Mwalimu Wangu Wa NGUVU Ni Kweli inapendeza unapotukumbuka na ss wa smartphone ambao tunahitaji ushauri wenu Kama huu Mungu Akuongeze NGUVU Na Maisha Marefu Brother Naamini sana Uwepo Wako Mm Channel Yangu Isingefika Hapa Bila Mafunzo Yako 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Brother mamb VP kiongoz? Aise mm naomb kwanza kuuliza hivi hiyo gimbal ya smartphone shingap inauzwa? Na ya camera shingap? Inauzwa broo mm mwenyew broo ni youtuber lkn sina vifaa xaiz natak kutafuta camera nzur ya kuanzia pamoja na gimbal so naomba msaada Wa bei na mahali vinapo patikana mm Niko mkoa Wa rukwa sumbawanga
Nili itaji kujuwa brother Richstar, camera gani ulitumia kwa ku shoot hii tutorial mzima. Si maanishi kuhusu smartphone, hila nazungumuzia wakati wanaki wana ku shoot wewe bro Richstar camera gani? Cannon gani au sony gani au Nikon gani Asante sana naomba unijibu kaka Richstar.
Nimependa ulicho kufanya nimejua kuwa unaweza ukawa na Vitu vidogo na Ukaanzia hapo hapo nimependa Sana hiyo Smartphone gimbo I wish nipate ntaitafuta Android. Samsung A50 smartphone gimbo ili nianze cinematic but Rich Unatuelimisha Sana Bro Ila ningeonmba ytoe darasa Kam kuna uwezekano wa kuunganisha Wireless mic/ Headphones nikiwa na shoot kwa kutumia smartphone