Тёмный

Vitu vitatu vya kuzingatia kabla hujabonyeza kitufe cha Record katika Kamera 

Richstar
Подписаться 50 тыс.
Просмотров 25 тыс.
50% 1

Video hii inaeleza na kuelekeza VITU vitatu muhimu vya kuzingatia kabla hujaanza kushoot au kurekodi video yako. Vitu hivyo ni
1. EXPOSURE
2. FRAME RATE
3. VIDEO COMPOSITION
Unaweza Kujipatia DVD za mafunzo yangu ya ku edit video kwa kutumia Premiere Pro kwa kupiga simu +255714250356 au +255744329352

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 57   
@Andy_tz
@Andy_tz 4 года назад
Richstar nimetokea kukukubari sana brooh.. unayofanya ni makubwa sana. God bless you brooh
@MtazameKristoTv
@MtazameKristoTv Год назад
Ahsante sana 😊
@joseph717
@joseph717 6 лет назад
Mwalimu nimekuelewa sana Na nafurahi kukusikiliza Na kunipa elimu kubwa ambayo nilitamani siku moja nijue nami, Ila naamini siku moja tutakuja kufanya kazi pamoja nikiwa kama mwanafunzi wako Na napenda sana Sanaa ya uimbaji Na utungaji sasa natamani sana nijue Na vitu kama hivi unavyofundisha
@holyaltar4511
@holyaltar4511 4 года назад
Mafunzo yako mazuli sana kabisa,kuna watu wengi unapo ongea hivyo kama unaweza,ungechukuwa camera alafu unawaonyesha wapi unatakiwa ubonyeze kwenye camera ili waweze kuona vizuli wapi wanabonyeza kaka.asante.
@user-rk6nc6oo5b
@user-rk6nc6oo5b 6 месяцев назад
kaka nakupata vizuri san ishi milele kaka
@SalehEmmanuel
@SalehEmmanuel 3 года назад
Cool Sana naipenda iyi mungu akubariki
@bm8tz810
@bm8tz810 4 года назад
Bro unaweza nisaidia jinsi ya kupata Nexus na hypersonic
@ssafricancreator9151
@ssafricancreator9151 6 лет назад
Nilikuwa nikisubili ikitu asante maguruko
@jamesemwakalasya8448
@jamesemwakalasya8448 2 года назад
Ahsante
@aronchunga4008
@aronchunga4008 5 лет назад
Ahsante nimejifunza kitu
@technology9400
@technology9400 2 года назад
Sawa
@njendanjenda56
@njendanjenda56 6 лет назад
kwa video mbalimbali za kujifunza subscribe channel yetu
@kefa2002
@kefa2002 5 месяцев назад
Mwalimu wangu
@eberhardmhagama1668
@eberhardmhagama1668 6 лет назад
Asante kwa someone zur rich
@WTV75
@WTV75 Год назад
Thanks bro
@babyplus5093
@babyplus5093 2 года назад
Rich mambo naomba no yak
@KINYONGAMASAUTIY
@KINYONGAMASAUTIY 4 месяца назад
Sf sn unafundish vzr
@germainmikeleo2787
@germainmikeleo2787 11 месяцев назад
Jambo mwalimu, tunaomba utuandalie vidio inayofunza jinsi ya kuanza kushika picha, Kwa Sisi wasiojuwa Chochote Ili tuelemike.
@kobabaoyamerudi
@kobabaoyamerudi 2 года назад
Kaka habari mimi ndo naingia kwenye director 60d canon inatoa 720 108 inafaa kufanyia kazi
@mwambarockmwambarock739
@mwambarockmwambarock739 4 года назад
Camera bei gani ulio shika kwa Musaada wa shabiki wa channel yako.
@roberking9729
@roberking9729 4 года назад
Kuanzia300000........1000000
@luchiyaprinting
@luchiyaprinting 6 лет назад
Duh nimejifunza kitu
@officialsmat
@officialsmat 4 месяца назад
Et kak naomba kuuliza unawezaje kulekodi kwa cim uku unatumia mik ya sim nyingine
@TimoTimosy
@TimoTimosy 5 месяцев назад
Yes
@DirectorphayshotPs
@DirectorphayshotPs 11 месяцев назад
Inakuaje kaka kwanza kabisa nimependa sana mafunzo yako unaweza kupata namba yako ya sim broo ili tuongee mengi kaka🙏
@user-be3dr2sl4n
@user-be3dr2sl4n 6 лет назад
Poa poa good class
@djchapatz2360
@djchapatz2360 5 лет назад
Waoooooooooooo takuandalia tuzo binafsi jombaaaaa
@Kijagtv
@Kijagtv 2 года назад
Samahani broo mm ni moja ya watu ambao wanakufatlia katika mafunzo yako kwanz niseme asante ila mm sina setup ya Adobe Pr.
@pmctvdsm1157
@pmctvdsm1157 5 лет назад
Asante na maisha malefu sana
@worldsuccesstz5569
@worldsuccesstz5569 6 лет назад
Nimeelewa sana Mwalimu
@Yode897K
@Yode897K 4 года назад
Richstar habari za leo, naomba kuuliza kuusu Google AdSense kipindi cha ku verifier Akaunti unapo jaza taarifa zako hasa pesa kupitia Benk, majibu yanatoka baada ya muda gani? ili ujuwe taarifa zako zimefika sehemu husika? naomba majibu
@nyangumimedia7013
@nyangumimedia7013 6 лет назад
kwa mm natumia 7d canon uwa nashoot sana wedding invert natakiwa nitumie flame rate ya ngap?
@gtunewaves2867
@gtunewaves2867 4 года назад
kwny hii video umefanya setting mpk camera imefocus na object mmoja tu anaongea kwingine kote imeweka blur?
@TwahibuSalumu
@TwahibuSalumu 24 дня назад
mi naomba niwemwanafunz wako
@mjerutv6264
@mjerutv6264 6 лет назад
Bro me ni mwanafunzi wako hasa kwenye mafunzo ya music production ila nahitaji nifike oficn kwako kwa ajili ya kujifunza zaid najua unavitu vingi sana vya kunielekeza ili niwe mahili zaid hata kama kuna cost nlipie fresh tu nmekufatilia since npo chuo nw nmemaliza nahitaj exposure naomba nijibu kupitia 0743142510 au nipe mawasiliano yako ntashukuru sana kama utakuwa umenielewa
@agnessmkilanya8699
@agnessmkilanya8699 2 года назад
Broo naiomba namba yako
@jumahamidu9192
@jumahamidu9192 6 лет назад
richstar momi ni mdao wako mmoja mzuli tu nimejifunza mengi kutoka kwako ila ninatatizo mmoja linanisumbua naomba unisaidie mfano nikie export vidio inatoka katiga gb kubwa ambayo vidio inakuwa ngumu kubani kwenye cd nikijalibu kukonvert unkwaliti unapungua naomba unisaidie kwenye hili ili niweze kupata vidio yenye gb ndogo na kuwa katika hali ya ukwaliti pia kuweza kubani kwenye dvd au kuna ainagani ya program inaweza kukava vyote ivyo naomba nisaidie kwenye ilo.
@simonomarmitayo7346
@simonomarmitayo7346 5 лет назад
DVD bei gan Npo kijijin wilaya sengerema
@kokudo8389
@kokudo8389 4 года назад
Hizo frame rate unaziset wapi natumia Canon 750d
@zachariarabson939
@zachariarabson939 4 года назад
Tazama video hii na subscribe please wadau wangu
@sambogageng943
@sambogageng943 Год назад
Kk naomba unambie kwenye RU-vid kama umecopy video ya mtu wana kuwandikiya aje
@Richstartz
@Richstartz Год назад
CoPYRIGHT CLAIM au Copyright strike
@sambogageng943
@sambogageng943 Год назад
@@Richstartz inamanisha kwama video ulio iya upload Siya kwako au nambie
@mwambumediaprostudio2492
@mwambumediaprostudio2492 6 лет назад
Wee jamaa huwa nakuelewa sana yaani....
@deboramatpapaztv
@deboramatpapaztv 5 лет назад
Asantee
@izdorymasawe4201
@izdorymasawe4201 3 года назад
Mimi ndio naanza naitaji link za video za mwanzo kabisa kwa mtu anaeanza mafunzo kujua zaid
@barakaligoha7536
@barakaligoha7536 5 лет назад
dah
@jboytz2384
@jboytz2384 6 лет назад
Broo na kubali mim shabik wak
@bellotv2791
@bellotv2791 4 года назад
Nisaidie namb yako ya simu bro
@ssafricancreator9151
@ssafricancreator9151 5 лет назад
Ukiwa unashuti asubuhi kaka msaada Kwanzia majira ya saa1 asubuhi paka saa5 asubuhi unasetije
@ssafricancreator9151
@ssafricancreator9151 5 лет назад
@@Richstartz sawa
@nachanishauri
@nachanishauri 6 лет назад
Bro hiyo beat sauti kubwa hatukuskii Vizuri 😥
@nachanishauri
@nachanishauri 6 лет назад
Richstar Baadhi ya maneno 😂
@izzytvizyybe6016
@izzytvizyybe6016 4 года назад
Namimi ninae tumia simu
@Bigjowzey
@Bigjowzey 2 года назад
Hahahahahaha
Далее
FAHAMU JINSI YA KUPIGA PICHA NZURI ZENYE KIWANGO.
11:05
Jifunze jinsi ya kutengeneza scene hii kwa urahisi
11:06