Nyie mnaosema wasafi hawana jipya MNA uhakika??? Kuna wengne tulikuwa hata hatumjui huyu mhenga BT kupitia rayvanny kuirudia nyimbo yake tumemfaham na najua hata nyimbo zake zingine zitauzika cz kashajulikana thanx WCB mungu anawainua watu kupitia njia tofauti yawezekana hapo alipo jumbe alikuwa ashajikatia tamaa BT anapata moyo through that
Hussein Jumbe ni mwanamziki mkongwe kama ulikuwa humjui ni wewe tu. Hawa wanaorudia miziki ya zamani wanapoteza uhalisia wa nyimbo hizi na ni ukosefu wa ubunifu.
Pumzika Kwa Amani Hussein Jumbe, sauti yako bado itaendelea kuishi masikioni mwetu, MUNGU alikupa kipaji Cha kuimba na kukosha nyoyo za mashabiki wako.
hii nyimbo ilinifanya nimfatilie Hussein Jumbe. nzuri. naomba mtu afanye ku - upload wimbo mmoja Hussein Jumbe alishirikia na dada mmoja siujui unaitwaje lakini chorus inaimba "pole dada Rehema ndoa yaitaji uvumilivu"
Humphrey Bernard, huo wimbo unaosema ni wa Mama mmoja anaitwa Rehema Tajiri. Aliwashirikisha marehemu TX Moshi William pamoja na marehemu Othman Momba.