Тёмный
Zanzibar Kamili TV
Zanzibar Kamili TV
Zanzibar Kamili TV
Подписаться
Karibu sana tukufahamishe kuhusu masuala yote yanayoendelea Zanzibar, Tanzania na kwengineko duniani.
Mahujaji wa Zanzibar wawasili Makkah
7:00
2 месяца назад
Nondo za Jussa ndo hizi hapa
10:14
3 месяца назад
Комментарии
@BimkubwaJuma-ew5dg
@BimkubwaJuma-ew5dg 19 часов назад
Mungu mwema atakufanyia wepes
@BimkubwaJuma-ew5dg
@BimkubwaJuma-ew5dg 19 часов назад
Pole
@BimkubwaJuma-ew5dg
@BimkubwaJuma-ew5dg 20 часов назад
Duwa kwa wingi nae mh wetu anatamani kila mmoja ajiweze
@KhamisAli-r1w
@KhamisAli-r1w 23 часа назад
Uyo mbunge wa mkuranga atuache kidogo.. Uzalendo mbele!!.
@KhamisAli-r1w
@KhamisAli-r1w 23 часа назад
I love ZANZIBAR.
@adelinaMacha
@adelinaMacha День назад
Umependeza mama❤❤
@user-yx3ex4vy7o
@user-yx3ex4vy7o 2 дня назад
Mzee anasema wapewe chai hajui kama Ramadhan
@user-ok7dn2lr2m
@user-ok7dn2lr2m 2 дня назад
Dr mwinyi safi allah akubarik lkn tupo na sisi tunasoma lakini hali za familia zetu sio mazuri tunaomba upitishe mkono wako uweze kutufariji na sisi tusonge mbele kielimu zaidi kuokowa jahazi
@freitakwayu7611
@freitakwayu7611 12 дней назад
🎉J7Hi
@RamadhanHaruna-di7jk
@RamadhanHaruna-di7jk 14 дней назад
Haki.ndiyo.msingiwaamani
@lenniefei6710
@lenniefei6710 14 дней назад
Muamana na kusameheana kunaweza kupatikana pakifanyika kura ya maoni katika swala la muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika
@lenniefei6710
@lenniefei6710 14 дней назад
Vivyo ivyo ilifanyika Pwani na Kenya....hadi pwani ikafanyiwa jitihada kuingizwa ndani ya Kenya ili iweze kudhibitiwa
@ZainaMsekeni
@ZainaMsekeni 16 дней назад
Mama umependeza sana ❤❤❤
@user-rv1vn9zj5w
@user-rv1vn9zj5w 18 дней назад
Kwani Mwinyi anayo yakujibu huna
@TitusBangu
@TitusBangu 19 дней назад
Aaaa history
@user-lp1gh7im3f
@user-lp1gh7im3f 19 дней назад
Watu wanaongezaka ni Watu wa bara kila siku wakuja ovyoovyo tu etj kisingizio muungano
@user-hu4sd7bg8n
@user-hu4sd7bg8n 19 дней назад
Kweli baba ccm wauwaji Allah atawaangamiza ccm
@AbdulMajidi-i9m
@AbdulMajidi-i9m 20 дней назад
Umeongea baba kil tano 👊
@KhadijaHussein-qn2ge
@KhadijaHussein-qn2ge 21 день назад
Sikilizeni huumungano zanziba hatuutaki mnatulazimisha nyinyi watanganyika namnajua kwamba wazanzibari hawautaki mungano kwanza huu simungano bali ukoloni munganokwetu haunafaida na uvunjike
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 21 день назад
Bi Samia mama, umependeza sana..urembo wako watokeza haswaaa..barikiwa na Bwana Yesu
@AhmedZahor-z8e
@AhmedZahor-z8e 21 день назад
Bora alivyoondoka
@user-uj8bl1ux6o
@user-uj8bl1ux6o 22 дня назад
❤❤❤ look so beautiful
@yusuphhamad8494
@yusuphhamad8494 22 дня назад
Waambie mapimbi ccm
@AbdulMajidi-i9m
@AbdulMajidi-i9m 22 дня назад
Saiv km Hun kad ya ccm hakun ajira c ubaguz huu kukazmishan chama kwa kaz
@DelightfulMacawBird-tl5hf
@DelightfulMacawBird-tl5hf 22 дня назад
Nimependa bendera mbili chuki hazisaidii chochote hongereni wanatumbatu
@user-ms2kf3mf3q
@user-ms2kf3mf3q 23 дня назад
Naitwa dully chondoma viongozi wa upinzani munaongea blaa blaa tu hata wew makamu wa pili engekuwa bado upo ccm wengekuw rais usenge fanya chochote ushauri wangu haki haipatikani kw makaratasi haki inapatikana kwa upanga Nahisi haina mana ya kumtukana mwinyi wa kumzalilisha raisi mwinyi man kama ni zulma ipo toka uchaguzi wa 95 je mwinyi alikuwa raisi haivi una acha mke akiolewa unaumia je madaraka ushauri wangu munaweza ingieni barabarani kam nabii mohammad s. A. W alin'goka meno kw ajili ya haki
@user-ms2kf3mf3q
@user-ms2kf3mf3q 23 дня назад
Tanzania inaongozw na kanisa ikiwemo Zanzibar na asilimia 90 inatakiw Zanzibar iharibike tukiogop kufa mbele kuna shida zaidi
@user-rb8ir9co9k
@user-rb8ir9co9k 24 дня назад
Ama kweli hata wapumbavu nao huzeeka
@AhmedSeif-il1xx
@AhmedSeif-il1xx 24 дня назад
Huna jipyaa
@AhmedSeif-il1xx
@AhmedSeif-il1xx 24 дня назад
Majanjawiri kazi zao nikuua tu washezi hawa wakiccm najis kabisa
@AbdulatifoolaiaOlaia
@AbdulatifoolaiaOlaia 24 дня назад
Bnhkhk
@nassirkhamis2687
@nassirkhamis2687 26 дней назад
Mkishinda 2025 mje mniite Dogg nipo pale nimekaa 😂😂
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 27 дней назад
Hakuna cha raisi hapo ni ubaya ubwela😂🎉🎉🎉
@mohamedally2077
@mohamedally2077 День назад
Rais awe mama ako muuza pombe za kienyeji?
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha День назад
@@mohamedally2077 acha utumbavu kama huna Cha kuongea sawa
@asilclub
@asilclub 28 дней назад
انتي بطلة يا نائلة الجداوي
@kassidpandu866
@kassidpandu866 Месяц назад
Mheshimu Rais wako
@user-lp1gh7im3f
@user-lp1gh7im3f Месяц назад
Ana kichaa, sababu ya Watu Pemba kuhama kwasababu hamupeleki maendeleo
@lolodaprincess7411
@lolodaprincess7411 Месяц назад
Mashaallah mama umedamshiiiiii
@LoyfridaMwesigaMartine
@LoyfridaMwesigaMartine Месяц назад
Shikamoo mama, nakukupenda sana mama yangu
@user-xv4tl8iv4l
@user-xv4tl8iv4l Месяц назад
HUYU BWANA NI KAMA ASRANI KATIKA MCHEZO WA KIHINDI
@user-ty3df8wv1t
@user-ty3df8wv1t Месяц назад
Safi Sanaa ❤
@mwakondoyakub2444
@mwakondoyakub2444 Месяц назад
Pendeza Sana mashallah
@FreeMind-tr3iy
@FreeMind-tr3iy Месяц назад
Wasiojitambua wanasema eti wazanzibari hawajasoma, wazanzibar ndio watu wa kwanza kuelimika kuliko jamii yoyote Afrika Mashariki
@DuuSaid
@DuuSaid Месяц назад
Sisi wenyewe tunajitambua ila mabavu tu ndio yanayo tunyonya washenzi wasio juwa kwao sisi hapa ndio kwetu lazima tupiganie mpaka mwisho wa jasho letu wahamiaji wajuzi tu ndo wanatuletea tabu na kututia umaskini kwenye visiwa vyetu
@ericlondonmuwazijimmy1221
@ericlondonmuwazijimmy1221 Месяц назад
Sasa huyu ambaye ni wa Oman mbona analeta Siasa za uhasama
@SudiKhamisi
@SudiKhamisi Месяц назад
Mdomo mtupu hatupati nchi ACT hapa iwe vita vita2 viongoz wetu
@LovelyBubbleTea-vz4ol
@LovelyBubbleTea-vz4ol Месяц назад
Inna lillahi wainna illaihi rajiuna
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri Месяц назад
Samahani hongereni sana wabunge wa Zanzibar kwa uwazi na ukweli Bungeni waheshimiwa wabunge kumsifu Mhe Rais Mwinyi Shemeji yangu pia ni thawabu na kumtendea mema kulingana na uwingi wa mambo aliyotufanyia. Ila niwaombe kutuombea mm Abdilahi Huseni Mriri wa Moshi nna fungate la Ndoa yetu tukufu yaTanzania Bara na Visiwani salama salimini na Mhe daktari Rais Samia Suluhu Hasani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mke wangu mtarajiwa jamani natanguliza shukurani zangu za dhati kwa wote wenye mapenzi mema na sisi waheshimiwa wabunge na Bunge kwa ujumla wenu.
@AbdullahNoor-e2k
@AbdullahNoor-e2k Месяц назад
Allah akuifadhi
@AbdullAlly-jk8kk
@AbdullAlly-jk8kk Месяц назад
No coment uwwii
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Месяц назад
✌️👊👍.
@user-hu4sd7bg8n
@user-hu4sd7bg8n Месяц назад
Ndio baba tunakupenda sana kiongozi wetu mansur