Тёмный

JUSSA: MWINYI KAWAWEKA VIJANA WA CCM 2000 KWENYE VIKOSI NA TUNAJUA HADI KAMBI ZAO 

Подписаться
Просмотров 24 тыс.
% 101

Makamu mwenyekiti wa ACT Zanzibar Ismail Jussa leo akifunguka katika mkutano na waandishi wa habari.

Опубликовано:

 

15 мар 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 90   
@saidmohd7240
@saidmohd7240 7 месяцев назад
Hongera Mh.Jussa! Lkn ujuwe CCM ni zaidi ya mayahudi! Mkikubaliana hivi azua hivi!
@muhammadmuhammad5043
@muhammadmuhammad5043 7 месяцев назад
Howo Ndio Ukweli Mayahudi Wako Nyuma Wanahatari Sana CCM Lakini Wakumbuke Nawao Mwisho Wao Ndio Wetu Tutakutana Huko....
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 7 месяцев назад
@@muhammadmuhammad5043 Mengi wanayofanyiwa Wazanzibari na Wakoloni kutoka Tanganyika (1964-Sasa) yanafanana na wanayofanyiwa Wapalestina (1947-Sasa) na Mazayuni. Wapalestina walitawaliwa na Wakiristo wa Uingereza na Wazanzibari walitawaliwa na Wakiristo wa Uijngereza (1890-1963) dhidhi ya Uislam mpaka Mamlaka Kamili ya Zanzibar chini ya Waziri Mkuu Sheikh Muhammad Shamte al-Shirazi, Mwanafunziu wa Mufti wa Hassan bin Ameir al-Shirazi na Qadhi Mkuu Fattawi bin Issa al-Shirazi. Wakiristo wa Uingerea walimsaidia Myahudi Theodor Herzl, Mwasisi wa Uzayuni (Zionism) kutawala Palestine iliyokuwa na uhusiano Mkubwa na Dola ya Othmania (Ottoman) ya Uturuki kwa Pan-Islamism dhidi ya Ukoloni wa Uingereza'wakati Zanzibar ni Makao Makuu ya Pan-Islamism kwa Afrika Mashariki. Baada ya Wakiristo wa Uingereza kufanikiwa walimwambia Mkristo mwenzao Julius Nyerere kuunda Afro-Shirazi Party. Madhumuni ni kupinga Zanzibar Nationalist Party (ZNP), Raisi alikiwa Vuai Kitoweo wa Jambiani hadi Mapinduzi yaliyoandaliwa Tanganyika alikozaliwa Rais Hussein Ali. Wapalestina wanauliwa, wanateswa na wengine hukimbia nchi yao nafasi yao injazwa na Mayahudi kutoka nchi za nje. Kulikuwa na Opereshani Moses ya kuwa peleka Mayahudi (Falasha) kutoka Ethiopia. Kadhalikka baada ya Mkiristo Nyerere kulazimisha Muungano na Chama Cha Mapinduzi kudumisha Ukoloni, Wazanzibari wanauliwa, wanateswa na wengine hukimbia nchi yao nafasi yao inajazwa na Watanganyika. Lengo ni kupunguza idadi ya Waislam, kupunguza nguvu ya Uislam na Wazanzibari ambayo sasa wote sio Raia wa Zanzibar lakini ni Wakaazi (Wageni) na Raia wa Tanganyika kwa jina la Tanzania.
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 7 месяцев назад
Ni kweli
@makameshibli2797
@makameshibli2797 7 месяцев назад
Nyinyi ata you uislam hamuujuwi hata mkafika kutamka ccm zaidi ya mayahudi ila Mungu atawaongoza
@makuanimakuani5067
@makuanimakuani5067 7 месяцев назад
mm khofu yangu ni kutengeneza visasi ktk mapinduzi watu waliuwawa kwa visasi ni vyema tukayaepuka hakuna atakae kuwa salama
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 7 месяцев назад
😮😮😮WARUDI MAKWAO AU BADO 1964 HAIJAWATOSHA 😮😮😮😮 MWENYEZI MUNGU HAKUGHAFILIKA NA WATU WEZI WANAFIKI WAONGO MADHALIM HAKI ATAILETA IN SHAA ALLAH AMEEN.
@murattywamuratty9778
@murattywamuratty9778 7 месяцев назад
Wengine wametoka bara wameajiriwa.ilaa wapo Wanzanzibar waliokosa kibao, sie wazenji tukienda kwao Tanganyika hatupat kazi kwenye kazi zisokuwa za mungano,Magereza,faya,Takukuru,tanapa izoo hukuti mzanzibar na hawapewi kwa sababu si zamungano ila sie viherehere wabongo kibao wapo makambin wenyeji wamekosa
@hairathussein1118
@hairathussein1118 7 месяцев назад
Umefanya utafiti au unaongea tu
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 7 месяцев назад
OMISSION AND COMMISSION IN ZANZIBAR ELECTIONS The CCM has Original SIN ✝️ of OMISSION (Kuiba Kura) and COMMISSION (Kuengeza Kura) in Zanzibar Elections.😂😂 "SAUTI YA MZANZIBARI"
@murattywamuratty9778
@murattywamuratty9778 7 месяцев назад
@@hairathussein1118 kama nasema uwongo nifeee
@murattywamuratty9778
@murattywamuratty9778 7 месяцев назад
@@hairathussein1118 ninacho kiongea nakijua vizurii usitete Zanzibar ndogo sana na ao wakufunzi sio wadogo zetu, kaka zetu tunawajua kwan si walisema ajira hakuna je panataka utafiti apo usilete usomi wako wa kijinga wakitafit wakat mambo yanaonekanwa
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 7 месяцев назад
Tena ilo ni baya zaid tena linatutia joto la roho
@YussufKhamis-n4c
@YussufKhamis-n4c 7 месяцев назад
Kafukuzwa Juma Duni mwenye wafasi mkwajuni Jusa wewe mi mboya tu .
@makuanimakuani5067
@makuanimakuani5067 7 месяцев назад
kuna watu wanafikiri ya kija matatizio wao hayatawafika ndio maana wanajejea
@AbdallahJuma-wb8lq
@AbdallahJuma-wb8lq 6 месяцев назад
Mwinyi,jozi,litakwenda,iba,mpaka,kwa,mungu
@NoufelSalim
@NoufelSalim 7 месяцев назад
Hongera mh jussa km wanahaya na waone io haya
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 7 месяцев назад
Hawana haaaya maana bado wametia vidole masikioni
@AbdulMajidi-i9m
@AbdulMajidi-i9m Месяц назад
Ccm washajutolea kw mungu wakose ljin hapa wasingone wko tear kufanya hujma kuliko kutoa nch hawamjyi mungu hawaogopi kifo Wala kkumbuka maut pumzi ni noma San malipo kw mungu
@salma0000
@salma0000 7 месяцев назад
Mdogo wangu amekataliwa cheti chake cha kuzaliwa baada ya kumaliza chuo, cheti ambacho alitumia all her life. Mungu awape laana maccm
@ZanzibarKamiliTV
@ZanzibarKamiliTV 7 месяцев назад
Poleni sana
@hairathussein1118
@hairathussein1118 7 месяцев назад
Pamoja na wewe huwezi kutoa laana hivyo kwa binaadam wenzio hata kama ni masuala ya siasa
@salma0000
@salma0000 7 месяцев назад
@@hairathussein1118 mradi ujibu tu 😏
@alifoum6758
@alifoum6758 6 месяцев назад
Stupid is as a stupid does😂
@rahimzuberi2673
@rahimzuberi2673 7 месяцев назад
Huyo rais Huseni kalewa tayari Kwa chama fanyeni haraka kujitoa hongereni sana Kwa uamuzi huu wa busara
@iddrisanyange8175
@iddrisanyange8175 6 месяцев назад
Ccm na act wote wapuuzi hamna chochote jora moja wote
@alrabee01suleiman40
@alrabee01suleiman40 7 месяцев назад
Kwanini mh,jussa hamtaki kufahamu kuwa hii nchi ya zanzibar haitokwamuka kwa kutumia siasa? Na hili hata marehem Seif,Sharif alikua analijua hili. Vyama vya siasa ni kutushulisha kuitumikia Dunia tuu.na kusahau Makusudio ya kuletwa kwetu hapa Zanzibar. Au Duniani.
@w4058
@w4058 7 месяцев назад
Tupe rai yako alrabee 01suleiman40 please maana huenda ikawa kheri
@w4058
@w4058 7 месяцев назад
Tatizo kubwa lenu ni mnapenda kulaumu vyama vya siasa ni nyie wenyewe hamuitaki mema nchi yenu wenyewe
@makameshibli2797
@makameshibli2797 7 месяцев назад
sema km nyinyi ndo uliowatuma wakalinde kura wakati munajua km haiwezekanwi mnapenda kuwaumizisha wenzenu ndugu zenu hatuwaoni ktk fujo mnozipanga
@kassim1262
@kassim1262 7 месяцев назад
Kwaio kuwpeleka wtu kulinda kura ndio iwe sababu ykupeleka vikosi vp kwenye vikosi wnaopiga wtu wpo wtoto waviongozi😂😂😂😂
@AbdallahJuma-wb8lq
@AbdallahJuma-wb8lq 6 месяцев назад
Ccm,mabaya,ndaniya,zanzibar,mabaya,hayaogopi,hata,malipo,kesho
@AbdallaMakame-zb2zw
@AbdallaMakame-zb2zw 7 месяцев назад
Hili ndilo tatizo nynyi mnatubabaisha tu hakuna umoja wa kitaifa wala hamna mamlaka yoyote mupo kama vivuli
@AshaFaki-tr4ir
@AshaFaki-tr4ir 6 месяцев назад
Wazanzibari hatutochoka kudai haki zetu ktk muungano. Mhe Jussa uzi huo huo mabunju hawamjui Mwenyezi Mungu
@ZaidSeifSuleiman-q9w
@ZaidSeifSuleiman-q9w 7 месяцев назад
Huyo faina alitakiwa kuwa jela sio uraiyani
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 7 месяцев назад
Sahihi
@harithimahmoud1577
@harithimahmoud1577 7 месяцев назад
Dah kweli kabisa na huenda ikawa mayahudi wana afadhili kuliko awo CCM
@SheikhanFakih
@SheikhanFakih 6 месяцев назад
Jusa ww mpumbavu. Ivi msomi gani usiejua ata katiba. Mwenyekiti wako OMO anatekeleza ilan ya CCM bac mwambie ajitoe
@amourshadhil2005
@amourshadhil2005 6 месяцев назад
Ndo wale wale tantarira nyingi hamna lolote
@SheikhanFakih
@SheikhanFakih 6 месяцев назад
ww ulitaka afanye kwa mujibubwa ilani yenu? Soma katibaa na kama hujui watafute wanaoiju wakusomee
@SazafKiba
@SazafKiba 7 месяцев назад
Hongra sana mh jussa
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 7 месяцев назад
MTU ANANGANGANIA MADARAKA NA POSITION YAKE DAKTARI HANA IMANI YA KUWATIBU WANANCHI MASOMO YA BURE KUHARIBU PESA ZA WANANCHI 😮😮😮😮😮😮
@hajihassan5433
@hajihassan5433 7 месяцев назад
Acha kulishwa maneno, kwani nani aliyesomea Urais? Rais wa nchi yoyote anahusika na mambo yote , hivyo kuwa Rais na kusoma ni mambo 2 tofauti.
@AliKhamis-u2d
@AliKhamis-u2d 7 месяцев назад
Nimesoma comment Moja inayosema watanganyika Toka lini kuwatakia wema wazanzibar . Wazanzibar ni sawa na misukule tu Sasa mi niwaombe CCM wa kizanzibar wabadikike munajitukanisha na kujizalilisha kama shida yenu ni kuongonza nchi basi kwanza tushirikiane tuikomboe nchi yetu itoke kwenye mikono ya madhalim halafu tutawaachia muongoze nchi lakini ikiwa huru
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 7 месяцев назад
Siasa mchezo hautaki hasira
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 7 месяцев назад
Lakini hata nyinyi mushajijumuisha kwenye chama kijani mikiwa wafuasi wao
@allyhamad3723
@allyhamad3723 6 месяцев назад
Kwel lkn jua hi sio siasa tu km mnavyo fikria
@HijaSaid-xd7fg
@HijaSaid-xd7fg 7 месяцев назад
Wanafiki wakubwa wafa mnakimbilia ving,ora
@hairathussein1118
@hairathussein1118 7 месяцев назад
We sema ndo imeisha iyo
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 7 месяцев назад
Kama imeisha acha tuone
@westmoh6404
@westmoh6404 7 месяцев назад
Sasa vijana 2000 kidogo au wengiii
@TobadiKayusi
@TobadiKayusi 7 месяцев назад
Sasa nyie wazanzibar ndo mnataka mjitoe kwenye muungano wakat nyie wenyewe mnabaguana
@nobody07241
@nobody07241 6 месяцев назад
Tuache wenyewe
@hairathussein1118
@hairathussein1118 7 месяцев назад
Tafuta mke oue kwanza uko
@abdullahihussein6836
@abdullahihussein6836 7 месяцев назад
Si ujipeleke wewe akakuowe?
@salyali7807
@salyali7807 7 месяцев назад
@@abdullahihussein6836 🤣🤣🤣 nimeipenda hiyo
@mariamjuma8938
@mariamjuma8938 7 месяцев назад
😅
@kondempya
@kondempya 7 месяцев назад
Haha kumbe kelele zote ni bachela
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 7 месяцев назад
Kuna vijana wanaojitolea kujenga masoko ya Kwerekwe,Jumbo na Mbuzini hao wameahidiwa kazi za vikosi baada ya kufanya vurugu ktk uchaguzi ujao
@SmilingClogShoes-yr9hu
@SmilingClogShoes-yr9hu 6 месяцев назад
Kwa hio wameambiwa wataajiriwa?
@murattywamuratty9778
@murattywamuratty9778 7 месяцев назад
Zaid ya Elfumbili
@EshaHamd-ed9yv
@EshaHamd-ed9yv 7 месяцев назад
Hawa ni Wauwaji Wabakaji Wizi Ufisadi Uwauji tu hamna lolote wacheni uongo nyinyi CCM ni waongo hamuwezi hata siku Moja kukubali Kama wameshindwa Hawa ni Wababe Jamani hata ikifika hiyo 2025. Wataleta ule ule Wizi wao wa Kura.
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 7 месяцев назад
WATANGANYIKA TOKEA LINI TUMEWATAKIA MEMA NYINYI WAZANZIBARI. WAZANZIBARI NI SAWA NA MISUKULE TU 👀KAMA TUNAVYOWAFANYIA JAMAA ZETU HUKU TANGANYIKA!
@brysonkaale3003
@brysonkaale3003 6 месяцев назад
Nyie ACT hamuaminiki kabisa,wakati mwingine mnatumika na CCM kuishambulia chadema,Ndiyo maana mnaitwa CCM B,Je?, kwanini.hamkulalamika na kujitoa mwanzoni badala yake mnalalamika sasa baada ya kukaa kimya kwa miaka minne?
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 7 месяцев назад
Binafs Sijaona Umuhimu Wa Nyinyi Kuwepo Ndani Ya Huo Umoja Kwasababu Rais Bado Anafanya Ilani Ya Chama Chake Kinavyomuagiza
@lusakaone7782
@lusakaone7782 7 месяцев назад
Jina lako na akili yako tofauti 😢
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 7 месяцев назад
@@lusakaone7782 Jina Nimepewa Na Wazaz Ila Akil Ni Maumbile Kutoka Kwa Mola Wangu Kwahyo Kama Unahc Kakosea Hongera Ww Uliyebarikiwa
@JokhaJokha-qw7sq
@JokhaJokha-qw7sq 6 месяцев назад
Kweli yani ccm mbwa yani suwakubali
@iddrisanyange8175
@iddrisanyange8175 6 месяцев назад
Kuwa makin mkamilifu ni mungu pekee hao wakina jussa na wezeka ni watu km mwinyii au hao ccm okb
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 6 месяцев назад
Na hawo vijana wanachkuliwa usiku hadi usiku kigezo kadi tu ya ccm na uwenyeji
@abdallahally842
@abdallahally842 7 месяцев назад
Baada kusema hayo ujiulize jussa jee mkutano Yako maongezi Yako yanaleta dhamira ya maridhiano
@AliKhamis-u2d
@AliKhamis-u2d 7 месяцев назад
Shida yao waendelee kutuuwa mpaka kiama kisimame
@salma0000
@salma0000 7 месяцев назад
Km si mwanachama na mfia chama wa ccm kupewi ajira za smz
@w4058
@w4058 7 месяцев назад
Mie husangazwa kuona muhimu wajinga majahil kutowa koment za ambazo hazina maana hata kidogo
@mustafaismail5622
@mustafaismail5622 7 месяцев назад
Wewe muhindi nenda kwenu
@AbdullahAli-o8z
@AbdullahAli-o8z 6 месяцев назад
Weye kwenu ni wapi
@mustafaismail5622
@mustafaismail5622 6 месяцев назад
Mimi kwetu Unguja nikifa sizikwi kwerekwe
@AbdullahAli-o8z
@AbdullahAli-o8z 6 месяцев назад
@@mustafaismail5622 na jusa nae kwao makunduchi
@allenmazera4929
@allenmazera4929 7 месяцев назад
Mwacheni ataondoka na mikononi kajaa dam kama waliomtangulia
@w4058
@w4058 7 месяцев назад
Act hawakaribishi unafiki wenu wewe unotumia jina user-reutamaliza mwenyewe Wazanzibar hatujabaguana ubaguzi umeletwa na hao waroho wamadaraka na wauwaji hajafukuzwa Juma Duni wacheni fitna zenu nyie
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 7 месяцев назад
ANAHITAJI CHUCHULI KABLA UCHAGUZI KUTOKA DUNGA HADI MKURANGA
@salyali7807
@salyali7807 7 месяцев назад
🤣🤣🤣🤣