Тёмный

Faith Matei, Msichana aliyeongoza Tanzania nzima kwa masomo ya Sayansi Matokeo ya Kidato cha 6, 2019 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 143 тыс.
50% 1

Jumamosi ya October 26, serikali kupitia wizara ya TAMISEMI, ilitoa tuzo kwa wanafunzi wa Kidato cha Sita na Darasa la saba waliofanya vizuri zaidi kwenye mtihani wa taifa. Tumezungumza na Faith Matei wa St. Marys Mazinde Juu (Tanga), ameongoza kitaifa kwa masomo ya Sayansi

Опубликовано:

 

6 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 198   
@princesslussinde9807
@princesslussinde9807 4 года назад
Hongera sana, mzazi akisimama vizuri na mtoto ni rahisi kwa mtoto huyo kupiga hatua, sababu tunapozungumzia "nidhamu" tunarudi katika malezi ambayo ndio msingi wa mafanikio. Wazazi tusimame nchi ipone.
@zaituniissa3886
@zaituniissa3886 4 года назад
Ongera Mdogo Wangu Mungu akulinde na kukuongoza katika masomo yako
@hon.kabalo1960
@hon.kabalo1960 4 года назад
Very intelligent.. Congratulations Uncle Faith.. Go go go..💪
@taturamadhani8756
@taturamadhani8756 4 года назад
Mungu mkubwa kila mwaka mwanafunzi wakike wamekuwa wakijitahidi kwakiasi kikubwa sana mungu awe pamoja nawe mdogowangu
@kurwanzamwa940
@kurwanzamwa940 4 года назад
Ongera
@kurwanzamwa940
@kurwanzamwa940 4 года назад
Ongera
@lauraabass1077
@lauraabass1077 4 года назад
Mashallah mashallah mashallah, Salute mamy. Nimekupenda Inshallah Mungu awajaalie mabinti zangu wawe kama wewe na nitawafuatisha kama ulivyoagiza. Love you, atukuzwe Mungu, wabarikiwe wazazi wako na wewe mwenywewe. Amiin 🤲
@abubakaryalmas7673
@abubakaryalmas7673 5 лет назад
Hongera sana , mungu azidi kukubariki katika masomo yako, usibweteke na tuzo iyo zidi kupambana
@azanimufti8604
@azanimufti8604 4 года назад
Hongera sana dadaa kwakujituma nakufanya vizuri mungu akulinde kwa kila shari
@fedricklubigisa139
@fedricklubigisa139 5 лет назад
Mungu ambariki sana Mdogo wetu huyu... Big respect to her
@lauraabass1077
@lauraabass1077 4 года назад
Amiin
@fedricklubigisa139
@fedricklubigisa139 4 года назад
@@lauraabass1077 🙏🙏
@ashooraashoora1180
@ashooraashoora1180 5 лет назад
Mashaa'Allah Mashaa'Allah Mashaa'Allah mwenyez Mungu azid kukuongoza
@wardawarda3427
@wardawarda3427 5 лет назад
Asante sana mdogo wangu umefanya vizuri Mungu akubariki ufike mbali
@patrickkambale777
@patrickkambale777 4 года назад
Hongera sana binti Mungu akuongoze ufikie malengo yako
@mwarishmodsalum555
@mwarishmodsalum555 4 года назад
Mashallah mwanangu mzuri kaza buti utoboe zaidi na zaidi inshallah 😍
@winfridaagidy1844
@winfridaagidy1844 4 года назад
Hongera Sana mdogo wangu mungu akusaidie ufikie malengo
@ikupamwaisoba4118
@ikupamwaisoba4118 4 года назад
Hongera binti yangu mzuri tunajivunia Tanzania
@oscaroscaroscar7974
@oscaroscaroscar7974 5 лет назад
Good girl and you deserve it hongera kwa Mama Pia 🔥
@OfficialA83640
@OfficialA83640 4 года назад
Hii shule ipo vizuri 2017 alichukua msichana sayansi
@juianakarani8341
@juianakarani8341 4 года назад
Aisee natamani sana na wanangu siku moja wawe kama huyu binti,amina,hongera binti.
@lauraabass1077
@lauraabass1077 4 года назад
Umeona dada eenh
@josephinemecky9278
@josephinemecky9278 4 года назад
Limebarikiwa tumbo lililokubeba real nataman tumbo langu litoe material hii
@samsonkivuyo4280
@samsonkivuyo4280 4 года назад
Ume waza Kama mimi
@lauraabass1077
@lauraabass1077 4 года назад
Hata mimi Mashallah
@marcelinajohn4993
@marcelinajohn4993 4 года назад
Oohh hongera mtt mzur Mungu naomba na hili ktk familia yangu 🙏🙏🙏
@rehemarehema8301
@rehemarehema8301 4 года назад
MASHAALLAH mungu akufanyie wepesi kwenye maisha na epukana na vishawishi maana utakuja kujiharibia timiza ndoto zako kwanzahayo mambo mengine yapo na tutayaacha
@salamakinyaga5434
@salamakinyaga5434 4 года назад
Rehema Rehema h
@teychriss3248
@teychriss3248 4 года назад
Well said toto! Nadhanmu, kazi na bidii! Your very right!
@aminaabdallah3644
@aminaabdallah3644 5 лет назад
Mashallah wow science congratulations gal you even make cry it's not a easy subject am proud of you 👏👏❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥
@latriciah01augustino67
@latriciah01augustino67 4 года назад
Hongera sana😍 Mungu akuongoze uko mbele ya safari uzidi kufanya vizuri🙏
@pendopetro9793
@pendopetro9793 4 года назад
Mungu akubariki Sana kwaufauru wako sawa mudongowangu
@AdacharityColeman
@AdacharityColeman 4 года назад
Hongera Sana my classmate am proud of you
@neldasamwel8782
@neldasamwel8782 4 года назад
Ntumie no yake
@elishaobadia8829
@elishaobadia8829 4 года назад
😅
@mussakasimu2811
@mussakasimu2811 2 года назад
Esco donard esco. Esco wa simulizi..... Ebana nakubali sana kk.... Unauliza maswali mazuri sana yaani mpaka raha.
@nourathybiay1017
@nourathybiay1017 4 года назад
Hongera mdg wangu, hongera mtangazaji kwa maswali
@zennakailo8106
@zennakailo8106 5 лет назад
MashaAllah hongera dogo langu 😘😘
@michaelmchodo2862
@michaelmchodo2862 4 года назад
Hongera kipepeo..ila angalizo msiwaashike mkono tu wanawake washikeni mkono na wanaume kuweni na balance maana mnachokitengeneza ikifika mwaka 2060 msijekajikuta taifa Ni la mfumojike...kwa wale wanaotawaliwa na wake zao ndani wanajua naamanisha nini?
@milemo604
@milemo604 4 года назад
Hongera sana dada. Pia karibu kwenye ulimwengu wetu wa sayansi. Serekali lazima hiku support , Mimi ni mkongomani
@lordreuben5787
@lordreuben5787 4 года назад
Hongera sana mdada karibu ktk familia ya wanasayansi utatukuta huku ndugu zako
@dase._-dh6ws
@dase._-dh6ws 6 месяцев назад
Hongeraa🎉
@sirsebaonline9106
@sirsebaonline9106 4 года назад
Kawaida sana. Vichwa wapo shule za masela cyo hao wa international hakuna usawa
@chichijuma1466
@chichijuma1466 4 года назад
Kila la kheri mdogo wng kwa Kira safari ya Maisha yako amen
@wingracealfred1978
@wingracealfred1978 4 года назад
Ufike mbaliii..ukaitwe Heri kwenye kila ulitendalo.
@lauraabass1077
@lauraabass1077 4 года назад
Aaamiiin
@jenijumbe6243
@jenijumbe6243 4 года назад
Hongera sana faith utimize ndoto zako
@Moon-wf2ec
@Moon-wf2ec 4 года назад
Munguakusaidiye
@abelmange5430
@abelmange5430 4 года назад
Kabebwaa sanaa, kuna midume imetulia vichwa kwlkwl,
@paulmwati3712
@paulmwati3712 4 года назад
Ongera Dada ufike mbali Sana ata ulaya
@aliceanyango770
@aliceanyango770 4 года назад
Huyu mtangazagi nini mbaya na yeye,, jina ya Faith anauliza mara ngapi jameni??? Hongera dada.
@khadijamulji8862
@khadijamulji8862 4 года назад
Hongera sana Mwenyezi Mungu akusimamie ufike lengo lako kuwa daktari
@merveillenyamushalla6631
@merveillenyamushalla6631 4 года назад
mashaallah mungu akusaidiye
@sumamdachi8144
@sumamdachi8144 4 года назад
Duh art yenyewe nilizingua sijui iyo sayansi ingekuwaje bila shaka ni kipaji pia ukichangia na shule zetu st.kayumba
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 года назад
Well done girl
@aishamtela4413
@aishamtela4413 4 года назад
Mungu azidishie
@zeidytheislandgirl7616
@zeidytheislandgirl7616 5 лет назад
Ohhhj my god iwish my son to be like this
@bonnysureolkokolaboy4342
@bonnysureolkokolaboy4342 4 года назад
Upewe Siri unajua maana ya Siri wew, #Faith hongera sana
@jacksontulito864
@jacksontulito864 2 года назад
Congratulations mdogo wangu
@anethswai5069
@anethswai5069 4 года назад
Hongera sana binti.
@lightnessgoodluck8123
@lightnessgoodluck8123 2 года назад
Wanawake tunaupiga mwingi sanaa
@JanethDuya
@JanethDuya Месяц назад
Very nice 👍 go ahead
@kalebumkandi6439
@kalebumkandi6439 5 лет назад
Hakika ,,,unaweza Mungu azidi kuku inua zaidi zaidi
@eddyfellnziku8862
@eddyfellnziku8862 4 года назад
Mungu ananguvu hongera
@f.a6043
@f.a6043 4 года назад
MUNGU AKUBARI SANA SANA UFIKE MBALI SANA!! MUNGU NI MWEMA KILA WAKATI👏🏼👏🏼👏🏼👍🏽👍🏽👍🏽😃😃😃
@winniemushema8700
@winniemushema8700 4 года назад
Safi sana mtoto mzuri
@samgose3653
@samgose3653 4 года назад
Hongera Dada ur gud
@michaelmdumbe27
@michaelmdumbe27 4 года назад
Hongera sana dada
@centralboytz4240
@centralboytz4240 4 года назад
Kingereza knaonekana kmetulia apa japo tunaonjeshwa onjeshwa😃 jabless dogo komaa ✊
@damarigongo3067
@damarigongo3067 4 года назад
hongera faith
@estermagoiga7668
@estermagoiga7668 4 года назад
Well Done🌟🌟🌟
@tausizablon417
@tausizablon417 4 года назад
Ongela binti mungu mwema
@marymathew6529
@marymathew6529 4 года назад
Hongera mdogoangu uko vizuri
@justineulimule6530
@justineulimule6530 4 года назад
Ubarikiwe sana
@chainbre275
@chainbre275 5 лет назад
Yani Esco ilikua umejipanga nahayo maswali kweli 👏👏👏👏
@celebratingunited4064
@celebratingunited4064 5 лет назад
masha Allah
@genivadionice1425
@genivadionice1425 4 года назад
Hongera sana Mungu azidi kukupigania utimize malengo yako
@hadijakabona955
@hadijakabona955 5 лет назад
Allha akuzidishie mbele zaid
@khadeejaabdullah7083
@khadeejaabdullah7083 5 лет назад
MashaAllah hongera sana mdg wangu
@danielchamoto9376
@danielchamoto9376 4 года назад
Hongera
@evelyneakimanatanzania9756
@evelyneakimanatanzania9756 4 года назад
wanawake tuko naakili from bujumbura
@samwelmapunda3738
@samwelmapunda3738 3 года назад
Nakubali
@joanithamussa1282
@joanithamussa1282 4 года назад
Hongr
@azzaalmaamry76
@azzaalmaamry76 4 года назад
MaashaaAllah
@renathamartin6272
@renathamartin6272 4 года назад
She rocks aiseeeee...nakupenda mdogo wangu!!
@kelvinjamesmchunga8358
@kelvinjamesmchunga8358 4 года назад
Karibu ulimwengu wa sayansi ya karatasi kibongo bongo ila sio mbaya welcome for worldwide science
@habibaathman7953
@habibaathman7953 4 года назад
All the best Faith..Go on you can Do it
@atuenemsalilwa2548
@atuenemsalilwa2548 4 года назад
Congratulations babygirl
@jacklinethomas110
@jacklinethomas110 4 года назад
Wewe mshukuru munqu tuuu, lakini maisha hayajaishia hapo,bado majukumu nimenqi utakutana nayo
@masumkali3154
@masumkali3154 4 года назад
Kaa mbali na wanaume mabaharia watakuharibia future ya masomo yako
@lifestudent6849
@lifestudent6849 4 года назад
Nikifikiria maequilibrium na mahooks nashindwa kuelewa unawezaje kuwa Newton😂😂😂hongera buana na Mungu pia kakupa uwezo exceptional coz hizo mbinu nlizitumia zoote but where 😂😂
@leonarddamian
@leonarddamian 4 года назад
😂😂😂
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 4 года назад
Congratulations
@kalalaelenas4030
@kalalaelenas4030 4 года назад
Hongera sana mama
@gibasoholding6657
@gibasoholding6657 4 года назад
Hongela sana mungu akutangulie
@makoyeamosi4705
@makoyeamosi4705 5 лет назад
Nmekumis sana mpenz Wangu na ongeraa
@aginessjacksoni8115
@aginessjacksoni8115 4 года назад
We kaa na pumbu zako bwege we
@saymarsaymar4654
@saymarsaymar4654 4 года назад
Huna shule unampataje geneous huyo
@OmanOman-fu8xy
@OmanOman-fu8xy 5 лет назад
Mashallah 🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏
@jayratumaulid582
@jayratumaulid582 5 лет назад
Ma Shaa Allah hongera saanaaa
@ikombebusisi9017
@ikombebusisi9017 4 года назад
Magorofa yote mjini ni darasa 7 hata bilgate aliacha masomo apige dilii kwahyo shilingi 1000 iwe milioni inaitaji kukomaaa sioo daralaa
@simonmagaigwa6634
@simonmagaigwa6634 4 года назад
Miaka ile sisi tukisoma nafasi hizi zilikuwa za wavulana, hivi siku hizi wavulana wanafeli wapi? Hongera sana binti mwenyezi Mungu akubariki sana.
@ellysilwani9287
@ellysilwani9287 5 лет назад
Hongera..
@mwasoprince3459
@mwasoprince3459 4 года назад
Yuko vzr cutelization
@munirahassan2220
@munirahassan2220 5 лет назад
Mashaalah
@dubenamahanga5363
@dubenamahanga5363 4 года назад
Very smart
@aloycemwakatala2634
@aloycemwakatala2634 4 года назад
Shukurani kwako na wazazi wako karibu utusaidie hospitalini.
@gladnesspaul21
@gladnesspaul21 4 года назад
Hongera baby grl
@beatriceherman9748
@beatriceherman9748 4 года назад
Hongera mama
@janembise1022
@janembise1022 4 года назад
ongera mamy wanguu
@ayshermaruma128
@ayshermaruma128 4 года назад
Ongera b💓💓💓
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 лет назад
Hongera sn
@jameelaomar6543
@jameelaomar6543 5 лет назад
MASHAALLAH
@dionizthomas2085
@dionizthomas2085 4 года назад
Izo tuzo zitolewe na wanafunzi wa shule za kata
@chrisdonline6748
@chrisdonline6748 4 года назад
Congratulations dada
@DRMTAFUNGWA45
@DRMTAFUNGWA45 4 года назад
Mwaka 2022 wangu
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 5 лет назад
Ongera zake
@mabyserolouchcraig2431
@mabyserolouchcraig2431 4 года назад
Skuizi watoto wetu wakishakuwa wakubwa hawaezi sema shkamoo😅.. But congrats 👏 sana mmy
Далее