Тёмный

JOHN PAMBALU MAVAA RAIS SAMIA KWA KAUNZA NA MSTARI KWENYE BIBLIA 

Chadema Media TV
Подписаться 213 тыс.
Просмотров 24 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 76   
@ChristerKoku
@ChristerKoku 2 дня назад
Amen,amen,Mpambalu,machozi yamenitoka na mungu anamsikia kila machozi yatalipwa.
@deoselcom9701
@deoselcom9701 3 дня назад
John nahtaji kufata nyayozako kkaa😢 nakukubali sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@hawakiza6067
@hawakiza6067 10 часов назад
Subhaanallah Maneno mazito sana
@neemanziku5403
@neemanziku5403 19 часов назад
Mungu atamuulza kweli Mungu hata angalia yy ni nani
@Kaka_Rambo
@Kaka_Rambo 2 дня назад
Kaongea vizuri
@makobamasawemangu4122
@makobamasawemangu4122 3 дня назад
Kamanda uko sawa kabisa
@osmanmussa6596
@osmanmussa6596 18 часов назад
Mimi ni ccm, lakini John pambalu umeongea kiume,mwanaume kamili inatakiwa usiwe muoga big up sana mdogo wangu John pambalu
@HassanKibwana-h3w
@HassanKibwana-h3w 3 дня назад
Pambalu upo vizur sana kamanda mungu Akusimamie
@emmanuelbusuti8800
@emmanuelbusuti8800 16 часов назад
Ubarikiwe sana
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u 3 дня назад
Ndugu zangu namuingopa sana mtu anayetumia maandiko matakatifu mmmm mungu asimame mwenyewe sana kweli tumefika hapo mama yangu samia rais yashughulikie na kusaidia watu wako wasilie na kulalamika sana kwakweli kwa hili mungu akutie ndugu na ujasri mkubwa ili hawa watu waliopotea wapatikane kwa aman na upendo.
@leothardngonya4842
@leothardngonya4842 3 дня назад
Huyu naye ni kiongozi? Wewe mjinga nawewe ukionekana unampinga Mbowe , Mnyika angekushughulikia. Watekaji ni CHADEMA.
@JPalys
@JPalys 2 дня назад
​@@leothardngonya4842ww akilii Yako waumwa
@Mligobmligo
@Mligobmligo 2 дня назад
Yan ww ndo unajua mtekaji mbowe, ila wanachadema, viongozi wao na raia wapenda ha​ki hawajui ila ww unajua, du ww kweli ttz hp nchini, yamkini uenda unahusika ktk huu unyama wa kutekateka na kiua badhi yao@@leothardngonya4842
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 3 дня назад
Very powerful John
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 3 дня назад
Mtawala MUNGU atauliza watu wanatekwa ulichungaje mriro, IGP,,spika, serkali,inasema Dunia wat wanatekwa c hp Tz tu ee unaonaje hio,awamu iliondolewa na MUNGU palitulia kdg likn wameanza tena watekaji,
@SinarahaNtaraha
@SinarahaNtaraha 10 часов назад
Pambalu Allah atajibu muda c mrefu
@WilliamMwansasu
@WilliamMwansasu 2 дня назад
nimesikitika sana kuona tls ndo inatetea wananchi kuliko bunge tls inanguvu sana kuliko bunge dah
@bazilmateru915
@bazilmateru915 3 дня назад
Uko saw kabisa
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh День назад
Kweli baba
@ajuayearon5760
@ajuayearon5760 22 часа назад
Daah
@MOSESIMCHUNGUZI
@MOSESIMCHUNGUZI 3 дня назад
OGOPA SANA MTU AKISEMA NAMSHTAKIA MUNGU,MUNGU HUWAHAJARIBIWI UKIMJARIBU ANAPITA NA WEWE.
@JamesMapapara-jw4th
@JamesMapapara-jw4th 3 дня назад
inauma sana watu wanalia baadhi ya watu wanakula kuku mungu, jiinue Tanzania ikujue
@wiza2309
@wiza2309 3 дня назад
MANENO MAGUMU SANA, Ni wengi wamepotezwa, Mungu atuhurumie
@fredmabena6308
@fredmabena6308 3 дня назад
Inaumiza sanaaa
@charleskoka1689
@charleskoka1689 23 часа назад
Hakika umeweza
@eliufoombise7889
@eliufoombise7889 8 часов назад
Pambalu ni Kichwa
@EvanceMinja
@EvanceMinja 3 дня назад
Kamanda wangu wape
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 2 дня назад
Inaumiza sana
@eleneokaguo6867
@eleneokaguo6867 3 дня назад
Kweli kabisa
@NatashaJonhson-es8si
@NatashaJonhson-es8si 2 дня назад
ww kijana ukovizuli sana
@DamasNakei-bb7le
@DamasNakei-bb7le День назад
Usimnene mabaya mkuu wa watu wako(kut. 22:28). Ni neno la Mungu so let's be careful. Jaji mstaafu hapo katamka there is international day for the same.....ametushauri Cha kufanya, siyo?
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 3 дня назад
Eeh Mungu wako wap wakina Soka jmn😢
@Mapitoyazamani-y7n
@Mapitoyazamani-y7n 2 дня назад
Bunge lilikuwaga bunge miaka ya nyuma sio sasa, kwa sasa ni bora ufuatilie mambo mengine, sio upoteze muda wako kusikiliza bunge.
@ayububrantaya6624
@ayububrantaya6624 3 дня назад
Mtu sana
@DenisMatemu
@DenisMatemu 3 дня назад
be blessed😢
@danielndam5997
@danielndam5997 3 дня назад
Sasa ww ndio mwenyekiti wa bavicha wa chama chetu chadema
@neemanziku5403
@neemanziku5403 19 часов назад
Chadema ina vijana wasomi tena wered
@EmmanuelSabibi
@EmmanuelSabibi 2 дня назад
Hatuna spika yule ni wa mchongo tu, hata bunge kiujumla ,yaan hii nchi imekua ya hvyo jaman, kwasabab hatuna uhur kabisa jinsi inavyotakiwa
@MOSESIMCHUNGUZI
@MOSESIMCHUNGUZI 3 дня назад
Wewe msenge unamkatisha pambaru
@UPENDOMLELWA-x2b
@UPENDOMLELWA-x2b 3 дня назад
Na wewe fala nini watu wanaogea vitu Va maana San wewe fala nini
@AGM19697
@AGM19697 3 дня назад
Acha matusi, toa hoja
@BensonMpete
@BensonMpete 2 дня назад
Mwenye sikio na asikie
@AmusedAstronomicalModel-lq3yu
@AmusedAstronomicalModel-lq3yu 3 дня назад
Duh!
@Mjeda-q1m
@Mjeda-q1m 2 дня назад
Spika tulia maneno hayo yanakunenea. Ulikataa hoja ya watekaji isijadiliwe bungeni watanzania tunasikitika huwenda utekaji ungepungua hata mzee kibao huenda asingeuawa
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 2 дня назад
HUYU MWAMBA YUPO VIZURI ❤❤❤
@NicholasMtoro
@NicholasMtoro 3 дня назад
Mpaka atekwe mke Wa mulilo do ataona uchingu
@gideongerald2846
@gideongerald2846 День назад
😢
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 2 дня назад
Dunia nzm wt wantkw Tz nao wtkw unaonaje hio c unapigw mwingi, bungeni ndoo la makofi katiba KWANZA ndio Haki itaondoa utawala w pilato na Farao Firaun,walomadarakan n w unguu mt awamu y Tano iliondolewa na MUNGU palitulia kdg likn wameanza tena watekaji+wasojulikana, Allah atusaidie KWANZA watekaji wafe kw Ajali, Allah saidia TZ walahy tutamalizwa rabby,kama kibao kwenye basi Tashirfu cruzer mbili hazionekan mpaka leo MUNGU tumekosea wp TZ
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 2 дня назад
We unaongea Sana tunasubiri ukitoka chadema utaanza kusema mbowe allikuwa anatupaka mafuta ya p Diddy 😂
@MohammedHaji-m8p
@MohammedHaji-m8p 3 дня назад
Huo sio Msemo ni Aya kamili. ,Takbir
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 3 дня назад
NA NI KWA NINI CHADEMA TUUUU NA WALA SIO CCM!! TUJIULIZE NA MULIRO MAJIBU YAKE NI MAJIBU TOSHA.
@SurprisedBarn-pf6xw
@SurprisedBarn-pf6xw 2 дня назад
Heni kutumia maandiko ya kitabu kitakatifu kwa kutoa maana zenu Halindiko ilo alinamaana hiyo ulilolisema hapo
@juniormussa638
@juniormussa638 3 дня назад
Akili ming
@Lundege_Hips
@Lundege_Hips 3 дня назад
Safi sana kaka umeongea ukweli mtupu
@josephatmhamiji4886
@josephatmhamiji4886 2 дня назад
Watupe kamanda mliro huyo wambura hawezi
@LeonardSanga-zn5pn
@LeonardSanga-zn5pn 3 дня назад
Hii nisauti yawatu
@HusseinDjuma-cn2ox
@HusseinDjuma-cn2ox 3 дня назад
😄
@twalibulomy-cd4zd
@twalibulomy-cd4zd 2 дня назад
Kuma mbuzi wote wanafki wa chadema.
@RobertBitambaOfficial
@RobertBitambaOfficial 3 дня назад
Kama mkubwa anawatuma
@EdwardMashauri-e7e
@EdwardMashauri-e7e 2 дня назад
Matapeli wakubwa ninyi kwendeni zenu
@MaisaMnyamongo
@MaisaMnyamongo 3 дня назад
Acha ukuma watu wanapotea unasema maigizo yanyoko
@henryndosi2002
@henryndosi2002 3 дня назад
Chadomo wanatekana
@martinkisha6307
@martinkisha6307 3 дня назад
Umetufanya tutoe machozi
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 2 дня назад
Hakika kabisa anatuhuzunisha kwa haya mabaya ktk jamii yetu!
@leothardngonya4842
@leothardngonya4842 3 дня назад
Acha upumbavu, nenda kwa P Didy akushughulikie.
@DulaRashid-r5z
@DulaRashid-r5z 3 дня назад
Unafa kuongoza wewe upo sawa
@WillKilulya
@WillKilulya 3 дня назад
Hao unaowasema wamepotea ni maigizo ya chadema kuichafua serikali,chadema ni wajinga sana.kwa maigizo haya mtasubili sana.
@abellutonja4589
@abellutonja4589 3 дня назад
Oneni huu mkundu wa kijani😢😢😢😢😢
@MtanganyikaTanganyika
@MtanganyikaTanganyika 3 дня назад
Mbwa mkubwa wa kijali
@TwahaShehe
@TwahaShehe 3 дня назад
Akitekwa mama ako utajua
@daudshabani
@daudshabani 3 дня назад
Akili zamakalioni izo
@jamaldaud-e4d
@jamaldaud-e4d 3 дня назад
Mimi siyo Nabii ila huyu kumamako zake alishaenda kwa P DIDDY usiwe msenge kiasi hicho pumbavu unawezaje kuteka mtu na ukaanza kupaza sauti kwahiyo Sativa alijipiga Risasi,mzee kibao alichukuliwa na chadema shoga kweli huyu
@salmajafari6838
@salmajafari6838 3 дня назад
Mwamba huyu hapa
Далее
I Did This With Coffee! 🤯☕️ #shorts
00:22
Просмотров 849 тыс.
POLI и Маша - Сигма бой
00:20
Просмотров 533 тыс.
I Did This With Coffee! 🤯☕️ #shorts
00:22
Просмотров 849 тыс.