mastard. Nyama hii unaweza kuoka katika Oven , grill au hata jiko la mkaa. lamb ribs how to make cooking with tina tasty rack of lamb rosemary meat lamb recipes lamb chops

Развлечения

Опубликовано:

 

18 янв 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 11   
@halimahalum3008
@halimahalum3008 4 года назад
Masha Allha
@opportunities2767
@opportunities2767 2 года назад
Nyama ya kondoo napata wap hapa dar dada
@ramadhankimomwe3505
@ramadhankimomwe3505 6 лет назад
Waaaaaaaahhhh!! Nikijua pika ivyo nitaoa kweli! Hahah! Nahis make atakuja ongeza bajet tu kwenye mambo mazuri kama hayo!!
@mwanaidathuman4804
@mwanaidathuman4804 6 лет назад
nice
@lucaskitomari5273
@lucaskitomari5273 5 лет назад
njema sana
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 5 лет назад
lucas Kitomari 🙏
@ramadhankimomwe3505
@ramadhankimomwe3505 6 лет назад
Nice and delicious
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 6 лет назад
Ramadhan Kimomwe thanks 🙏
@itiqa_collections
@itiqa_collections 5 лет назад
Naomba maelekezo jinsi yakutumia oven pls
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 5 лет назад
Itika Bukuku Kwa nyama uliyokata vipande vipande unaweka oven yako 200 c au 230 C na ni kwa 30 hadi 45 Na kwanyama kubwa ambayo haija katwa vipande vipande set oven 120- 150 C utaoka nyama kwa masaa 2.
@janetalfred7716
@janetalfred7716 4 года назад
Mbn kama znaungua lkn
Далее
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Просмотров 5 млн
Roast Beef Over an Open Fire! - 18th Century Cooking
10:18
Nyama choma/jinsi yaku choma nyama ndani ya oven
10:29
Каха заблудился в горах
0:57
Просмотров 10 млн