Тёмный

Joel Aswile__THAMANI YA BIBI_(Official audio) +255 743 901 961...Pro by Joeh JB REC Tz🇹🇿 

Joel Aswile Official Tz
Подписаться 107
Просмотров 302
50% 1

Watu wengi husahau walikotoka, Maisha Duni na jinsi walivyolelewa katka Hali ya uduni. Mungu alinipa hii nyimbo, THAMANI YA BIBI. Kunikumbusha na kuwakumbusha ndugu zangu kwamba Iko Thamani ya huyoo Bibi au mwanamke aliekulea mpka ulipofikia
Usimsahau Bibi muheshimu saaana, msaidie , muombee maana mengi wameyafanya katka familia zetu. Baba na mama wengi hukimbia familia na watoto hutupiwa Bibi na Bibi Hana wa kumtupia analea na kupambana mwenyewe.
Barikiwa na hii nyimbo ya Thamani ya Bibi.isikilize Kwa makini naamini itakuvusha na utauona mkono wa MUNGU

Опубликовано:

 

10 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 29   
@ezrabelam5072
@ezrabelam5072 10 дней назад
Wabarikiwe sana bibi wote Duniani 🙏🙏
@elishamathias-u2o
@elishamathias-u2o 10 дней назад
Yes yes THAMANI YA BIBI
@Raphael99
@Raphael99 10 дней назад
Hongela sana Kwa kutukumbusha kuwa Kuna wakina bibi
@dannyboas1409
@dannyboas1409 10 дней назад
Bibi daaah wimbo mzur sana ndugu yangu
@PastorJohn96
@PastorJohn96 10 дней назад
❤❤❤❤
@AngelJuliet-x8q
@AngelJuliet-x8q 10 дней назад
Amen kwakwel anastahili heshima bibi
@lovenessmarwa
@lovenessmarwa 10 дней назад
❤ heshima kwa bibi jamn ,penda sana bibi yangu
@juliuswerema3655
@juliuswerema3655 10 дней назад
Amen mtumishi kwa wimbo mzuri sana bibi huyo
@ibracountry9298
@ibracountry9298 10 дней назад
Daaaah A see Sawa Hongera sana kaka
@rebeccaikb6912
@rebeccaikb6912 10 дней назад
Bibi uyooo jamani mpaka nimekumbuka bibi ubarikiwe sana 🎉🎉
@joelaswileofficialtz3035
@joelaswileofficialtz3035 10 дней назад
Bwana Yesu hii nyimbo naomba ikawe Baraka kwenye Maisha ya watu. Iwaguse na kuwakumbusha.
@CharlesMbarikiwa
@CharlesMbarikiwa 10 дней назад
Nice my brother kaz njema kaka🎉🎉
@elialameck-id3xg
@elialameck-id3xg 10 дней назад
Amen
@BenardMbeyela
@BenardMbeyela 10 дней назад
Nice hakika ww ni mtu na nusu
@aronmvembezi4375
@aronmvembezi4375 10 дней назад
Namkumbuka sana bibi yangu jamani🎉🎉🎉 Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@joelaswileofficialtz3035
@joelaswileofficialtz3035 10 дней назад
Barikiwa saaana mtumishi wa MUNGU, wewe ni baraka saana Kweny Maisha yangu
@abednegosungo7300
@abednegosungo7300 9 дней назад
Barikiwa 🎉🎉
@francymwaka600
@francymwaka600 8 дней назад
Bibi huyo,........barikiwa sana malafyale aidia yenye utukufu mkuu Yesu akutunze
@JoelaswileMwambande
@JoelaswileMwambande 7 дней назад
Amina mtumishi wa MUNGU
@ezrabelam5072
@ezrabelam5072 10 дней назад
Wale tuliosikiliza huu ujumbe mala mbili mbili tujuane hapo chini 😂
@gwamakamwankenja1685
@gwamakamwankenja1685 10 дней назад
Nyimbo nzuri sana wengi tunawasahau Bibi zetu Mungu akubaliki kwa nyimbo nzuri na am amkumbuke Bibi yangu👏👏👏👏
@joelaswileofficialtz3035
@joelaswileofficialtz3035 10 дней назад
Hakika na amkumbukee Kaka mkubwa Ubarikiwe saaana
@NoelaAlain
@NoelaAlain 10 дней назад
Mungu akuinue zaidi Mtumishi
@joelaswileofficialtz3035
@joelaswileofficialtz3035 10 дней назад
Ameen madam Noelar
@SmilingRhythmicGymnastic-bq2jf
@SmilingRhythmicGymnastic-bq2jf 7 дней назад
ongela anti mungu akusaidie❤
@JoelaswileMwambande
@JoelaswileMwambande 7 дней назад
asanteh saaana Barikiwa
@BenardMbeyela
@BenardMbeyela 10 дней назад
Hakika ww ni mtu na nusu 3:28
@joelaswileofficialtz3035
@joelaswileofficialtz3035 10 дней назад
Barikiwa saaana ndugu yangu
@AsheriKaroli
@AsheriKaroli 10 дней назад
@@joelaswileofficialtz3035 sawa hongera kwa KAZI nzul
Далее
JOEL  ASWILE__Rafiki  mwema_(Official  audio)
5:56
COOKING UGALI & FISH - Stevo Simple Boy & Dem wa Fb
15:53
Taarab: Viumbe Wazito
17:01
Просмотров 1,3 млн
MISSION IMPOSSIBLE [51]
23:39
Просмотров 119 тыс.
Israel Mbonyi - Kaa Nami
13:40
Просмотров 1 млн