Лучшее на RU-vid
Кино
Авто/Мото
Видеоклипы
Животные
Спорт
Игры
Приколы
Развлечения
Хобби
Наука
Авторизоваться
Зарегистрироваться
JIFUNZE KUPIKA PILAU LA NAZI NYUMBANI KWAKO
12:00
Pilau Nyama ya Motoooo sana. Pika Pilau Kama Malkia Ufurahie sanaaaa!
6:35
Кулинарный Челлендж: Я против Бабушки | Кто Победит в Битве на Кухне от Multi DO Challenge
12:59
أثاث مثمر DIY من الخشب والحنطة السوداء! 🍇
00:55
РАСПАКОВКА/ Сувениры из Сочи для себя на 10.000₽
01:00
Tom🍓Jerry 😂 #shorts #achayanarmyfamily
00:14
JINSI YA KUPIKA PILAU LA NAZI LENYE NJEGERE NA NYAMA
Dina Marios tv
Подписаться 282 тыс.
Просмотров 106 тыс.
50%
1
Видео
Поделиться
Скачать
Добавить в
Опубликовано:
12 авг 2021
Поделиться:
Ссылка:
Скачать:
Готовим ссылку...
Добавить в:
Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии :
151
@hellenmwasalwiba6555
2 года назад
nimekuelewa Chef, kazi yako njema sana
@wanguindungurecheal
2 года назад
Tafadhali viungo via pilau unge fafanua tafadhali moja, moja
@kilizajumainn826
2 года назад
Maashaallah laonyesha tamu 💕
@nshimirimanadjamilla7270
2 года назад
Masha allah vizuri unataja navingo wangine tunakuwa atujuwi
@s.nassirmussa8228
2 года назад
Mashallah honger cheaf kwa kutufunua akili
@manenokawawa5708
2 года назад
Mashaallah ❤️ ❤️ nimependa nitamipa na mie none utamu wke😋😋
@zamzammeme3997
2 года назад
Mashaallah nimependa upishi huu jaman ....
@vumiliahamisi7046
2 года назад
Maashaallah pilau imenogaa
@zulfahussein6784
2 года назад
MashaAllaah ukiwa na mwanaume kama huyu dani roha zote pia wazipata jikoni 😋😋
@user-mg6wp6eg3x
Год назад
Nimekupenda bure❤
@mariethamkulo1983
2 года назад
Waoooo nimependa
@chany9950
2 года назад
Eeeee nihatari 👍
@ramlajuma1598
2 года назад
Namba moja mimi leo
@asyajumajuma8446
2 года назад
Hivyo vitu ulosaga viungo vya pilau naomba unifahamishe
@wardaally7644
2 года назад
Hivyo ni kitunguu swaumu na tangawiz
@habibamuya3415
2 года назад
poa
@sifamushi1747
2 года назад
😋😋😋Yummy.. naskia njaaa
@emmabrownmissana6996
2 года назад
Uko vizuri
@mahijamasukuzi9246
2 года назад
Nalijuwa sana pilau nazi ndio mapishi yangu yani ni taamu,ila hio majani ndio nimeona hapa suwekagi
@salomewandya7257
2 года назад
Haya majani yana harufu nzuri sana ata kwenye mchuzi,tunayaita Giligilani
@sallysaid2446
2 года назад
Eti ni lazima utumie iyo Nazi au waweza tumia Nazi yeyote?
@estermakasi6246
2 года назад
@@sallysaid2446 unaweza kutumia yoyote hata nazi ya kukuna, unachuja tui bubu lako unamimina saafi
@sallysaid2446
2 года назад
@@estermakasi6246 ahsante sana
@mariamteresanambahiyohaion3180
2 года назад
Mimi sijaona kitunguu swaum happy inawezekana
@salhaaa4996
2 года назад
Maashallah
@salomewandya7257
2 года назад
Saaafi sana
@sandrasanga9135
2 года назад
Asante kwa pisha nami ntajalibi
@catherineosmund486
2 года назад
GOD bless you
@HalimaHalima-id2cb
2 года назад
Nice pilau
@devotathemi9930
2 года назад
yan mpishi kama mm siwez pika pilau bila nyanya yan naona kuna kitu kime misa
@saidaswai9797
2 года назад
Huyooo mke wake shughul anayoo😂😂
@mariageorge4729
2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@clarajapheth8804
2 года назад
Umewaza kama mm
@aminamohamed3916
2 года назад
Mm Amina kutoka Kenya
@mwanaishaalfan3145
2 года назад
MashaAllah
@happynessmmari74
2 года назад
Jaman macho tuu yanashuhudia utamu wa chakula, 😋😋😋😋
@judytabby2777
2 года назад
Ni nzuri bt aijaachiana mmoja mmoja
@monamunga7950
2 года назад
Sababu mchele sio basmat Ndio maana halijachambuka. Kwanza wali ukiwa mkavu sana unapata choo kigumu
@BabaBalingasi-hp6gd
Год назад
Hahaha wadada nyie mkiongea mimi niseme nini!!! Nyie mnajua zaidi.. Ila kanichanganya hajasema viungo vya pilau. Wengine sisi ni malena. Tunajifunza hapa
@anifamango6756
2 года назад
Tamu sana... Lakini mimi vitunguu vyangu sipendi viive saaana hivo
@sharifaswai6060
2 года назад
Mashaallah mashaallah
@aminamohamed3916
2 года назад
Mashallaah
@abuialmarjibi979
2 года назад
Njegere huwa zinaiva na mvuke tu
@fatumadiriye6162
2 года назад
Namba nne mm leo😂😂
@aishahussein3682
3 месяца назад
Manshallah ❤❤❤
@queenlisapherooz7321
Год назад
Sweet 😋
@alialwahibi4944
2 года назад
Asanteni
@evalinennko453
Год назад
Nice
@ummuabu-bakar5657
Год назад
Nimeipenda
@mixhydada1257
Год назад
Tamuuuu😋😋
@beatricekalekye529
2 года назад
WOW WOW 😳 yummy
@pulikisia7963
2 года назад
Ni nzuri sana,sema hamja specify ni viungo gani vimetumika.
@timothyrenalda5358
2 года назад
unalipia anakufahamisha
@ilovejesus9303
2 года назад
@@timothyrenalda5358 ,,😜🤣🤣🤣🤣🤣
@wardaally7644
2 года назад
Mbona vinaeleweka
@wanguindungurecheal
2 года назад
Vipimo pia muhimu
@rosemusunga2000
2 года назад
@@wardaally7644 Tutajie basi dear
@vero57
2 года назад
Uku mate tuu 😋😋
@aminamohamed3916
2 года назад
Wanitamanisha
@anabuda7436
2 года назад
Asannte Kwan. Mapiahi
@edinaamvungii910
2 года назад
😍😍😘
@janemuhumba5823
2 года назад
Namba 2 mim leo
@faudhiatmasoud4025
Год назад
Eeeeh mm jaman na pilau sijui nani wakunigombanisha nalo wallah👌
@IreneMlwale
11 месяцев назад
Naomb kuuliza kwann vitunguu vya pilau lazima vitunguu viwe vikubwa na viwe mpk vya Brown
@sifamugwaneza8774
2 года назад
😋😋😋😋😋natamani nipitie kwenye sim nije fast nileeee
@kaburachristella2682
2 года назад
Viungo gani ulivyo vitumia?
@MariamAthuman-ee1dt
2 месяца назад
Jamani mbona nikiamuka hiv
@RodachildofChrist
Год назад
Habari, tusaidie moto ni mdogo?
@veronicasamwel1676
2 года назад
Umetumia viungo gani??
@abusuheyba
2 года назад
Sasa kama hii video haiwezi ki download unamaana gani ya kuonesha watu
@tatutatu1570
2 года назад
🤤🤤😋😋
@hpimages6073
2 года назад
Ingekuwa vizuri unge PIN nambari zako
@abasmwika3432
27 дней назад
Jamaa mbaya hatari kabisa
@m.mmarckus6298
2 года назад
Mate yamedondoka ,maana nimeliskoa harufu tamu sana
@saudahassan6667
2 года назад
Tunaomba namba zako nikutafute
@elizabwakila2548
2 года назад
😋😋😋😋😋😋😋😋
@ramlaali4130
2 года назад
Mbatata vp
@fardoshnassor7847
2 года назад
😋
@sophialazaro7567
2 года назад
😋😋😋😋😋
@semenimohamed8156
2 года назад
😋😋😋😋 raja sana ukiwa na mwanaume anaejua kupika
@nathaliamayo8311
2 года назад
Umeoa?
@hyasintashayo644
2 года назад
.tam
@rukiamussa840
2 года назад
Traaam 😋😋
@celinemtui8795
Год назад
Napika saiv aiwezekan nimezee mate hivi😂
@entertainmentroom.1472
2 года назад
Hayo majani mbeya ndoo hatunaga
@khadijahali4837
2 года назад
😋😋
@newstartv4862
2 года назад
Ivo viungo havitwaji ni viungo gani
@peterkinabo1186
2 года назад
Nyie mnaelezea as if kama Kili mtu ni mpishi...
@BabaBalingasi-hp6gd
Год назад
Kwelii kabisa wanaleta maringo
@agnesmuchai9485
2 года назад
Umetumia spices gani
@mariammohammed9198
2 года назад
Pilau linapendeza kwakweli
@anabuda7436
2 года назад
Naomba psh La chemise rice
@saumusalimuhassan2499
2 года назад
Uwo unaitwa wali wa vegetables 😘
@stellamwakatulile3202
2 года назад
Vitungu Vingi Sana
@joycembago5934
2 года назад
Pilau ni vitunguu
@raysalamin4011
2 года назад
Wow
@amriyalibent5900
2 года назад
Jee km cna simba nazi
@kelvinmassawe8631
Год назад
Mchele ni Basmati?
@anabuda7436
2 года назад
Plau inapendeza
@MohammedAli-vq2dk
2 года назад
Nilikuwa nataka kujua jinsi ya kupika pilau la nazi hatmaye nimejua
@ishaukalweya1442
10 месяцев назад
Brother mimi niko marekani nahipataje hiyo siba nazi mimi nikupe namba. Yangu unasemaje
@mariethaswedy4296
2 года назад
Namba 3 mm leo
@jenifamligo5199
2 года назад
Mate yamenitoka eti
@naimanachelle8791
2 месяца назад
Napataje simba nazi kenya jamenii?
@angelurio4841
2 года назад
Halijachambuka ...I think it's bcoz alikoroga likiwa bado halijakauka mapema alivyoweka njegere na giligilani
@ilovejesus9303
2 года назад
Nadhani ni Nazi imelitotesha
@husnaiddy1402
2 года назад
Lakn liko sawa kuliko la kuchambuka sana
@user-fo5uc7uc5m
3 месяца назад
Hapo sawa kabisa nazi pia inasaidia wali kushikana kuchambuka labda uufunike na kiini kigumu. Hiyo saiz sawa kabisa dear
@peterkinabo1186
2 года назад
Tajeni viungo bhana,nyama kiasi gani,mchele kiasi gani n.k
@BabaBalingasi-hp6gd
Год назад
Oiii unamjua Lance kinabo
@iddahravity9369
2 года назад
Cjaona ukiweka vitunguu saumu
@jenifamligo5199
2 года назад
HV hayo majAn yaliyopo kwenye hyo sahan yeny njegere ni nin
@amarachikarioke5854
2 года назад
Gili gilani
@upendomwasamboma7967
2 года назад
😍😍😍😍😍
@happymosha5253
2 года назад
Inaonekana nitamuu ila ma cheaf wanansiri sana,mbona viungo vya pilao hajavielezea??
@asnathmwakitwange5187
2 года назад
Hata Mimi nilitamani avielezee
@ashabakke4733
2 года назад
Hata mimi hapo nsona kasahau. Hapo tumejifinza nusu
@adelinatraseas7097
Год назад
Viungo mbona havina vipimo nahavijaonyeshwa?
@KhadijaKareem-pp6qc
10 дней назад
sikwamafuta hayoo weeee nazi mafuta
@rehemaomary6631
2 года назад
Kumbe hata najua kupika bila kufundishwa anavyopika kama me tu kasoro nazi
@immamtalo4391
2 года назад
Na mm nataka unifundishe ww
@ashakiyumbi2005
2 года назад
Vipi kama mtu atatumia nazi ya kawaida
@adamndilanna1562
Год назад
Sawa tu inafaa
@vevajelous215
2 года назад
Kama huna simba nazi nazi yakawaid unawezakuweka au
@REVINA_MALIMA
2 года назад
Nazi ni nazi unaweza pikia simba nazi kwao ni wazimini wanatangaza biashara
@liliansabaya1835
2 года назад
Mimi haswa natumia nazi ya kukuna ndo napata ile ladha halisi ya pilau nazi
@ashaali7154
2 года назад
Hee mafuta na nazi pia?
@ilovejesus9303
2 года назад
Pilau la Nazi? Sijawahi pika wala kulisikia
@khadijahali4837
2 года назад
Bc leo umelisikia na kuliona
@ilovejesus9303
2 года назад
@@khadijahali4837 haswa, ntalijaribu weekend hii inayokuja
@khadijahali4837
2 года назад
@@ilovejesus9303 sawa, usisahau kunialika 😊😊
@ilovejesus9303
2 года назад
@@khadijahali4837 sawa unaishi wapi?
@khadijahali4837
2 года назад
@@ilovejesus9303 Dar
@beatricekalekye529
2 года назад
Nipe Subscribe ata Mimi mami
@maryamwaziri1943
2 года назад
Pilau haipikwi ivo uwo ni wali wa kuchanganya
@helenamhagama1802
2 года назад
Kwakweli
@lydiamwamhanga2547
2 года назад
Pole
@joycembago5934
2 года назад
Pole sana pilau lina mapishi mengi achana na pilau la shombo
@a.856
2 года назад
Asante
@rahimaaaaa5682
2 года назад
😋😋😋😋😋😋😋😋
Далее
12:00
JIFUNZE KUPIKA PILAU LA NAZI NYUMBANI KWAKO
Просмотров 1 тыс.
6:35
Pilau Nyama ya Motoooo sana. Pika Pilau Kama Malkia Ufurahie sanaaaa!
Просмотров 23 тыс.
12:59
Кулинарный Челлендж: Я против Бабушки | Кто Победит в Битве на Кухне от Multi DO Challenge
Просмотров 469 тыс.
00:55
أثاث مثمر DIY من الخشب والحنطة السوداء! 🍇
Просмотров 796 тыс.
01:00
РАСПАКОВКА/ Сувениры из Сочи для себя на 10.000₽
Просмотров 511 тыс.
00:14
Tom🍓Jerry 😂 #shorts #achayanarmyfamily
Просмотров 8 млн
10:03
PILAU LA USWAHILINI, tamu balaa🤤🙆🏽
Просмотров 104 тыс.
15:58
JINSI YA KUPIKA CHAPATI ZA NAZI NA MAINI YA NAZI - UHONDO WA MAPISHI
Просмотров 29 тыс.
2:53
PIKA SUPU TAMU YA MKIA WA NG'OMBE KWA STYLE HII- KOMBATASTYFOOD
Просмотров 1,1 тыс.
10:43
UBAYA UBWELA! KIGOGO 2014 AFICHUA MAZITO YA NAPE ALIMDHARAU RAIS HII NDIO SABABU NI ZAIDI YA NDUGAI
Просмотров 9 тыс.
27:31
#TBCMEKONI - JIFUNZE JINSI YA KUPIKA BIRIANI
Просмотров 291 тыс.
6:59
pilau ya nazi ya kuku wa kienyeji tamu sana ajabu linapikwa hivi
Просмотров 11 тыс.
8:12
JINSI YA KUPIKA PILAU TAMU LA NYAMA YA NG'OMBE
Просмотров 16 тыс.
6:53
Pilau ya Kuku /chicken pilau/pilau/pilaf/pilau rice
Просмотров 11 тыс.
8:17
JINSI YA KUPIKA PILAU KILO 50 YA KWENYE SHUGHULI TAMU SANAA #pilau #villagelife
Просмотров 28 тыс.
7:19
PILAU YA KUKU/ SWAHILI CHICKEN PILAU/ PULAO EASY RECIPE/WITH ENGLISH SUBTITLES JINSI YA KUPIKA PILAU
Просмотров 294 тыс.
12:59
Кулинарный Челлендж: Я против Бабушки | Кто Победит в Битве на Кухне от Multi DO Challenge
Просмотров 469 тыс.