Тёмный

Jinsi ya kutengeneza beat Yenye asili ya RnB katika fl studio 

Richstar
Подписаться 51 тыс.
Просмотров 26 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 126   
@neymarrazacq3453
@neymarrazacq3453 5 лет назад
Mnyama Rich umetisha sana unajua balaaa,upo mkoa gani mzee baba
@GhVisualsPro
@GhVisualsPro 7 лет назад
wewe ni mwalimu bora sana kwangu Mwenyezi Mungu akuzidishie maarifa zaidi
@krisrivvarovvaneggas4100
@krisrivvarovvaneggas4100 3 года назад
Fresh dans KK tunashukuru kwamafunzo mazuuri
@heakicredit2514
@heakicredit2514 3 года назад
Bro nakubali Sana hii bonge la beat, kma unamuimbia nyimbo mtu ya kumbembeleza lazima aelewe, iko so smooth so heavy, nimeiludia kuiangalia mara nne KWA siku MOJA,big up bro, ngoja nami niijalibu kidogo😆🥰
@jacksonmoon1946
@jacksonmoon1946 6 лет назад
Daaaa nimekubali brother we ni mkali
@moshagenius2832
@moshagenius2832 7 лет назад
nice broh
@emzzii-b3529
@emzzii-b3529 5 лет назад
Beat zako ni noma
@oklenchengula8098
@oklenchengula8098 6 лет назад
pamoja sana broh!!
@factdonotlie8301
@factdonotlie8301 7 лет назад
mkubwa hongera san am your number one fum ,naomba unitumie plug ya min diz
@chrisdady7684
@chrisdady7684 7 лет назад
napenda sana piga beat
@julianusrichard7602
@julianusrichard7602 4 года назад
Asee kaka unajua
@zakayoupete3533
@zakayoupete3533 2 года назад
Nimechelewa mengi Ila nimeyawahi mazuri zaidi
@tchahimselfsumwa7081
@tchahimselfsumwa7081 7 лет назад
nice... nimeipenda hiyo... me napata shida kwenye kuseti Bar Kaká Unanisaidiaje?
@bksimon254
@bksimon254 5 лет назад
ningependa unieleze vile naweza tengeneza mziki poa good quality nikitumia samplitude music studio 14 na pia saplitude magic studio tafadhali. niko kenya
@nicksonkombe91
@nicksonkombe91 6 лет назад
Rich, jitahidi uwe unaweka .vst na drum kits ulizotumia brother. All in all good stuffs meku
@jerryjames3032
@jerryjames3032 6 лет назад
brother nashukuru kwa mafundisho yako. nimependa. sasa ni jinsi kuchangia bando ni shilingi ngapi za kitanzania? maana mi nahitaji plugins
@maleektv3915
@maleektv3915 7 лет назад
salute bro
@patientGrevislay
@patientGrevislay 7 лет назад
wow,,,nice sana,,,lakini sijaelewa sawa ,,,so ningependelea kupata whatsaap yako ili tuongelee vingi zaidi,,,,
@chukikilungi8800
@chukikilungi8800 7 лет назад
binafsi umenisaidia sana sana sana Masomo Kwenye channel yako Richstar,naweza kubata what's up no.
@daudynhosha3829
@daudynhosha3829 7 лет назад
Niaje mkuu,,nafatilia kwa sana channel yako mzeiya,,nakubali kazi zako,,zinanisaidia kujua more&more kuhus fl studio..naomba unitumie min diz kweny mail yangu
@swaggagamingtv6841
@swaggagamingtv6841 6 лет назад
Thank you very much my brother
@dangotemnyamwezi2174
@dangotemnyamwezi2174 6 лет назад
We n hatariii
@mjeshirecords1383
@mjeshirecords1383 2 года назад
Nahitaji min deas
@metuselaleonard574
@metuselaleonard574 6 лет назад
nimependezwasana najinsiunavyo fundisha nami naitaji kujifunza zaid cjui utanisaidiaje manaapaitakua nakalili
@harakatizakijikomachibya7744
@harakatizakijikomachibya7744 5 лет назад
Nitumie min did kaka
@fathadgraphic2909
@fathadgraphic2909 4 года назад
niaje kaka ? mimi naomba Hypasonic,Nexus na min diz
@laisergowello1659
@laisergowello1659 7 лет назад
kakaa kunavitu nahitaji kama plagns tofauti tofauti
@badboy2577
@badboy2577 6 лет назад
Minajua kupiga piano ya live.nataka kujua kukonnect piano na kyipiga direct iingie kwa fl studio
@divin__kd
@divin__kd 7 лет назад
yani video zako zina nisaidiya sana kwenye FL STUDIO 12
@jsggroup3702
@jsggroup3702 6 лет назад
Izi plug hazifunguki bro vip
@innocentswai9219
@innocentswai9219 6 лет назад
Uko vizur sana nakufuatilia sana brother.
@directorjp5783
@directorjp5783 7 лет назад
kali
@001_kenya
@001_kenya 11 дней назад
Senti ngapi hili beat?
@IssaleeBoy-pv6tn
@IssaleeBoy-pv6tn 8 месяцев назад
Kaka naomba kujifuza kwako nisaidie
@ramadhaniyasinisadala1756
@ramadhaniyasinisadala1756 5 лет назад
Nass tulioona Leo vep
@samwelidaud5430
@samwelidaud5430 7 лет назад
kaka vp jinsi ya kuunganisha pateni na sevu biti nzima
@jerryjames3032
@jerryjames3032 6 лет назад
na je unaweza tusaidia jinsi ya kumix vocal iliyoimbwa na kwaya hasa nyimbo ya dini kwa kutumia plgns za cubase 5 maana plugns za nje kwa mimi sinazo.
@jerryjames3032
@jerryjames3032 6 лет назад
OK ntakutafuta brother
@jerryjames3032
@jerryjames3032 6 лет назад
kaka mi ntapata amani nikipata tu video how to mix and mastering in cubase 5
@lerexiion2138
@lerexiion2138 7 лет назад
Yoo bro naomba unitengenezee beat ya Coyo_njoo badae
@usenidekine5753
@usenidekine5753 3 года назад
Je mafunzo ya live yanapatikana wap
@samwelydanda7155
@samwelydanda7155 6 лет назад
Broo naomba nitumie mini dizi
@petermichagojr5521
@petermichagojr5521 7 лет назад
nexus itakuwa sh ngap bro..alafu napenda kutengeza beat lkn najikuta ninachokitaka hakitokei naomba msaada
@yeshuasweapon4384
@yeshuasweapon4384 4 года назад
Soma music theory
@wakishuatv2829
@wakishuatv2829 3 года назад
bro naomba crack file la fl 20 bit32
@marefuclassic8911
@marefuclassic8911 7 лет назад
NITUMIE HIYO MIN DIZ
@josephlugenge3926
@josephlugenge3926 5 лет назад
Navipataje vinanda kama hivyo
@samwelidaud5430
@samwelidaud5430 7 лет назад
bro naitaji kupata msaada wa kupata nexus kwenye fl studio 10
@richkayla6499
@richkayla6499 5 лет назад
What about nexus
@tvrepairtz
@tvrepairtz 6 лет назад
👏👏👏👏👍👍👍👍
@ramadhaniyasinisadala1756
@ramadhaniyasinisadala1756 5 лет назад
Nasisi wa Leo tunaoona
@isayaalfred8515
@isayaalfred8515 7 лет назад
Yap haya ndo mambo ninayo yataka Uko safi Bro.Af hiyo Hypersonic Ngapi unayotumia na je Haikusumbui Bro ?
@isayaalfred8515
@isayaalfred8515 7 лет назад
Ahaa Nashukuru,Kazi yako ni nzuri sana na nina kufatilia kwa karibu sana
@mjerutv6264
@mjerutv6264 7 лет назад
bro ntumie hiyo plugin ya min diiz frank mjeru
@OfficialBonta
@OfficialBonta 7 лет назад
neza pata aje io chim inayo anzashi beat na izo crush zenye umeka kwa playlist inform of waves
@OfficialBonta
@OfficialBonta 7 лет назад
niko kenya kaka
@OfficialBonta
@OfficialBonta 7 лет назад
that's 500 ksh neza mpesa thenconversion jifanyie mwenyewe
@OfficialBonta
@OfficialBonta 7 лет назад
you are barely active on whatsapp
@OfficialBonta
@OfficialBonta 7 лет назад
alafu gusia jinsi ya kutumia plugin moja kucheza instrument tofauti bila cloning
@OfficialBonta
@OfficialBonta 7 лет назад
thank you
@inno5044
@inno5044 7 лет назад
Pitia huku pia
@wambaga
@wambaga 7 лет назад
naomba ni2mie iyo mid biz
@nasirimuhammed4854
@nasirimuhammed4854 7 лет назад
iyo minidiz search google utaipata
@chukikilungi8800
@chukikilungi8800 7 лет назад
thanks
@massawesammy7502
@massawesammy7502 6 лет назад
ntakupataje ili uwez nielekeza vizur
@dullaahmwevila6224
@dullaahmwevila6224 7 лет назад
broo binafsi nimsaada Mkubwa naupata kutoka kwakooooo. big up saaaaana. napia nikiitaji plugins kama nexus nitaipatajee?
@dullaahmwevila6224
@dullaahmwevila6224 7 лет назад
Richstar ok nitakuchek
@001_kenya
@001_kenya 3 года назад
Hey hiyo beat si uniuzie plzz
@piussvicenti903
@piussvicenti903 6 лет назад
poaa sana
@rizkizzyzombie8336
@rizkizzyzombie8336 7 лет назад
Data yake
@petrooverton6643
@petrooverton6643 3 года назад
bro haufundishi ila unatengeneza mziki natamani sana kujua jinsi yakutengeneza mziki ww waweza kunifundisha? maana sijui kitu zaidi yakuimba
@Richstartz
@Richstartz 3 года назад
Angalia tutorial zangu nyingine kuna mengi ya kukifunza
@samwelidaud5430
@samwelidaud5430 7 лет назад
poapoa kaka
@athanacymnguto4011
@athanacymnguto4011 6 лет назад
Nahitaji sana kujua jinsi ya kutengeneza beats
@mohammedally5185
@mohammedally5185 6 лет назад
Napenda nijifunze kutoka kwako nitakupataje bro?
@mohammedally5185
@mohammedally5185 6 лет назад
Ahsante kaka
@mohammedally5185
@mohammedally5185 6 лет назад
Nitumie namba yako nikutafute kaka..
@mohammedally5185
@mohammedally5185 6 лет назад
Kaka nimekuchek namba hii kapokea mw/mke.. Itakuwa umekosea nitumie upya.
@djmbembo9456
@djmbembo9456 7 лет назад
ahahaha eti ya kibabe aminia mzeee nakubali kaka
@mosesmboneamunguamjalierai4191
+Richstar nilikuwa naitwa iyo Fl studio
@tertianomollo1892
@tertianomollo1892 3 года назад
Mambo vp kaka?naomba ntumie hiyo plugin mini diz: my email. kirogarashid@yahoo.com.Thanx
@msipukaproductiontv1669
@msipukaproductiontv1669 6 лет назад
Kwaiyo kaka unatusaidiaje ss viewers wagen kuhusu plugns maana tka mwaka jna mwishon nakuftilia lkn beat znakua hazina ladha
@msipukaproductiontv1669
@msipukaproductiontv1669 6 лет назад
Swa kaka....nakuchek
@0712939973
@0712939973 3 года назад
kakaaa
@iammassoudmusic254
@iammassoudmusic254 4 года назад
naweza pata samples pack bro tafadhali
@Richstartz
@Richstartz 4 года назад
Sample for sale
@mussahamad9967
@mussahamad9967 6 лет назад
bro nilushie iyo plugin ulio sema unatupa free
@mussahamad9967
@mussahamad9967 6 лет назад
Bro nilishie iyo mein dizi kwenye watsp 0655442867 au email mussahamad222 @mail
@OfficialBonta
@OfficialBonta 7 лет назад
io option yaku transpose inapatikana aje katika fl yangu imejifichga
@OfficialBonta
@OfficialBonta 7 лет назад
fl 12 alafu real guitar niko na demop sijui kama una full plus uneza nitumia miniDizi @princekimata.com ambayo ndo email
@OfficialBonta
@OfficialBonta 7 лет назад
fl 12 alafu real guitar nina demo to if uko na full niokolee plus min dizi niforwardie kwenye email princekimata@gmail.com be blessed
@directorvampaya6686
@directorvampaya6686 7 лет назад
tajua vingi
@GhVisualsPro
@GhVisualsPro 7 лет назад
Niaje bro Rich Star Samahani naomba unisaidie Min Diz plz kupitia...! galawika@gmail.com
@amouraniry4208
@amouraniry4208 4 года назад
Broo mm wala sina mengi ila tu naomba unichek ata kwa smg watsap mana ata namba zako hukuacha kama ulivyo ahidi 0688889490
@ThePortOfHotBeats
@ThePortOfHotBeats 5 лет назад
Bro naomba iyo plugin Ndogo tafadhali kwa awickojawaya5@gmail.com
@hamzasaj6334
@hamzasaj6334 3 года назад
This guy napenda kazi zake sana 0700916199watsupp pia
@Richstartz
@Richstartz 3 года назад
Asante sana
@hamzasaj6334
@hamzasaj6334 3 года назад
Yo welcome producer myama🔥🔥
@Iam_iconbeats
@Iam_iconbeats 3 года назад
0784951375 nahitaji ocherstal plugin bro
@vichekeshoonlinetv6777
@vichekeshoonlinetv6777 7 лет назад
nimekukubari sanakaka sasa naomba unitumie vinanda kwenye email yangu shafiiyusuph20@gmail.com
@gordstarmussa3014
@gordstarmussa3014 6 лет назад
naomba unitumie hii beat mwana no 0689256964 naomba sana
@emmanuelmwakandulu8368
@emmanuelmwakandulu8368 6 лет назад
kaka naomba unitumie hiyo mindiz ,nbthenavigator@gmail.com
@mjombasilly3826
@mjombasilly3826 6 лет назад
min diz pia email yang ni (sylvestermathias13@gmail.com) nmba 0673371548 ntumie zako pia tchekiane do it hkos vocha
@sangraphics7040
@sangraphics7040 7 лет назад
msaada wa hiyo mindiz plugin sanyesanb@gmail.com
@kamdinimusic4252
@kamdinimusic4252 3 года назад
Bba mm nataka bit iyo shingapi nicheki kwa no 0714627204
@fathadgraphic2909
@fathadgraphic2909 4 года назад
email - fathadgraphic
@mussahamad9967
@mussahamad9967 6 лет назад
bro email iyo apo mussahamad222 @email
@badboy2577
@badboy2577 6 лет назад
Minajua kupiga piano ya live.nataka kujua kukonnect piano na kyipiga direct iingie kwa fl studio
@patientGrevislay
@patientGrevislay 6 лет назад
RAJUM PICTURES je piano Yako ni midi Pia?
Далее
Building a Tiny Office Pod Under My Stairs
51:47
Просмотров 6 млн
Бокс - Финты Дмитрия Бивола
00:31
Visualizing 4D Pt.1
22:56
Просмотров 934 тыс.
JINSI YA KUPIGA BEAT YA AMAPIANO KWA BEGINNERS
30:21
Просмотров 1,9 тыс.
How to OUTSMART The Game of “Reality”
40:25
Просмотров 951 тыс.