Filamu hii niliwahi kuweka kwenye Channel yangu iliyopita na mamilioni waliiangalia. Channel ilipata matatizo kwa hiyo haikuweza kuendelea kuwepo kwa hiyo niliifanyia maboresho na nimeirejesha tena. Joka lililosumbua kijiji.
5 сен 2024