Тёмный

Juma kakere ~Betty (audio) origin ya kipande alichotumia Darassa kwenye hitsong ya Utanitoa roho 

baltzr luus
Подписаться 1,3 тыс.
Просмотров 230 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 114   
@enighenjammbaga8537
@enighenjammbaga8537 9 месяцев назад
Wakati miziki ikiitwa miziki!! 🥰 2024 early…❤️
@awadhally1052
@awadhally1052 5 месяцев назад
❤🥰🥰
@focusbusili2984
@focusbusili2984 5 лет назад
hiyo ndio miziki ya kusikiliza tunaosikiliza 2019 gonga like twende sawaa
@FedrickDanielJob
@FedrickDanielJob Год назад
2023
@foreverlivingproductstz8244
@foreverlivingproductstz8244 28 дней назад
Me 2024
@kidmuzy6155
@kidmuzy6155 3 месяца назад
tunaosikiliza 2024 tujuane
@oliverrwechungura5433
@oliverrwechungura5433 Год назад
2023 lakini bado wimbo mkaliii❤❤❤❤
@jalinachilala8465
@jalinachilala8465 Год назад
This song will always be on top fire..if u agree with this. Gonga likes ❤❤❤❤
@godfreylembariti6109
@godfreylembariti6109 5 лет назад
Nyimbo kama hizi nikizisikiliza namkumbuka marehemu baba yangu alikua anazipendaga sana upumzike kwa amani mzee Ramadhani Salim Lembariti au Emballa Sasa International Group tutaendelea kukuenzi japo kuzisikiliza nyimbo zako mzee wangu.
@focusbusili2984
@focusbusili2984 5 лет назад
Godfrey Lembariti omba mungu ampunguzie azabu ya kabulii
@sarahmoni426
@sarahmoni426 3 года назад
Nyimbo Kama huzi zikipigwa zinakutoa sehem nyingine kukupeleka sehem nyingine
@noviceligate2950
@noviceligate2950 19 дней назад
October 2024....am here❤
@luckykeyloh9086
@luckykeyloh9086 4 месяца назад
Nime achika jamani ndio nime rudi tena hapaaa 2024 mwezi huu loh 😢
@manjoh895
@manjoh895 7 дней назад
Vibe kama la Jana tuu…. Wale wa 2024 👍
@josiahmacharia469
@josiahmacharia469 2 года назад
Hii nyimbo hunikumbushia enzi za TBC ikiitwa TvT, nakumbuka ITV mida ya jioni nikitoka shule saa kumi nakuta tu hii nyimbo kwa nyakati kadhaa, huyu mzee aliweza sana
@mossomar1674
@mossomar1674 4 года назад
Wale wa 2020,tujuane hapa kwa Like
@luciamaganga210
@luciamaganga210 3 года назад
Nipo 2021😀
@magesamatiku7364
@magesamatiku7364 3 года назад
Wale wa 2021 twende kazi maana hii ndio miziki ya kusikiliza
@khamismdee4162
@khamismdee4162 3 года назад
Yah
@zenakaboyonga9168
@zenakaboyonga9168 5 лет назад
Wimbo unaishi siku zote maishani...siwezi maliza wiki bila kuusikiliza yaan
@franktitus3038
@franktitus3038 5 лет назад
Daaa hii mizik acha tu.bado nimizur sanaa
@esthermsangi3897
@esthermsangi3897 4 года назад
Bali muumba akipenda tutaonana" wapi 2020!
@awadhally1052
@awadhally1052 5 месяцев назад
❤❤🥰❤❤❤
@Planet_Zong
@Planet_Zong 6 месяцев назад
2024
@jasminemsuya7311
@jasminemsuya7311 3 года назад
Kila nikisikiliza hii nyimbo namkumbuka sana mdogo wangu! The worse thing in the world is distance! I hate being far from my sisy! I remember how she played this song on repeat two days before I travelled. I missed you so much and I love you too much! Hekal. I just hope I will come back home soon!
@jasminemsuya7311
@jasminemsuya7311 3 года назад
*worst
@Official_adasco
@Official_adasco 4 месяца назад
Juni 2024
@AshaMbaraka-pv3zf
@AshaMbaraka-pv3zf 5 месяцев назад
Acha kabisa weekend Leo 2024❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@oninaalay7167
@oninaalay7167 4 года назад
My name is Beth i love this song
@awadhally1052
@awadhally1052 5 месяцев назад
💥👍❤
@AHMADA515
@AHMADA515 5 месяцев назад
Urudi salama Beth
@focusbusili2984
@focusbusili2984 5 лет назад
hiyo ndio miziki ya kusikiliza tunaosikiliza 1
@christinaroby3025
@christinaroby3025 4 года назад
Hizi ndo nyimbo sasa
@kasukusumbu519
@kasukusumbu519 4 года назад
aise kwakweli sijuwi uchawi gani ulitumiwa kwenye hiinyimbo naipenda kupita maelezo kwakweli
@sharifamhina3200
@sharifamhina3200 3 года назад
Walitulia wakaandaa kitu kizuri Leo tuna enjoy
@bernaberna4159
@bernaberna4159 Год назад
2023 new year tupo hapa muziki unaoishi🔥🔥♥️♥️
@noahmasasi3574
@noahmasasi3574 2 года назад
Nuru where you are uende salama dodoma safari sio kifo kipenzi, naye muumba akipenda tutaonana you know how much I really love you 😘😘😘😘
@stevenmmbando378
@stevenmmbando378 3 года назад
20/3/2021 Steven hapa
@hamiswilson2455
@hamiswilson2455 4 года назад
Watching in August 2020. Gonga likes twende kazi
@ndelemwalonde2145
@ndelemwalonde2145 Год назад
Hizi nyimbo nzuri Sana
@godlivingkimaro4937
@godlivingkimaro4937 7 лет назад
JUMA KAKERE NICE SONG MY BROTHER
@baltzrluus3287
@baltzrluus3287 7 лет назад
thanx broo pamoja sana
@SophiaAthanas-g5u
@SophiaAthanas-g5u 9 месяцев назад
Am so grateful to hear that song😢🙏
@leilamdoe9178
@leilamdoe9178 4 года назад
Nasikiliza wimbo huu 2020
@alfredmunnah721
@alfredmunnah721 5 лет назад
Muziki ulipokuwa unaitwa muziki.
@echizua606
@echizua606 4 месяца назад
wametisha sanaaaa
@AHMADA515
@AHMADA515 5 месяцев назад
Tamu sana...tamu sana
@lucykasitila6962
@lucykasitila6962 Год назад
yes❤
@othumanomari1589
@othumanomari1589 Год назад
The Tanzania 🇹🇿 one music ✌️✌️
@steveally8783
@steveally8783 7 лет назад
Hapo ksba hapo nyimbo zko zinanifalij sana na kunipa a man
@omaryntenga4938
@omaryntenga4938 6 лет назад
nimeikubali
@daudijohn8416
@daudijohn8416 Год назад
2023 Bado naipenda hii
@lucykasitila6962
@lucykasitila6962 Год назад
2023 tukutane hapa
@abdllahijr3461
@abdllahijr3461 7 лет назад
the best song ever of all time thanks for you
@edwinford3673
@edwinford3673 5 лет назад
Kweri uwaga tuna mawazo makubwa
@JohnGoodluck-mz5bc
@JohnGoodluck-mz5bc Год назад
Nakumbuka mbali sana hii nyimbo
@johnjoseph7590
@johnjoseph7590 Год назад
2023 tunaenjoy
@costantinokabadi8624
@costantinokabadi8624 3 года назад
January 2021🤪
@luciamaganga210
@luciamaganga210 3 года назад
Nipo hapa😂😂😂
@simonmahundo1735
@simonmahundo1735 Год назад
2023 Bado naisikiliza
@josephbenardmjengwa8524
@josephbenardmjengwa8524 3 года назад
2020 bado ngoma imesimama
@Regnard999
@Regnard999 Год назад
2023
@JudithAdonis
@JudithAdonis 5 месяцев назад
2024 May ❤❤❤❤
@maryraphaely9696
@maryraphaely9696 7 месяцев назад
2024🎉
@chelseadiva1072
@chelseadiva1072 4 года назад
Dah old is real gold 2020 still hot
@officialsangup9913
@officialsangup9913 3 года назад
Hot
@theresiatarimo3616
@theresiatarimo3616 3 года назад
nyimbo za dediction .unamtumia my love anafeel..ooh.full stress kwiesha.ilike it 2021 huko aliko haoni mtu.
@rahabusilas2869
@rahabusilas2869 3 года назад
Duh Hadi nimemiss live band
@mwitanyamuhanga8075
@mwitanyamuhanga8075 3 года назад
Umeonayeee bonge la nyimbo
@luciamaganga210
@luciamaganga210 3 года назад
Huko uendako mamaa unikumbuke😥
@irundeeliya3577
@irundeeliya3577 4 года назад
Hii iko poa sn Betty 💯
@zakiaramadhan9657
@zakiaramadhan9657 3 года назад
2021
@brightontv8019
@brightontv8019 Год назад
Nimerudii kuskiliza hii ngoma 2022
@boniventuremaduga6277
@boniventuremaduga6277 6 лет назад
Huyu aliepiga solo yuko vzr saana
@jacksonmzee1661
@jacksonmzee1661 5 лет назад
Ni Adolf Mbinga
@sharifamhina3200
@sharifamhina3200 3 года назад
Ote wapo vby mna
@hammykingu2820
@hammykingu2820 6 лет назад
loh wimbo huu unanikumbusha mbali sana mangi,apoo
@charlesngoma9968
@charlesngoma9968 4 года назад
Zamani sana jamani
@sabaskabonee1092
@sabaskabonee1092 4 года назад
Good song
@jaquelineobedi7200
@jaquelineobedi7200 7 лет назад
Plz uploading more
@kabaedu5294
@kabaedu5294 4 года назад
2020 saf Juma kakere cool song
@benitopilla3145
@benitopilla3145 Год назад
Kula chuma ichooo
@abdllahijr3461
@abdllahijr3461 7 лет назад
Oscar and Grammy awards
@mossesjoseph2202
@mossesjoseph2202 3 года назад
Wimbo mzuri sana,
@hmsrashd7910
@hmsrashd7910 2 года назад
Ohh 😭😭😭😭
@rufuskeja6490
@rufuskeja6490 7 лет назад
hot!hot! hot! thanks for uploading....
@baltzrluus3287
@baltzrluus3287 7 лет назад
niliamua ku upload coz huu wimbo ukiutafuta youtube haupo ni nadra sana kuupata mtandaoni
@hassanpraygod9806
@hassanpraygod9806 2 года назад
2022 tujuane kwa likes
@siammbando3097
@siammbando3097 7 лет назад
mawazo mawazo ukiwa ukiwa
@baltzrluus3287
@baltzrluus3287 7 лет назад
huu wimbo mzuri sana
@annachales9623
@annachales9623 2 года назад
2022
@juliethnnko3700
@juliethnnko3700 7 лет назад
Naupendaga huu wimbo basi
@rodgersmkomba1705
@rodgersmkomba1705 3 года назад
2021 Still Verified ☑️
@issaramadhani2479
@issaramadhani2479 3 года назад
My flevor
@kingjaymal3349
@kingjaymal3349 3 года назад
Nipo hapa 2021
@anthonymichael8898
@anthonymichael8898 7 лет назад
wawo nice song
@shomarywawa6227
@shomarywawa6227 5 лет назад
Betty😥
@kasukusumbu519
@kasukusumbu519 6 месяцев назад
Asante
@daudijonh4762
@daudijonh4762 4 года назад
2020 👍👍
@Official_adasco
@Official_adasco 4 года назад
Ctober 2020
@daudijohn5650
@daudijohn5650 5 лет назад
Kutoka simiyu mwezi wa 11 _2019 naisikiliza kwa makin sana
@lugikoelison6072
@lugikoelison6072 4 года назад
Hiyo yenyewe
@steveally8783
@steveally8783 7 лет назад
Ukwel unanifrahisha
@jamalikipingu593
@jamalikipingu593 6 лет назад
inabamba sana
@christianntumbala5460
@christianntumbala5460 5 лет назад
Takataka zote zipo youtube
@saidwilsonnyabikwi.8242
@saidwilsonnyabikwi.8242 4 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka sana kuona comment yako!
@maryraphaely9696
@maryraphaely9696 7 месяцев назад
iiii
@josephabel7654
@josephabel7654 3 года назад
Rafiki yangu kanisikilizisha hii nyimbo ikabidi nije huku nyimbo nzuri inayoishi
@jamalikipingu593
@jamalikipingu593 6 лет назад
lkopoa
@allymakaso9738
@allymakaso9738 5 лет назад
Mziki ulikuwa zamani sasahivi tunaimbiwa matusi tulivyo wajinga tunafurahi
@maxlupapa4554
@maxlupapa4554 3 года назад
Sana
@kasukusumbu519
@kasukusumbu519 6 месяцев назад
Asante
@bongelabwana7523
@bongelabwana7523 3 года назад
2021
Далее
ELIMU YA MJINGA-BANZA STONE
8:29
Просмотров 677 тыс.
Rangi ya Chungwa
9:11
Просмотров 86 тыс.
Купил КЛОУНА на DEEP WEB !
35:51
Просмотров 2,9 млн
Always Help the Needy
00:28
Просмотров 7 млн
Tunda Special- Mwinjuma Muumini
9:01
Просмотров 1,6 млн
Hussein Jumbe-Mapenzi Ya Siri
5:59
Просмотров 445 тыс.
Chuki Binafsi
11:06
Просмотров 18 тыс.
MAKASY JUNIOR   BABA PAROKO new)
10:29
Просмотров 293 тыс.
Nawashukuru Wazazi Wangu
7:10
Просмотров 1,7 млн
Sumu Ya Mapenzi
12:22
Просмотров 15 тыс.
Nimekuchagua Wewe - Bob Rudala
5:07
Просмотров 2,5 млн
Купил КЛОУНА на DEEP WEB !
35:51
Просмотров 2,9 млн