CHUO CHA UREMBO NA USUSI BADO TUNAPOKEA WANAFUNZI WAPYA Chuo kimesajiliwa TUNATOA MAFUNZO YA KUSUKA NYWELE AINA ZOTE NA KUPAMBA MAHARUSI (MAMBO YA SALON KWA UJUMLA) BADO TUNAPOKEA WANAFUNZ WAPYA LIPIA MAPEMA KUWAHI NAFASI Gharama ya Fomu ya kujiunga ni (10,000) 📞0657292650 TUPO DAR TEGETA AZANIA TUNATOA MAFUNZO YAFUATAYO👇👇 1.kusuka nywele aina zote na Kupamba maharusi ,kufunga malemba (mambo ya salon kwa ujumla kuosha,kuseti n.k) Ada: 300,000 Muda: miezi mitatu 2.FULL COURSE (HAIRSDRESSING,BEAUTY THERAPY,FACIAL,WAXING,PEDICURE, MANICURE,KUFUNGA MALEMBA,) Ada: 600,000 ( mwanafunzi atapata cheti) Muda: Miezi mitatu Field :Mwezi mmoja Pia UNAWEZA SOMA KUPITIA RU-vid JINA FARIDA OTHMAN GUSA LINK KUANGALIA MAFUNZO YETU 👇👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-9I5sTZK0Pvw.html ✍️ TUNASUKA NYWELE AINA ZOTE NOTE :HOSTEL ZIPO Ada :100,000 Muda: Mwezi mmoja Utapata maji,godoro, umeme,kitanda ila chakula unanunua canteen MAHITAJ YA MWANACHUO 1. Makeup seti 100,000( Itamsaidia Mwanafunzi kufanya mazoezi hata akiwa nyumbani) 2.Tshet 15,000 3.Shuka,neti na ndoo (kwa wale wa boarding) 4.Rasta za mazoezi,seti ya vitana, chanuo,Taulo,Apron 5.Uniform ni dark blue (sketi au surual) shati n dark blue
Nazid kujifunza dada though sipo darasani mwako najifunzia humu buree lkn naomba nikwambie kitu hiki mwenyezi mungu akazid kuibariki kazi ya mikono yako na akakupatie wateja Toka pande zote za dunia hakika umekua sio mchoyo wa elimu hii ya urembo am really happy for you sis and be blessed always🙏
Hongera sana farida mungu akuzidishie upendo kila atua unayofanya nipo sambamba nawewe my nimwanafunzi wako pia hila bado natakiwa kuja uko uko ulipo nijifunze zaidi my nafurahia uwepo wako
Dada mwenyezi mungu akubariki san me najifunza san kutoka kwako hivi mungu akijalia afya njema nataka nifungue saloon kutokana na mafunzo yako mungu aibariki kazi ya mikono yako naomba uniandikie vifaa vyote vya simple make up dada ang🙏🙏🙏🙏🧎🧎🧎🧎
God bless you sister umenifunza mengi juu ya urembo nilikua sijui kusuka ata minyoosho lakini kupitia mafundisho yako online hunambii kitu kuhusu kusuka nikashindwa
Mungu akubariki dear...mimi sijui hata kuchora wanja😭 naomba unisaidie ni foundation gani naweza tumia niko mbali nataka kununua nianze kujifunza kufuatisha video zako pls