Katika video hii nimekuletea mapishi ya pasta. Pasta ni chakula kitokanacho na ngano ni chakula kirahisi kuandaa tena kwa muda mfupi. Pasta ni jamii ya tambi/spaghetti, macaroni.
16 авг 2018