Тёмный

Jose Chameleone: Gwiji wa muziki Afrika Mashariki 

BBC News Swahili
Подписаться 619 тыс.
Просмотров 3,2 тыс.
50% 1

Gwiji wa muziki toka nchini Uganda Jose Chameleone hivi karibuni alisherehekea miaka 25 katika tasnia ya muziki.
Chameleone alitoa albamu yake ya kwanza mwaka 2000, na kufikia mwaka 2013, alikuwa ametoa albamu 13, zikiwemo Kipepeo, Shida za Dunia, Valu Valu, Bayuda, Badilisha, Sweet Banana, na Champion.
Mwandishi wa BBC Swahibu Ibrahim alimtembelea Jose Chameleone na kuandaa taarifa hii
🎥: @frankmavura
#bbcswahili #uganda #muziki
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 11   
@iddylumbila7399
@iddylumbila7399 3 дня назад
Waganda unawadai sanam lako wasijisahaulishe au wanataka wakutengenezee mpaka ukiwa babu.
@JansanMokiwa
@JansanMokiwa 4 дня назад
Kumbe unaweza swahili language
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y 3 дня назад
DuDubaya sii alitudanganya Huyu jamaa hajui kiswahili ijapo uimba kiswahili 😮
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 4 дня назад
👊✌️👍.
@emmaa_God1
@emmaa_God1 8 дней назад
Mmmh
@micR198
@micR198 4 дня назад
Mbone amekonda sana hivyo😮
@PendoUrassa-xm7ru
@PendoUrassa-xm7ru 3 дня назад
Matatizo ya Figo,anakunywa makali
@shakurfaith
@shakurfaith 3 дня назад
Amezeeka
@ShabaniLwitela-hk7qw
@ShabaniLwitela-hk7qw 7 дней назад
Kongwe baba usije uku tz uyu mwamke Samia asinje kuteka pia baba tz imeharibika kwa leo
@BarnabasFabiani
@BarnabasFabiani 3 дня назад
Wewe ume tekwa? acha ujinga unaongea kitu ambacho huja wahi FANYIWA au una ishi mafichoni
@shakurfaith
@shakurfaith 3 дня назад
Si anaona wanaotekwa. Juzi tu nimeshuhudia mwenyewe mtu akitekwa ndani ya bus ambalo nimepanda kwenda Tanga. We unataka mpaka atekwe yeye?​@@BarnabasFabiani
Далее
Chameleone and Bushoke make appearance on 10 over 10
11:25
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:24
Просмотров 1,8 тыс.
Как мы играем в игры 😂
00:20
Просмотров 981 тыс.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:21
Просмотров 6 тыс.
D Voice feat Zuchu - Nani (Official Music Video)
3:37
Просмотров 404 тыс.
Nyota wa Afrika Mashariki, MC Gara B
29:16
Просмотров 585
Naumia
4:12
Просмотров 32 тыс.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:10
Просмотров 7 тыс.