Тёмный

Jinsi ya kupika Pilau tamu ilochambuka kwa njia rahisi | how to cook beef pulao | Suhayfa’s Food 

Suhayfa's Food
Подписаться 23 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

INGREDIENTS
3 cups rice
1/2 kg beef meat
3-4 potatoes
1 larg onion
1 tbsp garlic ginger
Salt to taste
1/4 tsp powdered cloves
1/2 tsp powdered cardamom
Cinnamon 2 sticks
Whole black pepper 1 tsp
Whole jeera 1 and half tsp
🔹️Follow me on instagram ...
.
🔹️Namna ya kupika pili pili nzuri na tamu 👉 • Namna ya kupika Pili p...
#mapishiyapilau #beefpulao #pilaulanyama # suhayfasfood

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 51   
@mohammedrashid9606
@mohammedrashid9606 4 года назад
Nimeipenda pilau yako kweli ni ya kinyumbani na inaonesha ina ladha nzuri sana Allah akubariki sana uendeleze mapishi yako inshaallah utafanikiwa.....
@SuhayfasFood
@SuhayfasFood 4 года назад
Amiin yaarab., ♥️
@aidaabdul4633
@aidaabdul4633 4 года назад
Mashallah
@husnajuma6452
@husnajuma6452 4 года назад
MashaAllah naenda kuijarib weekend inshaAllah ntakupa mrejesho 👌🏽
@seifjuma7318
@seifjuma7318 4 года назад
Bismillah Ma Sha Allah tabaraka al rahmaan Raheem 🤲🌷
@abdufatuma9420
@abdufatuma9420 4 года назад
Mashaa Allah
@shadyaalismaily8802
@shadyaalismaily8802 4 года назад
mashaallah tabarakarrahman hichi kitu cha nyumbani lazima kuna baadhi ya siku ukipandie ndege ukakifate 😋😍👌🏻🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@SuhayfasFood
@SuhayfasFood 4 года назад
😅sanna wallah
@FatmaMohamed-yv2vl
@FatmaMohamed-yv2vl 4 года назад
Kweli hii ni pilau ua kinyumbani kabisaa.. mm huwa nazichemsha hizo spice ambazo ww umeroweka na maji ya moto... ntajaribu hii yako pia... shukran!😍😍
@salmaseif8755
@salmaseif8755 4 года назад
Upo vzr Sana'a
@SuhayfasFood
@SuhayfasFood 4 года назад
asante
@tumaomar8999
@tumaomar8999 4 года назад
Yummy
@faridahjumanne7773
@faridahjumanne7773 4 года назад
MashaAllah MashaAllah pilau limenyoka👌👌👌👌👌
@halimahalum3008
@halimahalum3008 4 года назад
Mashaa Allah shukran sana
@fatiib4871
@fatiib4871 4 года назад
Asante kwa this yummy recipe ❤️
@jabirmohd6902
@jabirmohd6902 4 года назад
Mashallah😋😋
@janemwangi7124
@janemwangi7124 4 года назад
mashaALLAH authentic pilau 🤗 thnks for the recipe
@silverring3434
@silverring3434 4 года назад
Mashll linanukia pilau tamu iloo
@Sabah-eg7hm
@Sabah-eg7hm 4 года назад
Yummy kesho inshaallah nitapika na mm
@a.856
@a.856 4 года назад
🙏🙏🙏
@rommyzahor8699
@rommyzahor8699 4 года назад
Mashallah habibty tufundishe halua pls
@jacqulinewairimu7061
@jacqulinewairimu7061 4 года назад
Wow nice this I will definitely try..I love the way you've used whole spices.
@SuhayfasFood
@SuhayfasFood 4 года назад
Aaww thnk u dear .,♥️
@charifahachim946
@charifahachim946 4 года назад
C'est sûr que c'est trop bon machalah
@EVAMTALII
@EVAMTALII 4 года назад
Mami, haujatueleza kwenye video at what point ulieka nyama kwenye mchanganyiko.
@a.856
@a.856 4 года назад
Mwiko kama huo naweza kuupata wapi sis?🙏
@SuhayfasFood
@SuhayfasFood 4 года назад
Huu nimeaguza Dar es salaam 😊.,sehem wanapouza vitu va watalii nafkir
@a.856
@a.856 4 года назад
@@SuhayfasFood asante dear kwa reply jazakallah khayran😘
@MariamAli-ec7qt
@MariamAli-ec7qt 4 года назад
Je mchele wa Gautam unafaa?
@SuhayfasFood
@SuhayfasFood 4 года назад
yes unafaa ila uroweke kama nilivofanya mimi
@skonga3106
@skonga3106 4 года назад
Niko na induction cooker. Plz Nieleze moto mwisho ukitaka pilau ikauke unaweka watts ngapi kwa dakika ishirini? 200, 400 ama 600 watts
@SuhayfasFood
@SuhayfasFood 4 года назад
i think itakuwa ni 200watts..
@skonga3106
@skonga3106 4 года назад
Ama uniambie ni temperature ngapi moto mdogo wa kukausha pilau. 200watts=80 degrees and 400watts=100 degrees
@skonga3106
@skonga3106 4 года назад
Kesho nataka kupika hii recipe in shaa Allah that's why am curious. I want everything to be perfect
@skonga3106
@skonga3106 4 года назад
Hukutueleza nyama uliweka wakati gani. Najuwa umepitikiwa hiyo part
@SuhayfasFood
@SuhayfasFood 4 года назад
my dear kila nyama na uwivaji wake..hivo utaichemsha mpaka iwive tuu na uibaklishe na supu kidogo
@skonga3106
@skonga3106 4 года назад
Alafu hiyo sufuria ulopikia Iko na upana (diameter) centimeters ngapi?
@SuhayfasFood
@SuhayfasFood 4 года назад
10 inch
@skonga3106
@skonga3106 4 года назад
Nice, that's 26cm. Niko nayo sufuria ya hiyo size for my induction cooker. Shukran sana, wallah this is very helpful
@EVAMTALII
@EVAMTALII 4 года назад
Please explain the rice step before adding it to the mixture. Kiswahili kilinipita hapo😂. What is kuroeka and kugondeka
@cutymi7930
@cutymi7930 4 года назад
Kuroeka ni kusoak
@EVAMTALII
@EVAMTALII 4 года назад
@@cutymi7930 oh. Thank you
@zinabal-dubae3551
@zinabal-dubae3551 4 года назад
Mushed or breaks
@cutymi7930
@cutymi7930 4 года назад
Kugondeka ndio cjui.... Guess we r on the same page 😁
@silverring3434
@silverring3434 4 года назад
Kutia mchele ktk maji na kuwacha kidogo
@sprettysalim4659
@sprettysalim4659 4 года назад
Mashallah
@mwajabukiango9891
@mwajabukiango9891 4 года назад
Masha Allah
@bintialiali670
@bintialiali670 4 года назад
Mashallah
@halimahassan2968
@halimahassan2968 4 года назад
Mashallah
Далее
iPhone 16 для НИЩЕБРОДОВ!
00:51
Просмотров 1,1 млн
50 Cooking Tips With Gordon Ramsay | Part One
20:19
Просмотров 13 млн