Тёмный

Jinsi Ya Kuwa Mtu Bora: Faida Za Tahajudi (Meditation) 

Evarist Chahali
Подписаться 19 тыс.
Просмотров 1,8 тыс.
50% 1

Moja ya maazimio yangu kwa mwaka huu 2021 ni kufanya jitihada kubwa zaidi katika sekta ya "Jinsi ya Kuwa Mtu Bora" kwa kimombo "Personal Development." Sababu kuu ni kwamba ili watu waweze kuhamasika kuleta mabadiliko katika ngazi ya taifa shurti wawe wamebadilika wao wenyewe, kwa maana ya kuwa na uwezo wa sio tu kutamani taifa bora bali kumudu kuchukua hatua stahili ili kufikia azma hiyo.
Lakini" Jinsi Ya Kuwa Mtu Bora" si kwa ajili hiyo tu bali pia ni kwa ajili ya maisha yetu ya kila siku hususan katika kukabiliana na changamoto mbalimbali

Опубликовано:

 

8 янв 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
ПЛАН ПРОТИВОДЕЙСТВИЯ МЕДВЕДЮ.
00:28
FAIDA YA SWALA YA TAHAJJUD
1:11:29
Просмотров 65 тыс.
Fanya hivi kupata nafasi za kazi Serikalini
3:06
Просмотров 10 тыс.