Тёмный

Juma Nature - Mtoto Iddi (Visualizer) 

Bongo Records Ltd
Подписаться 20 тыс.
Просмотров 80 тыс.
50% 1

LYRICS
Mtoto Iddi kazua balaa
Kijana Iddi kazua mikosi
Mtoto Iddi kazua balaa
Kijana Iddi kazua mikosi
Yuko kama kapandwa na kichaaa
Anahitaji kurekebishwa
Yuko kama kapandwa na kichaaa
Anahitaji kurekebishwa
Kuvumilia Iddi anavyofanya
Inategemea mtu na mtu
Kabila ama kabila
Kuna wengine hawana masihara
Watamletea matatizo asijue wapi pakukimbilia
Watakuletea matatizo usijue wapi pakukimbilia
Iddi zake michapo na pamba za kuazima
Nyumbani ye hakai wanaishi ka makima
Wazazi waliomzaa Iddi anawakosea heshima
Akirudi nyumbani Iddi ananukia pombe
Akiulizwa ametoka wapi anasema dingi usikonde
Na kabla hajaondoka anamkata dingi makonde
Anavyofanya Iddi amerithi kwa baba yake
Sa umleavyo Iddi baba hivyo sio
Atakuja kukamatwa na kesi za mauaji
Iddi ukimtazama ni mtoto wa makamo
Vibaka wamekamatwa ye mwenyewe akiwemo
Wamemfikisha kwa baba yake kasema simo
Wamempiga mapanga kujifanya much know
Anaunguruma na kesi ya kumdhulumu Mr Joseph Kusaga
Hivi sasa anatafutwa alilipe lile deni alilokopa kwa bwana Joe
Ana kesi za wizi zipatazo ishirini na sita
Alivyo na bahati mbaya akikwapua tu wanamshika
Wazazi mpaka mwenyewe ndio ****
Amepoteza nafasi ya kuishi kama Soldier
Kwani Iddi hawezi kula ugali bila mboga
Kutwa nzima Iddi anakaa kizembe wamemroga
Na tena kuna tetesi wanga wamekula kiboga
We Iddi kuwa makini tabia yako haifai
Utapondwa na marungu uone dunia ka hafai
We ni shahidi ni shahidi
Mtoto Iddi kazua balaa
Kijana Iddi kazua mikosi
Mtoto Iddi kazua balaa
Kijana Iddi kazua mikosi
Yuko kama kapandwa na kichaaa
Anahitaji kurekebishwa
Yuko kama kapandwa na kichaaa
Anahitaji kurekebishwa
Kuvumilia Iddi anavyofanya
Inategemea mtu na mtu
Kabila ama kabila
Kuna wengine hawana masihara
Watamletea matatizo asijue wapi pakukimbilia
Watakuletea matatizo usijue wapi pakukimbilia
Iddi ni kijana mwenye sura ya kibandidu
Iddi ni mtoto wa kwanza wa mzee Hamidu
Ukisema tumseme we ni kama umemuadhibu
Huyu Iddi ana laana
Kutumwa kwake ni kama umemuonea
Mkimuachia upenyo mnamkuta amepotea
Haoni raha kuishi ye na yake familia
Katoka na pombe zake tu akirudi ye analia
Anamlilia nani na pombe kanywa mwenyewe
Na huo ni ushauri alioupata kwenye vijiwe
Mzee Hamidu ana dharau kusema lolote liwe
Alianza tu kidogo ye kubadilisha bia
Mtu mzima yupo bar anazitiririsha bia
Anasubiri wateja walewe aweze kuwaibia
Kamatwa kila wiki watu wameshatega njia
Watu wamechukia nini kinachofatia
Ni kumponda na kumuua au Mungu kumuokoa
Huyu Iddi ana laana
Iddi matatani hawezi kupenya dirishani
Wala haishi kwa raha amemuibia na Majani
YeKila siku kesi tu haziishi mahakamani
Asikutane na msamaha
Pita pita kona naona kundi la watu
Wanambeba Iddi kaiba viatu vya watu
Nauliza eti kisa kauza viatu vya watu
Bila mwenyewe kujua kama Iddi amechukua
Song Writer:
Juma Kassim Ally
/ sir_nature
Audio produced & mixed by:
P-Funk Majani
/ majani187
Video directed by:
Numz Visualz
/ director_numz

Опубликовано:

 

10 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 441   
@chacha-255
@chacha-255 9 дней назад
Mnaosema video irudiwe jueni kwamba Nature katoa hii video kwa lengO la kutimiza ndoto ya vijana wa 2000 kuja kuiona video ya mtoto Iddi, Ndio maana kaifanya kwa kujitolea kwa bajeti ya kawaida, Mashabiki wa muziki wa sasa ni kizazi kingine kabisa cha hawa generation Z watoto wa 2000 wenye miziki yao, Kufanya video za milioni 20 ni uwekezaji na inabidi uwe na mashabiki wa kizazi cha Generation Z uwe na uhakika wa kurudisha pesa kwenye shoo zinazojaa hao watoto wa 2000. wasanii wengine nao waige huu mfano wa Nature kuna ngoma kibao ziliwahi kutamba hazina videos, It's a nice video that preserves the legacy of one of the greatest of all time in Bongo Flava.
@budahman2908
@budahman2908 8 дней назад
Umeielezea vizuri sana
@nickhd1857
@nickhd1857 8 дней назад
Hii point sio mzee kuna ngoma za zamani tunaona watu wanaruka nazo sahv tiktok mfano viviano na ile ngwonko nko .. ni ngoma za kitambo bambo comedy zake za kitambo ila social media imemrudisha tena kuna namna hii angeifanya ingerudi kua trend .. niko pamoja na wanaosajesti baga awekwe au nagwa . Wale wana influence sasa siriaz kwa nature ya nyimbo kuna kaunyama kakiongezeka watu wanaifanyia challenge hii
@aziziabeid6052
@aziziabeid6052 2 дня назад
Kaka inaweza kuwa bajeti hiyo hiyo ikawa tofauti
@AbouNkurunziza
@AbouNkurunziza 9 дней назад
Irudiwe iyo nyimbo tumpate kitale apo nagwa. Na baga itakaa Sawa ngoma kubwa iyo bwana irudiwe
@queenandchill91
@queenandchill91 10 дней назад
Oyaa Nature umeharibu kinoma. Hii nyimbo ni kubwa sana. Video haisadifu unayoimba kabisa. Hakuna uhalisia. Huyo Idd sura mchumba kabisa hakuna muonekano wa kibandidu na hajaonekana akifanya matukio ya kutisha. Video mbaya sana inabore mno.
@hezronjoseph405
@hezronjoseph405 5 дней назад
Ukisha uza haki miliki,basi kazi zako zinachezewa kama ivi ,,kama lengo ni kumsaidia nature kwann video ,ushoot na infinix,,sio kweli p funk
@oliverngualo4028
@oliverngualo4028 10 дней назад
Brother Nature hii Ngoma ni Kali sana ila VIDEO sijui umeshoot na SIMU ya TECNO au ITEL😢😢😢😢😂😂😂😂
@wolterdavid8979
@wolterdavid8979 13 дней назад
Hapa ilitakiwa mshuti stori, iwe kama movie. Iddi katika pilika pilika mapurukushani!
@EssauGabliely
@EssauGabliely 3 часа назад
Mnaraumu sana,, muchangie sasa afanye kitu bora
@Chawamsafi1
@Chawamsafi1 10 дней назад
Ngoma ya 90s alafu inakuja kufanyiwa video na vitoto vya 2005 matukio ya kimama na utoto duh nature rudia hii video kama unataka kuheshimiwa
@PeterWilliama
@PeterWilliama 10 дней назад
Angalia dunga mawe ya kontawa vyenye nagwa alifunika ww wachukua watu wa bure badala ungempatia nagwa iyo nafasi
@zuberimohamed43
@zuberimohamed43 14 дней назад
Ungempata mtu km Kitale, baga au Nagwa then script ingejumuisha matukio yaliyo imbwa hii ngoma ingerud upya sokoni huyo IDD mlio tuwekea kapoa kinoma
@alfredlaurent1728
@alfredlaurent1728 14 дней назад
Hasa Kitale
@Ali_Manzu
@Ali_Manzu 14 дней назад
Kitale ingemfaa! Above all we are happy now that Bongo Records is giving us the videos. Asante sana Majani. Wazo Zuri ambalo naomba utengeze video kali za miaka ya nyuma. 👏🏿👏🏿
@directornumz8225
@directornumz8225 14 дней назад
washashoot sana hamchoki kuwaona kila siku .?
@directornumz8225
@directornumz8225 14 дней назад
​@@alfredlaurent1728analipwa 2M kwa project unaweza kulifanikisha hilo
@directornumz8225
@directornumz8225 14 дней назад
​@@Ali_Manzutruee
@amohd8502
@amohd8502 7 дней назад
huyu jamaa hakuiweza caria ya broo tafuta kijana mwengine nagwa kitale baga na sura mbovu kibao mitaani hii nyimbo inahitaji sana vitendo sio kuona muimbaji
@brayo001
@brayo001 11 часов назад
Daaah miaka ya 2002 tuko na wanangu kijiweni tukiskiza hizi ngoma Mombasa, Kenya...tulikuwa na mwana anaingia Tanga Tz anapiga mabiashara yake akirudi anakuja na radio cassette za Albamu ya Nature tunaziskiza tukizichambua mikasa inayotokea kwa nyimbo pia tukijifunza na hizo ngoma....ila niko disappointed na video
@marcuskikot5915
@marcuskikot5915 4 дня назад
Bora pengo kuliko jino bovu...bonus... story kali ..video bado kabsa! Irudiwe tu ktk usiriaz
@cosmasthomas9164
@cosmasthomas9164 11 дней назад
Huyu iddi bishoo tu,hakistahili kuwepo kwenye hili goma kiroboto
@ammyskills5588
@ammyskills5588 14 дней назад
Kipindi hicho my brother anapambana naye atoke ila ikashindikana ,alikuwa anaipenda sana hii nyimbo daah🔥
@neemammbaga227
@neemammbaga227 9 дней назад
Video ni nzuri sana thank you sir nature🎉 hawa watz hawajui hata kushukuru kwa kidogo mtu akijitahidi mtieni moyo sio kukashfu daily mnamvunja moyo inabid aanze atafika pale inatakiwa huwez kumuweka idd mnayemtaka nyie na hela ya kumlipa uyo idd wenu anatoa nature either hela ni kubwa hatuwez kujua why msishukur ata kwa hii video 😢ndo mana wasanii wanapataga depresion
@lesliesolomon3624
@lesliesolomon3624 2 дня назад
Kideo kali banah nliisaka kumbe bwana wagwan sana!#Juma nature🎉🎉🎉🎉🎉
@Blackson_360
@Blackson_360 14 дней назад
Ngoma imegusa sana moyo tuliotokea mbali hongereni sana wakuu mloshiriki japo lwakuchangi hasa upande wa video nadhani haijatendewa haki kabisa natamani sana ninengemuona mtu kama kitale umo ndan independeza zaidi picha flani kama selemani . Kama shabiki naomba kuwakikilisha
@Kthenation
@Kthenation 12 дней назад
Kuna Ngoma kama hizi zinaishi miaka mingi tofauti na hizi Trending song za Ajabu Ajabu One month huzisikii tena Big UP 🤝🤝✊
@MulladKingz-me2ni
@MulladKingz-me2ni 3 дня назад
Bring back the Bongo flava,Juma Nature Big up my brother ...i love the sound .. . Message received.......
@Hovyoo
@Hovyoo 13 дней назад
Director ashikwe Achapwe fimbo Nyingi sanaa Shenzi Video gan Hii
@mrutu9496
@mrutu9496 10 дней назад
Halafu hiyo story nzuri na inaeleweka. So ilikua rahisi Sana kutengeneza script
@Masende
@Masende 5 дней назад
Poor script
@SinemaZaChina
@SinemaZaChina 10 дней назад
goma nalikubari sanaa hilii kipindi hiko nilikua naluka kinoma 🎉🎉
@WatagwainMan
@WatagwainMan 8 дней назад
Kwa Iddi Huyu Mwanangu Kiroboto Director Wako Kazinguaaa, Ungempata Nagwa Hapo Au Kitale Au Hata Mimi Ngoma Ingefanana Matukio, But Kwa Hizi Scene Za Huyo Iddi Hazijaheshimisha Ukubwa Wa Ngoma Yenyewe, Wengine Tulijifunza Mziki Kupitia Huyu Legend, So Director Umezingua..
@JamesJimmy-hl5gx
@JamesJimmy-hl5gx 3 дня назад
Nakumbuka mbali sana..2002. nilikuwa la sita. Weka ngoma ya jirushe, nature ngoma ya inaniuma sana.
@efchicken2206
@efchicken2206 10 дней назад
Bongoflava to the world 🌎 ❤❤
@stevewanga957
@stevewanga957 10 дней назад
Shida ya ma director wa rahisi ndio matokeo ni hayo...ukiskia msaanii akisema video imemgharamu millions ni kweli
@osiahstimah
@osiahstimah 14 дней назад
Majan ndio kazingua bora usingetoa video
@edwintouches
@edwintouches 7 дней назад
STRONG imeonekana mala 6, probably ni AD/wadhamini. Ngoma inanikumbusha mbali sana, alot of memories. Sema naona kama Iddi amepoa, ilitakiwa video ijae vurugu zake uswazi full kukimbizwa na kupigwa na raia. All in all nice video, wazo zuri kuifanyia video hii ngoma!!! 👏👏👏
@sakaraboy8951
@sakaraboy8951 13 дней назад
Hiii nyimbo Bongo Record ⏺️ mmeikosea sana aiseee kwa hiki kichupa sio hadhi yake kabisaaaaaaaaaa...
@jumaakazikazi2243
@jumaakazikazi2243 3 дня назад
Nature umetukosea sana, na umeukosea heshima sana huu wimbo
@TABAKICOMEDY8972
@TABAKICOMEDY8972 10 дней назад
Iddi tozi saa mbona kafua mpk raba
@wakudatamjanja
@wakudatamjanja 10 дней назад
Angepatikana yule dogo wa vp ndota mbna unanirecord ingekuwa noma sana 👏👏👏
@bigbeatsafriq318
@bigbeatsafriq318 5 дней назад
Listened to this song very long time I think 2006 good to finally see a video 🎉
@maulidstondo2770
@maulidstondo2770 11 дней назад
Hiii nyimbo ungemkabizi IVAN, lingekuw bonge LA video, ila cjui umeshoot na simu daaa! Umetualibia nyimbo nature , IVAN CREAT IT ndo mnyama Huyo, hukuona Nyimbo ya Mondi ya Zuena na ile yatapiat
@EliudEliabu
@EliudEliabu 6 дней назад
Daaa bonge la sound mziki huuu hauwez kufa mpigo vinanda daaa n atal na nusu🎉🎉🎉
@WazirMwambashi-lg9ro
@WazirMwambashi-lg9ro 3 дня назад
Nature tunakudai huyo idi sio tuliomsikia 004
@parasports-tv
@parasports-tv 11 дней назад
Wimbo uliburudisha sana moyo wangu wakati ukle na mpaka leo.
@DjsimpleAlitchoki67
@DjsimpleAlitchoki67 5 дней назад
Juma nature msani wa zamani kumbe flow zingali kali ((simple🔥🔥🔥))
@saleh9997
@saleh9997 День назад
Nyimbo nzuri sana
@omanhh2875
@omanhh2875 12 дней назад
Nature mzee baba nyimbo hukuitendea haki hii nyumbo kubwa sna
@youngbona3804
@youngbona3804 7 дней назад
Director mkaliii sanaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥 🔥
@Bombom-ze1sj
@Bombom-ze1sj 11 дней назад
Kiukweli Video mbaya Ngoma ya taifa umetualibia aiseeh
@omanhh2875
@omanhh2875 12 дней назад
Derect gan hyo mshamba tu video hii vidio gan
@okellodavid4379
@okellodavid4379 13 дней назад
Hujatutendea haki kabisa tuwekee Nagwa au kitale tupate reality ya ujumbe
@Collie19
@Collie19 5 дней назад
Awesome 👍 Sir . Nature King 👑 Of Old Bongo Flavor ❤🎉
@ray45king84
@ray45king84 13 дней назад
We need more classics bongo flava visuals...outta respect for the OGs.
@iamtairo
@iamtairo 13 дней назад
mmeioksea heshima hii nyimbo aise naomba irudiwe hii ngoma kubwa sana sio kwa video hii
@brownvideoztz8384
@brownvideoztz8384 11 дней назад
video mbayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa......nyimbo kubwa ..video imepoza ngoma
@YaoStar254
@YaoStar254 3 дня назад
Nimekusameh
@peterkipchumba3971
@peterkipchumba3971 3 дня назад
Siwezi sahau TMK Wanaume! Big up from KE💥
@najashdawood9680
@najashdawood9680 6 дней назад
Salute#❤
@onesmo33
@onesmo33 3 дня назад
Hii ngoma hajaitendea haki😢 video irudiwe gharama juu yangu😊
@omanhh2875
@omanhh2875 12 дней назад
Hapo watu wawili moja wpo ungempata kati ya kitale au baga
@ramadhaninasibu9443
@ramadhaninasibu9443 6 дней назад
Daaaah. Ni vizuri sana iyo aidia kwamba ngoma za kitambo mnazitowa video kwarti safi sana. Hongereni sana 👊👊👊
@ErickElibarick
@ErickElibarick 9 дней назад
Ni kweli brother ngoma irudiwe
@ClassRoom400
@ClassRoom400 6 дней назад
Nagwaaaa🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@UdiMakame
@UdiMakame 4 дня назад
Oya juma zanzibar tutaitaji ngoma urudie video..
@ByBlazeEnt
@ByBlazeEnt 8 дней назад
Bonge la goma hili. Many memories. Much love from Kenya.
@yusuphswai6851
@yusuphswai6851 7 дней назад
Nyimbo kubwa sana hii video umeifany simple sana nature
@hamisimtyegee7319
@hamisimtyegee7319 7 дней назад
Iddy uyu tofauti na tunaemjua cc kwenye mindset zetu...amjamtendea haki mtoto iddy 😭😭😭
@KalimlashidiKawalika
@KalimlashidiKawalika 11 дней назад
Video kalii🎉
@nzeyimanaaston9798
@nzeyimanaaston9798 9 дней назад
Juma natural hajalipia iyi video inaonekana alieshoot video katunia Sim ya tekno
@iscobuzness7153
@iscobuzness7153 12 дней назад
Bora musingetoa Video Mumeivunjia Heshima Nyimbo Kubwa Kama Ii
@WazirMwambashi-lg9ro
@WazirMwambashi-lg9ro 3 дня назад
Nature tunakudai, umeikosea sana hii ngoma kwa video hii
@Jesus-i-believ
@Jesus-i-believ 10 дней назад
Mmezingua, iyo nyimbo ni kubwa! Ili hitaj invest ya kutosha kufanya iyo video.
@nobertalex7476
@nobertalex7476 14 дней назад
hii ngoma ni pumbu la milele 🔥🔥🔥
@charleshozza5713
@charleshozza5713 13 дней назад
Ngoma poa sana..Video kali
@innocentmarco7287
@innocentmarco7287 13 дней назад
Juma tuletee video nyingine awemo ngoma nagwa hii tumeikataa
@PeterWilliama
@PeterWilliama 10 дней назад
Umekosea kueka muuni nagwa ingekua poa sana ww unatuekea watu gani sasa
@Gaccount-cr7zn
@Gaccount-cr7zn 8 дней назад
Welcome back, Mr. Nature. We've been expecting you.
@d-manb-free3478
@d-manb-free3478 7 дней назад
Kazimierz nzuri Sir Nature and bongo Records
@BenLeeBl
@BenLeeBl 11 дней назад
Matukio yangeendan na kilicho imbwa ingekua unyama sanaa
@Autodiagnosistz
@Autodiagnosistz 11 дней назад
Old is gold sir nature msitu wa vina
@producercharlz2549
@producercharlz2549 7 дней назад
Ule version ya kwanza ni Kali sana kuliko hii
@TrevorMusira
@TrevorMusira 10 дней назад
Majani anabidi aweke bongo records catalog yote kwenye digital platform, mfano mzuri tuu Sir Nature ana nondo chache sana kwenye spotify na itunes hata album ya UGALI haipo
@raheemsaleh14
@raheemsaleh14 9 дней назад
Point kubwa
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 9 дней назад
Natural kama natural much respect
@godfreyvijana4331
@godfreyvijana4331 11 дней назад
Ukubwa wa nyimbo na vidio n vitu viwili Tofaut Idd ss tunarmjua kwenye mind set zetu sio huyo hapo Idd hakuna.Hyo co vidio ya Mtoto Idd hili ni tangazo la #Strong kwa waliotuliza akil n Tangazo la hcho kinywaj
@Bongotrending1
@Bongotrending1 14 дней назад
Bora mngempa Hascana hii Video ashoot kisha mkubaliane mtagawana Faida angeitendea haki kuna matukio mengi sana yamekosekana director alikua mvivu
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 8 дней назад
Nyimbo kubwa sana Video hujaitendea hakiii
@emmanuelmassawe-iv6vf
@emmanuelmassawe-iv6vf 10 дней назад
Nahc Nature alilazimishw kuifanya video hii ngoma walah..
@christianruzoka8710
@christianruzoka8710 7 дней назад
Wimbo mzuri shida video ya hovyo kabisa
@yowtz5450
@yowtz5450 10 дней назад
Masterpiece
@edlaidekalinde1753
@edlaidekalinde1753 13 дней назад
Nakukubal sana mzee kiroboto toka kenya
@yeasrmsafi7152
@yeasrmsafi7152 13 дней назад
Umetuangushaa sanaa
@Luhemeja-Tz
@Luhemeja-Tz 13 дней назад
Mbona Idd mwenyewe hana matukio sasa
@salehemfuchu368
@salehemfuchu368 4 дня назад
Video hovyo kabisa
@FrankSamson-r6s
@FrankSamson-r6s 13 дней назад
Kizamani kisasa🔥🔥🔥
@meckalex4648
@meckalex4648 9 дней назад
Nyimbo kaliiii video ipoooooza 😎
@IreneIsambi
@IreneIsambi 8 дней назад
Nature hii vyimbo ni kubwa sana tunaomba video irudiwe huyu iddi kapoa sana
@RioIpo
@RioIpo 13 дней назад
Wakati wetu umepita jamaniii 😭😭 mtoto Iddi balaaaa
@abuubaqr5808
@abuubaqr5808 13 дней назад
Labda director ni mtoto hajui ukubwa wa hii nyimbo😂 quality ya picha nzuri, lakn nature kapooooza na sound haimatch video, zmepishana kilometer
@OthanMedia_
@OthanMedia_ 13 дней назад
Kaka, usiongee ukweli tena siku nyingine 🤣
@abuubaqr5808
@abuubaqr5808 11 дней назад
@@OthanMedia_ 😂😂😂😂😂😂
@revocatusawadhi6550
@revocatusawadhi6550 11 дней назад
Aiseee kwn nature alkuwaga wp,kw sasa haito sound km zmn watu wapo kw diddy na koma sava😅
@abuubaqr5808
@abuubaqr5808 8 дней назад
@@hustle_mum3365 😂😂😂sio miaka kumi, miaka kumi ni 2014, hii nyimbo ya enzi izooo 2005 ukooo au na 2004
@jamilthani2639
@jamilthani2639 3 дня назад
Ukisikia very Low budgeted videos Ndio hizi
@georgebataze6625
@georgebataze6625 14 дней назад
Majani hongera kwa video nzuri. Mwanzo mzuri, ila video ilitaka matukio ya utata mengi Legendary wetu P.
@BakariRashid-fb9gx
@BakariRashid-fb9gx 6 дней назад
kwanza hapo kwa mtoto Iddi angekuwa Nagwa halafu hayo matukio anayoyasema Nature hapo yangekuwa yanaonekana asee hilo chupa lingekuwa nouma
@chimbyokalatino550
@chimbyokalatino550 14 дней назад
Hapa wamezingua hii video ilitakiwa iwe kubwa sana kama vp irudiwe
@wakikuba7
@wakikuba7 14 дней назад
Yani hata sijui wamewaza nini nikajua itakuwa bonge la video kuendena na ukumbwa wa wimbo
@directornumz8225
@directornumz8225 14 дней назад
sawa mnaweza kuisaidia ili iwe kubwa zaidi... au mkisema hvyo inatosha?
@directornumz8225
@directornumz8225 14 дней назад
​@@wakikuba7ulitamani iweje mkuu
@WendoJuma
@WendoJuma 13 дней назад
Bro chukua Comments kama Challenges acha kujibu kwa Hasira..​@@directornumz8225
@davidkazuguri318
@davidkazuguri318 13 дней назад
Kwa sisi tulio kuwa tunajua enzi hizo hii nyimbo ni kunaswa mnoo Bongo Records warudie hii video kwa heshima ya Sir Nature​@@wakikuba7
@thomasleskary7196
@thomasleskary7196 13 дней назад
Sniper Editor kazingua video ingekua kali sana zaidi ya hapaaa
@mrinformer65
@mrinformer65 14 дней назад
The authentic bongo sound we've been listening too since history. Ii sound ndo natambua Sana...big up legend. Kali Sana. Wakenya tunakupenda.
@mozeekamana
@mozeekamana 13 дней назад
Huyoo Idd Aliyeigiza hajaitendea hakii kabisaaah.. video kaliii sanaa ila huyo mwamba daaah kapoaa, matukio ya kawaida na wahusika hawapo kwenye mpangilio, utiisho 00.
@mwitaprotus7649
@mwitaprotus7649 14 дней назад
Safi sanaa ukimaliza niandalie sonia 😊😊😊
@thomaslandwhale
@thomaslandwhale 14 дней назад
Qibla... Much love and respect from Doha +974
@revocatusawadhi6550
@revocatusawadhi6550 11 дней назад
Daaah hv hawa wasanii wa zmn walikuw wanaijua thaman yao,nature umezngua snaa aisee kw kpnd hik cha sasa kw vdeo hii mmhh hpn aise😅
@levisjilani
@levisjilani 12 дней назад
Hii Video ingepitia mikononi mwa Director Ivan,, huyo ndio Visual storyteller 🔥🔥 najua angeipa haki hii Video
Далее
ОНА ОПЯТЬ ПОЁТ 😱
3:05:53
Просмотров 1,2 млн
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
Просмотров 634 тыс.
Feiz P ft Chid Benz - Nisamehe Official Video
3:13
Просмотров 13 тыс.
MAGIC RING | FULL MOVIE |
1:13:45
Просмотров 577 тыс.
VITUMBUA
13:12
Просмотров 137 тыс.
Misso Misondo - Yatapita tu (Official Music Video)
3:48
MSUKUMA "AVURUGA" bunge Zima, AKINUKISHA Balaaa!!!!!
10:02
ОНА ОПЯТЬ ПОЁТ 😱
3:05:53
Просмотров 1,2 млн