Тёмный

JINSI YA KUMJALI NA KUMUHUDUMIA MTEJA - CUSTOMER CARE I Victor Mwambene. 

Victor Mwambene
Подписаться 15 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Baada ya kutazama somo hili utakuwa umejifunza ujuzi muhimu zaidi katika Biashara ambao ni huduma kwa wateja (Customer care).
.
Tafadhali Usiache Ku-SUBSCRIBE na kubonyeza alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata taarifa ya somo jipya tunapo kuwekea.
.
KUMBUKA, Masomo haya yanakujia kila siku ya J’pili yenye lengo la kukusaidia kuwa na akili ya fedha pamoja na akili ya Biashara.
.
Kwa Mafunzo au Kupata Vitabu vyangu vya Fedha na Biashara Tafadhali wasiliana nami kwa 0744126640. Nitumie Majina yako Whatsapp Kupitia namba hiyo ili tukuunge kwenye Kundi letu la Whatsapp uzidi Kujifunza kutoka kwangu.
KUPATA VITABU PIGA 0744126640 / 0658503737.
1. KANUNI 20 ZA FEDHA.
2. JINSI YA KUANZISHA NA KUKUZA BIASHARA.
3. NGUVU YA KUJUA.

Опубликовано:

 

13 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 26   
@zaujiaahmed8803
@zaujiaahmed8803 Год назад
Kaka Upo Vizur Sana ubarikiwe Sana Nilishawai Kwenda mahara Niliuliza Kuku wakukaanga Kiasi Gani nikaambiwa 5000 Mimi nikajua ELFU 3000 Basi nilicho jibiwa eeh Mungu wangu Ndiye ajuaye moyo Ukafa nguvu
@braymusic9956
@braymusic9956 8 дней назад
Asante kaka
@PeterMwidete-wm5sh
@PeterMwidete-wm5sh Год назад
Nashukuru sana kaka kwa somo nzuli sana
@asajilesanga_3481
@asajilesanga_3481 Год назад
natamani wanafanya biashara wote tungesikia hili somo
@victormwambene
@victormwambene Год назад
Yeah ni somo muhimu sana kaka
@chrismassawe2939
@chrismassawe2939 10 месяцев назад
Somo zuri nimejifuza lakini pia ni somo la kukufanya ukue
@GodbetterIbrahimu
@GodbetterIbrahimu 2 месяца назад
Thnks kakaa
@HamicChihuku
@HamicChihuku 10 месяцев назад
Hongera sana kaka kwa elimu yako ya dhahabu, safi sana
@reginaldkombe5119
@reginaldkombe5119 6 месяцев назад
Asante kwa maarifa barikiwa naviingiza kwenye matendo
@mashakalonka7767
@mashakalonka7767 Год назад
Imekaa vizuri sana somo la leo,endelea kutuelimisha mwalimu Victor Mwambene.Tunakufuatilia Kwa ukaribu sana!.
@WamburaThomas-i1b
@WamburaThomas-i1b Месяц назад
Ndo chanzo Cha masomo
@زندونهالبروندي
Kaka somo zuri mungu akulipe
@innocentmahuve3030
@innocentmahuve3030 Год назад
Naomba niunge kwenye group lako
@bindatalent6972
@bindatalent6972 Год назад
My brother 🤸‍♂️ am here
@TryphinaPhilipo-ls4pk
@TryphinaPhilipo-ls4pk Год назад
Somo zuri kaka victor
@ManenoItongwa
@ManenoItongwa 6 месяцев назад
GoD bless you
@BekaCaston
@BekaCaston 9 месяцев назад
Naomba kununua vitabu
@SaitotiHinyura
@SaitotiHinyura Год назад
Asante sana Kwa kunielimisha.
@Dorothy2014
@Dorothy2014 8 месяцев назад
Very nice
@Udindigwa
@Udindigwa Год назад
Point Tupu Yani Unamchango Mkubwa SANA Ndani Ya Tanzania Yetu na Hata Nje Ya Tanzania
@Simonafyatv
@Simonafyatv 10 месяцев назад
Unauzaje kitabu kiongozi
@victormwambene
@victormwambene 10 месяцев назад
Kitabu Kimoja Elfu 20 Mpendwa, Mimi Nina Vitabu Vitatu
@victormwambene
@victormwambene 10 месяцев назад
Tutawasiliana Kwa 0744126640
@AHMEDISILEIMANAhmedisule-ti7uq
@AHMEDISILEIMANAhmedisule-ti7uq 11 месяцев назад
kaka mm naitaji namba yako nimefunguwa biashara yangu naitaji msaada wako kaka
@javabanktz3220
@javabanktz3220 Год назад
🙏
@mustaphakheba4644
@mustaphakheba4644 7 месяцев назад
nakbl
Далее
NAMNA YA KUMSHAWISHI MTEJA: Joel Nanauka
9:52
Просмотров 7 тыс.
🕊️Valera🕊️
00:34
Просмотров 3,8 млн
Part 4. Roblox trend🗿
00:16
Просмотров 856 тыс.
NAMNA YA KUKUZA BIASHARA YAKO  - JOEL NANAUKA
6:38
Просмотров 33 тыс.
KANUNI 5 ZA HUDUMA KWA MTEJA/Customer Service
17:31
Просмотров 2,3 тыс.
🕊️Valera🕊️
00:34
Просмотров 3,8 млн