Тёмный

JKizondo na Upweke wa Marekani 

JKizondo Swahili Bites
Подписаться 6 тыс.
Просмотров 51 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 авг 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 196   
@1964AliK
@1964AliK 11 месяцев назад
Ahsante mama. Mbali ya hizo kazi zako nakunasihi ifanye Quran rafiki yako mkubwa. Jaribu kuisoma na ufahamu tafsiri yake na ikuwezekana fanya bidii ya kuhifadhi japo kidogo. Ukweli itakutibu stess sana na kukusaidia kwa mengi. Tafsiri ya Quran kwa Kiswahili inapatikana mtandaoni ya Sheikh Ali Muhsin. Maisha mema
@jkizondoswahilibites434
@jkizondoswahilibites434 11 месяцев назад
MashaAllah Shukran sana kwa maoni yako mazuri ambayo tayari nayafanyia kaxi JazakaAllahu khairan
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 месяцев назад
Samahani sana lkn inabidi tuseme ukweli ili watu waweze kujikwamua mana wengi husikitika stress/upweke na mwisho wake baadhi Yao huishia magomjwa ya akili, Allah atuhifadhi sote, amiin
@mwanaseeejuma601
@mwanaseeejuma601 10 месяцев назад
​@@Fear_Allah394i
@rukiaabdul7191
@rukiaabdul7191 10 месяцев назад
Kweli kabisa.Ukifanya Qur'aan rafiki yako itakuzowea na utahisi upweke unapoikosa.
@nargisifni1570
@nargisifni1570 10 месяцев назад
Subhannallah mola awahifadhi ummat Muhammad mola awajaalie mushike dini sana msiache quraan na sunna wewe na family yako
@yunushaji5327
@yunushaji5327 11 месяцев назад
Allah akupe wepesi. Njoo huku utulie Aunt!
@user-qm8up5cp9m
@user-qm8up5cp9m 9 месяцев назад
Alhamdulillah 'alaa kuli hali. Pole dada kwa huo upweke ni ngumu sana maisha ya ng'ambo mswahili ni kiumbe ameumbwa kuishi na jamii kwa furaha na amani.
@salmasalehalihassan6731
@salmasalehalihassan6731 10 месяцев назад
Jamila Allah is with you...may he protect you....
@sisterfey3465
@sisterfey3465 10 месяцев назад
Wa Aleykum salam sister Jamila na mimi na ndugu zangu tunakupenda fi Allah daima twakutaja kwa kheri unatuchekesha Jazashi'Allah kil'kher Allah akufanyieni wepesi na faraja katika kila gumu Liwe jepesi🤲 Kwa kweli sisi binadam tupo kwenye mitihani popote utapoishi ulimwenguni ikiwa kwenu au ugenini - Lamuhimu tuwe na Subra - Allah anatupa mitihani anatupima Imani zetu either tushukuru or tukufuru - tunamuomba Allah atuvushe salama kwenye mitihani anayotupa ya duniani na ya akhera na atujaalie khatima njema tuingie peponi In'Sha'Allah. ILa tujitahidi na silaha tatu za muhimu iLi tupambane na maisha - yakwanza ni (Iman kwa Mungu), Tuamini kuwa m'mungu ni mmoja hakuna mwingine na yeye ni muweza wa kila kitu Kwahiyo daima tumtegemee - na mwenye kumtegemea m'mungu anamjaalia milango ya faraja La muhim tusichoke kumuomba na kumuabudu. - Silaha ya pili Subra, tumuombe Allah atupe Subra fa Inna Allah masabrin m'mungu yupo na wenye kusubiri - Na silaha ya tatu Shukur kwa Allah, Daima tumshukuru Allah kwa kila kitu kwa furaha na karaha, tumshukuru kwa kila neema yoyote alotupa japo ndogo yaani tukinai - neema ya kwanza na muhim sana neema ya Uislam na kitabu chake katushushia Qurani wache tuijaalie iwe rafiki yetu inatupa Subra, raha ya nafsi, inatufungua akili, inatupa maarifa ukiifaham, na inatufundisha tusoyajuwa ya kumridhisha m'mungu. Tumshukuru Allah akitupa Afya, kwani wengi hawana upweke wame zungukwa na ndugu na majirani Lakini hawana Afya, hawawezi hata kutoka nje ya Nyumba na kuwatembelea watu. kila tukiamka asubuhi tuseme Alhamdulilah bado unaishi na una afya njema. Sister Jamila mashallah M'mungu kakuumba mzuri, bashusha, mcheshi na una imani, kakuruzuku mume na watoto you have nice family Alla ibarik mashallah mupo pamoja, mupo happy Alhamdulilah Allah akulindeni na kila mabaya In'Shaa'Allah wengi hawajaolewa au wameolewa Lakini hawana watoto - nakama usemavyo these days kuna mitandao ina turahisishia mengi Alhamdulilah tunaonana kwa sauti na picha tunashea online ikiwa sherehe or masomo upo nyumbani kwako Lakini unahudhuria live, bila ya kuhitajia kutoka au kuhitajia gari, wala safari yaani wajib tuseme Alhamdulilah rabil'alamin 🤲 kulinganisha na zamani mtu akisafiri hawawasiliani ILa kwa baruwa uifate post kama unamiliki postbox Otherwise inapita miaka mpaka iLi muonane tena mkijaaliwa uhai. Subhanallah kila jambo lina kheri yake Bora uko kivulini unakula na kulala pazuri wenzetu wapo vitani wakiishi Leo hawadhamini kesho - Let be positive huo upweke Labda Allah anakuepusheni na mengi mabaya na hasa huko hakufanani na mazingara yetu kama usemavyo - tusichukie kitu Labda kina kheri na sisi - tuchukulie kuwa upweke ulikuwa kama sababu na chanzo cha kuzinduka na kuchukua uamuzi upate kujishughulisha kwenye manufaa na In'sha'Allah yawe manufaa ya duniani na akhera - Mathalan faragha imekupa fikra ya kujilewaza na kulewaza wenzako kwa njia ya mtandao unatuchekesha tunafurahi unapata thawabu - tunaambiwa tabasam au kucheka kwenye uso wa ndugu yako muislam sadaqa😊 mimi kila siku nakutafuta mtandaoni Nipate kucheka umetufundisha Mahamri 😅namengi Jazashi'Allah kil'kher 🤲 Tuseme Alhamdulilah rabil'alamin kwa kila hali. Go ahead dear Allah karim - big hug with Love ❤️🌹
@jkizondoswahilibites434
@jkizondoswahilibites434 10 месяцев назад
MashaAllah Alhamdulillah kwa maneno yako mazuri na ya busara ❤️❤️. Alhamdulillah JazakaAllahu khairan ❤️❤️
@jinaali4370
@jinaali4370 10 месяцев назад
Mashaaallah! Allah akusahilishie wewe , ayla yako na sisi tulio huku na ayla zetu. amyn!
@user-en9qq1cy9x
@user-en9qq1cy9x 10 месяцев назад
Asante mungu akubariki nikwel uyasemayo
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 11 месяцев назад
Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi...shida zetu zikisha turudi nyumbani, salama insha Allah
@jkizondoswahilibites434
@jkizondoswahilibites434 11 месяцев назад
Amen yaa rabb
@asyamubanga8906
@asyamubanga8906 10 месяцев назад
Shukran Jamila... alhamdulillah MEM ametufundisha dini, Imani kwa hivyo we try our best but as a physician you can't help but feel sorry for elderly patients who just want somebody to talk to or have been abandoned by their families or countless people with depression and suicidal idealities..the basis is all loneliness. Thank you for bringing awareness to this topic. We love your videos. Mandaazi is not the same as mahambri. Regards from Virginia. Watu huku udegene utetene..love from Lamu
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 11 месяцев назад
Mtihani, aunty unacheka na embe! Allah atufanyie wepesi na mazonge ya dunia.
@halimaali3719
@halimaali3719 11 месяцев назад
Amini yarabi mungu atujalie salama inshaallah
@aishamaulana6344
@aishamaulana6344 10 месяцев назад
Allah awahifadhi, muko na chance mzuri yakuhifadhi maneno ya Allah (qur'an)
@user-bz1wl4si8j
@user-bz1wl4si8j 11 месяцев назад
na sie twakupenda kwa ajili ya Allah... Shukran mwenyezi Mungu akulinde inshallah
@AlhajJuma-qy7xv
@AlhajJuma-qy7xv 4 месяца назад
Mashaallah twakupenda pia jamila Allah atawalinda na atulinde n sisi tulioko kenya
@hamidarehman546
@hamidarehman546 10 месяцев назад
Waleikum Salam warahmatulwahi wabarakatu na siye twakupenda kwa ajili ya Allah Jazakilahu khairan
@Humanity4518
@Humanity4518 11 месяцев назад
Kweli maneno yako habibty... I can clearly relate to what you are saying sister.. It's not easy but that is life alhamdulillah na kila kitu ni makatib... Waarabu wasema "al ghurba saa'ba'" ugenini ni ngumu si rahisi... Mimi huondowa upweke hasusan nikiwa peke yangu nyumbani kwa kuskiza utube darsas za different shuyukh one of them ni sheikh Izzudin na jokes zake at times😅 huwa najskia niko home away from home😂 na naskiza kwa sauti ya juu kama vile radio.. so huku nafanya my house chores na huku naskiza durus nafaidika at the same time alhamdulillah... this is how I find relief and content in my heart😊 Be strong habibty and remember you are not alone Allah is with us all😊 Sending dua'a and hugs your way❤
@fatmamansour2764
@fatmamansour2764 10 месяцев назад
Shukran mpenzi wangu Allah atakuzidishia Iman na upendo maneno yako yote ni ya ukweli
@taflamohsin2195
@taflamohsin2195 9 месяцев назад
Kwanza nakupa pole kwa maisha ya ugenini.Insha Allah Mola akujalieni kipato hicho mlokiendea.mkifanikiwa basi rudini kwenu.mtu kwao.hayo si maisha 😮. hususan kwa watoto.Subhana Allah .fikirieni kuna kesho mtaulizwa wachungaji.nini ulichokichunga.dada angu jiandae.
@ashajumapili7148
@ashajumapili7148 11 месяцев назад
Naaam shukrn sana kwa kutujuza na ALLAAh akuhifadhi wew na SiS pia
@Sweetie-im2jd
@Sweetie-im2jd 10 месяцев назад
Masha Allah bless the good work of your hands 🙏🥰🌹🌹😍💐🌹🌹🌹🌹💐💐💐🙏🙏
@fatmaally7252
@fatmaally7252 11 месяцев назад
Huwa nakupenda sanaaaaaa sana mpaka nashanga wallah Allah akujaarie kila la kheri Amiina inshallah unanifurahisha nafurahi kukusikiliza pia
@HassanMpate-el8bf
@HassanMpate-el8bf 10 месяцев назад
shukran sana mama allah azidi kukuongoza katka dini ya uislamu na akukinge na shari za viumbe vyenye kudhuru
@lindakapongo8421
@lindakapongo8421 11 месяцев назад
asante kwetu pazuri mno naipenda sana tanzania yetu upendo bado upo
@samiasalim8322
@samiasalim8322 9 месяцев назад
Kama jwatisha dada mutume murudi makwenu maisha ma uri ni kuwa na amani peace ya moyo kichwa hio tu nothing else
@aboudybahmesh5424
@aboudybahmesh5424 10 месяцев назад
Mashaallah Allah akuhifadhi daima na pia nauliza hayo maembe wafanya achari ya kulia wali au ni km mabuyu
@fatimajuma8900
@fatimajuma8900 11 месяцев назад
Naam Kabisa na siye wengine tuko km miji ya huko kuwa na Allah Subhaana ❤ Kila wakati dini imekupangiya mpangiliwo wote WA siku nzima unatakiwa Nini ufanye Ili ufarijike ukitaka mzungumzaji kuraani inakutosha Alhamdulillah una Mume watoto dini liislaamu ❤ ni neema kubwa tuliya jipumzishe neema kubwa halikufiki jambo ila limekadiriwa maisha ni mpangiliwo upumzishe Moyo upumzike una sehemu yake ridhika na ushukuri mengine ni makubwa zaidi yetu siye tuseme Alhamdulillah tumuachiye Allah Subhaana vna viumbe wake In Shaa Allah
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 месяцев назад
Maa shaa Allah angalau nimekutana na msg ya maoni yangu. Ttzo wengi wao hua si wenye kujishughulisha na dini na hata uchaguzi wa marafiki. Nchi hii ukiikosea mtihani!!!
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 11 месяцев назад
Waalaikumussalam Warahmatu llahi wabarakatuhu Habibty ❤❤❤❤
@khadijaali4657
@khadijaali4657 11 месяцев назад
Assallam aleykum warahmatullahi wabarakatuh,shukran sana dadangu Allah barik inshallah 💞💞you so much dear from kenya
@jkizondoswahilibites434
@jkizondoswahilibites434 11 месяцев назад
Shukran dadangu nakupenda pia 🥰
@user-dy5mm6er8m
@user-dy5mm6er8m 10 месяцев назад
Hiyo nchi imelaaniwa fanyeni mpango muondoke hakuna maisha huko
@twalhakassaisa7938
@twalhakassaisa7938 10 месяцев назад
Nakuelewa dadangu . Mimi pia nipo Marekan
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 11 месяцев назад
Ameeen &ameeen Inshallah shukran dada jamila
@AfiSoul103
@AfiSoul103 10 месяцев назад
😂😂😂😂😂 loo nacheka mie..asaa.. huku nipo Spain na maisha ndo hvyo hvyo😅😅
@shamzone388
@shamzone388 11 месяцев назад
Ninkweli unayosema watu wetu wakisikia fulan yupo amerika wao waona yupo jannat firdous hawajui maisha ya huko yalivyo Allah atawastir daima dini na ibada ndio silah ya muislam quraan itawakinga na kila shari Allahuma Amin
@samiasalim8322
@samiasalim8322 9 месяцев назад
Mungu atawanusuru but ni hivo
@fatmasalim7496
@fatmasalim7496 10 месяцев назад
Jamila you are the best
@mariamayubu175
@mariamayubu175 10 месяцев назад
Ma sha Allah
@khawlamsellem2315
@khawlamsellem2315 10 месяцев назад
Allah atawahifadhi leta adhkar kwa wingi na kusoma Quran, na dua kwa wingi, Allah yupo na nyinyi
@mamitomamita6284
@mamitomamita6284 11 месяцев назад
Watu huwatwa Makwao kwa shida za kilimwengu ALLAH AWAHIFADHI YAARAB🤲🏽
@aminayusufnassim3039
@aminayusufnassim3039 10 месяцев назад
Mimi niko Sweden na nakuelewa kabisa. Tena afadhali wewe uko na familia. Mimi niko peke yangu. InshaAllah Mola atatupa afueni
@imamumohamedmalina6995
@imamumohamedmalina6995 11 месяцев назад
Shukran jaziira
@omarworldwide
@omarworldwide 10 месяцев назад
Wa alaykum salaam my favorite sister
@omanmct135
@omanmct135 11 месяцев назад
Aaaalllah anatumpenda sana❤❤
@waheedaw1953
@waheedaw1953 11 месяцев назад
inshaAllah Allah atakusaidiya kwa kila jambo
@halimasaid506
@halimasaid506 11 месяцев назад
Allah atakuhifadhi na mm pia Nakupenda
@khadijaali299
@khadijaali299 10 месяцев назад
Pole ni rizki imekuita huko lakini kweli ni pagumu na maisha ya dhiki
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 10 месяцев назад
Salam zangu kutoka neworleans Louisiana Nime furahi Sana nduguyagu maisha ya marekani
@ahmedabry293
@ahmedabry293 11 месяцев назад
Ni kweli kabisa upweke na faragha ni kitu kibaya Sana.. Mimi mke wangu kasafiri miezi minne tu basi unaona upweke Sana Ile siku yake ya kurudi unaiona mbali ni kwa sababu nchi za nje hizi upweke unakuwa mkubwa Sana.. Labda upate mambo ya kujibabaisha labda mazoezi kwenda mpirani.. Allah atupe nguvu na subra
@yunushaji5327
@yunushaji5327 11 месяцев назад
Aamin
@ramlajeffah9831
@ramlajeffah9831 11 месяцев назад
Twakupenda pia kwa ajili ya Allah dadaa
@omanmct135
@omanmct135 11 месяцев назад
Subhanalllah
@z-1il
@z-1il 10 месяцев назад
Ameen yaraab
@asmaafamau8307
@asmaafamau8307 11 месяцев назад
Subhanaallah
@suleimanqassabi6602
@suleimanqassabi6602 10 месяцев назад
Asante Jamila
@neemairadukunda2113
@neemairadukunda2113 11 месяцев назад
Kweri Allah atunusuru. Kuna muda kicwa kinaniuma mana natumia nguvu namuda mwingi kujiongeresha mwenyewe nawaza nakuwazua^😢
@abdul-rahmanfakijuma1879
@abdul-rahmanfakijuma1879 11 месяцев назад
Subhaana llwah Innaa lillaahi wainnaa ilayhi rajiuun
@MtandaKibari-zm4bj
@MtandaKibari-zm4bj 10 месяцев назад
Mashaallah na poleni sana
@paulmushi2428
@paulmushi2428 11 месяцев назад
Kama unaona upweke hamieni Makha au Madina au mrudi nyumbani
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 месяцев назад
Unaeza kuishi Makka, Madina na huko nyumbani na ukawa mpweke pia. Maisha bila ya Allah ppte pale yatakupa upweke na stress.
@mohamedabdallah2212
@mohamedabdallah2212 10 месяцев назад
Wachaa upuzi weee
@paulmushi2428
@paulmushi2428 10 месяцев назад
​@@Fear_Allah394Kwa hiyo huyo Hana Allah ndiyo maana mpweke?
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 10 месяцев назад
@@paulmushi2428. Jibu lako utapata kwenye Qur-an 13:28, Qur-an 20:124.
@nkurunzizaabdul-aziz7211
@nkurunzizaabdul-aziz7211 10 месяцев назад
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh mbone hamuombe kurudi nyumbani
@khadijanurdin3163
@khadijanurdin3163 11 месяцев назад
Dooooh!polen kwa kweli,
@khadijaali299
@khadijaali299 10 месяцев назад
Allah atawahifadhi awape na subra
@sameraakhf5605
@sameraakhf5605 11 месяцев назад
Uyo mama kashaona maisha ya uko alivo kwann asimpeleke mwenyewe mpaka akamfikisha lakini mnajitia mna haraka na kutafuta pesa
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 месяцев назад
Na nyie mnaojitia hamna haraka ndio number moja kwa kuvuruga akili za jamaa zenu. Mana wengi wenu mmekaa huko mara niletee I phone 14 pro max wkt mwenzio hata kuijua haijua, Mara mnadai viwango vikubwa vya pesa na kusingizia majanga Mara umeezukiwa na bati Mara unauguliwa, Mara hli Mara lile, Mara mnawadanganya kufanya biashara mnawadhulumu Mara wanakuaminini muwajengee mnawadhulumu na kuwajengea vibanda mitaa ya ng’ambu na kuwatumia picha za nyumba za mitaa ya ghali au mnazila kabisa pesa zote hakuna hata kibanda mnaongezea wake au mnalia samaki wanene.
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 месяцев назад
Nchi hzi upweke upo lkn ukiutaka kwa sbbu mambo yapo mengi yakufanya. Misikitini darsa za kusoma/kujifunza Qur-an na pirika tofauti zpo, kazi za ndani ya nyumba zinakutosha pia si kidogo na hatuna wafanyakazi, km waisilam pia kujitahid kusoma Qur-an na kuhifadhi japo sura ndogo ndogo, kazi za kuajiriwa zimejaa za kufanya ujipatie pesa nk, sehemu za kutembea na wtto au km hamna pia zimejaa! Upweke unatoka wapi????? Mm nahisi inategemea na maisha uliotokea Afrika, ikiwa ulikua mtu wa vibaraza, umbea utaona upweke lkn km ulikua mtu wa pirika zako mwenyewe hujisikii upweke.
@muniraramadhan9097
@muniraramadhan9097 11 месяцев назад
ALLAH AKUBARIKI NA BIDII ZAKO NA KAZI ZAKO ZA MIKO O
@muniraramadhan9097
@muniraramadhan9097 11 месяцев назад
SUBHANALLAH ALLAH😢
@muniraramadhan9097
@muniraramadhan9097 11 месяцев назад
AMIN THUMMA AMIN
@jisooismybiasandsoisyours4299
@jisooismybiasandsoisyours4299 11 месяцев назад
Jamila nakupenda dada angu
@jkizondoswahilibites434
@jkizondoswahilibites434 11 месяцев назад
Ameen yaa rabb shukran sana
@paulmushi2428
@paulmushi2428 11 месяцев назад
​@@jkizondoswahilibites434 Kama unaona upweke huko nawashauri mmhamie Makha au Madina
@hassanambarakmbarak8759
@hassanambarakmbarak8759 11 месяцев назад
Mashallah
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 11 месяцев назад
Pole sana na Hongera Kwa kuwajuza wale wote wenye Tamaa ya kufika huko! Kwa uelewa wangu kila kitu kina Hasi na Chanya, huko pia kuna Hasi na Chanya, na huku kwetu kuna Hasi na Chanya, kama kuna changamoto hiyo huko basi chukua yaliyo Chanya ya huko na uyaache yaliyo Hasi na ikiwezekana kuchukua yaliyo Chanya , baadae pima mwenyewe Hasi na Chanya za nyumbani Afrika na za huko Bora wapi, halafu chukua hatua! Kumbuka Tu waswahili wanausemi wao kuwa " mwenda kwao si mtumwa ", na wazungu pia Wana usemi wao "Go East, West, South, North , but home is the best"
@salma0000
@salma0000 11 месяцев назад
Leo sheikh sijaona ndani hapo itabidi uje unitafsirie, kwa wakati wako😂😂😂
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 11 месяцев назад
@@salma0000 Hasi (negative) , Chanya (positive), Kwa lugha nyepesi mabaya na mazuri,,,
@jkizondoswahilibites434
@jkizondoswahilibites434 11 месяцев назад
MashaAllah kakangu Juma maneno kuntu ulosema yenye uzito wa busara MashaAllah Shukran sana, nimejifunza kitu from you shukran sana
@salma0000
@salma0000 11 месяцев назад
@@jumakapilima7295 shukran
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 11 месяцев назад
@@jkizondoswahilibites434 Shukran sana, hata Mimi pia nakiri nimejifunza sana Kwa maneno yako mazito kupitia clip hii! Be blessed!!
@khadijaali299
@khadijaali299 10 месяцев назад
Ameen Yarabb
@Abdulrasul173
@Abdulrasul173 10 месяцев назад
soma sana qur an ifanye kuwa ndio rafiki yako
@aishamzeehamissi6859
@aishamzeehamissi6859 11 месяцев назад
ASALAM POLENI SAANA NDUGU ZETU MLIOKUWA NJE KUMBE MNACHANGAMOTO SAANA ALLWAA ATAWANUSURUU . CHA ZIADA SWALA NA DUA . MAISHA NDIO YANAYOTUHANGAISHAA ALLWAA KARIM
@mukadarmukadar7881
@mukadarmukadar7881 11 месяцев назад
Dada etu twakupenda sana
@thumnathumna5946
@thumnathumna5946 11 месяцев назад
Tinaongea na ukuta wakati kwetu tuna family.
@PAPRATZ
@PAPRATZ 5 месяцев назад
Hahaha hatari
@saidjelani1566
@saidjelani1566 11 месяцев назад
Watu hawajui nyumbani vile kuko hapa subhanallah
@zamalisaide3209
@zamalisaide3209 10 месяцев назад
Amiina allahumaa amiina
@aboudybahmesh5424
@aboudybahmesh5424 10 месяцев назад
Pia umefanya vizuri kusema watu wasiwe na tamaa ya kuja uko watosheke na ukuuku waliko matamaa ya mapesa simazuri tujifunze kushukuru
@user-sx9hz2xq8o
@user-sx9hz2xq8o 10 месяцев назад
Huo mtihani lkn muko bad munaishi
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 месяца назад
👍👊✌️.
@user-dy5mm6er8m
@user-dy5mm6er8m 10 месяцев назад
Dada yetu tafuta namna ya kuhama hiyo nchi haikufai hama
@user-qz4sy3nt9i
@user-qz4sy3nt9i 10 месяцев назад
Amin yarabi thuma Amin
@piuskusenge-jf2ob
@piuskusenge-jf2ob 10 месяцев назад
Na kama si msomaji vitabu ndo kamisaa😂😂😂
@PAPRATZ
@PAPRATZ 5 месяцев назад
kitabu hakisomeki,labda movie
@amina2044amin-zv2gh
@amina2044amin-zv2gh 10 месяцев назад
Amen .🤲🤲🤲🤲
@user-yi7bx9ou1z
@user-yi7bx9ou1z 10 месяцев назад
Ameen
@omanmct135
@omanmct135 11 месяцев назад
Aaaalllahmdulilah
@ishaanizkeah8814
@ishaanizkeah8814 11 месяцев назад
Allah atuhifadhi
@sudidala178
@sudidala178 10 месяцев назад
Ameen yarabbi 🤲
@kaltunabdirahman3281
@kaltunabdirahman3281 8 месяцев назад
❤❤❤
@ziadaskitchen5060
@ziadaskitchen5060 11 месяцев назад
Ahsant my
@salojaanbaloch
@salojaanbaloch 10 месяцев назад
Sister wa Sama Sawa sawa
@florencenuru4687
@florencenuru4687 10 месяцев назад
Fadhani niwe mpweke America kuliko kua maskini Africa dada wacheni kufuja watu moyo
@sasamama7934
@sasamama7934 10 месяцев назад
S.a habbty plz unaijua chapati ya oho plz vp unaipika na vitugani unatumia vya kupika
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 10 месяцев назад
👏🏾👏🏾😥
@salimabdallah5176
@salimabdallah5176 11 месяцев назад
Hayo maembe yatoka wapi
@jumanassoro1552
@jumanassoro1552 11 месяцев назад
Ndio maisha ya kidigitari ayo
@saidjelani1566
@saidjelani1566 11 месяцев назад
Siurongo sister
@JosephSimiyu
@JosephSimiyu 11 месяцев назад
Hutujambo dadangu na ubarikiwe
@kdloon2030
@kdloon2030 11 месяцев назад
Wanawake wengi wanaishi kwa upweke kwa sababu ya tamaa zao,anamfukuza mwanaume au kumfungisha jela,ili hela ya Tax return aipate peke ake.
@salma0000
@salma0000 11 месяцев назад
She has a husband and kids, the only time she feels lonely is when her husband and the kids are not home.
@jkizondoswahilibites434
@jkizondoswahilibites434 11 месяцев назад
Hakuna mahali nimetaja maneno uliyoyasema wewe, SoubhanaAllah kumshutumu mtu ni vibaya au kuchanganya waliokuwemo na wasiokuwemo pia sio Sawa. Allah atusameh in Shaa Allah Ameen
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 месяцев назад
@@jkizondoswahilibites434.Kasema wengi lkn sio wote. Na hlo alilolisema lipo. Tuishini kiisilam na tutafute marafiki wa kiisilam wenye tabia nzuri akili zetu ziondokane na kutawaliwa na shaitwani. Mm nashauri sana hayo pamoja na kutafuta marafiki wa mataifa mengine ambao wanadini, imani na upendo wa kweli. W’ke wa nyumbani wengi wao akili zetawaliwa na hasad na ushaitwani. Hata ushauri hawana mana km huku Ulaya unakuta w’ke wa nyumbani wengi wao wanavuta waume zao huwafundisha waseme hawana waume au wenyewe wanapenda kufanya hayo huwaambia waume zao. Ssa ikiwa m’ke anaakili hzo za kuvuta unategemea atakushauri nn??? Ikiwa hata mwenyewe haki zake za kujuilikanq ndani ya nch kua anamume hazitaki.
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 месяцев назад
W’ke wengi sana wanashauriana upuuzi.
@fanni-ck6do
@fanni-ck6do 11 месяцев назад
kweli kabisaa wallay maisha ya huku america ulaya heee yataka subra kweli kweli house maid hawapo kazi zote utajijuwa hahaha
@kassidpandu866
@kassidpandu866 6 месяцев назад
Mbona Hamrudi bc Nyumbani!
@jkizondoswahilibites434
@jkizondoswahilibites434 6 месяцев назад
Hii video uliangalia taehe yake lakini? Au basi tu mswahili mpaka usunduge?
@waziriwaamani-ky2cg
@waziriwaamani-ky2cg 11 месяцев назад
Tafteni rizku muje muwekeze kwenu,musiombe kuzeekea huko,kwatisha,kwetu waislamu usiseme twachukiwa kweli kweli.
@jkizondoswahilibites434
@jkizondoswahilibites434 11 месяцев назад
Kwa asiye na akili basi hata ukimtia akili ni kupoteza wakati, ila kwa mwenye akili zake anajua hakuna kama kurudi nyumbani.
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 месяцев назад
Watu wengi sana wanawekeza lkn mnawadhulumu, na wengine mnawapa mizigo mingi sana kwa kuwakusanyia mttzo ya uwongo mara Leo bati limeizuka nitumie pesa Mara mtto anaumwa, Mara hli Mara lile ilimradi wengi wao unakuta pesa kuieka si rahisi km mmemfunganishia chuma ulete/mana akipata mnajua mnaziagiza kwa kujipachika majanga au kumlaghai kibiashara. Unakuta mtu awe na akili sana nchi hzi ndio aweze kueka pesa mpaka akiamua kurudi afanye mwenyewe la maana. Mana hata mkitumiwa na mwenyewe yupo huku mnakula na kufanyia yenu.
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 месяцев назад
Unakuta mtu anakupangia mipango ya kupata millions lkn ukimpelekea pesa anakwambia biashara imeharibika hii hasara tupu wkt pesa ushamkabidhi na ashazivuruga au kishafanyia yake. Hata ukimpa mtu mtaji atafute daladala ili ajiweze basi pesa ya kupelekea garage ikiharibika atataka itoke kwako. Acha watu wazeeke alipowapangia Allah usiwape stress! Huezi kujua ya mbele yako naww unaeza kujq kizee huku! kuja kizee huku km Mungu kakupangia. Muombe Allah kile unachokipenda na hakuna ufundi wala ujuaji, maisha yetu yapo mikononi mwa Allah! Anapopataka yy ndio utapopaishi na asipopataka huishi!!!! Usistress watu na wala usiruhusu mtu kukustress kwenye jambo ambalo lipo nje ya uwezo wako! Muamini Allah na muombe Allah na muachie yy Allah!
@user-sx9hz2xq8o
@user-sx9hz2xq8o 10 месяцев назад
Vuteni subra
@KhamisMasms
@KhamisMasms 3 месяца назад
SASA KWA MATESO HAYO ANAYOYASEMA KWA NINI BADO YUKO HUKO
@jkizondoswahilibites434
@jkizondoswahilibites434 3 месяца назад
Napenda na naenjoy kuteswa
@AfiSoul103
@AfiSoul103 10 месяцев назад
😅😅😅😅😅
Далее
JKizondo na Ukubali wa Maisha
6:05
Просмотров 6 тыс.
БИМ БАМ БУМ💥
00:14
Просмотров 1,7 млн
MAAJABU YA MAISHA YA WASOMALI MAREKANI
5:04
Просмотров 48 тыс.
UMBEA DAWA YAKE NI PESA..
4:48
Просмотров 10 тыс.
UGHAIBUNI LEO :MAISHA YA UPWEKE MAREKANI
36:48
SABABU YAKUOMBA TALAKA
8:05
Просмотров 12 тыс.