Тёмный

Jionee Wimbo Uliomkosha Rais Samia Baraza la Maaskofu, Atoa Zawadi kwa Kwaya ya Chuo cha Uhasibu 

Jugo Media
Подписаться 175 тыс.
Просмотров 46 тыс.
50% 1

Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
Jumuika nasi katika mitandao mingine ya Kijamii:
Instagram: / jugo_media
Facebook: / jugomedia2019
Mawasiliano:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 67   
@justinambrose3577
@justinambrose3577 3 года назад
Hongereni sana, jitahidi sana kufanyia kazi juu ya kusikika kwa maneno. Sauti Iko vizuri sana
@antidiuskaijanabo3715
@antidiuskaijanabo3715 3 года назад
Wasomi Wenzangu mnaimb vizur sanaah Mmeonyesha uthubut kwa Mama yetu wa Taifa
@theodorycharles4959
@theodorycharles4959 3 года назад
Hongereni sana wana kwaya wenzetu kwakutuwakilisha
@chimbo445
@chimbo445 3 года назад
Hongereni sana sana wimbo mzuri mno
@franciskalistus6987
@franciskalistus6987 3 года назад
TMCS TIA Dsm mumewakilisha vyuo nchi nzima Tanzania. Kazi nzuri.
@mussaananiasmyonga727
@mussaananiasmyonga727 3 года назад
Hongereni Sana.wanakwaya TIA
@martinodhiambo1639
@martinodhiambo1639 Год назад
Very organized,this great keep it up.
@donchibya2012
@donchibya2012 3 года назад
Great work 👏
@mkaapwekekariakoo6417
@mkaapwekekariakoo6417 3 года назад
Tumsifu Yesu Kristo... 😊
@laurencialeonard3932
@laurencialeonard3932 3 года назад
Aminaaaa 🙏
@felisterkokuberwa5783
@felisterkokuberwa5783 3 года назад
Kwaya nzuri sana mbarikiwe kwa sauti nzuri hivi
@davidalbert1209
@davidalbert1209 3 года назад
Wanaimba vizuri tatizo mpiga kinanda ndio kazngua sauti kubwa ili asikike yeye
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 3 года назад
Labda microphone za Jugo zilikua karibu zaidi na kinanda zaidi badala ya waimbaji 😀😀😀😀
@herbertnzowa8657
@herbertnzowa8657 11 месяцев назад
😂😂😂😂
@johnyurra-eb8yo
@johnyurra-eb8yo 10 месяцев назад
Ana shobo na kinanda sio😅😅😅😅
@herbertnzowa8657
@herbertnzowa8657 10 месяцев назад
Kijana ana Munkari
@michaelnyingi1898
@michaelnyingi1898 3 года назад
Always make sure we get the voices higher than keyboard......its very important..wimbo nzuri
@jude2168
@jude2168 3 года назад
Wimbo mzuri kabisa. Wimbo huu waitwaje tafadhali
@merinachalinze6455
@merinachalinze6455 3 года назад
Mbarikiwe vijana
@geroldjacob9845
@geroldjacob9845 2 года назад
Nzur sana
@eddyjosephmagenge9658
@eddyjosephmagenge9658 3 года назад
Hongereni Sana vijana wetu.
@godfreymrosso2051
@godfreymrosso2051 3 года назад
Nice one
@christopherkiiza3414
@christopherkiiza3414 3 года назад
Wimbo mzuri sana! ; MKIPATA FURSA TULETEE DVD ZA WIMBO HUU tuliko pembezoni BUKOBA DIOCESE.
@himerymsigwa9665
@himerymsigwa9665 3 года назад
Maneno mbona hayasikiki
@rehemavickie6521
@rehemavickie6521 3 года назад
Kinanda iko juu mno na sauti haisikiki kihivyo labda na nature ya ukumbi, ila wa kinanda angetakiwa ashushe kidogo sauti ili wasikike vizuri! Wako vizuri thou
@benedictojanuary4930
@benedictojanuary4930 3 года назад
Mpiga kinanda amezingua sana Kinanda kinasauti kubwa sana alishindwa kujiongeza kwa kuweka sauti ya kadri
@revocatuspaul1860
@revocatuspaul1860 3 года назад
Kabisa Kinanda sauti juu hata binafsi nimejaribu kusikiliza kwa makini hata sipati Neno lolote!
@kafulyawilson8567
@kafulyawilson8567 3 года назад
Organist alitaka asikike yeye,hovyo kabisaa
@vedastusvenancengata1528
@vedastusvenancengata1528 2 года назад
Safi sana
@lucassabida9235
@lucassabida9235 3 года назад
Mh mama yetu mungu aendelee kumlinda. Watanzania wote tuko nyuma yako mama. Watanzania tuna kila sababu ya kumsaidia Rais wetu anajitahid Sanaa basi tu. Anajitahid Sana kurekebisha mambo nanhawezi kumaliza kwa siku moja maana hii ni nchi mengine yanahitaji utaatibu wa kisheria. Viva mama viva Samia Suluhu Hassan Rais wa JMT
@dorahmanyilika508
@dorahmanyilika508 3 года назад
Maneno yangesikika wimbo ni mzuri sana jitahidini maneno yasikike
@lucymrema8786
@lucymrema8786 3 года назад
The words are not clearly uttered! Some are dancing their own directions! Poor work
@lutigardkomba1215
@lutigardkomba1215 3 года назад
Elimu ,sala na kazi,mbarikiwe sanaaa
@ameedamilja7992
@ameedamilja7992 3 года назад
Nice
@nicodemusjulius4614
@nicodemusjulius4614 3 года назад
Tafadhali naomba mwenye copy ya wimbo....maneno pia hayasikiki vizuri japo nahisi kama "Eee mamanyetu Samia..tunakupenda upeo...kwa kazi unayotenda nchini mwetu; tazama Mungu ametujalia uhai na afya tele...Tanzania yote inakupenda Mama chapa kazi"
@epistermichael8161
@epistermichael8161 2 года назад
Hongera umenisaidia hata kujua kilichoimbwa maana nlikuwa najitahidi kufuata midomo lkn wapi
@hellenmroso6786
@hellenmroso6786 3 года назад
Kinanda kinasikika zaidi kuliko maneno ya wimbo mbona.
@editamujuni94
@editamujuni94 3 года назад
Nina hamu ya kusikiliza maneno
@magetutakukumbukadaima6195
@magetutakukumbukadaima6195 3 года назад
Tunasikia Sauti ya kinanda maneno hayasikiki
@johnmartine8745
@johnmartine8745 3 года назад
Maneno hayaelewk
@JaphetRingo
@JaphetRingo 3 года назад
Not hearing words. Very unlucky
@wanderafilms
@wanderafilms 3 года назад
wimbo mzuri sauti zapendeza, lakini poor sound quality.
@leonardjamesleons4038
@leonardjamesleons4038 3 года назад
Basi mtuambie wimbo unaitwaje tu download
@johnmacharia5147
@johnmacharia5147 3 года назад
Pigeni pasi dance style line ya kwanza.
@johnmartine8745
@johnmartine8745 3 года назад
Well do'nt
@januariatv2761
@januariatv2761 3 года назад
Ijapokuwa sina utaalamu wa kupiga kinanda,ila mpiga kinanda kawaangusha wanakwaya Kinanda kimekuwa juu mnoooo
@kafulyawilson8567
@kafulyawilson8567 3 года назад
Kaharibu mnooo
@petromtakati2975
@petromtakati2975 3 года назад
Basi watu tupo tofauti saana maana mm naonaga bola kinanda kuliko sauti😁😁😁😁😅but all is fine nah
@leonardjamesleons4038
@leonardjamesleons4038 3 года назад
Maneno hata hayasikiki daah😥😥😥
@marysona2663
@marysona2663 3 года назад
Wimbo maneno hayasikiki kinanda sauti juu, waimbaji wenyewe sauti juu ni shida hata hamjainjilisha chochote hapo
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 3 года назад
Wimbo ni mzuri isipokuwa maneno ya wimbo hayasikiki, tuandikie maneno yanayoimbwa
@mzazi1467
@mzazi1467 3 года назад
Organist kazingua eco IPO juu zaid ya saut za waimbaji maneno yanamezwa.
@kafulyawilson8567
@kafulyawilson8567 3 года назад
Umeona eee
@rehemavickie6521
@rehemavickie6521 3 года назад
Kabisa
@johnmacharia5147
@johnmacharia5147 3 года назад
Piano too Much loud!!!!!
@kafulyawilson8567
@kafulyawilson8567 3 года назад
Umeona eee
@kafulyawilson8567
@kafulyawilson8567 3 года назад
Hovyo mnooo
@jhonchege7258
@jhonchege7258 3 года назад
Hivi wimbo wa dini Nia huwa ni Nani?hapo anaetukuzwa na kuimbiwa ni Mungu BABA ijapokuwa ni kwenye kikao raisi wa taifa amehudhuria. Basi mbona comments mnalalamika mcheza kinanda na sauti? Mungu yeye kaelewa Kila neno. Kuna wimbo wa Danken "Haufananishwi na kitu kingine" mwanzoni ulisemwa sauti naye Mungu akauinua kwenye RU-vid umepata views mamilioni
@ligobertwile6590
@ligobertwile6590 3 года назад
Maneno hayasikiki
@kafulyawilson8567
@kafulyawilson8567 3 года назад
Organist alitaka asikike yeye,hovyo kabisaa
@miletuskgmiletus4168
@miletuskgmiletus4168 3 года назад
Sasa barakoa zinafanya kazi kweli hapo. Yaani mmevaa kuridhisha mabeberu halafu mmeanza kuimba mmetoa. Kweli bure kabisaa. You either wear them or not at all. But hapo buuuure. Hakuna mnachokizuia kabisa
@lucassabida9235
@lucassabida9235 3 года назад
Huwezi kuwaita watu Bure kabisaaa. Uwe na adabu tafadhali
@theodorycharles4959
@theodorycharles4959 3 года назад
wewe hujielewi kabisa mnawaita mabeberu kilakukicha mnatumia misaada yao msiojielewa ninyi unakitugani ambacho siochao pimbi wewe bado unatabia za mwendazake
@juliusmoringe2289
@juliusmoringe2289 3 года назад
Wimbo mzr ila maneno hayasikiki
@getrudistula8187
@getrudistula8187 3 года назад
@@theodorycharles4959 Hivi mkizungumza ktk discussion zenu bila kumtaja JPM makoo yanakuwa yanawawasha nini.umuache apumzike ktk usingizi wa Amani. Hata wewe ni mwenda zake mtarajiwa, hebu kuwamstaarabu.
@theodorycharles4959
@theodorycharles4959 3 года назад
@@getrudistula8187 Dikteta ndio Muuwaji
Далее
Песня РАСПУТИН на русском!🔥
00:56
UNATHAMANI Mwita Isack. MWITA ISACK & FRIENDS
6:34
Просмотров 228 тыс.
MUNGU ANAWEZA YOTE | Official MV- 2024🎉🎉🎺🎧
8:47
Песня РАСПУТИН на русском!🔥
00:56