Ndugu saivi sio dar tyuu ni kwamba dodoma inakuja, mwanza inaendelea vizuli pia arusha ado ado na tanga coz na yenyewe bandari inarudi kwa matengenezo yanayofanyika na mikoa mingine yote usiseme mambo ni mazuli mabadiliko Kila pahala God bless our president God bless tanzanians, amen
Achana na majengo na uchangamfu wa Dar. Kwa sasa Dodoma ndio Tanzania. Kwasababu ndio Capital City ya Tz. Ukiizungumzia Tanzania direct utakuwa umeigusa Serikali kwa namna moja ama nyingine, kama tunavyo fahamu kwa sasa karibia shughuli zote za kiserikali zinafanyikia Dodoma. Dar itabaki kuwa Jiji la Biashara hiyo haina ubishi. Namba ya watu wanao ingia na kutoka Dodoma inazidi kukua kwa kasi siku hadi siku hii ni kutokana na Serikali kuweka kambi Dodoma hivyo basi kuhusu masuala yote yanayo gusa Serikali kwa sasa ni lazima utakanyaga Dodoma.
@@benjaminikimisha7195 hiyo ni Sawa coz shughuli zote za serikali zimehamia dodoma so mwenye kutaka huduma hizo lazma afike dodoma ndo maana iko hivi dodoma kwa Sasa ni mji mkuu wa shughuli za serikali na dar ni mji mkuu wa kibiashara, ndugu hii ni tanzania yetu iwe dodoma, mwanza, dar, arusha na mikoa yote mingine ni tz yetu so dodoma inakua coz ina miradi mingi mikubwa ya kimkakati iliyokamilika na inayoendelea kama soko na bus terminal za kimkakati, ujenzi wa ikulu kubwa zaidi Africa na hata kidunia ni yakipekee, ujenzi wa ring road ndefu zaidi sub saharan countries ukiiondoa South yenye ndefu kuliko yetu inayojengwa dodoma pia msalato international Airport na mingine ambayo tunajivunia coz tanzania inakua
Mkuu wa mkoa..mitaro ifunikwe tafadhali na pedestrian road ZIWE identified, tatu miti na majani na maua ni wachache mno ..hata kama barabara na majengo ni mazuri without miti hapapendezi..pandeni minazi au palm trees..itapendeza sana
Hii barabara wangewapa straburg...wangesha maliza zaamani...Huyu mkandarasi hamna kitu kabisa...km nne na nusu bado yupo kwenye kujenga lami...Vitendea kazi sivioni..watu ( personnel ) ni wachache mno ...kazi haiendi..ni mwaka na ushehe sasa unakatika
Bado Sana dar es salaam sio nzuri kabisa bar abara nyingi Ni mbovu na hata majengo mazuri Ni machache mnoo tuko nyuma sanass Happ kwetu hata kujifananisha na Nairobi au Kigali Ni ujinga mji mbayaa Hadi KARIAKOO ilala mnixi mmoja barabara mbovu mno barabara ndani ndo usiseme tunachekesha ss mtu mmoja anakuja na kusifia eti huyu juha wetu anafanya vizuri Sana haaa!!! tumerogwa feel no changes in dar es salaam vumbi michanga barabarani kwenyewe hata usafi hafifu kabisa alafu mnafananisha na Nairobi nyie acheni Mambo hayo wametuzidi Sana ata Ethiopia and is Ababa wako juu Sana sisi bado Sana barabara za ndani asilimia nyingi mbovu za vumbi maeneo Kama ilala no aibu pana magorofa mengi barabara chafu za vumbi Hadi Leo karia Koo bado eti kunabara za vumbi ujinga huu was serikali eti aijui viupaumbele juiacha KARIAKOO na barabara za vumbi ndo city center ya dar es salaam Ni ushamba tu tunafanya na Hawa viongozi juha wapenda kusifiwa muheshimiwa lakini hawatambui vitu sahihi kabisa na Bora makonda kutiko mkuu was mkoa wa Sasa hivi Hana lolote hata kujiereza hawezi na sio mtendaji ulimfaa mji Kama songea sio Happ hafai kabisa wakuhamishwa kabisa usafi finyuu kabisa barabara nyembamba sana maeneo mengi I'm
Ungeweka sound track ya Tazama .ramani, Ushauri kwa mainjinia wanaojenga barabara jaribuni kuwa mnafunika mitaro Tengenezeni njia za waenda kwa miguu Wekeni zebra nimeona ata sehemu ya ubungo interchange mahali ile njia ya juu inaishia hakuna zebra watu wanakimbia kuvuka barabara utadhani mashindano Fanyeni kazi kama watu zenye viwango Kwanini mitaro mnaiacha wazi wakati mnajua upepo ukija vumbi likiingia umo muda si mwingi mitaro itaziba hivyo kusababisha maji kusambaa barabarani au kwenye makazi ya watu mkandarasi yeyote atakayekuwa anakabidhi barabara bila kuziba mitaro au kuweka njia ya waenda kwa miguu au zebra kazi yake isikubaliwe na arudie kwa pesa yake wasituchezee tunawalipa alafu wanacheza na kodi zetu.
Ndugu tupambane nasi tutaendesha kwa zamu zetu, keep struggling and don't give up no matter what and remember to pray to God as he's our saviour once you pray he always listen and answer our prayers
Bro tumepata uhuru 1960s na S.A imepata kwenye 1990s and that makes us Lone survivors we built this country all by ourselves compared na S.A ambayo by 90% imekuwa built na mabeberu.
Great but we can do better... designer wa barabara waache kutuwekea mitaro ya wazi, na wenye majengo design hizo parking lot vizuri ziwe na mvuto maana naona michanga tuu na matope wakati wa mvua, watengeneze side walks na kuongeza majani na miti pataonekana pazuri sana
Zinatengenezwa njia nane wameshaweka side walk na kutoka morocco mpaka bamaga kuna mitaro iliyofunikwa ila kutoka bamaga mpaka mwenge mtato uko wazi labda walifanya vile kwa sababu wamepitisha mtaro mkubwa sana chini ya barabara juu ukapitishwa huu wa wazi
BADO SANA DAR ES SALAAM, NI UCHAFU MTUPU, MAJENGO MABOVU NA YA OVYO, NYUMBA ZIMEBANANA NA BARABARA NI FINYU SANA. HAKUNA CHA KUONA HAPO, UJENZI NI MBOVU SANA, UMEPINDAPINDA, MAJENGO YA OVYO ISIYO NA MIPANGILIO. HIVI NINYI AYO TV HAKUNA JINGINE LA KUONESHA?? EBU ACHENI UTANI NINYI WATU
@@eliasaismail6135 niko dar ata SAA ii 😂😂😂 Barabarara kubwa zaidi ni 4 lane( one way ) na bado inajengwa . Naishi oysters bay for a few years , you can come for a visit 🤗
Kwanza hio sio 3 lane labda kama macho yako yanamatege pili hio sio best road nakuna sehem waliposema wala walipo andika tatu hio barabara sasahivi inajengwa 8-10 lane tena lami aina ya concrete asphalt sio double Nne Nai kuna cbd moja sisi hii ni ya pili baada ya posta ya tatu tunaenda ku jenga mbezi luis bus terminal best bus station in the continet 💯
@@triplea3463 kabisa ndugu but tuendelee kuwajibu fact wafunge midomo yao wasione tz bado ni Ile nchi iliyolala utasikia eti dar iko nyuma Miaka 100 kwa dar nakuwa naumiza kichwa kuwaza ni nai ninayoijua ama Kuna nai nyingine imeletwa ikapandikizwa juu ya hii ya sasa
@@johnmlay4759 wewe ni ngombe sana . Barabara za Nairobi ndio hizo kwenye link jionee mwenyewe ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-Cc5Za5BjTm0.html