Тёмный

JINSI YA KUTATUA TATIZO LA THE INTERNAL DATABASE CORRUPTED 

DJ WINNER TZ
Подписаться 3 тыс.
Просмотров 552
50% 1

Jinsi ya kutatua tatizo la the internal database corrupted
DATABASE CORRUPT
ili tatizo limekuwa likiwasumbua watu wengi Sana lakini mbaka Sasa awajajuwa au kuwelewa limekuwa linasababishwa na Nini au kitu gani kina leta shida mbaka inakuwa ivi baada tu ya ku install program yao ya dj virtual 6 leo ngoja nikujuze ili tatizo linatokana na vitu gani aswa
VITU VINAVYO SABABISHA
1.WINDOWS
je unatumia windows gani au windows namba ngapi wakati ukiwa una install dj virtual yako 6 Kama unatumia windows 8,10 au 11 yaani kukubali Katika PC yako au desktop yako swala ilo sahau sababu aiwezi kukubali yaani ukiona imekubali Katika izo windows ambazo nimezitaja hapo juu Basi juwa Kuna ujanja mwengine umefanyika na uwo ujanja ambao umefanyika hapo yaani Kuna mawili inaweza ikakubali au ikakataa maana unakuwa Kama vile unacheza mchezo wa kubahatisha bahati na sibu wanao fanikiwa Ni wachache Sana
JE KITU GANI KINAFANYA MBAKA
INAKUBALI KATIKA WINDOWS 11,10,8
Ukiwa una install dj virtual yako 6 Katika izo windows mfano windows 10,8,11 ukiwa una install usije ukailusu uka install Katika disc ya windows yaani kwa wale ambao wanajuwa watakuwa wananielewa vizuri nikisema disc ya windows maana kwamba ile hdd yako inakuwa na patistion mfano utakuta disck imeandikwa disc C disc B disc D najuwa wengi mtakuwa mnaelewa hapa Sasa ukiwa una install dj virtual yako Kuna muda itakuuliza unataka uwi install kwenye disc gani yaani iyo ni lazima ikuulize alafu sio dj virtual tu program yoyote ile ukiwa una install lazima ikuulize unataka ku install kwenye disc gani Sasa pale Cha kufanya wewe ndio unachaguwa uka install Katika disc gani maana pale inapokuja kukuuliza automatic tu inataka Kwenda kwenye disc ya windows Sasa wewe pale utabonyenza kidude Cha kulia kwako Kisha utachaguwa mwenyewe uwipeleke Katika disc gani usije ukaipeleka Tena kwenye disc ya windows ikishamaliza kuchaguwa utaendelea na process za kumalizia ku install ila daah Katika njia hii wano fanikiwa Ni wachache Sana kuliko wanao feli inaweza ikawa bahati yako ukafauli jalibu Sasa
2.KUNA DJ VIRTUAL NYENGINE....
Sasa hapa lazima kidogo nieleweke vizuri kwamba Nina maana gani hi uwaga inawatokea hata kwa watu ambao wanatumia windows ambazo zinazowakubalia virtual dj 6 nikisema Kuna dj virtual nyengine yaani dj virtual 6 uwaga inalinga Sana alafu inajifanya ina mapozi Sana yaani hapa ukiwa una install Katika PC yako au desktop yako aitaki kuwona Kuna dj virtual nyengine Kama Kuna dj virtual nyengine uliweka kabla ya virtual 6 alafu unataka ku install dj virtual 6 Basi Kuna uwezekano mkubwa Sana kukukatalia kwa sababu inataka yeye Kama yeye ukiwa unachanganya dj virtual mbili mfano ume install dj virtual 5 dj virtual 7 dj virtual 8 alafu Tena unataka kuja ku install dj virtual 6 hapo lazima itakukatalia kwa sababu Kuna data zinaingiliana ndio maana linakuja tatizo la "database" kufeli
____________________________________________
Buy Samples 👇
djwinnertz.gum...
____________________________________________
FOLLOWING⏱️
FACEBOOK PAGE👇 link=www.facebook.c...
INSTAGRAM👇 link= / djwinner_tz
TIKTOK LINK= / djwinnertz
☎️ Call....
📞=0745-550-557
📞=0719-500-475
📞=0689-263-508
📞=0653-117-023 WhatsApp number

Опубликовано:

 

6 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 6   
@hcsaund
@hcsaund Год назад
Umetsha apo
@djwinnertz
@djwinnertz Год назад
Shuklani ndug yangu video za mafundisho zipo nyingi Sana kwahy Ni ku wait tu.....!!
@hcsaund
@hcsaund Год назад
@@djwinnertz Sawa kaka tupo pamoja
@djwinnertz
@djwinnertz Год назад
@@hcsaund pamoja Sana mwanangu mm Ni Kama mtumwa kwenu kwahy nitazidi kuchapa kazi muda wote...kk
@hcsaund
@hcsaund Год назад
@@djwinnertz Usiwaze kk utafanikiwa tu naamin unaweza
@djwinnertz
@djwinnertz Год назад
@@hcsaund duwah....
Далее
Vibe la singeli #winnermusic
1:14
Просмотров 87
ПЛАН ПРОТИВОДЕЙСТВИЯ МЕДВЕДЮ.
00:28
Una USB Flash imeharibika? Njoo tuitengeneze
6:33
Просмотров 4,3 тыс.
Adobe is horrible. So I tried the alternative
25:30
Просмотров 1,1 млн