Katika video hii ntaonyesha jinsi/ njia rahisi ya kupika Mandi. Hiki ni chakula cha asili ya Yemen. Mandi is a traditional dish from Yemen of meat, rice, and spices.Mahitaji Kuku Mchele wa basmati Na viungo kama vile pilau masala
18 авг 2018