Тёмный

MSUKUMA "AVURUGA" bunge Zima, AKINUKISHA Balaaa!!!!! 

SUPER TAMUTAMU
Подписаться 1,7 млн
Просмотров 438 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 440   
@BahatiPaulo-h5z
@BahatiPaulo-h5z 4 месяца назад
Msukuma wew ni kiongozi bora kama magufuli mi ningependa sana ugombee urais tutakupitisha tunaona kazi zako nzuri sana
@MpambikaSaidi
@MpambikaSaidi 4 месяца назад
Good brother
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 4 месяца назад
Na Makonda
@DavidNyenge
@DavidNyenge 4 месяца назад
Mmmmmmmmh, urais????
@MayalaLubala
@MayalaLubala 10 дней назад
Wew kama nani unaguna​@@DavidNyenge
@DanielLucas-wq7ti
@DanielLucas-wq7ti 4 месяца назад
Daaaah uko safi sana mzee wa kazi hurry up hurry up wizi mkubwa mimi sioni faida ya elimu wizi tu
@JustinJonathan-b5b
@JustinJonathan-b5b 4 месяца назад
Ase mimi sema ukweli uyu mzee wetu agombee urais tu 🤗🤗 Na lazima apite
@Saiddoti
@Saiddoti 4 месяца назад
Ongela. Sana mh.mbunge msukima nikweli eabunge we give nieezi.pia wapo kwa ajiri ya matumbo yao tuu hawapo kwa ability yakuwatumikia watu.
@ZiyandaMhlana
@ZiyandaMhlana 5 месяцев назад
Msukuma kama msouth africa au Mexico 🇲🇽 big up
@MathiusEzekiel
@MathiusEzekiel 5 месяцев назад
Daaaa ubalikiwe musukuma
@jacobdimosso2595
@jacobdimosso2595 4 месяца назад
😂wewe kiongozi bora
@hillshipping5117
@hillshipping5117 4 месяца назад
MashaAllah, msukuma unafaa kuwa mbunge wakudumu bila ya kupigiwa kura watanzania tuamke huyu anafaa anajitoa sana jamani huyu asigombee apewe kura moja kwa moja safi sana Allah akulinde mpaka mwisho wa maisha yako yarrabi
@TubethTubeth
@TubethTubeth 10 дней назад
Uko vizuri
@mmarandu2417
@mmarandu2417 5 месяцев назад
Asante Msukuma. Waambie BRT itumie UMEME acheni Disel. Msifunge uzalishaji wa ziada wa umeme, utumike BRT na mabasi ya mijini.
@stephenkalidush5446
@stephenkalidush5446 4 месяца назад
mmmh inatumia diesel? kama inatumia diesel, basi tnahitaji katiba kama China kiongozi akichakachua hukumu yake shaba
@jacklinelyimo7407
@jacklinelyimo7407 4 месяца назад
Yuko vizuri msukuma
@NgodaHakimu
@NgodaHakimu 4 месяца назад
asante msukuma wewe na magufuli mlikuwa njia moja ila uliokuwa nao sasa niwapiga dili mungu akulinde mbunge wa taifa
@BabuuCharles
@BabuuCharles 15 дней назад
Mungu akulinde milele eemwenyez mungu mlinde na umwepushe na madui maana anaxtaili kuitwa kiongozi mungu amlinde
@RizzPhilipo
@RizzPhilipo 3 месяца назад
Bravo gombea urais msukuma we umepita 💪🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
@SalimAbdulla-gw5rq
@SalimAbdulla-gw5rq 4 месяца назад
Ila mungu alibariki bunge na viongozi tusonge Mbele ila hao wezi wakalime warudishe hela cc raia tunaumia sana .
@BlandinKalistus
@BlandinKalistus 4 месяца назад
Uko vizuri mwakilishi wa wanyonge
@FelixSikanyika-r2h
@FelixSikanyika-r2h 18 дней назад
Ww nikiongozi Bora sana mungu akupe uzm
@IsiraeliMolly
@IsiraeliMolly 11 дней назад
Nyinyi wabunge amuna maamusi kwasabubu wanawake wengi sana nyiny niwesi tu mutalipa mama yenu mwisi sasa munataka kujifanya ete niraisi😊😊😊😊😊😮😮😮😮😮😮
@MalikiMamboleo
@MalikiMamboleo 3 месяца назад
Yani ukweli uyu jama ni atariiiiiii sanaaaaa
@FurahaSimkwai
@FurahaSimkwai 4 месяца назад
hongera sana broo irifaa wotee humo bungeni waigee huo mchango wako daah
@lucasngulugulu9074
@lucasngulugulu9074 5 месяцев назад
Mheshimiwa msukuma nipo mdogo wako hadhina ya taifa nasikitika Sana kwa hilo soon tutakutanaa huko tutasomana vema ndo maana wasukuma wanatuona wakaidi but brother soon ntafka mungu ainue utukufu wake tu
@MariamAthuman-i8p
@MariamAthuman-i8p 3 месяца назад
Kweli kabisa nyie wasukuma mna misimamo hata kama ndgu yangu tundu lisu hii nchi inatakiwa kuongozwa na wenye misimamo tuu
@badenneyz9056
@badenneyz9056 5 месяцев назад
kama ulipagawa na hio cover photo ukafungua hii video😂 like hapa
@kulwampalashimpalashi7224
@kulwampalashimpalashi7224 4 месяца назад
Fala ww
@JamillahEliya
@JamillahEliya 4 месяца назад
Yaani waandishi niwatu wakuwasamehe tu
@OLIVERSTEPHANO-gy3bu
@OLIVERSTEPHANO-gy3bu 4 месяца назад
😀😀😃😁😄😂😂😂😂😂
@HasnatMustafa-n1q
@HasnatMustafa-n1q 9 дней назад
Daaah mm nimekimbia mbio yani 😅😅😅😅😅
@paulkulwagambishi2330
@paulkulwagambishi2330 4 месяца назад
Wasukuma mna misimamo inayotakiwa katika taifa hili, hongera bro
@AyubuRichard-oh3ve
@AyubuRichard-oh3ve 3 месяца назад
Asante kwataalifaa iyo ya cag
@AbdulNgombe
@AbdulNgombe 4 месяца назад
Kaka mh. Msukuma, mm niko mtwara ila ninakukubali balaaa. Karibu jimboni kwetu masasi mjini, ugombee ubunge tumemchoka GEOFFREY IDELFONCE MWAMBE. Mbunge asiyejitambua, mbinafsi, na mkaidi kwa maagizo na mipango ya serikali.
@hassanshemsanga1122
@hassanshemsanga1122 4 дня назад
Msukuma yuko vizuri ndo raisi wetu huyuu ...kaka ngombea uraisi
@ManeMsenegal
@ManeMsenegal 4 месяца назад
Asante sn mbunge wang mtetez wa wanyonge wew na makonda mumefuat mienendo ya anko magu
@Adamally-k4d
@Adamally-k4d 4 месяца назад
Hujui kufananisha inahitaji elim pia ( uskurupuke )
@AshaMbaraka-cb5ix
@AshaMbaraka-cb5ix 4 месяца назад
Tungekuwa na wabunge kama msukuma 10 nchi yetu ingepiga hatua sana sana ,msukuma mungu akuzidishie maisha marefu
@SamuelJoseph-lk8xd
@SamuelJoseph-lk8xd 4 месяца назад
Wao mbunge wetu sema
@ALPHONCEKADONDO-qs5hr
@ALPHONCEKADONDO-qs5hr 4 месяца назад
Hiyo hatarii saanaaa
@frankjohn8706
@frankjohn8706 5 месяцев назад
Huyu kingmsukuma hana kura za maruhani anakura za wanainchi kias hata ikichukua chama ingine huyu hakosi kura za wanainchi maana ni mbunge wa wanainchi kwa tiketi ya ccm sio mbunge wa ccm kwenye jimbo alipo
@harrisntibuhera8201
@harrisntibuhera8201 4 месяца назад
Msukuma uko sahihi💯💯
@bolelambunda6554
@bolelambunda6554 5 месяцев назад
Asante msukuma JPM Rest in peace inaumiza time will tell
@LuizThobby
@LuizThobby 3 месяца назад
Sukuma una point sana
@MathewKabangila
@MathewKabangila 3 месяца назад
Msukuma ww unafaa kuwa rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania
@JonathanJohn-t8w
@JonathanJohn-t8w 7 дней назад
Which nikichwa jaman watz kwann mpokimya amken jamani
@salmabenardmasanja3440
@salmabenardmasanja3440 4 месяца назад
Big up sana msukuma
@StellahMaulid
@StellahMaulid 16 дней назад
Wasukuma hongereni ofcoz mpo vizurí uko sawaaa kabsa kiongozi pambana kwa manufaa ya wengi
@JohnsonNgetwa
@JohnsonNgetwa 4 месяца назад
❤msukuma nakukubali sana😅
@Mariajoys-hh3zy
@Mariajoys-hh3zy 14 дней назад
Asante msukuma sema ❤❤
@MosesLutahiwa
@MosesLutahiwa 20 часов назад
🔥🔥🔥🔥🔥 saf kaka pambana kanisa
@mwajumakupela7801
@mwajumakupela7801 4 месяца назад
Mungu akulinde
@NariethYohana
@NariethYohana 4 месяца назад
Mungu akulinde msukuma
@musakibiriti8663
@musakibiriti8663 15 дней назад
maneno ya huyu mbunge ni mazuri sana na tunatakiwa tuwe na wabunge wa aina hii ili kuifanya tanzania iwe kama nchi zilizo endelea duniani ili wanachi wake waishi maisha mazuri yaliyo jaa furaha ndani ya nyoyo zao na wasomi mnaosoma na kutaka madaraka basi kuweni kama huyo msukuma
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u 11 дней назад
Msukuma uko sawa ila ccm yenu ndivyo ilivyo hawaeleweki ila kwa mfumo kama huu ukija kugombea urais mimi nakuunga ila saidia kusemea waliotekwa na wanaoawa kwa kutekwa bila sababu umesema kweli sana.
@AnnaMacha-rg6ri
@AnnaMacha-rg6ri 3 месяца назад
Mungu Akulindemsukuma ❤❤❤🎉🎉😊😊
@MariamHamis-sm8ni
@MariamHamis-sm8ni 8 дней назад
napenda unaposema wasomi jmn kusoma sio akili nali ni utashi wa mtu mbn ww unaakili kuriko wasomi❤❤
@SamsonMhaya
@SamsonMhaya 3 месяца назад
Wabunge kuweni na machungu na mali za taifa kama Msukuma
@MarryMathias-g6k
@MarryMathias-g6k 13 дней назад
King msukuma nakuelewa sana
@MbokaMicrocreditltd-t3c
@MbokaMicrocreditltd-t3c 6 дней назад
Hahahahahah point san
@SarahRobert-pi7rw
@SarahRobert-pi7rw 4 месяца назад
Hongera sana msukuma,wape makavu,watu hawana woga..
@Maichampiongirl
@Maichampiongirl 3 месяца назад
#msukuma ni mtu na robotatu❤❤❤❤❤
@fatnashemliwa-jq9ez
@fatnashemliwa-jq9ez 14 дней назад
Mbunge wangu wilaya ya nzera mkoa wa geita tunakupenda sana Nkome yetu
@TheresiaCyprian-ky5lt
@TheresiaCyprian-ky5lt 5 месяцев назад
Mungu akulinde ❤ msukuma,wewe ndo magufuri wa pili mungu akupe maisha marefu
@JastineAlistide
@JastineAlistide 4 месяца назад
Ndio kibsaaaaa
@Magrethmwanga-kb2lq
@Magrethmwanga-kb2lq 4 месяца назад
Msukuma mungu akulinde undelete kusema ukweli
@jamesbeno8283
@jamesbeno8283 11 дней назад
Chikupi ni 🔥🔥🔥 tunaitaka no 5
@TobbyArusha
@TobbyArusha 12 дней назад
Barabara zao magari ya kwao lkn wameshimdwa kuendesha
@ReylaMalambo-qy6ei
@ReylaMalambo-qy6ei 5 месяцев назад
Mzimu wa Magufuli umemuingia
@abudulingasa6413
@abudulingasa6413 4 месяца назад
Kabisa tena sana2 😅😅
@lusekeloestony6744
@lusekeloestony6744 4 месяца назад
Hiii ichiiii
@IssayaWilson
@IssayaWilson 12 дней назад
❤❤❤❤🎉🎉🎉msukuma hoooeèe
@maximilianmwalwe-rw4il
@maximilianmwalwe-rw4il 5 месяцев назад
lait tukiwa na watu wa hivi kamaa 100 ingekuwa raha sana big up msukuma
@FELISTAREMMY
@FELISTAREMMY 4 месяца назад
Tunakupenda msukuma❤😂😂
@AlfredPetro-z6s
@AlfredPetro-z6s 14 дней назад
Napenda sana hoja zako mkubwa
@binssoud1995
@binssoud1995 3 месяца назад
Mbunge of ze season.🎉
@RashidhKasita
@RashidhKasita 4 месяца назад
❤msukuma
@muniraahmed624
@muniraahmed624 4 месяца назад
Aseee. Nomaa
@GodfredAlfredNgarama
@GodfredAlfredNgarama 5 месяцев назад
Nchi yetu kila mtu anawaza madili tu ndo maana hatuendelei. Raisi wetu jpm pumzika kwa amani
@funekamole6742
@funekamole6742 5 месяцев назад
Yaani tunaviongozi wa ovyoo sana!musukuma aliwanyosha tena wameibuka,mamma anakopa wanakula.😢😢😅😅
@tielyelibariki8958
@tielyelibariki8958 5 месяцев назад
Msukuma hongera sana umeongea point sana tatizo la nchi hii utekelezaji. Naomba tuchukue fomu ya Urais wakuluma wenzako tutakupa kura
@msetimalele2997
@msetimalele2997 5 месяцев назад
😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@TinaHussein-vz8rj
@TinaHussein-vz8rj 5 месяцев назад
0:21 0:44
@show...002
@show...002 4 месяца назад
duh yaan wasukuma wana akili mno
@winifridaboniphace5681
@winifridaboniphace5681 5 месяцев назад
🎉🎉 safi sana mtani umeongea pointi
@ShottojumaNdakama
@ShottojumaNdakama 4 месяца назад
Ole siza bhabha🌷🥀🌹
@mariamalongo8803
@mariamalongo8803 5 месяцев назад
Msukuma nitafute nikipe soda ,au beer 😂😂
@JuliusSantiyalazier-y3c
@JuliusSantiyalazier-y3c 4 часа назад
Haaaaaaaa hapo ni moto
@LingsonMwakayonga
@LingsonMwakayonga 4 месяца назад
Uko vizuri
@REVILIANCHRISTOPHERFREDR-yc7fl
@REVILIANCHRISTOPHERFREDR-yc7fl 4 месяца назад
Hapa ndo tunaelewa msomi ni Nani Nadhani msukuma ni msomi kamili hachana na HAO wanatafakali usomi katika karatasi Ila nje wanayoyafanya hata haya....... Big up grandpa!!!!!!!!
@EuniceEunice-y4d
@EuniceEunice-y4d 14 дней назад
Goooooood
@dainessoda1363
@dainessoda1363 4 месяца назад
Jaman uyu Msukuma bas tu jaman anasema ukwel mtupu Mungu akutunze baba yetu tunakupenda mnoo🥰
@ObadiaMgaya
@ObadiaMgaya 15 дней назад
Mungu akupaze cheooo tuuuuu
@joshuamshua
@joshuamshua 51 минуту назад
Nakukubali sana
@alichengilangwa1361
@alichengilangwa1361 5 месяцев назад
Nakukubari sana weye mheshimiwa mpina piga kazi
@BienvenueBisimwa-rn9rn
@BienvenueBisimwa-rn9rn 4 месяца назад
Wewe mbunge wa kweli,wewe JPM?🇨🇩🇨🇩
@immanuelswai6679
@immanuelswai6679 7 дней назад
picha na nilicho ona vitu viwili tofauti. sasa huwa siwaelewi mnamaana gani mbwa nyie
@RashidhKasita
@RashidhKasita 4 месяца назад
Upo saws nakuombea kwa mungu akuongeze
@gladynkya8362
@gladynkya8362 3 месяца назад
Tungekuwa na wabuge 5 km wewe Taifa lingefika mbali Mungu akubariki sana kaka waambie hao ni walafi sana wananchi tunakufa njaa wao Wana kula tu Kodi zetu na Mungu atawalaani
@zawadigodiwe8425
@zawadigodiwe8425 5 месяцев назад
Uko vizuli sana we nikiongozi bora unafanya kazi nzuli natamani ungekwa Mbunge wetu asant
@IssaPesakwanza2024
@IssaPesakwanza2024 14 дней назад
Una ongea pointi sana hongera sanaa
@HabibaRajab-m6y
@HabibaRajab-m6y 13 дней назад
Sema bba
@ClaudPius
@ClaudPius 4 месяца назад
We ndo kiongz Bora
@kayandaelisha8014
@kayandaelisha8014 10 дней назад
Wewe ni balaa sana kaka
@marwarichmarwa9951
@marwarichmarwa9951 12 дней назад
Biashara tuachieni sisi watoto wa kitaa nimeipenda sana
@FediBarasa
@FediBarasa 4 месяца назад
Pascal Geffi 1:43
@davidsalumruyagazaruyagaza
@davidsalumruyagazaruyagaza 3 месяца назад
Safi Sana msukuma nakubal san
@MatayoJulias-d9x
@MatayoJulias-d9x 4 дня назад
Huyu ni kiongoz Bora sana daah nataman ata angekuwa rais huyu😅😅😅😅
@janethrulenguka906
@janethrulenguka906 5 месяцев назад
Msukuma unanibarikj sana yaani barikiwa😍
@WinifridaMgimba
@WinifridaMgimba 4 месяца назад
Safi msukuma
@WAIMANIKAMWELA-lq4pm
@WAIMANIKAMWELA-lq4pm 4 месяца назад
😂😂😂 uko vzr
@PauloMhagama-ld8xq
@PauloMhagama-ld8xq 4 месяца назад
Msukumaa hoyeeeh!
@matokeomwinami3659
@matokeomwinami3659 5 месяцев назад
Magufuli kwann ulikufa lakini ,, huko uliko hata ile barabara ya makambako songea mpaka leo mashimo tu, CAG huku lipoti nishoti tu magu msukuma wanamdharau bungeni eti hajasoma.
@rosekimaro384
@rosekimaro384 5 месяцев назад
Hajasoma lakini anapoiti
@chrispinianmassay5095
@chrispinianmassay5095 4 месяца назад
Kusoma siyo Kila Kitu.....ubora wa kiongozi siyo kisomo tu....mambo ni mengi.
@MartinKimbe-kp4sb
@MartinKimbe-kp4sb 5 месяцев назад
Asante sana msukuma
@IbraahJuma-jh5tq
@IbraahJuma-jh5tq 4 месяца назад
sana msukuma❤❤❤
@JadiliKauno
@JadiliKauno 4 месяца назад
Hongera msukuma
@JeremiaholendikaMakeseni
@JeremiaholendikaMakeseni 5 месяцев назад
Ubarikiwe sana kiogozi Bora mtetezi wa wanachi
@MwalumogoMsigwa
@MwalumogoMsigwa 5 месяцев назад
Msukuma na kishimba nawapendeni🎉🎉🎉🎉
@IsniqahFamily
@IsniqahFamily 5 дней назад
Wape ukwer ngsha
Далее
LEO STEVE KIMEUMANA TENAA ILA STEVE
10:28
Просмотров 340 тыс.
Magoli | Simba 3-1 AL Ahli Tripoli | CAF CC 22/09/2024
9:11
ОРБИЗ-ГАН за 1$ vs 10$ vs 100$!
19:01
Просмотров 433 тыс.
NAKUPENDA MWALIMU NIKUVALISHE PETE  STEVE MWEUSI
14:04
ОРБИЗ-ГАН за 1$ vs 10$ vs 100$!
19:01
Просмотров 433 тыс.