Asante sana director timoth kwa darasa lako mimi ni actor lakin pia napenda na uandishi wa film hakika nimejifunza vitu vingi mpaka hapa nilipo fikia somo hili la tatu pia naombi kwako utusaidie nasisi waigizaji yaan uanzishe darasa litakalo wahusu waigizaji na sio producer, director au script writer
kazi nzuri kaka, nilkua naomba kujua kitu ktk uandishi wa script, kwa mfano tunavyoona kweny film scene moja inakatwa kabla haijaisha, then inakuja scene nyingn na baadae ile scene inarudi inaendelea, sasa katika kuandik script ile scene tunaikata au tunaiandika had mwisho wa scene then editor anakuja kuikata?
kaka mm Niko mwanafunzi wako Kabisa nafatilia mafundisho Yako mpaka Sasa nimetengeneza flamu kwa kutumia akili niliyo ipata kwako ila nilitaka unikosoe kama Kuna mapungufu
Lakin brother pamoja na yote umeni kujiona mshindi katika darasa lako ktu kikubwa ninacho taka kutoka kwako ni namba yako kunamambo flani ya faragha nahitaji nikushirike tuweze kutengeneza kitu plz brow.