Тёмный

JINSI ya KUFANYA MANIFESTATION na KUPATA UTAJIRI Duniani 

NGUVU ZA UNIVERSE
Подписаться 149 тыс.
Просмотров 42 тыс.
50% 1

#manifestation #utajiri #nguvuzauniverse Kupitia manifestation unaweza kupata chochote unachokitaka hapa duniani na pia unaweza kubadilisha hali yako,kutoka kuwa maskini mpaka kuwa tajiri. Hii Inawezekana vipi? tazama video hii mpaka mwisho Utajifunza mengi zaidi kuhusiana na manifestation .
manifestation
udhihirisho
utajiri
Akili
mafanikio
This is original content created by the owner of this channel ‪@NGUVUZAUNIVERSE‬

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 656   
@HadijaKidunda
@HadijaKidunda 7 месяцев назад
I love ❤❤ you so much mdada kwa mafundisho yako mazuri Mungu akubariki sana na uishi miaka100 Amina
@NGUVUZAUNIVERSE
@NGUVUZAUNIVERSE 7 месяцев назад
Woooooh Amina! sanaaaa ,,,am so happy for you 🙏😊❤️
@TamimaMamachibonge
@TamimaMamachibonge 7 месяцев назад
Naomba namba zako tafadhali
@EllyShao
@EllyShao 7 месяцев назад
🍀🍀 haya maua yanapatikana wapi?
@Muhimuzi-yv1ww
@Muhimuzi-yv1ww 6 месяцев назад
Nimitz Namìñjñèñoile
@wizzmoh
@wizzmoh 6 месяцев назад
Mm ni tajiri namiliki mali nyingi sana nanitafanya makubwa mengi sana
@isdolypaulo8822
@isdolypaulo8822 7 месяцев назад
mim ni mkubwa napokea nguvu za universe asante madam ubalikiwe sana ushanitoa kwenye umaskini ❤❤ i love madam
@evalynependo3824
@evalynependo3824 7 месяцев назад
Mm ni mtajari sana katika dunia hii kwa sababu naamini mawazo makubwa niliyonayo yatatimia kwa jina la yesu kristo amen and Amen 🙏🏻🙌👏🏿❤
@ASHMfootball
@ASHMfootball 7 месяцев назад
Asante sana sister umenipata njia ya kuwa tajiri mkubwa sana hapa duniani
@YamikaniWasopano
@YamikaniWasopano 4 месяца назад
Ahsante sana kwa fundisho nzuri kama hili natarajia tena wakati mwingine. Sasa nna imani mi ni tajiri mkubwa sana
@salmawintrader5142
@salmawintrader5142 7 месяцев назад
Kupitia hii video nimefanikiwa nimefunguliwa na nimetajirika In Sha Allah Asante nguvu za ulimwengu
@NGUVUZAUNIVERSE
@NGUVUZAUNIVERSE 7 месяцев назад
🤝❤️Hakika
@jejeafrican1904
@jejeafrican1904 7 месяцев назад
GOD BLESS YOU KWAMAFUNDISHO MAZURI SANA. UNAFUNDISHA UHALISIA ULIOPO KWENYE MAISHA NIKWELI KABISA MAFANIKIO HAYAJI KWAKUWA UNAJITESA SANA BALI KWA IMANI YAKO.. ATAKAEKUELEWA VIZURI TAYARI AMEFANIKIWA
@HabibaAbduli
@HabibaAbduli 7 месяцев назад
wewe dada mwenyezi mungu alikuleta kwamakusudi utusaidie sisi tulie gizani mungu akuweke miaka mingi sana. mafuzo yako yamenipisha ambako sikuamini nikajiuliza. ivi imekuaje Hadi nimefika hapa. ambako nilikua nikiamini. kua tayali nimepata. , ndani ya mwaka Jana Leo nimekipata bila kutalajia mafuzo yako Asante sana. umeniokoa dada sana tu
@NGUVUZAUNIVERSE
@NGUVUZAUNIVERSE 7 месяцев назад
Karibu sana mpendwa 🤝❤️
@HabibaAbduli
@HabibaAbduli 7 месяцев назад
asante mungu akutunze miaka mingi
@AgnessLwena
@AgnessLwena 7 месяцев назад
Napokea nguvu kubwa ya mafanikio ameni
@Isaiah-b2s
@Isaiah-b2s 7 месяцев назад
Natamani sana kufanikiwa kwa nguvu ya ulimwengu
@NGUVUZAUNIVERSE
@NGUVUZAUNIVERSE 7 месяцев назад
Utafanikiwa,amini hivyo 🤝❤️
@sarahfeni1866
@sarahfeni1866 7 месяцев назад
Dada kwa kweli sijuwi nisemeaje kwa kuwa nashukulu kwa kujuwa iyi Chanel yako. Nazidi kujifunza mengi gupitiya mafundisho yako. Ubalikiwe sana dada 🙏🙏🙏🙏🙏
@NGUVUZAUNIVERSE
@NGUVUZAUNIVERSE 7 месяцев назад
🤝❤️
@BaptistaAndré-f4m
@BaptistaAndré-f4m 6 месяцев назад
Mimi ni tajiri sana apa dunian🎉i mimi nina pesa nyingi zaidi apa duniani mimi nina uwezo wa kumiliki gari nzuri sana apa duniani kwa nguvu za universe
@erickmachalo-ol6mg
@erickmachalo-ol6mg 4 месяца назад
Sister I salute you, namshukuru mungu kwa kunifanye nikufahamu, taangu nianze kufatilia mafundisho cjawaikujutia ,kwakwel naenjoy maisha ,nafanikiwa kila kukicha
@NGUVUZAUNIVERSE
@NGUVUZAUNIVERSE 4 месяца назад
Wow! hongera sana mpendwa 🤗❤️
@AdamMaasa
@AdamMaasa 6 месяцев назад
Ahsante ubarikiwa mafanikio yamenifata kilamahali
@stellahmnema9279
@stellahmnema9279 7 месяцев назад
Mm nimshindi katika Kila Jambo kwa Jina la YESU🙏
@YassinSablak
@YassinSablak 7 месяцев назад
Mm ninanguvu sana nafanya kazi nzuri mm sio mvivu mm sio mgojwa naamini nguvu ya umwengu
@calistercamilus2223
@calistercamilus2223 7 месяцев назад
Amen. Mimi ni tajìri. Nina fedha,, nyumba na gari la kifahr.kwaji. KWA JINA LA YESU.
@GodfreyMukhwana
@GodfreyMukhwana 4 месяца назад
Napenda lessons zako Dada, you're a great teacher, tutor, and mentor. With excellent elaborative and eloquent skills. I love Nguvu za Universe Channel💌
@Asiyedjali
@Asiyedjali 7 месяцев назад
Mm tajiri mukubwa sana ulimwenguni huu
@husnahassan3344
@husnahassan3344 7 месяцев назад
Mimi ni mshindi na nina thamani kubwa sana hapa duniani
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 6 месяцев назад
Mungu Akubariki sana sana my sister
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq Месяц назад
Shukran sana mawazo mazuri nitayafanyia kazi ishaallah. M.mungu atupe mafanikio mema na atupe neema.
@damouramerica5973
@damouramerica5973 7 месяцев назад
thank you so much, hakika nimejifunza mengi kutoka kwako bila shaka atanisaidia kufika mbali katika safri hii ya maisha. asante san
@graciousmgimba492
@graciousmgimba492 Месяц назад
Nashukuru sana Mungu muumbaji wa vyote ni aamini ktk nguvu za ulimwengu
@yyaterayasin2759
@yyaterayasin2759 7 месяцев назад
Asantee nguvu za ulimwengu, kwa kweli nuru naona. Umenifunulia ufahamu wangu wa akili na nafsi. Ninauona njia.
@kaayajoel2382
@kaayajoel2382 7 месяцев назад
Mimi ni tajiri mkubwa sana apa duniani Mimi siyo masiki nitajenga majumba ya kifahari nitanunua magari ya kifahari nakumili mashamba MAKUBWA sana Mimi na watoto wangu wote na wajukuu wangu wote kupitia nguvu za asili nguvu za ULIMWENGUU AMEN
@NGUVUZAUNIVERSE
@NGUVUZAUNIVERSE 7 месяцев назад
🤝❤️
@YassinSablak
@YassinSablak 7 месяцев назад
Mimi ni tajir ninamagar naninanyumb nzur mm sio maskin mm ninapesa naamini nguvu ya ulimwengu kunitendea
@Reema12-v5j
@Reema12-v5j 7 месяцев назад
Mimi nitajiri kabisa nanina pesa nyingi sana
@tabithamashauri4281
@tabithamashauri4281 7 месяцев назад
Mimi Ni tajiri mkubwa Sana apa duniani Mimi siyo masikini nitajenga majumba makubwa na magari ya kifahari na mkulima na mfugaji mkubwa sana na familiya yangu kwa Nguvu za ulimwengu amuna
@damianmwandiku4298
@damianmwandiku4298 7 месяцев назад
Mimi ni tajiri mkubwa sana ulimwenguni katika jina la Yesu.
@faridamohamed2970
@faridamohamed2970 7 месяцев назад
Mimi ni Tajiri na ninapokea yaliyo mazuri katika ulimwengu,❤🙏
@SuleimanSalim-v9f
@SuleimanSalim-v9f 7 месяцев назад
Yes Mimi tokaleo Mimi nitajiri mkubwa hapa ulimwenguni Amin
@JoshuaCheruiyot-uk7yh
@JoshuaCheruiyot-uk7yh 4 месяца назад
Nashukuru Sana Kwa mafundisho haya. Naamini Sana kuwa Mimi ni tajiri mkubwa duniani. Barikiwa Kwa kazi nzuri unalolifanya. Nakupenda ❤️
@sulemanimohamed4176
@sulemanimohamed4176 6 месяцев назад
Happy life with my past, present and my future relatives, seeing Afrika bcm superpower
@ISSAYAWALONDE
@ISSAYAWALONDE 7 месяцев назад
Napokea utajili
@SalimuSanga-xh1yd
@SalimuSanga-xh1yd 7 месяцев назад
Mimi ni mkombozi wa famila ee mungu nisaidie na nguvu za universe
@NGUVUZAUNIVERSE
@NGUVUZAUNIVERSE 7 месяцев назад
🤝❤️
@RechoReuben
@RechoReuben 11 дней назад
Mi ni tajiri na huwa nahic ivo mara nyingi kwa nguvu ya mungu nitavuka..amen
@TRESORILUNGA-tf1ck
@TRESORILUNGA-tf1ck 7 месяцев назад
Merci nikweli maman
@GraceKileo-of4ss
@GraceKileo-of4ss 7 месяцев назад
Mimi nitaji mkubwa duniani nitajenga nyumba ya gorifa nitamiliki mashamba makubwa nitakuwa mfugsji mkubwa ninabi az shara kubwa Asante nguvuza ulimwengu na ya uhumbaj8 ninamilikigari lakifahari
@NGUVUZAUNIVERSE
@NGUVUZAUNIVERSE 7 месяцев назад
🤝❤️
@emmachiuskarumuna8849
@emmachiuskarumuna8849 7 месяцев назад
Mimi ni tajiri, ni mshindi, asante sana Dada kwa elimu ya metaphysics
@EliphazNimbona-jx3nr
@EliphazNimbona-jx3nr 2 месяца назад
Ni kweli nimeamini hakuna kisicho wezekana hapa Dunia ni Mimi naelekea kuwa Mmiriki wa Pesa nyingi na Majengo mengi sana Amin
@KundaeliJacobo
@KundaeliJacobo 7 месяцев назад
Mimi namini kupokea katika Nguvu za universe,,, pesa,,,yumba,,, ngari,,, maisha mazuri
@BonifasNikodem
@BonifasNikodem 5 месяцев назад
Ahsante sanaa kwa ushauri mzuri nikuelewa tena kwamakini
@rumongehmasongo8333
@rumongehmasongo8333 7 месяцев назад
Mimi ninajiamini kipesa mafanikio yangu yapo yanakuja na ustawi wangu haunakikomo.maana nguvu za ulimwengu ulioko ktk pembe kuu nne zadunia zipondani yangu Amina
@annaepmack7270
@annaepmack7270 7 месяцев назад
Mimi nitajiri mkubwa sanaa hapa Duniani nanitamiliki manyumba magari na hella nyingi sana hapa duniani nanina Amin kupitia nguvu za ulimwengu 🙏🙏
@JohnSeruzamba
@JohnSeruzamba Месяц назад
Dada sasate Kwamafunzo yako 'Mungu akubariki sanaa
@rebeccazachariah142
@rebeccazachariah142 7 месяцев назад
Mm ni tajiri sana na Nina gari nzuri Nina pesa nyingi Nina nyumba nzuri nimebadilisha familia yangu napendwa sana na bahati mose fungasha
@fadhilieshaismail9923
@fadhilieshaismail9923 7 месяцев назад
Naamini katika nguvu Za kilimwengu mmi sahii nitajiri mkubwa sana katika huu ulimwengu mungu wangu nijaalie in shaa Allah
@FeristaKoku-it9nx
@FeristaKoku-it9nx 7 месяцев назад
Mimi ni tajiri sio masikini nitamiliki majumba makubwa na magari ya kifahari
@henrynjoroge1318
@henrynjoroge1318 7 месяцев назад
Mimi ni tajiri mkubwa na mwenye kufanikiwa zaidi maishani mwangu mwote. Imani yangu iko kwa mwenyezi Mungu. Amina, Amina, naAmina.
@DieumerciNzanzu
@DieumerciNzanzu 4 месяца назад
Hakika nina shukuru sana Dada yangu. Hapo nimeamini kwamba mimi ni tanjiri mukubwa sana hapa ulimwenguni pote.
@LizFungo
@LizFungo 7 месяцев назад
Mimi ni mtu mkubwa sana hapa dunia. Asante Nguvu za Universe kwa kunifunza
@FabianAmos-kr4yp
@FabianAmos-kr4yp 7 месяцев назад
Ninae kiu sana ya kubadirisha maisha yangu Mimi ni Mmoja Dunia nzima na wakipekee sana ntafanikiwa maishani na ntakua na Familia Bora yenye Imani thabit Mungu niongoze naamin ntashinda katika jina la YESU Amen
@JuliusJackson-ip5vd
@JuliusJackson-ip5vd 4 месяца назад
Asante sana kwa kunipa somo hili hakika sasa mm nitajiri na nitafanikiwa
@UpendoMchaki
@UpendoMchaki 7 месяцев назад
Mm ni tajiri mkubwa zaidi duniani mm nitamiliki nyumba na gari la dhamani pia nitakuwa na saloon yangu kubwa na nitaajiri na wengine pia nitaibadilisha familia yangu Amen.
@silvertz-ws7mm
@silvertz-ws7mm 5 месяцев назад
May God give you enough years to continue to learn and be winners every day
@rehemaamani289
@rehemaamani289 7 месяцев назад
Mimi nitajiri mkubwa tayari katika jina la yesu
@FAUSTUSFAUSTINE-m3y
@FAUSTUSFAUSTINE-m3y 7 месяцев назад
Mimi nitakuwa tajiri haijawahi tokea kwenye ukoo wetu, na nitawasaidia ndugu zangu watakao itaji msaada kwangu. 🙏Amina 🙏.
@emmabanda6175
@emmabanda6175 7 месяцев назад
Mimi ni mtu tajiri mkubwa sana hapa Duniani katika jina la yesu christo
@restcyprian1598
@restcyprian1598 7 месяцев назад
Mimi ni tajiri mkubwa sana.
@abukauthar8923
@abukauthar8923 Месяц назад
Nina Mafanikio! Nimefanikiwa.
@JosephKasambasha-i3g
@JosephKasambasha-i3g 7 месяцев назад
Nitamiliki mali na nyingi Sana, nitasaidia wahitaji ktk utajiri wangu.majumba, magari, ardhi ,na mifugo vitakuwa ni sehemu ya utajiri wangu,.Maarifa ya Dunia na Nguvu ya ulimwengu,vitanisaidia.
@AminaNdayizeye
@AminaNdayizeye 4 месяца назад
Ubarikiwe dadaangu mzuri mzuri Allah akupe maisha marefu sana pia ubarikiwe mafunzo yako moja kwa moja yananiaminisha kwamba mimi sio mtu rahisi nimebeba nguvu nyingi tena kubwa hapa duniani inshaallah mimi nitajiri mkubwa ❤❤❤
@NGUVUZAUNIVERSE
@NGUVUZAUNIVERSE 4 месяца назад
Amina 🙏❤️
@MulindwaAmil-rk1wp
@MulindwaAmil-rk1wp 6 месяцев назад
Niko tayari Namushukuru Mungu
@ppemperweringpeople7183
@ppemperweringpeople7183 3 месяца назад
Lo! Dada Somo Zuri Sana. Endelea Vivyo Hivyo Coz Ushauri Wako Hapa Umewabadilisha Wengi
@KibibiKengia-ef8kz
@KibibiKengia-ef8kz 7 месяцев назад
Mimi ni tajiri na kiongozi nitakaertambulika duniani
@DorcaKoy
@DorcaKoy 7 месяцев назад
mimi ni tajiri mkubwa sana
@winnersgeneralsupplies639
@winnersgeneralsupplies639 7 месяцев назад
Unayofundisha ni kweli tupu Barikiwa kwa utajiri wa roho safi na tajiri
@NGUVUZAUNIVERSE
@NGUVUZAUNIVERSE 7 месяцев назад
Amen 🙏❤️
@elinasima106
@elinasima106 21 день назад
Mim ni wa thamani sana. Mwenye Furaha na afya njema . Mm nitajiri mkubwa sana, Namiliki kila kitu..... Na nina mafanikio ya ajabuuuuuu
@zainabnamangaya
@zainabnamangaya Месяц назад
Mm ni tajir mkubw ktk jina la yesu ameen
@hashilsuleiman746
@hashilsuleiman746 7 месяцев назад
Mimi ni mtu mkubwa duniani mimi ninamiliki pesa nyingi mimi nimshindi katika maisha yangu mimi ninapesa nyingi
@AngelPima-h6q
@AngelPima-h6q 20 дней назад
Kwa nguvu za ulimwengu mimi ni tajiri mkubwa sana
@KambaleKambale-n2s
@KambaleKambale-n2s 5 месяцев назад
Mama mina shukuru kwa iyii maoyoo Na mafundisho kwangu
@ammakhan2239
@ammakhan2239 7 месяцев назад
Nastahili Mafanikio makubwa katika maisha yangu, Nastahili wingi wa pesa katika maisha yangu, Nastahili Faida kubwa katika biashara zangu, Nastahili Furaha Amani Upendo na utulivu katika Maisha mimi na familia yangu, Mimi Ni Tajiri, Mimi ni mshindi Katika kila kitu lolote ninalolifanya linaniletea mafanikio makubwa sana.. Pesa zinanifuata popote nitakapo kwendaa.. Kwa uwezo wa mmungu na kwa uwezo wa nguvu za Ulimwengu Asante sana dada yangu mungu akubaliki sana sana❤❤❤
@NGUVUZAUNIVERSE
@NGUVUZAUNIVERSE 7 месяцев назад
🙏❤️Amen
@HabibaAbduli
@HabibaAbduli 7 месяцев назад
Mimi nitajili ninanyumba zuri sana ninapesa nyingi sana ninagari zuri sana mimi nimtu mkubwa sana hapa duniani
@SafinaKarani
@SafinaKarani 5 месяцев назад
Dada Mungu akupe maisha marefu mnooo, waliowengi sahivi ndio tunajielewa sisi niakina nani tunatakiwa tufanye nini
@eliahsikira976
@eliahsikira976 4 месяца назад
Am a billionaire, nia ninayo uwezo ninao na uthubutu ninao💪
@SwaleheChege-ss5lc
@SwaleheChege-ss5lc 7 месяцев назад
Mimi nataka niwe na utajiri nijenge nyumba nzuri na Nishi na watu vizuri na pia ni saidie wale hawana uwezo inshaah inawezekana kwa nguvu za ulimwengu
@ZabibuDjuma
@ZabibuDjuma 7 месяцев назад
Mimi nimushindikabisa👍
@rithathomas9650
@rithathomas9650 7 месяцев назад
Mimi nitamiliki kila aina ya maisha mazuri na ya furaha na familia boraa kabisa
@EsterMwamwifu
@EsterMwamwifu 7 месяцев назад
Mimi ninakushukuru sana umenito kwenye kiza,kwa sasa nina Nuru.ubarikiwe sanaa
@syliviakagorora9685
@syliviakagorora9685 7 месяцев назад
Mimi ni tajili mkubwa hapa Duniani nitamiliki majumba na magari na pesa nyingi sana. Amen 🙏 🙏 🙏
@JoyceDeogratiusyunge
@JoyceDeogratiusyunge 7 месяцев назад
Mimi ni tajiri mkubwa sanaa hapa duniani, na Nyumba nzurii, na pesa nyingi,na gari Nina amani tele katika familia yangu
@HappyKadege-n7g
@HappyKadege-n7g 7 месяцев назад
Ahsante dada
@NGUVUZAUNIVERSE
@NGUVUZAUNIVERSE 7 месяцев назад
🤝❤️
@dicksonjustinian6428
@dicksonjustinian6428 6 месяцев назад
Asante dada haya maneno aliongea mtu Mmoja ANAITWA sadhuguru Asante umetuletea kwa lugha ya kiswahili ubarikiwe
@NGUVUZAUNIVERSE
@NGUVUZAUNIVERSE 5 месяцев назад
🤝❤️ Karibu sana
@abdallahjuma1213
@abdallahjuma1213 5 месяцев назад
Mimi ni tajiri mkubwa sana hapa Tanzania,nitakuwa mfanya biashara mkubwa mimi nina pesa nyingi nafanya biashara kubwa,
@MwajumaMbwela
@MwajumaMbwela Месяц назад
Nakupenda mno Mungu akuinue sana
@Asiyedjali
@Asiyedjali 6 месяцев назад
Asante sana kweli dd kutuelimisha sana mimi tadjiri mkubwa zaidi hapa duniani kweli🎉🎉
@JosephKasambasha-i3g
@JosephKasambasha-i3g 7 месяцев назад
Mm ni tajiri mkubwa Sana hapa duniani, na nitapata utajiri kwa nguvu ya ulimwengu.Na amini hivyo, ndani ya siku chache nitatoka ktk ufukara na umasikini.Maarifa ya Dunia,Nguvu ya Ulimwengu, Utanisaidia.
@invokavitylema5237
@invokavitylema5237 7 месяцев назад
Mawazo yangu yanatimizika kwa asilimia 100%kwa maendeleo kiuchumi
@DacastusChiza-du4ju
@DacastusChiza-du4ju 4 месяца назад
Mm ndani mwangu mna uweza wa Mungu hivyo mm niliumbwa ili kufanikiwa tu katika yote niwazayo na kuyatenda. Amina
@missiontown001
@missiontown001 7 месяцев назад
Mimi ni mtu niliefanikiwa kila pakubwa sana kwenye kila nyanja ndani ya hii dunia Kupigitia nguvu za Allah na Ulimwengu wake
@kekuemafole
@kekuemafole 3 месяца назад
Amina. Katika jina la Yesu hakuna kinachoshindikana.
@jacklinemajenge7579
@jacklinemajenge7579 7 месяцев назад
Mimi ni mwenye kufanikiwa, na nitafika mbali sana
@sarasteven4070
@sarasteven4070 7 месяцев назад
Mimi ni mtumishi wa MUNGU MKUBWA SANA HAPA DUNIANI NA NI BILIONEA.
@geraldanthonchuwa3068
@geraldanthonchuwa3068 7 месяцев назад
Nguvu za ulimwengu na uumbaji zinanipa kila ninachohitaji
@KibibiKengia-ef8kz
@KibibiKengia-ef8kz 7 месяцев назад
mimi ni tajiri.pia ni kiongozi
@furahagiselle1235
@furahagiselle1235 3 месяца назад
Nami nitanjili duniani pote naniamini kwanguvu za Universe 🙏
@lilianjoseh
@lilianjoseh 7 месяцев назад
Mimi nitajiri Mimi nitamiliki Mashamba kubwa na nijenge ishallah.
@veronicamsingwa9845
@veronicamsingwa9845 7 месяцев назад
Mimi ni tajiri mkubwa sana na ninataka kujenga nyumba nzuri sana
@IsmailKalunch-qv7yh
@IsmailKalunch-qv7yh 7 месяцев назад
Mwenyezi Mungu akuwezeshe
@tanoamani2205
@tanoamani2205 3 месяца назад
Mimi ni Tajiri sana aiseee!!! Nguvu za Universe zimenifanya kuwa Tajiri, najivunia sana utajiri wangu!
@PriscaPrisca-ez1of
@PriscaPrisca-ez1of 4 месяца назад
Mimi ni tajili mukubwa duniani namiliki mabilioni ya hela sh asante dada kwa kunielimisha❤
@richardalfred8383
@richardalfred8383 7 месяцев назад
MIMI NI TAJIRI MKUBWA SANAAA SAANAAAH NINA MALI NYINGI NINAMILIKI PESSA NYINGI NA NYUMBA NYINGI NINAAMINI KATIKA NGUVU ZA UUMBAJI🙏🙏🙏
@kezalatif6438
@kezalatif6438 6 месяцев назад
Namirki pesa nyingi sana kupokea pesa kirasiku
Далее
SIRI ZA KUPATA UTAJIRI WA MALI
50:23
Просмотров 3,3 тыс.
ISHARA 5 KWAMBA MUNGU ANAONGEA NA WEWE
9:05
Просмотров 79 тыс.
FANYA HIVI ATAKUPENDA KILA SIKU | HATA KAMA YUPO MBALI
16:54