Тёмный

Jinsi ya kufanya Mastering ya beat ndani ya FL Studio 

Richstar
Подписаться 50 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Video hii inaonesha ni Jinsi ya kufanya Mastering ya beat ndani ya FL Studio. Na katika video hii tutatumia FL studio 20 pamoja na plugin ya WAVE BUNDLE ila una weza tunia plugin yoyote ile inayofanana na hiii
Usisahau kuni follow
/ richstartz
/ ricmagu
/ richstatz

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 20   
@japhetkagoma9428
@japhetkagoma9428 2 года назад
Asantee Sanaa mkuu,, Nmejifunza kitu,, Kingne nachotaman kujua ni kufanya kick iwe nzito na iliyojaa
@siwiticlaud4886
@siwiticlaud4886 4 года назад
Nimeipenda sana mkuu hii, itanisaidia sana. Unnichoke nitakapokuuliza.
@lightcelebrationgroup
@lightcelebrationgroup 5 лет назад
Asante sana kaka, kwa mafundisho yako kwa kweli tunafaidika.
@producermark2274
@producermark2274 5 лет назад
gooood
@worldsuccesstz5569
@worldsuccesstz5569 6 лет назад
Mwalimu wangu Nakuaminia Sana kwa somo lako hakika wewe ni Nomaaaa
@lamdalily1753
@lamdalily1753 6 лет назад
Kaka unatupenda Sana watu wa FL thanks
@millardtv7692
@millardtv7692 2 года назад
Sizani kama utaona kwa uo mwendo man
@producermark2274
@producermark2274 5 лет назад
mungu azidi kukupa maarifa zaidi uli nasisi tupate kuelewa kupitia kwako asante
@RobbytheTrainer
@RobbytheTrainer 4 года назад
Richstar napataje sample za raggae
@zenboy205
@zenboy205 6 лет назад
Good bro
@nadysteve5740
@nadysteve5740 6 лет назад
kitanzuri sana bro rich endelea kutujuza kwa mengi
@nadysteve5740
@nadysteve5740 6 лет назад
bro rich naweza pata pakeji ya fl A-Z
@nadysteve5740
@nadysteve5740 6 лет назад
poa bro
@hfv1907
@hfv1907 4 года назад
Mwalimu kweli unatuongoza vizuri lakini sasaniulize kwanini nafanya muzik yangu kwenye cubase5 badae inaji transpose yenyewe alafu sauti zinabaki kando?
@hfv1907
@hfv1907 4 года назад
Asante sana Mwalimu ubarikiwe!!
@wiznicemsafi9773
@wiznicemsafi9773 6 лет назад
Sauti ndogoo sana
@EREVUKATV
@EREVUKATV 4 года назад
How to avoid sound clipping
@siwiticlaud4886
@siwiticlaud4886 4 года назад
Naweza kuzipataje hizo plugins??
@ivanfather6793
@ivanfather6793 5 лет назад
Umesema iyo coz yako inapitakan vp bro???
@ivanfather6793
@ivanfather6793 5 лет назад
Pp ntakuchekii bro
Далее
Jinsi ya Ku mix KICK na BASS katika FL Studio
12:28
Просмотров 4,6 тыс.
БЕЛКА РОЖАЕТ? #cat
00:26
Просмотров 571 тыс.
Jinsi ya kutengeneza Baibuda Types Beats kwa Fl Studio
25:19