Тёмный

Taarab: Viumbe Wazito 

Swahili Taarab
Подписаться 193 тыс.
Просмотров 1,3 млн
50% 1

Taarab song by Mwanahawa Ali. Tanzania

Видеоклипы

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 840   
@SikudhanijumlaSabo
@SikudhanijumlaSabo 9 месяцев назад
Kama bado unasikiliza mwaka 2024 tujuane
@Flora-s6x
@Flora-s6x 5 месяцев назад
Fadhila mfadhili mbuzi binadamu ana maudhi ukweli mtupu
@HOOFCLANMEDIA
@HOOFCLANMEDIA 8 месяцев назад
Kama unakubali 2024 hi nyimbo bado haikutwi
@athumanimapande8394
@athumanimapande8394 5 месяцев назад
Daaah sad inanikumbusha mbali sana mashairi mazuri kabisa akuwai kupata mafanikio juu ya nyimbo zake juzi anafanyiwa enteview inasikitisha sana Mungu ampe maisha marefu ya kurudia Allah..
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 Год назад
Si mpenzi wa taarab lakini kwa huu wimbo mama maua yako chukua miaka 800🔥🔥🔥🔥
@pricilarmwero986
@pricilarmwero986 3 месяца назад
Kama bado mnasikiliza hii nyimbo 2024 like
@mohdalliy656
@mohdalliy656 9 месяцев назад
Mim bado nauskiliza mpka hii Leo tnaumliz mwk 2023-24 best hit song for @MWANAHAWA ALLIY VIUMBE WAZITO❤🎬🎶 hyu Mom ajngewe Sanam lak NGOME KONGWE
@magangakiyabo3429
@magangakiyabo3429 2 года назад
Wimbo hauchuji huu ukipigwa lazima mapigo ya moyo yaende mbio kwa furaha 🙌🙌🙌👏👏🔥🔥🔥
@muzdalifatsaid3658
@muzdalifatsaid3658 2 года назад
Hakika mmy
@lailatumhessi-cd4kh
@lailatumhessi-cd4kh 8 месяцев назад
@@muzdalifatsaid3658
@muhamadshaban3646
@muhamadshaban3646 6 лет назад
Eeeeh mwanahawa weeee wanikumbusha mbali zama za kiujahilia😄 wapi likes za mwanahawa
@yusufujamali4577
@yusufujamali4577 4 года назад
🤣
@hassanali4838
@hassanali4838 4 года назад
Usirudi huko kwa ujahiliya mwanangu
@tinaalex7617
@tinaalex7617 4 года назад
Yaani hadi raha
@mathewmghanga3705
@mathewmghanga3705 4 года назад
Wimbo maridadi Sana were, kapangwa vyema tu Sana. Big up bibieeee.. .. ..
@mwamvuambayaz8013
@mwamvuambayaz8013 3 года назад
@@yusufujamali4577 jhhh
@NgaseMlyuka
@NgaseMlyuka 9 месяцев назад
Watu wenye uswahili wetu wallah hii nyimbo inanikosha mama yng kipenzi mwamjua jumanne akidondosha chozi mbele ya ndugu zake likapigwa jisong hili❤❤❤ sssa sijui mama qlikuwa qkiria kwa furaha au ana mazito kwenye moyo wake
@MwajumaFaraj-h6q
@MwajumaFaraj-h6q Год назад
Wimbo hauzeeki maanake Maneno yake yanahusu maisha yetu ya Kila siku,my always song viumbe wazito haukinaishi
@husseinsalim7211
@husseinsalim7211 Год назад
Mwanahawa Ali hii taarabu imenifunza mengi Hadi Leo nskiza bdo ina ladha kwangu na Yale uloyasema nayaona
@mamavyombo4801
@mamavyombo4801 8 месяцев назад
Wale tupo hapa 2024❤
@mtoto_wa_Mfalme12
@mtoto_wa_Mfalme12 Год назад
Kama bado unasikiliza viumbe wazito September 2023 gonga like wewe ni LEGEND 🙌
@davidmaelo6615
@davidmaelo6615 7 месяцев назад
@mtoto_wa_Mfalme12 Kama bado unasikiliza viumbe wazito March 2024 gonga like wewe ni LEGEND
@TatuMtumbuka
@TatuMtumbuka 11 месяцев назад
Leo nimeshinda naupiga huu mwimbo Kama umetoka Jana na ujumbe wangu umewafikia wavimba macho wangu.
@regnaemanuel5331
@regnaemanuel5331 12 дней назад
Na mimi ndo nausikiliza hapa 😂
@aliamirbakar5580
@aliamirbakar5580 2 года назад
Nyimbo za mafunzo sio matusi na upuuzi siku hizi nyimbo chafu chafu mama keep it up 23/06/2022 🌹💯
@Yoenacate254
@Yoenacate254 Год назад
2023/5/19 ... Upon sana
@alphaxityserebwah8475
@alphaxityserebwah8475 Год назад
Nipo hapa 2023..raha tele
@sakinaabdallah7713
@sakinaabdallah7713 Год назад
Vile nivyowathamini nikawaekeni usoni kumbe hamna shukurani viumbe musochukulika viumbe wazito heko dada mwanahawa ukweli kupita kiasi👏👏👏👏
@JacklineChamadara
@JacklineChamadara Год назад
Kuxema ukweli hizi ndio nyimbo zangu kimaixha, jameni mpaka sidi zenyewe nko nazo,,,yaan mpaka njisikia sana poa sana mama yangu....
@msafirinuru5701
@msafirinuru5701 Год назад
Mashairi yake,pia maneno yake ya mtoa nyoka pangoni👁️👁️❤️❤️💯💯💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪😁😁😁💪💪💪
@sakinaabdallah7713
@sakinaabdallah7713 Год назад
Ninamini hakika iko siku itafika kudi munazonipaka nitatakasika, sijui niwaweke fungu gani viumbe muhisabike, la faraja kwenu dhiki hivyo ndiyo mulivyozoweya sadaqqta dada mwanahawa unanikosha kwa ukweli wa nyimbo zako♥️
@AminaRajabu-ob6hn
@AminaRajabu-ob6hn 11 месяцев назад
Aisha Mashauzi
@jacksonntunzwenimana3776
@jacksonntunzwenimana3776 15 дней назад
I can't stop from listening this amazing music. I am slave ooh. Thanks Mwanahawa Ally "Nisaidie mama 🎉🎉🎉"
@rizionejuma9775
@rizionejuma9775 5 лет назад
Wema nimefanya Hanna shukurani palipo bakia nashukuru mungu.,,,nitaendelea kuisikilaza sana na sana
@paulchurchill7984
@paulchurchill7984 2 года назад
Wale ambao bado tunausikiliza May, 2022,gonga like. Viumbe wazito Kama zigo la misumari,HAWABEBEKI
@najatmponda6802
@najatmponda6802 Год назад
22
@rozminhanif4270
@rozminhanif4270 Год назад
Yani mimi siuchoki huu wimbo😅😅😅😅
@MajaliwaAmboye
@MajaliwaAmboye Год назад
Mama wa unwell hizo ndio nyimbo zenye mafunzo
@hamisathadeo4870
@hamisathadeo4870 8 месяцев назад
Waliosaidia ndg baadae wakawageuka Kula chuma hicho japo ni zilipendwa lkn ujumbe hauchuji❤❤❤❤💯💯🌹🌹🌹
@RuthMusimbi-b5v
@RuthMusimbi-b5v Год назад
Mwanahawa ally my role model love you shosh napenda nyimbo zako like no man’s bussiness
@mohamedathman3310
@mohamedathman3310 7 месяцев назад
Wale wa 2024 wenye tupo hapa like za hunyu bibi kwa mziki wa kuishi mpaka sasa🙌🙌🙌
@MunyeSahal
@MunyeSahal Месяц назад
Munyelsahaemail
@MunyeSahal
@MunyeSahal Месяц назад
Minyel
@MomyMany
@MomyMany 25 дней назад
Yaa salam😂
@rosejuma8778
@rosejuma8778 3 года назад
Timu 2020 Novemba gonga likes hapa tukipita mbioooooo😎😎😎😎😎Viumbe wazito kweli🤩🤩🤩
@hoseastephen4508
@hoseastephen4508 6 месяцев назад
Kila nikikumbuka nyumbani lazima nisikilize taarab zilizofuzu shule kama hizi....Nolstagic kwa kweli. Nakumbuka sana Viumbe wazito Camp, Bububu Street, Tandika, DSM. Mungu atuweke!
@petermuindi7030
@petermuindi7030 3 года назад
Nani ansikiliza Jan 2021? Old is gold what about new?? Wapi likes jameni..
@sabringwal3079
@sabringwal3079 3 года назад
👍👍👍
@aisharashid8035
@aisharashid8035 3 года назад
Mm
@aisharashid8035
@aisharashid8035 3 года назад
@@petermuindi7030 nipo muscat
@aisharashid8035
@aisharashid8035 3 года назад
Peter cjakupata vzr
@aisharashid8035
@aisharashid8035 3 года назад
Peter fb natumia na wasap
@Khadijaleila-ef8jr
@Khadijaleila-ef8jr 11 месяцев назад
Taarabi naeza sikiliza n ii peke👌
@pillypriyah8511
@pillypriyah8511 4 года назад
Old is gold km una kubali 2020 tupia like yako
@viviankrembokarembo822
@viviankrembokarembo822 4 года назад
Viumbe wazito hawachukuliki
@gracemweli226
@gracemweli226 4 года назад
Nahukubal vbaya mmno
@amourmtungo623
@amourmtungo623 4 года назад
Mwanahawa Ali, Zuhra Shaaban na Rukia Ramadhan nawakumbukeni na kukukoseni sana kwa nyimbo na sauti safi siku zote. Hongera taarab siku zote mnatuburudisha popote duniani, asanteni sana 07April 2020.
@moshimtakaela6403
@moshimtakaela6403 4 года назад
Mambo bilbil
@rashidkejo8666
@rashidkejo8666 Год назад
Hakika Taarabu ni faraja ya moyo! Hakika ujumbe wake ni maridhawa na wenye mafunzo. Wallah nimeridhia.
@SaadiKassimu
@SaadiKassimu 9 месяцев назад
❤❤
@aineamalimashookali243
@aineamalimashookali243 4 года назад
Wangap had leo tunatizama mziki mzur 2020 hebu gonga like twende sawa
@hanifayunus8502
@hanifayunus8502 4 года назад
Yanikumbusha mbali jamani... Daaa!!! Tenda wema nenda zako, 2020 ndani ya corona, Allah atunusuru katika janga hili zito. 😭😭😭.
@ZenaJuma-xx1dd
@ZenaJuma-xx1dd 8 месяцев назад
Hadi hii ni 2024 ila wimbo unaladha bado❤🎉🎉🎉
@hemedynyuki4389
@hemedynyuki4389 2 года назад
Jamani hyu mama kama Bado yuaimba npe namba yake namwitaji kwenye harusi yangu bana duuuh 🔥🔥🔥🔥
@BlessingsJosephMsofe
@BlessingsJosephMsofe 2 месяца назад
Huu WIMBO ni mzuri alafu una kaujumbe pambeeeeee!!!!❤❤❤❤
@kwemoisimon3996
@kwemoisimon3996 5 лет назад
Sijui niwaweke fungu gani, viumbe muhesabike? La faraja kwenu dhiki, vyema kwenu wabaya.....wenzangu hamchukuliki, ndivyo mlivyozoea. 2019 bado nko hapa
@nasmaramadhani5752
@nasmaramadhani5752 4 года назад
Mimi sio mpenzi wa taarabu ila nyimbo zako mama nazipenda mashairi yako mazito nyimbo zazamani nazisikiliza 2020😃😘😘😘😘
@mengiadam1871
@mengiadam1871 3 года назад
Unanipa Raha Sana Mwanahawa Ally kweli viumbe hawachukuliki. Ila donge sitoweka ndani ya Moyo wangu.
@HusnaHemed-b4k
@HusnaHemed-b4k 7 месяцев назад
Wengi mnaumia ndiyo yameshawakuta mwanahawa endelea kuzikosha roho zetu duuuuh MUNGU akulinde dada weeeeee❤😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@HusnaHemed-b4k
@HusnaHemed-b4k 7 месяцев назад
👌👌👌👌👌👌👌👌
@zawadimushi9283
@zawadimushi9283 5 лет назад
Kama ushaskiliza i nyimbo 2019 gonga like twende sawa
@mubarackntale4925
@mubarackntale4925 5 лет назад
apooooow
@syksyk7295
@syksyk7295 5 лет назад
Zankumbusha mbal xn iz numb jaman
@saadabulali9643
@saadabulali9643 5 лет назад
ngoma Kali sana
@wahidasalum6707
@wahidasalum6707 5 лет назад
mambo
@okumuwere9013
@okumuwere9013 5 лет назад
labda
@msafirinuru5701
@msafirinuru5701 Год назад
Hizi nyimbo,zilivuma sana mwaka wa2004,2005nakuendelea hadi waleo.zihifadhiwe vizuri kwa maktaba,kwa kumbukumbu kwa vizazi vijazo.
@sakinaabdallah7713
@sakinaabdallah7713 Год назад
Wema wangu hauozi milele utabakia fadhila mfadhili mbuzi, binaadamu wana maudhi , la faraja kwenu dhiki jema kwenu huwa baya mwaaaah♥️👏🙏
@mmaahsayyid1858
@mmaahsayyid1858 6 лет назад
Viumbe wazito wapo hadi 2018....tuwafanyenini Mwanahawa Ally
@anwaryabdallah7782
@anwaryabdallah7782 6 лет назад
Mmaah Sayyid Nimekubali
@pillopack1256
@pillopack1256 5 лет назад
Mmaah Sayyid viumbe wazito inanikumbusha mbali ssna
@doncorleon638
@doncorleon638 Год назад
Ni 2023 na bado tunasikiliza Viumbe Wazito.......
@KeviniDaudi-k1y
@KeviniDaudi-k1y Месяц назад
Nyimbo Hii haiishi utamu make maneno yaloimbwa ndo tunayoyaishi Kila siku. Binadamu wamebaki tu kwenye nguo ila tabio looo unaemdhani rafiki ndo adui. Big up mtunzi na mwimbaji
@khadijahramadhan6321
@khadijahramadhan6321 5 лет назад
Hatari na nusu nakumbuka mbali sana.. Bwana tarabu za zamani ndo tarabu 👌👌👌👌
@neemachengula717
@neemachengula717 4 года назад
Kama unasikiliza nyimbo hii 2020 gonga like
@umimohammed1815
@umimohammed1815 4 года назад
Neema Chengula mashaallah
@mwanatumusalim1558
@mwanatumusalim1558 Год назад
2023 bado tunasikiza mziki wa maana 🇰🇪 🇰🇪 🔥 🔥
@simonwandacha8069
@simonwandacha8069 Год назад
Mwahawa alikuwa akifikiria nini wakati akiutunga huu wimbo na shindwa kutafakari.
@FatumaLukwaro
@FatumaLukwaro 3 месяца назад
Eti Alimkuta Mtt wamume Akamlea Mwisho wack Ikawa Fedheha
@ogetoj6245
@ogetoj6245 2 года назад
Bora ufadhili kwa mbuzi , sababu binadamu wana mazoea ya kuhudhi. Ukistajabu ya Musa, virauni jee? Shukrani kwa Mungu tuu!!. Dr. Ogeto International
@ogetoj6245
@ogetoj6245 Месяц назад
No
@wondersmotivation5543
@wondersmotivation5543 6 лет назад
Akhlan Wa sakhlan Wa marhaba,,,Ama kweli,,,,mja hana ihsani,,,,maneno matamu,,na yenye funzo,,,,wape vidonge wapambe,,,,dada Mwanahawa,,,,mola akupe stara kwa heshima na kazi safi,,,,
@anwaryabdallah7782
@anwaryabdallah7782 6 лет назад
wonders motivation Swadakt
@sawandamariam9030
@sawandamariam9030 5 лет назад
Mja hamna hisani
@cathykiller1361
@cathykiller1361 5 лет назад
January 2019
@CarolinaJohn-m8v
@CarolinaJohn-m8v 7 месяцев назад
Yani hili sogi sijui nilichezeje niwe nimelifaidi yani hlichuji kwangu jamaniiii toka 1994 nalisikia jamanniiiii🤸🤸🤸😂💃🌺🌺 basi acha nimpe maua yake mwanahawa weeeee
@muzdalifatsaid3658
@muzdalifatsaid3658 2 года назад
Nipo 2022 hii nyimbo haipitwi na wkt kwa kweli old is a gold
@NeemaKaifa
@NeemaKaifa 4 месяца назад
Viumbe wazito la faraja kwenu dhiki ,jema kwenu huwa baya👌
@magesamatiku7919
@magesamatiku7919 5 лет назад
Mpaka dunia ifike tamati viumbe wagumu watakuwepo tu waambie mahasidi wakubwa hao halooooooooooo mwanamama wanikosha roho.mahasidi mpooooooo nyooooooo hilo dongo liwefikeeeeeee paka shume ninyi😁😁😁
@ashamwandu3781
@ashamwandu3781 4 года назад
Jamani nampenda mwanahawa
@janendaki2646
@janendaki2646 3 года назад
Penda sana mwanahawa imenigusa hiyo
@nassorseif2803
@nassorseif2803 6 дней назад
Unaiandika kwa makasiriko 😅😅 Nao wamezidi. LoL viumbe wazito
@leilashaban3519
@leilashaban3519 5 лет назад
Bado nasikiliza viumbe wazito 2019/1/17
@priscalyimo5804
@priscalyimo5804 5 лет назад
priska lyimo. mmekusudia nn enyi wenzangu mwenzenu kunidhiiki mwanitia ubayani s hulk yangu mjue sifedheheki maneno kuntu mwana hawa unanikosha mieeeee
@nicholasliseche5476
@nicholasliseche5476 4 года назад
Am listen hata kwa sasa. Fire moto
@nomorestorynomorestory3835
@nomorestorynomorestory3835 4 года назад
Wema wangu hauoz mpoo nifanyanvy roho radhi binadam ana maudhii kweli point
@naftaliondego7157
@naftaliondego7157 4 года назад
Muziki mutamu kweli.Kenya kwa mutangazaji mukogwe khadija ali. K B C ,kwa salaamu za vijana if yes like
@omarikinyory5785
@omarikinyory5785 11 месяцев назад
Taarabu zamani bhana unaweza kukaa na mkwe mama yako watoto wako na mukasikiliza hakuna matusi wala maneno ya hovyo sio Sasaivi nyimbo zote matusi matupu
@shillingiomar6902
@shillingiomar6902 7 месяцев назад
Fadhila nfadhili mbuzi binadamu atakuudhi ,hapo ni kweli mama mbuzi ukiifadhili itanona itapata bei sokoni what a lesson (Kenya)
@rukiamaliyo1898
@rukiamaliyo1898 Год назад
Fadhila Mfadhili mbuzi, binadamu ana Maudhi Kweli Mamaa.
@cosmasmpwage2576
@cosmasmpwage2576 3 года назад
2021 February 😍...ndio taarabu zenye mafunzo..sio michambo ya siku hizi
@anittangulu9069
@anittangulu9069 2 года назад
P
@emmanuelymakwawa2539
@emmanuelymakwawa2539 3 года назад
Dah zamu yangu Leo saa Nane usiku namsikiliza Mwanahawa hebu gonga like na wewe Kama umeona 😂😂
@maugugoldina6681
@maugugoldina6681 Год назад
Live long mum💞 huu wimbo ndiyo ringtone ya simu yangu ..one luv from Kenya 🇰🇪 ❤️👌
@msafirinuru5701
@msafirinuru5701 Год назад
Holalaaa!!!!..huyu mama allah amjalie umri,nyimbo zake nilizienzi sana mpaka leo hii.swadakta👍👍👍🙏🙏🙏💯💯💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@funnyvines5965
@funnyvines5965 9 месяцев назад
❤❤❤❤Amiin
@aishamnamba1064
@aishamnamba1064 6 лет назад
Napenda Sana nyimbo hii japo ya mda hongera Sana ujumbe kuntu Sana
@antsofiamishemisheantsofia5702
Aisha sichanguwi wote wAngu
@wahidasalum6707
@wahidasalum6707 5 лет назад
kweli
@kijakazimohamed1708
@kijakazimohamed1708 5 лет назад
Nakupenda mwanahawa
@ali.o.rashid6688
@ali.o.rashid6688 4 года назад
Kama unasikiliza 2020 like twende sawa
@ashasalon8972
@ashasalon8972 4 года назад
Tuko pamoja
@moyomussa9548
@moyomussa9548 4 года назад
Pamoja
@rahimarahima3970
@rahimarahima3970 4 года назад
Upo sawa
@reubnloli3675
@reubnloli3675 4 года назад
Hatarisana
@sabringwal3079
@sabringwal3079 3 года назад
Pamoja
@ramaissa2620
@ramaissa2620 4 года назад
Kama bado unasikiliza mwanahawa ally viumbe wazito 17/09/2020 naombeni like zenu hapo chini
@AminaKhamisi
@AminaKhamisi Год назад
Safi Sana mwanahawa Ali wimbo unanikumbusha 2003 ❤❤❤❤
@afandehassan1
@afandehassan1 9 месяцев назад
Ukiwa wapi Ka Amina
@mohdalliy656
@mohdalliy656 24 дня назад
KIZAZI CHA ZANZIBAR bdo Sjaon w kmzidi hyu Mama MWANAHAWA ALLIY❤🎉TARABU ASILIA From ZANZIBAR ❤🎉🎉we still Love you 2024 bdo naiskliza ROHO MBAYA SIO MTAJI
@latiphakasimu6481
@latiphakasimu6481 4 года назад
Kama bado unasikiliza viumbe wazito 2020 na unampenda mwanahawa ally gonga like hapo chini jamani huyu mama anakoxha nafsi zetu maneno pambee hayo viumbemxiochukulika viumbe wazito
@roses.sharon3480
@roses.sharon3480 4 года назад
Bado nasililiza..still very relevant💕💕💕
@madinanurudini595
@madinanurudini595 4 года назад
Kwakweli nampenda sana uyu mm napia nazikubari sana nyimbo zake
@samiahamisi2210
@samiahamisi2210 4 года назад
Nampenda Sana
@samiahamisi2210
@samiahamisi2210 4 года назад
Sio POA uyu mama anajua nampenda
@vivianlema6155
@vivianlema6155 4 года назад
Maneno pambe
@sarahmwatha6613
@sarahmwatha6613 6 лет назад
Nilidhani wenzangu kumbe maadui zangu Sasa nimerudi kwangu........ Tenda wema enda zako, usingoje shukurani........
@leilashaban3519
@leilashaban3519 5 лет назад
Kama unasikiliza hii nyimbo tarehe 16/3/2019 11:30
@ally1702
@ally1702 5 лет назад
7/10/2019 from 974
@susans4490
@susans4490 4 года назад
Feb 19th 2020
@ruthkyalo5811
@ruthkyalo5811 Год назад
Listening to it with full blast. ❤year 2023🎉
@wardauthman6913
@wardauthman6913 Год назад
Kama bado mpo uku 23/02/2023 weka like
@marymaiko6605
@marymaiko6605 5 лет назад
leten like zenu hapa twende pamoja 2019
@semenmickdad1704
@semenmickdad1704 4 года назад
Hafsa kessy napenda jmn huu wimbo hongera mama
@zawadiathumaniasantkwasomo7879
@zawadiathumaniasantkwasomo7879 4 года назад
Penda Sana mmm jamani
@abdallahsalum3303
@abdallahsalum3303 4 года назад
Napenda nyimbo zake uyu mama
@MariamMohamed-bw8xf
@MariamMohamed-bw8xf 5 лет назад
👌👌❤❤❤👏👏👏👏 ukweli mtupuu viumbe ni wazito
@zubedaqasseem7643
@zubedaqasseem7643 4 года назад
Kama unackiliza nyimbo 2020 gonga like zako hapa mwaga like kama zote maana viumbe kwl n wazito hawabebek hata uwafanyeje😂😂
@qulthumquanunga7436
@qulthumquanunga7436 Год назад
am back here on 18/4/2023...still a hit.
@rukiamussa9509
@rukiamussa9509 4 года назад
Wenzangu wa 2020 gonga like
@KhalidKhalid-ox4pg
@KhalidKhalid-ox4pg 2 года назад
Aisha Oman taarabu zamani sikuhizi nyimbo zote hazina mafunzo ni kichambo na kwenda mbele hata upigaji km singeli hakuna taarabu sikuhizi AISHA WA OMAN
@hawasadi6400
@hawasadi6400 3 года назад
Umenikosha moyo mwanahawa wajinalangu nakupenda saana kilanikisafiri uyuwimbo naskiya raha saanaa maana umeelekeyana namaisha yangu kabisa walimwengu nilimwegu niwatu hatari mtendeye wema binaadam baadae firisika ndo utamkujuwa
@jamiiwellnesshospital8041
@jamiiwellnesshospital8041 Год назад
MASHAHIRI YAMEENDA SHULE
@estherambuna9796
@estherambuna9796 Год назад
So beautiful I love taarab songs with alot of teaching 2023 and still hot long live mum
@fatumahamisi7666
@fatumahamisi7666 5 лет назад
Nyie nifanyieni chuki ipo siku mtajuta!! Wema nimefanya hamna shukrani palipobakia nashukuru mungu weeee
@mboyamulati-ls1cu
@mboyamulati-ls1cu Год назад
Old is gold,full of wisdom Mama
@husseinsalim5608
@husseinsalim5608 6 лет назад
Mwanahawa... sisikizi taarabu ila nyimbo zako huwa hazinipiti. Talented and blessed.
@erickymecky9639
@erickymecky9639 5 месяцев назад
Kama umekuja kuangalia hili goma baada ya kumuona dk kumbuka piga like hapa
@nyabisemaro5574
@nyabisemaro5574 5 лет назад
Kama na Wewe Uliicheza Kipindi hicho Miaka ya 2006 kipindi hicho tuiita Sebene Mitaa ya Chang'ombe Temeke Dar Gonga like za kutosha twende Sambamba
@richardcharles625
@richardcharles625 4 года назад
Sana tu
@nyabisemaro8885
@nyabisemaro8885 4 года назад
Chang'ombe B piga Kelele Mpk MPK UNUBIN MADUKA MAWILI PIGA KELELE
@RioIpo
@RioIpo 3 года назад
Mpaka kata ya 14
@fundimigomigo8743
@fundimigomigo8743 5 лет назад
Wallah naupenda wimbo huu mpaka naumwa.
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 года назад
Ehe watumwa nini my😅
@jackwekesa1359
@jackwekesa1359 Год назад
Napenda sana nyimbo za taarab Zina mafunzo kemukemu,, utungaji wake ❤
@omarikinyory5785
@omarikinyory5785 11 месяцев назад
Rkn taarabu zamani co za Sasaivi
@abdallahshee38
@abdallahshee38 5 лет назад
Ujumbe mzito. Wimbo ni wa kale lakini viumbe wazito hawaishi. Asante sana Mwanahawa.
@TwahalibHassan
@TwahalibHassan Год назад
Nampenda. Sananyimbo. Zake. Zote. Nazikubali. .sana
@OdiliaNamenya
@OdiliaNamenya 7 месяцев назад
Nyimbo zenye mafunzo na maonyo pongezi mama Mwanahawa
@patrickndengu
@patrickndengu Год назад
It reminds me of my first days in Mombasa... the Driver of sterling buses could play it on our journey from msa to kism
@jumaomulubi8887
@jumaomulubi8887 Год назад
and for me, reminds of my first day to Mombasa, as we were passing Voi, the driver (Tahmeed Coach), was rocking with this song, long live Taarab
@naimatemba8061
@naimatemba8061 Год назад
Da bado namkubali huyu mwana hawa
@aminashq1181
@aminashq1181 5 лет назад
bado tunausikiliza 2019🔥🔥💖💖
@jasmineidd3169
@jasmineidd3169 4 года назад
Hapana chezea wimbo huuuuu
@halimamasare6838
@halimamasare6838 6 лет назад
Dah! Asante kwa aliye uweka huu wimbo hapa😚
@hamisimsophe639
@hamisimsophe639 6 лет назад
Halima Masare hi
@halimamasare6838
@halimamasare6838 6 лет назад
Hi Hamisi how are you?
@deborahmugagi5384
@deborahmugagi5384 5 лет назад
hakika binadamu wana mauzi....
@rosemarryoccd7799
@rosemarryoccd7799 6 лет назад
mama hilo nalo kuntu kiukweli mama nyimbo zko zinatalented ya hali ya juu
@sojinkuba4746
@sojinkuba4746 5 лет назад
Swadakita.nakumbuka nilikuwa na rafiki yangu tunatoka bichi mikadi Bich nikiwa dar enzi hizo 2003 tulikuja tumepigiwa kwenye Panton na muuza kanda enzi hizo kwenye mkokoten
@deborahmugagi5384
@deborahmugagi5384 5 лет назад
Soji Nkuba waooo hakika ilikua pambeee
@hassanpanga5115
@hassanpanga5115 4 года назад
Penda Sana mwanahawa Ally message sent pambeee
Далее
Taarab: Debe tupu
19:22
Просмотров 1,5 млн
Nimekinai na Umaskini wangu - Mwanahawa Ali
15:13
Просмотров 732 тыс.
Taarab: Mwanamke hulka
13:54
Просмотров 1,2 млн
Taarab: Sibadiliki
17:16
Просмотров 1 млн
Taarab: Wa Mungu uwazi (Full HD)
15:27
Просмотров 2,1 млн
Taarab: Khadija Kopa - Mjini Chuo Kikuu . Audio
17:59
Просмотров 925 тыс.
Utalijua Jiji Full Song
18:13
Просмотров 2,9 млн
Слава КПСС - IntroFreestyle2024
3:10
Просмотров 173 тыс.
Красные розы
2:49
Просмотров 133 тыс.