Тёмный

JINSI YA KUPIKA CHAPATI ZA NAZI NA MAINI YA NAZI - UHONDO WA MAPISHI 

Dina Marios tv
Подписаться 284 тыс.
Просмотров 31 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 64   
@mahramarswad6041
@mahramarswad6041 2 года назад
Hodari mashaa allah huyu brother napia msafi mashaa allah👌🏾👌🏾👌🏾mungu akuzidishie Amin yarabil Alamin 🤲🤲
@margarethmsemwa2561
@margarethmsemwa2561 Год назад
Nina shida na simba nazi...yani upatikanaji wake
@rhobibaraka9938
@rhobibaraka9938 10 месяцев назад
Aseee, nzur sana aina gan ya unga umetumia chef au Da dina uliyekuwepo
@perpetuajambia9021
@perpetuajambia9021 Месяц назад
Hongera sana dada Dona kaka kaka aloyce
@magrathmichael7475
@magrathmichael7475 2 года назад
Asanten Sana dada nashef aloyce kwa kutuandalia somo zuri la chapat maini nimependa Sana na nmewaelea vzr
@neivaneriud601
@neivaneriud601 Год назад
Yaani had leo napika pilau tamu na zur kwasababu ya shef aloyce Mungu akutunze tuendelee kujifunza vingi
@bawla90
@bawla90 2 года назад
Mashaallah...lkn ombi langu hiii channel itengenezewe playlists plz
@samsungoman5626
@samsungoman5626 2 года назад
Maashallah nimeyapenda mapishi mazuri
@FaridaAlrawahi-w5f
@FaridaAlrawahi-w5f Год назад
Zinaonesha nzuri
@abdulhaimohammed500
@abdulhaimohammed500 Год назад
Nice one
@salhasalumhamis3331
@salhasalumhamis3331 2 года назад
Chef aloyce mashallah
@zulfahussein6784
@zulfahussein6784 2 года назад
Yaani huyu kaka ni mkali wajiko MashaAllaah 😋😋😋😋😋
@azzaalmaamry5817
@azzaalmaamry5817 2 года назад
Maa shaa Allah
@a.856
@a.856 2 года назад
Asante Dina lakin tunasahau hii channel unakaa sana hujaleta mapishi😋
@fatmaallyabdul1732
@fatmaallyabdul1732 2 года назад
Yaani pombe akanywe baa supu niandae mimi asubuhi....subutuuuu Chef Aloyce nakukubali sanaaaa
@manasadunia3458
@manasadunia3458 2 года назад
😂😂😂😂😂 pombe akanywe baa supu niandae mimi
@iluminataeugen7625
@iluminataeugen7625 3 месяца назад
Hivi ndo nimeingia kwa page yako nakufuatilia ntajaribu hii
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 2 года назад
Bless you Ameen
@happynessmmari74
@happynessmmari74 2 года назад
Ameonja Dinna mate nikameza Happy,, anyway chakula kizuri, jiko Safi, vyombo vizuri, mpishi yupo poa sana, hongereni
@thisiszai2045
@thisiszai2045 2 года назад
Masha'Allah
@khamisshee5131
@khamisshee5131 2 года назад
👍 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Aka bachuchu mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@sakeenaomar5706
@sakeenaomar5706 2 года назад
So nice 😋😋
@levinamukbangasmr
@levinamukbangasmr 2 года назад
Maini nayo pia ya kukata na shoka very delicious
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 Год назад
Kaka anapika vzr na usafiiiii
@mixhydada1257
@mixhydada1257 2 года назад
😂😂😂 kupunguo sio kweli jamani hivyo vitu ni 💯💯
@zawadikasim6679
@zawadikasim6679 2 года назад
Mashallh
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 2 года назад
Pambe mashallah 😋
@agripinatemi732
@agripinatemi732 2 года назад
Iyo gesi sijaelewa uwakaji wake🙆
@mankamfoy745
@mankamfoy745 2 года назад
Naomba no ya chief aloyce
@xkingx8041
@xkingx8041 2 года назад
Chapati inakazi jamsni duhh. Napenda ku ila tuu mimi.
@mariasalome-xm3ow
@mariasalome-xm3ow 4 месяца назад
kwa hiyo hakuna haja ya kuweka ndimu kwenye maini
@khamisshee5131
@khamisshee5131 2 года назад
Lete utamu wa Simba Nazi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 aka bachuchu mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@anifamango6756
@anifamango6756 2 года назад
Unatumia nini kupunguza ile harufu ya maini
@assoum_N
@assoum_N 2 года назад
Aww I'm craving
@stellajoseph9334
@stellajoseph9334 2 года назад
Jamani hapo kwenye maini navyo penda ugali wa mchana hapo unajaa kaliii ukute huo msosi mmmh
@martymcfly9232
@martymcfly9232 Год назад
Kuroli kunaitwa nini kiswahili?
@queenandchill91
@queenandchill91 11 месяцев назад
Kuviringisha.
@ishaukalweya1442
@ishaukalweya1442 Год назад
Pishi zurisana
@levinamukbangasmr
@levinamukbangasmr 2 года назад
Mapishi bora mwanangu chapati laini zaidi
@a.856
@a.856 2 года назад
😋
@yasodishonest9792
@yasodishonest9792 2 года назад
Kaka anapika huyu balaaa 😍😍😍😍😍
@bettyauma349
@bettyauma349 Год назад
😋😋
@sylviaoum2943
@sylviaoum2943 2 года назад
Jamaniii jamaniiii... roho yangu mimi jamaniii
@OnlyRuky
@OnlyRuky 2 года назад
👊👊👊
@mwanaishamkazi7870
@mwanaishamkazi7870 2 года назад
🔥🔥
@joyceassey2347
@joyceassey2347 2 года назад
Kitafunwa **
@salmakakozi963
@salmakakozi963 2 года назад
Nauliza kutoka swede siagi njo nini jamani niambiyeni 🤣🤣🤣🤣🤣
@zulfahussein6784
@zulfahussein6784 2 года назад
Siagi ni kiswahili kwa lugha ya kingereza ni butter
@happynelson1136
@happynelson1136 2 года назад
Kila mara nikitengeneza chapati zinakuwa ngumu sijui tatizo ni moto mkubwa
@sukariyao6537
@sukariyao6537 2 года назад
😳😂😂 kukanda ukandaji kma ukikanda unga mgumu lazma ziwe ngumu pia
@anifamango6756
@anifamango6756 2 года назад
Ukitumia mafuta Kwa wingi... Zinakuwa soft... na rahisi kukanda
@happynelson1136
@happynelson1136 2 года назад
@@anifamango6756 asante nitatumia mafuta kwa wingi hapo chapati zitatokea laini
@happynelson1136
@happynelson1136 2 года назад
@@sukariyao6537 ok asante hapo nimepata funzo
@sylviaoum2943
@sylviaoum2943 2 года назад
Yan unavyosikilizia utamu eti nami nalishia huku..hahaha
@Rose-ue2ho
@Rose-ue2ho 2 года назад
Hata wazanzibari wanopenda nazi bado hawajafika kutiya nazi kwenye chapati😁maskini wazanzibari wameonewa😂
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 2 года назад
Ahh rose wee hawa wana mpaka chai ya Nazi mpenz😁😁😁
@janeachieng4497
@janeachieng4497 2 года назад
Kenya hatuna simba nazi sasa nitumie nazi ya kawaida?
@queenandchill91
@queenandchill91 11 месяцев назад
Use any coconut milk.
@TeamKRX
@TeamKRX 2 года назад
Munasema mashalah kwa uroho 🤪
@husnasaidi3970
@husnasaidi3970 2 года назад
Hahhhh
@binthkhamisi1097
@binthkhamisi1097 2 года назад
Tobaa..za nazi
@binthkhamisi1097
@binthkhamisi1097 2 года назад
Swali lng maji ya moto au barid
@ishaukalweya1442
@ishaukalweya1442 Год назад
Pishi zurisana
Далее
CHAPATI LAINI ZA NAZI ZAKUCHAMBUKA KURASA
8:41
Просмотров 75 тыс.
JINSI YA KUPIKA CHAKULA CHA ASILI (MTORI)
7:18
Просмотров 8 тыс.
CHAPATI TAMU: TAMU SHOW.
44:12
Просмотров 287 тыс.
JINSI YA KUPIKA PILAU LA NAZI LENYE NJEGERE NA NYAMA
11:33
UGALI + DAGAA WA KUKAANGA + BAMIA LA KUKOROGA(MLENDA)
11:58
NAMNA YA KUPIKA MTORI PART 2.
9:30
Просмотров 14 тыс.