Тёмный

Jinsi Ya Kufaulu Hesabu [Mbinu za Kufaulu Mitihani Ya Hesabu/hisabati] 

𝐓𝐞𝐚𝐜𝐡𝐞𝐫 𝐃
Подписаться 159 тыс.
Просмотров 30 тыс.
50% 1

Kama wewe ni mwanafunzi wa Sekondari na una ndoto ya kufaulu somo la hesabu kwa alama A basi ndoto yako huenda ikatimia kwa kuzingatia na kufuatia Mbinu za kufaulu hesabu na jinsi ya kufaulu mitihani wa hesabu jinsi
Kama unadhani wewe sio mzuri kwenye hesabu au kitu kingine chochote au kama umekuwa ukiambiwa mara kwa mara kwamba huwezi hesabu mara nyingine hata kama wazazi wako walikuambia kwamba wao wenyewe hakuwa wazuri kwenye hesabu! sasa wewe utaweza vipi hesabu ikiwa wote waliokuzunguka wanakuvunja moyo? Jibu ni kwamba hutoweza!!
ila amini kwamba yote haya ni mawazo potofu! Kuna vitu muhimu vya kuvifanya ili uwe mzuri kwenye somo la hesabu na vitu hivi vinapatikana kwa watu wanaopenda kujifunza!

Опубликовано:

 

17 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 23   
Далее
How would you react?!😳
00:44
Просмотров 4,1 млн
БЕЛКА РОЖАЕТ? #cat
00:26
Просмотров 317 тыс.
Mbinu za Kufaulu Mitihani Yako Yote  Soma Hapa!
4:50
Просмотров 10 тыс.
NJIA 5 ZA KUONGEZA AKILI ZAIDI
12:06
Просмотров 197 тыс.
How would you react?!😳
00:44
Просмотров 4,1 млн