Тёмный

JINSI YA KUANZISHA MAZUNGUMZO - JOEL NANAUKA 

Подписаться
Просмотров 43 тыс.
% 940

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Опубликовано:

 

1 сен 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 73   
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 года назад
Somo zuri sana kaka. Na huu ni wakati muafaka sana kwa wengi, kwani wengi ni wahanga wa eneo hili na ujuzi huo. Stay blessed.
@charityfarm1226
@charityfarm1226 2 года назад
Sanaa
@HalidimsalaTz
@HalidimsalaTz 2 месяца назад
Kaka Joel wewe ni nabii kabisa. Unatupa elimu bila mipaka.
@RamadhanMtaki-sw1gx
@RamadhanMtaki-sw1gx Год назад
Mkubwa umekuwa mwalimu mzuri Sana kwenye maisha yangu Yani mimi umri nilio nao ni miaka 21 Hila Kwa jinsi hunavo nifunza kupitia vipindi vako naimani nitafanikiwa nikiyafuatilia mafunzo yako na somo lako la Leo nikwamba nitatumia mbinu ya Tano kwangu ndio naona hitanifa; mwenyezi mungu hawe nawe mkubwa
@samofficial08
@samofficial08 2 года назад
Njia zote hakika Ni Bora,big up bro
@antelmbarack4071
@antelmbarack4071 2 года назад
Asante sana kaka Joel..Udhaifu wangu mmoja wapo, huwa nahisi kama nikijaribu kuanzisha mazungumzo na watu, ni kama vile wanakua bored, nawasumbua. Lakini leo nimejifunza.
@abdulcharles3430
@abdulcharles3430 2 года назад
Nakufuatilia kila siku na Najifunza mengi sana kupitia masomo yako mazuri bro mungu akubaliki sana
@ramonawatoto
@ramonawatoto 2 года назад
Ahsante sana Mwl kwa somo hili.. hakika hii itanisidia sana maana mie ni muhanga katika hili. Ila leo nmejifunza kikubwa sana hapa
@grolyqueen5833
@grolyqueen5833 2 года назад
Ahsante sana kaka joel
@mwajabuhoza9919
@mwajabuhoza9919 Год назад
Haya madini sana 🤩
@BukelebeTv
@BukelebeTv 4 месяца назад
Ahsante joel
@hassanihassani7154
@hassanihassani7154 2 года назад
Nili soma kitabuchako timza malengo zijuembinu za biashara money formula nihatary
@paschalmashaka8006
@paschalmashaka8006 2 года назад
Njia ya kuuliza iko vizur
@elikeysbenjamin7133
@elikeysbenjamin7133 7 месяцев назад
Somo zuri kaka ..... lakini sijaelewa vizuri sababu umetumia vingeleza vingi kaka ,
@richardvalson4313
@richardvalson4313 2 года назад
Somo zuri sana kaka @jJoelNanauka✊💯🙏
@rehemamalley9557
@rehemamalley9557 2 года назад
Nakufuatilia sn bro joel ..may our almighty God bless you moree coz unanifunza mengi sana
@joelnanauka
@joelnanauka 2 года назад
Ameen. Ahsante sana
@Danielmoyo556
@Danielmoyo556 2 года назад
Powerful message May the lord bless you bro.
@ufahamuzaidi2343
@ufahamuzaidi2343 2 года назад
Great ideas
@sleifikhajjir262
@sleifikhajjir262 2 года назад
U are master mind kaka
@nehemiakasomoka9469
@nehemiakasomoka9469 2 года назад
KWELI kabisa ,,,,,Brother mm Nahitaji vitabu
@LacksonTungaraza
@LacksonTungaraza 2 года назад
This is a masterpiece 🙏🙏🙏🧨
@hajiissani8201
@hajiissani8201 2 года назад
Mintatumia ya kusaidia na kuuliza imekaa poa sana
@elimikatv
@elimikatv 2 года назад
Real coach Marifa mazuri sana
@alphoncinatheodory9290
@alphoncinatheodory9290 2 года назад
Asante sana naendelea kujifunza 1.OFFERHELP 2:Talk about location vimenisaidia kumarket biashara yangu🙏
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 2 года назад
Ipo sawa
@mosesmwakabonga2248
@mosesmwakabonga2248 2 года назад
Personally, nmezipenda njia zotee✌️
@eddowalker7511
@eddowalker7511 2 года назад
Nakuelewaga sana njia no 2
@alexmushi6017
@alexmushi6017 2 года назад
Shukran sana boss. Ume nifungua kitu 🙏
@kissakapesa5977
@kissakapesa5977 2 года назад
Somo zuri sana kaka Joel asante
@mshamba5174
@mshamba5174 Год назад
This is true 😮
@protasd.massawe8013
@protasd.massawe8013 2 года назад
Asante kwa somo. Mwalimu!
@adamjumaah2679
@adamjumaah2679 2 года назад
You are the best brother
@timothykengere2535
@timothykengere2535 2 года назад
Shukran 📚📚🎙️
@fasahaproductstv638
@fasahaproductstv638 2 года назад
Zote ningpend ku2mia itatgmea ipi ni rahc kw wkt huo(Ahsante san)
@markkenneth3937
@markkenneth3937 2 года назад
A Asante sana bro Joel mungu akubariki
@illuminatajulius6361
@illuminatajulius6361 2 года назад
Thanks bro,, it's a good idea
@iizalaw6674
@iizalaw6674 2 года назад
Thanks so much bro ..umenipa mwanga
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 года назад
Nakuelewa sana
@HELLENLAPUKENI
@HELLENLAPUKENI 8 месяцев назад
I like❤
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 года назад
Amazing my brother Joel 💕
@adamsanga062
@adamsanga062 2 года назад
Asante sana nimekuelewa
@muhidinmangu3456
@muhidinmangu3456 2 года назад
Talk about location when I meet with unknown people for the first time.
@pauljunior5141
@pauljunior5141 2 года назад
Good
@mwanatz5980
@mwanatz5980 2 года назад
Asante.
@ShonyangaAbdoulrashid
@ShonyangaAbdoulrashid 6 месяцев назад
Na'am nimekupata
@silasdavid5017
@silasdavid5017 2 года назад
Kaka ubarikiwe Sana Mana kila ukizungumza naingiwa na roho ya kuamini kutimiza kile ninachokipambania
@martineopapa7383
@martineopapa7383 2 года назад
My problem is how to start conversation in public
@Mo_classic_Bland
@Mo_classic_Bland 2 года назад
Nice
@francismkufya8183
@francismkufya8183 2 года назад
So nice brother!
@yerikombilinyi8947
@yerikombilinyi8947 2 года назад
It sounds we'll indeed
@deodathmushi
@deodathmushi Год назад
Hiy ask for help nimeijarib yan mapema sana tukawa marafiki broo
@emanuelchanya5182
@emanuelchanya5182 2 года назад
SALUTE COACH JOEL
@omari_ngahoma
@omari_ngahoma 2 года назад
Hii ya tano ni moto bro 🤭😁
@angelgervas5493
@angelgervas5493 2 года назад
Good good
@Mlevimedia
@Mlevimedia 2 года назад
Saf sana
@abdulrazack9577
@abdulrazack9577 2 года назад
Mwalimu
@omarjuma1794
@omarjuma1794 2 года назад
#JoelNanauka Jenius by Discovery
@alexmushi6017
@alexmushi6017 2 года назад
My self i recommend ask for opinion
@peterkajee9489
@peterkajee9489 2 года назад
Wengine wana stress hata ukianzisha mazungumzo yeye haonyeshi respond
@hassanihassani7154
@hassanihassani7154 2 года назад
Kaka joer ww nipropheshional atary
@fundivigaetzchannel1899
@fundivigaetzchannel1899 Год назад
🤝
@jimmyjoseph6695
@jimmyjoseph6695 2 года назад
Nimekuelewa kaka🤣🤣🤣
@rabielfadhili994
@rabielfadhili994 2 года назад
i recommend ask for opinion.
@jimmyjoseph6695
@jimmyjoseph6695 2 года назад
Hapo nahisi ulicheka saanaaa🤣🤣🤣
@jimmyjoseph6695
@jimmyjoseph6695 2 года назад
Namna ya kutongoza🤣🤣🤣🤣🤣
@abdulazizothman3918
@abdulazizothman3918 2 года назад
Hahahah kwahakikaa
@antelmbarack4071
@antelmbarack4071 2 года назад
Asante sana kaka Joel..Udhaifu wangu mmoja wapo, huwa nahisi kama nikijaribu kuanzisha mazungumzo na watu, ni kama vile wanakua bored, nawasumbua. Lakini leo nimejifunza.
@deodathmushi
@deodathmushi Год назад
Hiy ask for help nimeijarib yan mapema sana tukawa marafiki broo
@ahmadikhalidi5195
@ahmadikhalidi5195 2 года назад
Good
@rojasonrazalo5185
@rojasonrazalo5185 2 года назад
Umekuwa mwalimu wa wengi kupitia somo hili