Тёмный

KAKA WA MIKALLA WA THE LOST TWINS YA KANUMBA AFUNGUKA UKWELI ,MIKALLA AMEFARIKI KWA AJARI MAREKANI ? 

Lokoma Tv
Подписаться 43 тыс.
Просмотров 26 тыс.
50% 1

KWA HABARI , SIASA, MICHEZO NA BURUDANI USISAHAU KU SUBSCRIBE RU-vid CHANNEL YETU YA LOKOMATV HAPA
Follow Us On:
INSTAGRAM: shorturl.at/wFP67/ || shorturl.at/jwQSU
TWITTER: shorturl.at/luzLZ
FACEBOOK: shorturl.at/rCL12
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 Empire Lokoma Limited . 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#yanga #simba #yangasc #simbasc #simbavsyanga #tff #nbcpremeireleague #mwakinyo #samatta #zuchu #wizkid #Davido #nandy #wasafi #diamondplatnumz #alikiba #harmonize #instalive #youtubelive #mboso #lavalava #beyonce #Mariacare #mwijaku #babalevo #hbaba #kondeboy #afrima #notjustok #exclusive #lokomatv #trending #tanzania #marioo #mrpimbi #rickmedia #millardayo #ayotv #simulizinasauti #utamu #mpenjatv #globaltv #bonatv

Опубликовано:

 

19 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 107   
@RehemaSilvester
@RehemaSilvester 8 дней назад
Uyu nae tapeli tu miwan kma bundi mikala yupo na ndo lucky
@husseinkombo-3447
@husseinkombo-3447 10 дней назад
Isije ikawa mikala mwenyewe ndo anasimulia maisha aliyopitia,,,, mambo ya time travelling haya
@ShadyaFaheem
@ShadyaFaheem 12 дней назад
Wengi nimepitia comment zenu naona hakuna anayejua ukweli..leo nawafumbua macho.. mikalla yupo hai na ndo huyoo hapo ila kwa nn awe mdogo ilo ni swali tata na ukweli ni huu..familia yake awataki ajihusishe na sanaa tena coz kwenye ile lost twins kafanya kazi kubwa kisha akuambulia chochote zaid ya ustar kama kuna mtu anabisha mtafuten mtitu aulizwe alimlipa bei gani..pili sijajua kwa nn wanatengeneza kifo chake kiwe namna iyo ila ninachojua mikala kweli alipata ajali uingereza ambapo alienda kusoma..ajali ile ilikuwa mbaya sana kuasi kwamba ikabid afanyiwe surgery na ndo maana mnamuona vile..afu huyu alizaliwa peke yake waliobaki ni wakiume wawili..marehem Fiana choudhry angesema maana yeye ndo alikuwa karibu naye wakati anakaa magomeni na hata siku anayosafiri waliwasiliana..na hata familia yake awataki wajulikane..Huo ndo ukweli wa mikala na jina lake ni Lucky peter..aliiguza Rangi ya chungwa na ua Jekundu na hata jumba la dhahabu pia yupo
@paskalinapa6177
@paskalinapa6177 10 дней назад
Nakubaliana na wewe
@JoelMukulu-f4i
@JoelMukulu-f4i 8 дней назад
Poa
@nasrachimamy
@nasrachimamy 7 дней назад
@@ShadyaFaheem dah we ndo nimekuelewa sasa huyu dada hiyo yot anayojieleza niyeye na hat huwo mwili kujitengeza asahv utandawaz utakavo ww kujiwek huyu family yak hawatak wafany Sanaa ndo man ila mikala mwwnywe ndo yeye ila dhamb kujizushia kifo angali mtu unapumua inahuzunisha sana
@Manaal-pz4op
@Manaal-pz4op 4 дня назад
Siwez kusem kwel or uwong lkn huyuu na mikal tofaut ni rang ty pengn n yy huy mikal amejichugua ss chngn huyu km ni mikal akui at kdg abdlk😂😂
@aishakhamis-kr7ed
@aishakhamis-kr7ed 16 дней назад
Jamaaa anajidai wakat huy tapeli
@chimammychaumu737
@chimammychaumu737 4 дня назад
Ukienda kwenye majina ya walioigiza lost twins mbona jina n ilo ilo Lucky 😅 dahhhhh
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 День назад
Huyo ndo mikala mwili tu ndo unawachanganya huyo mwili wake ni mdogo mdogo mtachanganikiwa sana na bado😅😅
@SalminSaidi-dg3fq
@SalminSaidi-dg3fq 4 дня назад
Mnazingua kwani huyo mikala ninani Hadi mambo yamekuwa ivyo
@sautikaliitz934
@sautikaliitz934 17 дней назад
Mara ulaya mara marekani 😅😅😅
@vunja_mbavu_124
@vunja_mbavu_124 День назад
Sasa Marekani ni Ulaya..? na uyo nae Mzinguaj Shenz
@hildagabriel1003
@hildagabriel1003 10 дней назад
Kiki zitawaua watanzania mtu anasema amekufa ili atrend hivi kweli😂😂
@JoyceNgela
@JoyceNgela 7 дней назад
Wansituchanganye vichwa😂😂
@MkisiStylish
@MkisiStylish 2 дня назад
Uyu anaehojiwa anatunga story 😂😂hata hako katoto lucky hakawezi kuwa kapo advance saiz kama mikalla alikufa yeye anaelewa dadake alikuwa mcheshi na mkali 😹😹mnatunga story
@MwanashaMesaidi
@MwanashaMesaidi 7 дней назад
Kwenye ile muvi lulu alikua mdogo mm sidhani kama ndyo yeye angekua mkubwa sana
@sharifamahamudu182
@sharifamahamudu182 11 дней назад
Mm na amin uyo so mikala cz mikala jaman asizeeke miaka hyo jaman tangu mm mdogo now 30 mikala bado binti Mhhh so mikala
@OfficialA83640
@OfficialA83640 17 дней назад
Wanafiki wakubwa hao yule ndy Mikala na kazaa na Mtitu watoto wawili wasituzuge Anaitwa Bahati ndy jina lake halisi na ndy maana anajiita Luky😂😂😂😂
@janemwageni597
@janemwageni597 17 дней назад
Sio kweli mikala alifarik 2022 tena akiwa uk na alifarik kwa ajali gar Yao iligongwa na tren,hujiuliz mikala kipind hicho ana miaka 19 kwa hyo hazeek tu??
@lucasmhagama8166
@lucasmhagama8166 16 дней назад
Jina lake ni Lucy Peter
@shangwefisima54
@shangwefisima54 16 дней назад
Acha uongo winter alisema ni yeye tusipotoshwe​@@janemwageni597
@tajiertaj5956
@tajiertaj5956 16 дней назад
​@@janemwageni597Alizikwa wapi kaburi lake liko wapi Tanzania au huko malekani 😂😂😂😂hiyo ndio yeye
@zedy_hope-pd8kn
@zedy_hope-pd8kn 16 дней назад
Kama alikufa 2022 sini miaka mi wili tu ndo azeeke sana kushinda wakina Elizabeth Michael? Ndo yeye huyo subiri tumuone live bila filter make up tutajuwa tu ​@@janemwageni597
@mwanamisiali5712
@mwanamisiali5712 11 дней назад
Minafikiri wangeitafuta familia ya mtitu pengine wangejua ukwwli
@SamihaMohamed-yl8uz
@SamihaMohamed-yl8uz 8 дней назад
Mm nilimuona tandika kwa muuza mitumba mwaka 2004 2005 nilishangaa niliemuona ni mdada mweupe mwembamba kafupi kidogo na huyo muuza mitumba alisema ni mteja wake sana
@Jennyjonh
@Jennyjonh 17 дней назад
Iyo miwan vip
@Sakinaamani-o1t
@Sakinaamani-o1t 7 дней назад
Ingresh
@RebyMacky
@RebyMacky 3 часа назад
Uyo itakuwa ni mikala amjui watu wanafanya sugar nyinyi
@hildagabriel1003
@hildagabriel1003 10 дней назад
Uyo mikala atakufa kwa ajali siku😂
@OnlyRuky
@OnlyRuky 17 дней назад
Aliyehojiw na Mange alisema alifia Uk na kuzikwa huko hukoo
@SekelaJakson-ls7dd
@SekelaJakson-ls7dd 6 дней назад
😂😂😂😂nimecheka iyo saut ya uyo mikala
@user-bt1vl8nu5n
@user-bt1vl8nu5n 16 дней назад
Ata kama angekuwa yeye angesomaje advance mpaka now
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th 16 дней назад
acha usenge yaani yule mtoto ndo mikala we fala nini mikala namjua tangu mi nipo shule Leo ndo awe na miaka 19
@nasrachimamy
@nasrachimamy 9 дней назад
Kabs asa sijui anasema kafa ili iweje yani
@OlivaOnesmo
@OlivaOnesmo 12 дней назад
Hyo hy kaka muende nae ad kwao mkapeleleze na majirani
@anethmshahara8519
@anethmshahara8519 17 дней назад
Hiyo miwani sio poa
@LinetNjue-m1g
@LinetNjue-m1g 11 дней назад
Mkala Angekua hai,si angejitokeza akasema,sidhani kama Yuko hai mikala,
@OfficialA83640
@OfficialA83640 9 дней назад
@@LinetNjue-m1g Kaangalie interview ya Dr Cheni mkiambiwa mnabisha yule ndy Mikala msijichoshe na utapeli wake aliomfanyia Mange Kimambi na nyie mkaingia kuukubali ukweli kumbe mmepigwa na kitu kizito🤣🤣
@everlyne8595
@everlyne8595 11 дней назад
Story z uongo kbs anatoa
@aishakhamis-kr7ed
@aishakhamis-kr7ed 16 дней назад
Jamaaa kashaibiwa huyu
@kagirasta1476
@kagirasta1476 12 дней назад
Liongo hilo
@celestinnsamba3127
@celestinnsamba3127 16 дней назад
Kaji changanya uyu🙄😁🤣
@angelraphael4500
@angelraphael4500 11 дней назад
Hii story ya makala iishe jaman dah😢basi makala katekwa😅
@EstherHabonimana-e8i
@EstherHabonimana-e8i 10 дней назад
Wedada Umenichekesha eti Makala😂😂😂😂 mbavu zangu mie😂😂😂😂😅😅😅😅😅
@OlivaOnesmo
@OlivaOnesmo 12 дней назад
Awapeleke kwao mkaulize majiran ,majiran ndio wanajua kila kitu
@DaudomataAmade
@DaudomataAmade 16 дней назад
Ndio yeye 😂😂😂
@OlivaOnesmo
@OlivaOnesmo 12 дней назад
Mm navyojua bwana hyo n mikala ana kibaby face ...na elimu haina mwsho mm mwenyew na miaka 32 na nataka kwenda 0 level
@hildagabriel1003
@hildagabriel1003 10 дней назад
😂😂😂
@nasrachimamy
@nasrachimamy 9 дней назад
Kbs we umesema elim Haina mwisho
@Zainab-u9q
@Zainab-u9q 17 дней назад
Sio mikala uyo toka enz izo awe ivo Kwa sabbu gani subutu uyu labda ndug yake tumemuona mikala miaka kibao nyuma uyu sio yeyenaktaa
@ZainabRamadhan-w8s
@ZainabRamadhan-w8s 16 дней назад
itakua ni yeye bhana watu siku hizi wanajitengeneza
@alleyjuniourtz
@alleyjuniourtz 15 дней назад
Ndo wafanane sauti mpaka swagger
@sharifamahamudu182
@sharifamahamudu182 11 дней назад
​@@alleyjuniourtzkm unataka na na mtu unaweza ukaiga tabia zake pia km unazipenda ad hzo swaga
@nasrachimamy
@nasrachimamy 9 дней назад
​@@ZainabRamadhan-w8skabs
@nasrachimamy
@nasrachimamy 9 дней назад
​@@alleyjuniourtzet sema weye ndug
@minaabuu5250
@minaabuu5250 4 дня назад
Uongo anakakake anaitwa alvin he was my x so yy ndo haojiwe
@user-cm6ts4qi3b
@user-cm6ts4qi3b 10 дней назад
Alisema dadake alikufa hawakuonana huyu walikuwa wapo pamoja na alisema akizaliwa yeye dadake alikuwa asha kufa
@PhyinaElias-mu4wf
@PhyinaElias-mu4wf 10 дней назад
Mmmmh😂😂😂😂😂 mwanangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 huo n uongo
@fatimamkambo
@fatimamkambo 16 дней назад
MIKALQ YUKO HAI HEBU ACHENI UPUMBAVU WENU
@salumualoyce5620
@salumualoyce5620 7 дней назад
Hilo jamaa na miwani yake kama kobe ni liongo yani linavyoongea hilo lijitu unajua kabisa ni liongo pumbavu zake yani kama kapangwa vile.
@DeusMagere
@DeusMagere 15 дней назад
Mwambie avue miwani
@catherinelandas1938
@catherinelandas1938 8 дней назад
Huyu mikala ana kaz ya ziada cyo bure
@shedy_marie
@shedy_marie 10 дней назад
Sasa move c mtu wanaeza kuedit mapacha mikala yupo hai nahajawai kufa hio uongo kuzushana vifo
@FaustaKessa
@FaustaKessa 17 дней назад
Sasa uyu kaka amesema yeye nikaka yake mikala alafu ajui miaka mingap pia alafu ujui familia yake ujinga gani uo mnaojiana
@ChikuHamisi-o8p
@ChikuHamisi-o8p 17 дней назад
Yaaan wanakuandikia usenge juu hapo ndo tufunguetu bando liende😏
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th 16 дней назад
shogaa huyo we huoni hata jinsi alivyo kaa kizembe
@FaudhiaAlly-p8g
@FaudhiaAlly-p8g 15 дней назад
Sio mikala inaman akui?
@shedy_marie
@shedy_marie 10 дней назад
Akui mwili wake mdogo tu age kubwa akue vp anaush kistar
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official 15 дней назад
Story za jaba kkkkkkkk lol wenae unataka kwenda mjini
@JactonKai
@JactonKai День назад
upumbavu mtupu mkalamkala.
@NdekejaKamuli-sh5pe
@NdekejaKamuli-sh5pe 17 дней назад
Kumbe Marekani ni Ulaya? mbona kama anajikanyaga huyu
@PogbaJunior-r8k
@PogbaJunior-r8k 17 дней назад
Ulitaka akwambie marekani ni buguluni au
@Riyovlogs789
@Riyovlogs789 16 дней назад
​We nawe unajibu akati ujui tofaut ya marekani na ulaya😂​@@PogbaJunior-r8k
@alleyjuniourtz
@alleyjuniourtz 15 дней назад
​@@PogbaJunior-r8k😂😂 jibu zuri
@nasrachimamy
@nasrachimamy 9 дней назад
​@@PogbaJunior-r8k🤣🤣🤣jamn mpk nimecheka wallah hili swali balaaa
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 8 дней назад
​@@PogbaJunior-r8k😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka balaa japo marekani sio ulaya
Далее
Добрая весть 😂
00:21
Просмотров 590 тыс.