Tatizo nikumpata agent na nyinyi mnatufundisha vizuli sana manjitahidi lakini hamtupi connection za hao maagent wen7 ambao tayali ni waaminifu dadaangu
Vizuri sana lakini jitahidi unapotumia lugha jaribu kutumia kiswahi zaidi usichanganyechanganye kama utaweza kupata lugha mbili kwa video mbili itapendeza