Тёмный

Julius Mwombeki - Nafsi Yangu Inaogopa (Official Music Video) 

Julius Mwombeki
Подписаться 8 тыс.
Просмотров 70 тыс.
50% 1

Wimbo unaeleza matendo makuu ya Mungu na kuonesha uweza wake katika maisha yetu.
Audio producer : smart records
Video director : Msafiri Kwetu Studio
#juliusmwombweki#nafsiyangu#MusicGospel

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 137   
@cumaoyanga7208
@cumaoyanga7208 4 года назад
Wimbo bora wa mwaka
@victoriangalama666
@victoriangalama666 3 года назад
More fresh annoting
@patriciadawson5624
@patriciadawson5624 Год назад
Nimekuona ukitutoa kwenye gereza la laana na cheni Za ukoo Bwana nafsi yangu inakuogopa. Umefichua ya sirin yaliotendwa tangu utotoni eeeeeh Mungu muweza Yahweh na hakuna husilo jibu Bwana maswali yote umejibu Jehovah. ASANTE YESU nakupenda
@greggOtieno
@greggOtieno Месяц назад
Wooooooooooow!!!! I m blessed
@josiahjuliusmaingu1588
@josiahjuliusmaingu1588 3 года назад
Unakarama sana br.usijekubali kuteleza utakuwa umemkosea mungu wako
@margaretgitau1321
@margaretgitau1321 6 месяцев назад
Shataraboo😭😭😭😭🙇🏾🙇🏾🙌🏼🙌🏼
@MelithaLuta
@MelithaLuta 5 месяцев назад
Barikiwa sana sana
@amosmakoba5042
@amosmakoba5042 Месяц назад
Mtumishi wa MUNGU, kusema kweli nyimbo zako zimejawa na nguvu za Mungu.. Ninakuomba usihame katika namna hii ya uimbaji ambao Roho Mtakatifu kakupatia. Barikiwa sana.
@marthamwakatobe1596
@marthamwakatobe1596 Месяц назад
Kweli kabisa Bwana anaweza yote. Mungu azidi kukuinua na kukutumia.
@safari2976
@safari2976 Год назад
Nikifikiri jinsi ulivyo na nguvu Mungu, nafsi yangu inaogopa… uinuliwe Mungu wetu! Amina🙏🏾🙏🏾🔥🔥🇺🇸🇺🇸🇰🇪🇰🇪💕💕
@judithabuko6006
@judithabuko6006 8 месяцев назад
Woow may you be blessed Our God guide every your steps
@Yoshuakikasiga
@Yoshuakikasiga 4 месяца назад
P🙌🙌🙌
@michaelpatrick9137
@michaelpatrick9137 6 месяцев назад
Oooh yes, mtu sahihi wa Mungu kazini, keep going bro
@smartmwakipesile3842
@smartmwakipesile3842 Месяц назад
Axante baba yangu kwa kuniokoa
@reginarupia2478
@reginarupia2478 Год назад
MUNGU akuinue zaidi, umenibariki sn
@godrivermussa9158
@godrivermussa9158 4 года назад
Kaka Mungu akubariki sana aisee kaz nzr nimeona Upendo TV ukiutambulisha wimbo huu aisee Nimebarikiwa nao Sanaa, mimi pia ni mwimbaji niko nyuma yako kaka be blessed
@CelisterKahimbi
@CelisterKahimbi Месяц назад
Nyimbo zako zimekuwa baraka kwangu,Mungu aendelee kukutumia
@juliusmwombeki6742
@juliusmwombeki6742 Месяц назад
@@CelisterKahimbi Ameen atukuzwe Yesu
@neemarobert5399
@neemarobert5399 3 года назад
Waoooo
@smartmwakipesile3842
@smartmwakipesile3842 Месяц назад
Mungu akuongezee ukuu mtumishi
@sheilaadhiambomusic5767
@sheilaadhiambomusic5767 Год назад
Am from Kenya
@juliusmwombeki6742
@juliusmwombeki6742 Год назад
Ur welcome
@mr_eastie
@mr_eastie 4 месяца назад
i really love this
@valerianabechamu1720
@valerianabechamu1720 Год назад
Mungu Azidi kuiinua Huduma yako
@sefaniasamweliofficialtz7399
@sefaniasamweliofficialtz7399 4 года назад
Yesu ni jibu la maswali yetu!
@Dmsiris5
@Dmsiris5 4 года назад
Amen 🙏
@gloryjohn2655
@gloryjohn2655 4 года назад
waaooo hongera sana juliaa nilisubiri kwa ham sana video hii Mungu akuinue zaidi nabarikiwa sana na nyimbo hii
@MonicaEdson
@MonicaEdson 2 месяца назад
Nilikuwa na kipindi kigumu mdg Ang alilazwaa Nilisikiliza wimbo huu mala nyingii ulinitia moyo sanaaa Mungu akubarikii mtumishi
@juliusmwombeki6742
@juliusmwombeki6742 Месяц назад
@@MonicaEdson Ameen
@bupemogha5681
@bupemogha5681 4 года назад
Kaka julius naupenda sn huu wimbo nataman kisikiliza kila cku Mungu aendelee kukuinua na kukupa kibali wimbo wako unaonesha makuu ya Mungu yasiowezekana kufanywa na wanadamu
@consiliazakaria3219
@consiliazakaria3219 4 года назад
Unaweza Bwana unaweza Yesu barikiwa sana mtumishi nakupenda katika Kristo Yesu Roho mt. azidi kukupa mafunuo zaidi
@faridaefesi3177
@faridaefesi3177 2 года назад
MUNGU abariki Sana utumishi huu Mkuu kaka
@esterheri9592
@esterheri9592 3 года назад
😭😭😭🙌🙌🙌🙇🙇🙇wimbo umejaa hisia😭😭😭😭
@TeklaMaginga-sg3mg
@TeklaMaginga-sg3mg 6 месяцев назад
It's my favorite songs for sure,, may God bless you brother,, ❤️
@teddylameck21
@teddylameck21 3 года назад
Mungu wa mbinguni akubariki mno Julias
@holysamwel9978
@holysamwel9978 4 года назад
Mungu abariki huduma yako Julius
@potifasimkonda4296
@potifasimkonda4296 3 года назад
Barikiwa sanaaaaa
@azizasamson1505
@azizasamson1505 3 месяца назад
This song, jaman,i imeniliza akii ,I real felt the presence of GOD
@juliusmwombeki6742
@juliusmwombeki6742 3 месяца назад
Be blessed
@elimeliklyampinga6608
@elimeliklyampinga6608 4 года назад
nice song (kwa matendo yako yesu nafsi yangu inaogopa!!!!!!!
@joycethomas4417
@joycethomas4417 4 года назад
Huu wimbo niliona upend tv nimeutafuta sana mpaka leo ndio nimeupata bonge la wimbo💗
@consiliazakaria3219
@consiliazakaria3219 4 года назад
Joyce Thomas umekuwa kama mimi yaaani nmeandika zaidi ya mara ndo nkauona jina nlikuwa silijui Hahahah
@joycethomas4417
@joycethomas4417 4 года назад
@@consiliazakaria3219 yaan we acha tu nimepata tabu kuupata😂
@hoseahmwakajinga8415
@hoseahmwakajinga8415 4 года назад
Kaka kaka aisee hii kazi inanibarik sana pamoja sana
@nl7142
@nl7142 4 года назад
Ubarikiwe Julius, Mungu azidi kukuonyesha njia. wimbo mzuri sana.
@juliusmwombeki6742
@juliusmwombeki6742 4 года назад
Asante utukufu kwa Bwana Yesu Kristo
@johnmatiko2596
@johnmatiko2596 4 года назад
Nice song
@nathanielmnzava8558
@nathanielmnzava8558 4 года назад
Nimesikia mara moja nikataka kusikia tena na tena.."Nafsi yangu inaogopa"
@Dmsiris5
@Dmsiris5 4 года назад
Amen 🙏kwa kwel nafsi yangu inaogopa
@selinalugenga4995
@selinalugenga4995 2 года назад
Amen
@selinalugenga4995
@selinalugenga4995 2 года назад
Amina mungu yupo nasi
@simonmgoha1037
@simonmgoha1037 Год назад
Am blessed
@aggreymattary6911
@aggreymattary6911 4 года назад
God bless you kaka...Kazi Nzuri Sana
@fleuryirakoze8040
@fleuryirakoze8040 6 месяцев назад
Amen 🙏
@noabinoabiernesternest1177
@noabinoabiernesternest1177 4 года назад
wimbo unabarki sana🔥🔥
@mrkibali6075
@mrkibali6075 4 года назад
Nakukubal sana my brother kaz iko njemaa #Mr kibaLi
@godchuwa1064
@godchuwa1064 3 года назад
Mungu akuongoze kaka
@robertayubu3394
@robertayubu3394 4 года назад
My favorite song be blessed bro
@rebeccajames7429
@rebeccajames7429 4 года назад
Woow nice
@lameckbinigo2897
@lameckbinigo2897 3 года назад
Mungu
@naomimussa2196
@naomimussa2196 4 года назад
Mungu azidi kukupa uwezo Zaid ktika uimbaji wako
@juliusmlope4037
@juliusmlope4037 2 года назад
be blesed
@user-hk1sm2ch5f
@user-hk1sm2ch5f Год назад
AMEN
@Epimack_s
@Epimack_s 4 года назад
Your fan since day one pale (brigade mess #lugalo) kaka.
@janethkilonzi4260
@janethkilonzi4260 3 года назад
Oh my God,..wimbo huu unanigisa mno ,..mtumishi wa mungu ubarikiwe.
@mathiasmasegenghe3490
@mathiasmasegenghe3490 Год назад
@lucasmwandu7273
@lucasmwandu7273 3 года назад
Ongera rafki keep it up am blessed
@vivianusrwezaura1245
@vivianusrwezaura1245 4 года назад
Keep going Julius
@juliusmwombeki6742
@juliusmwombeki6742 4 года назад
Thanks bro
@ericakambuga7602
@ericakambuga7602 4 года назад
Wimbo mzuri sana, naupenda sana
@mercywilliam733
@mercywilliam733 4 года назад
Mungu azidi kukupaka mafuta ,,aachilie unyenyekevu,,na ufahamu mkubwa Wa mambo ya rohoni....for this starting am blessed,,hope to see ur progressiveness
@GraceLengai-fw4eb
@GraceLengai-fw4eb 11 месяцев назад
Nauona uwepo wa Mungu kupitia wimbo huu, ubarikiwe sana
@lukamwambalaswa4463
@lukamwambalaswa4463 4 года назад
You didi it brother, keep it up
@beatricekamamaa209
@beatricekamamaa209 Год назад
Mungu azidi kuku inuwa na kukupa kibali. Barikiwa mtumishi wa Mungu.
@mrkibali6075
@mrkibali6075 4 года назад
Nafs yang inaogopa
@georginampanda6828
@georginampanda6828 4 года назад
amen wimbo huu umenibariki sana kwa kweli mungu akubarikizaidi kwa viwango vya juu zaidi uzidi kufanya vizuri zaidi
@geofreysimbakavu7819
@geofreysimbakavu7819 2 года назад
Anointed gospel singer,are very few now days,keep on it servant of God.
@amadisaidi6448
@amadisaidi6448 2 года назад
Mungu akubaliki sana
@johnsonkamolemwabukaoffici306
@johnsonkamolemwabukaoffici306 4 года назад
Good kazi nzuri brother
@tanzanitecammpany6290
@tanzanitecammpany6290 3 года назад
Kaka nyimbo san Mungu azidi kukubarik,
@marystellapascal8348
@marystellapascal8348 3 года назад
Mungu aendelee kukuinua Julius Yan huu wnbo unanbark xna I real appreciate dat song jmn
@juliusmwombeki6742
@juliusmwombeki6742 3 года назад
Amen Asante
@sarahnyamwendo3493
@sarahnyamwendo3493 3 года назад
Barikiwa nimeujua huu kweny playlist upendo TV barikiwa sana
@jacintaitumo5571
@jacintaitumo5571 3 года назад
Yes preach to the world . What a talent
@rachelldanford273
@rachelldanford273 3 года назад
Uinuliwe n MUNGU kwa viwango vya juu Julius,,, groly to GOD 😘
@marthafelix5893
@marthafelix5893 4 года назад
Hongera sana kaka yangu Mungu azidi kukuinua ktk viwango vingine ( nafsi yangu inaogopa hakika we we ni Mungu
@kefrinefrancis7660
@kefrinefrancis7660 3 года назад
Dahh huu wimbo unafariji sana Mungu akubariki sana muimbaji 🙏🙏
@okoamwakisu9193
@okoamwakisu9193 4 года назад
Barikiwa cn, najifunza mengi kupitia wimbaji wako....... Bwana azidi kukutumia
@marywairimu6574
@marywairimu6574 2 года назад
From kenya My brother you bless my soul May almighty God lift you higher Wewe ni wabaraka sana.
@gracejohn3057
@gracejohn3057 2 года назад
Ubarikiwe kaka
@marthafelix5893
@marthafelix5893 4 года назад
Mungu ni jibu la maswali yetu
@d.ashukuriwe3081
@d.ashukuriwe3081 4 года назад
Ubarikiwe 🙏🏾
@jefredyfrednandy5880
@jefredyfrednandy5880 3 года назад
Wimbo mzuriii sana kiwango
@lsackmazuriofficial1526
@lsackmazuriofficial1526 3 года назад
Mtu wa mungu barikiwa Sana kaka kazi yako jema Sana mtumishi wa mungu
@bettyjeremiah1008
@bettyjeremiah1008 4 года назад
Amen be blessed
@pracksederstanley7771
@pracksederstanley7771 4 года назад
Barikiwa zaidi mtumishi was Bwana
@lameckbinigo2897
@lameckbinigo2897 3 года назад
Julius. Mungu. Akubaliki
@alphoncemutema8097
@alphoncemutema8097 4 года назад
Hongera sana aisee huu wimbo umenipeleka mahali
@agnesjames4251
@agnesjames4251 3 года назад
The song has blessed my day
@helenyohana1892
@helenyohana1892 4 года назад
My favorite songs, be blessed Julius
@christinacharles7963
@christinacharles7963 3 года назад
Nimebarikiwa Sana kaka mungu akusaidie
@georginampanda6828
@georginampanda6828 4 года назад
nafsi yangu inaogopa
@salmamussa8988
@salmamussa8988 4 года назад
wimbo mzurii sana barikiwa
@Dmsiris5
@Dmsiris5 4 года назад
Amen 🙏 🙏 Powerful song God Bless You 🙏from Glory to Glory kwa kweli nafsi yangu inaogopa.
@johnmabula5735
@johnmabula5735 2 года назад
May the almighty God bless you brother Mwombeki for your powerful song
@johnsonmwilemela9035
@johnsonmwilemela9035 4 года назад
Ameen and Ameen!!!! May the hand of our Lord the father be upon you brother. Huduma yako ni kubwa mno, Mungu akupe unyenyekevu wa ndani kulingana na kiwango cha huduma yako, Mungu awape hekima wanaokulea kiroho ili waweze kuilea hii huduma kwa utukufu wa Yehova. Mwanangu mdogo anaeitwa Caleb anabarikiwa sana nawe na anakusalimu sana. Stay blessed mdogo angu.
@janethrichard6241
@janethrichard6241 4 года назад
Yanii huu wimbo sichoki kuusikiliza mungu akubariki sana mtumishi wa mungu
@leahmwakalambile1648
@leahmwakalambile1648 4 года назад
Unatosha Yesu!wimbo mzuri sana,Mungu aendelee kukupa mafunuo mengi maana nafsi yangu inaogopa
@joycesanga5817
@joycesanga5817 4 года назад
Mungu akuinue kaka songa kwakumwita yeye kaz nzur utukufu kwamungu
@tumainiluka8369
@tumainiluka8369 4 года назад
You did it brother Glory to Almighty God
@raphaelchristopher766
@raphaelchristopher766 4 года назад
Kazi nzur Julius mungu akutangulie
@georginampanda6828
@georginampanda6828 4 года назад
Eeeeeeh Bwana nimesikia nafsi yangu inaogopa
@peterjuma737
@peterjuma737 3 года назад
Ubarikiwe
@sheilaadhiambomusic5767
@sheilaadhiambomusic5767 Год назад
You have a nice song one day l will call you do a song together
@lucasmagima5112
@lucasmagima5112 4 года назад
Nyimbo nzuriiii kaka
@Dor856
@Dor856 3 года назад
Nafsi nyangu inaogopa🙏🏼
@calvinjoy2547
@calvinjoy2547 3 года назад
God bless you my brother. i have been looking for your songs, God finally opened this song.
@juliusmwombeki6742
@juliusmwombeki6742 3 года назад
Be blessed
@masembomusicforbeginners
@masembomusicforbeginners 3 года назад
a favourite song of mine from Julius Mwombeki
@josephanthony5952
@josephanthony5952 4 года назад
Ameeen hakika nafsi yngu inaogopa
Далее
Uso Wangu
9:52
Просмотров 118 тыс.
DAMU YA YESU INANENA MEMA WORSHIP😭😭😭
10:36
Просмотров 3,7 тыс.
MANUKATO - AICT MBEZI BEACH CHOIR ( Live Music Video
9:07
SARAH MAGESA - KULA MANENO YAO Official Video 4K 2023
6:32
KAMA SI BWANA.
8:38
Просмотров 295 тыс.
Uinuliwe Yesu (Live)
9:48
Просмотров 5 тыс.
Worship therapy,msalaba ndio asili ya mema 🙏
9:37
Angel Benard - Asante ( Official Music Video )
4:34
Просмотров 728 тыс.
Martha Baraka - Jina la Yesu ni dawa (Official video)
7:31