Тёмный

KALA JEREMIAH - AMERICA (Official Video) Ft ZEST 

OfficialKalajeremiah
Подписаться 136 тыс.
Просмотров 388 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 798   
@youngrappertz1735
@youngrappertz1735 5 лет назад
kama unafikiri #KalaJeremiah anafikiri sana #GongaLikeHapa tupo pamoja...!!! 👊👊💪💪💪😁😂
@idrissagelevas5302
@idrissagelevas5302 5 лет назад
Kama umeuona mswak wa Masai gongo lik
@godfreymbago7925
@godfreymbago7925 5 лет назад
Big thinker
@iddywalocation1030
@iddywalocation1030 5 лет назад
Kqbisqqqqqq
@fundievergreenengineering3923
@fundievergreenengineering3923 5 лет назад
Bonge la Video
@paulmae1796
@paulmae1796 5 лет назад
Nataka kwenda America, comment no. 31 likes kaeni nazo nina yangu moja
@kimjwhite
@kimjwhite 5 лет назад
31
@tumainandrew3827
@tumainandrew3827 3 года назад
😀
@neemaplatnumwasafitv8053
@neemaplatnumwasafitv8053 5 лет назад
Kweli wewe Maniger nakubali sana you will be stay up
@okamanosiao1861
@okamanosiao1861 5 лет назад
Huyu jamaa ni creative sana
@nobertjacobo1986
@nobertjacobo1986 5 лет назад
Ngoma Kali
@mussaelisha5785
@mussaelisha5785 3 года назад
Mwangaloka mlechiza👍
@abdulyabdunuru1476
@abdulyabdunuru1476 5 лет назад
Kama umeelewa ujumbe uliofichwa kwenye hii song gonga like tujuane
@storyzetu8114
@storyzetu8114 5 лет назад
Jamaa katumia fasihi amabyo ni ngumu sana kuielewa Najua wengi hamjaelewa UNAONA HAPO WATU WANAINGIA AMERICA wanarud wakiwa kwenye majeneza na wengine wanarudi wakiwa washakuwa mateja 😂😂😂😂 this man is creative #umewachanganya wengi awamu hii @kalajeremiah
@carboxyllicacid8356
@carboxyllicacid8356 5 лет назад
Ni kweli bro
@legandavid9951
@legandavid9951 5 лет назад
fasihi
@kingdazzostarboy1431
@kingdazzostarboy1431 5 лет назад
Yani mi ndo kanitupa kabixa Ani... Haahaa
@merryjulius4098
@merryjulius4098 5 лет назад
Mimi mwenyewe sikumuelewa..ila wewe umenifungua uelewa
@storyzetu8114
@storyzetu8114 5 лет назад
@@merryjulius4098 jamaaa mbunifu sana
@masagapaul5039
@masagapaul5039 5 лет назад
Kama umesikia mwangaloka Gawiza, Madelo Gawiza. Like twende mbele...chakokaya
@mariamjumah3667
@mariamjumah3667 5 лет назад
Gawiza
@mgeyo6464
@mgeyo6464 5 лет назад
UVCCM MASWA 😀
@dogohassan3604
@dogohassan3604 5 лет назад
Hatali
@colethamasanja1026
@colethamasanja1026 5 лет назад
Sukumaland raha sana home
@Sokolangugroup
@Sokolangugroup 5 лет назад
kama umemwelwa kala gonga like apo
@felistermwangalaba7658
@felistermwangalaba7658 3 года назад
I'm black don shot me I have a dream don kick me I'm Martin Luther ✌️✌️✌️✌️✌️....Kaka umtixha...big up xana...
@Kazimily_Music
@Kazimily_Music 5 лет назад
Mwadira gawiza weka like twende sawa🔊
@reubzdullahboymusic685
@reubzdullahboymusic685 5 лет назад
Wanangu wa 254 kama unamkubali kala rusha likes zako hapo tukisonga
@seifhilal9489
@seifhilal9489 5 лет назад
Hatapata tabu sana fundi karud anaekubal agonge 👍
@jasirimkombozi4926
@jasirimkombozi4926 5 лет назад
America pabaya sana
@pricejr2621
@pricejr2621 5 лет назад
kama unamkubali kala Jeremiah gonga like twende sawa 🔥🔥🔥
@cornelsifa3790
@cornelsifa3790 5 лет назад
Oya trump nipe visa, Bill Gates nipe pizza !! moja kali kala jeremiah....
@sharifmajid2665
@sharifmajid2665 5 лет назад
sawa baba wakimbize
@selemanitz7496
@selemanitz7496 5 лет назад
Hoooooweee kamesha kabisa safi
@haroubselemani5578
@haroubselemani5578 5 лет назад
Bora kubaki kuwa chizi Tz kuliko kwenda America then urudi ukiwa mteja au maiti,,Safi sn Kala,hapo umeitendea haki fasihi
@Gtwice
@Gtwice 5 лет назад
Bro umedhihirisha kipaji ni ubunifu na sio kuigana... This is really HIPHOP
@madamcolethaa641
@madamcolethaa641 5 лет назад
Nimeelewa kumbe huko America ndohivyo siendi bora nikomae najiji sitaki kufa mapema
@jonasyohana3258
@jonasyohana3258 5 лет назад
ya true
@Thadigga1
@Thadigga1 5 лет назад
G twice sana chief...
@richardjames7269
@richardjames7269 5 лет назад
Kama umesikia ng'wangaluka weka like zakutoha hapa
@hmatta3024
@hmatta3024 5 лет назад
Ng'wangaruka mlichiza 😂😂😂 Sukuma to the Word gonga like hapa kama unaamini kalah katisha
@MteuleMabuku
@MteuleMabuku 5 лет назад
Machizi hawaendi America, waliotimamu wanaenda ,wanarudi wakiwa machizi au maiti. Kajana so talented
@tatuyussuf7574
@tatuyussuf7574 5 лет назад
Thobias Mabuku @fact...
@monicaney3782
@monicaney3782 4 года назад
Lugha ya picha imetumika hapo America yaweza kuwa ni mafanikio ambayo kila mtu anayatamani ila matokeo ya mafanikio yaweza kuwa hayo
@hamishashello8231
@hamishashello8231 5 лет назад
Madila gawiza!!! Well J kazi zako huwa zina ujumbe mnono...
@gresicosmas6452
@gresicosmas6452 5 лет назад
Nimeielewa broo
@anthonymwandu2615
@anthonymwandu2615 5 лет назад
mwangaluka mlechiza madelagawizaaaaaaaaaaaa king of sukuma wasukuma mpaka tupate nini jamani wakati kala nizawadi katupa mungu acha like hapa kizazi
@kamandab7976
@kamandab7976 5 лет назад
# Kala Jeremaya mm nahishi America nimekuelewa 💯 kaka unaona mbali Natamani wengi wausikie wimbo na waelewe video
@gambajunior2275
@gambajunior2275 5 лет назад
Nimeelewa Sana bro ...vijana wengi wanaaminni ughaibuni ndo Kuna maisha mazuri kumbe balaa tupu ...wakirudi hawana kitu,mateja na Wengine inarudi miili tu wakiwa wafu
@jonasyohana3258
@jonasyohana3258 5 лет назад
true blood
@aishamother9943
@aishamother9943 5 лет назад
Pendant sana kala
@Momtaa
@Momtaa 5 лет назад
noma nomani gonga like kumsuport kala
@hassanbonge2605
@hassanbonge2605 5 лет назад
Nymbo qali saaana km umeikubal gongw like twnd sawa
@officialfilihomemayuyu6799
@officialfilihomemayuyu6799 5 лет назад
semeni tena niliwasikia kalajeremay kafulia nathani kawafunga midomo🎌🎌 sisi haoo America tunaotaka kwenda like👍👍👍
@shedo7275
@shedo7275 5 лет назад
Mi nataka kuenda Tanzania yeah ya
@Yegon254
@Yegon254 5 лет назад
wachache wanaojua fasihi wameielewa, Kala Jeremiah is the most creative artist TZ
@shadrackrabison8032
@shadrackrabison8032 5 лет назад
Jamaa ametisha sana, huu wimbo lugha ya picha imetumika "ujumbe ni kwa vijana wanaotaka kwenda nje kwaajili ya biashara ya madawa ya kulevywa" WELL DONE KALA
@yusufumajid8392
@yusufumajid8392 5 лет назад
kala Jeremiah nikajua unaeckt movie ya kivita👈👈👈 gonga like Hapa kama umeikubar hii song
@ckosmah21
@ckosmah21 5 лет назад
Sna kingine zaid ya kumshukuru mungu kwa hiki kipaj cha kala thanks God
@jonasyohana3258
@jonasyohana3258 5 лет назад
Amen
@yudasamweli
@yudasamweli 5 лет назад
Wangapi wamemuelewa kala Jeremiah tujuane apa
@charxsymon1954
@charxsymon1954 5 лет назад
Kama hujamuelewa kama mm ucpite hv hv dondosha like
@sebastianjoseph8579
@sebastianjoseph8579 5 лет назад
Rapper mwona mbali sana we jamaa
@allybmfaumes9764
@allybmfaumes9764 5 лет назад
nani kavutiwa na mshangao wa kala kulishangaa jeneza tujuane tia like
@wambalishabani1630
@wambalishabani1630 5 лет назад
Usinifuate......#me nataka kwenda AMERICA 🔝 🙌
@Thadigga1
@Thadigga1 5 лет назад
Gud Music na Ujumbe
@salehnahdy5447
@salehnahdy5447 5 лет назад
USINIFWATE.....ACHA!!!!🔥🔥😊
@2abstvafrausbigshowtv294
@2abstvafrausbigshowtv294 5 лет назад
Kali sana🇨🇩😂😂😂😂
@maxwellvangulinja
@maxwellvangulinja 5 лет назад
jamaaa creative sana strong message kwenye video
@davismdula1517
@davismdula1517 5 лет назад
Mwangaruka mlechiza na kasikia kisukuma kama mimi
@davidelias6376
@davidelias6376 5 лет назад
akili nyingi mpaka unaboa kala du this is too much
@michaelmaximino1234
@michaelmaximino1234 5 лет назад
THIS is HIPHOP FULL OF CREATIVITY gonga like twende sawaaa
@usowabwanatv9655
@usowabwanatv9655 5 лет назад
Muimbaji Kala kwa nyimbo hii nimekuelewa kua ndani yako kuna kipawa na elimu kubwa ambayo Mungu ameweka ndani yako kwaajili ya kuelimisha dunia.... Kwani watu wengi wamekua wakifata upepo kama bendela na huku wakiwa hawajui kua wanapotea... Ninakuombe na nitazidi kukuombea ili Mungu azidi kukutumia uelimishe watu na sio kupotosha watu na jamii kama wengine wanavyofanya.. By Prophet Luckson N.M
@husseinomary4466
@husseinomary4466 5 лет назад
Kawimbo kanaujumbe, halafu video imejieleza aisee huyu jamaa anakipaji sio chakawaida, Kama na ww umeelewa Zaid unavofikir gonga like
@hussenblolo2033
@hussenblolo2033 5 лет назад
Nakubali
@kennethjohn8522
@kennethjohn8522 5 лет назад
Hii Nyimbo Ina Ujumbe Mzuri Sana Kwa Wajinga Wajinga Wanaopenda Nchi Za Watu
@bowwandiba8210
@bowwandiba8210 4 года назад
👌sure mwanangu
@chikamajenisia2244
@chikamajenisia2244 4 года назад
🤣
@amrzaqmlawa4015
@amrzaqmlawa4015 5 лет назад
Masaai kaenda America karudi bishoo #kala noma sana
@stephenguga7601
@stephenguga7601 5 лет назад
Back to African movement. Falsafa ya MTU mweusi myahudi halisi fuatilia makala za @HMG. Ujifunze falsafa ya MTU mweusi na historia tata. back to African movement. #Kala Jeremiah umefanya kitu chatofauti sana na chenye maudhui mazuri hongera black mwenzangu
@maxmaizer4631
@maxmaizer4631 5 лет назад
Ebanaa mwanza tumekiwasha tenaa awakina baracka da Price kina h baba wamesha shindwa majukum na kuolewa sasa matumain kwa kina kala na fid q msodiki pia
@lameckjohn3257
@lameckjohn3257 5 лет назад
That is what we call creativity broo well done
@martinthomas7034
@martinthomas7034 5 лет назад
Like kama umeelewaa style anazooo chezaa kalaa
@allykhamis4365
@allykhamis4365 5 лет назад
😂😂kama umelielewe koti la kala gonga like twende mbele
@bernardzaitun7289
@bernardzaitun7289 5 лет назад
Moma
@alfanboblice8399
@alfanboblice8399 5 лет назад
Hatar uyu mwamba
@salehecharles9444
@salehecharles9444 5 лет назад
video imebeba ujumbe mzito, hii ndo maana halis ya kuwa creative big up kala
@BONGO_FILAMU
@BONGO_FILAMU 5 лет назад
Hii ndio nimeielewa ni hatari ......#Nipe Viza
@azizrashid5988
@azizrashid5988 5 лет назад
Kwa walio elewa tuu hili li video weka like na kama ulikua hulielewi na ukarudia then ukalielewa pia weka like
@ramsoommy2868
@ramsoommy2868 5 лет назад
sema #AMERICA
@davidnyiti8215
@davidnyiti8215 5 лет назад
Ujumbe mzito. ...let live and die in our tz
@shukurumpenda2569
@shukurumpenda2569 5 лет назад
kk umewaza sana kunawengine bado hawajaelewa apa
@vincentauxerbius7554
@vincentauxerbius7554 5 лет назад
Like zote hapa kwa kala jaremiha hii ngoma kali kauwa
@abdalahkishari2888
@abdalahkishari2888 5 лет назад
huyu jamaaa ni kwere anaupeo mkubwa sana wa kufikiri aise
@leoncerichard1276
@leoncerichard1276 5 лет назад
Nataka kwenda amerikaaaaa twenden ni fire
@jerrygx1248
@jerrygx1248 5 лет назад
Kama umeelewa creativity ya hii Video gonga like twende sawaaa😂😂😂😂😂 Kweli kuna watu vichwa.
@godfreyibrahim818
@godfreyibrahim818 5 лет назад
Wewe ni noma bro
@stevenpeter2260
@stevenpeter2260 5 лет назад
Huu mziki siyo level ya wapenda matusi. Audio na video havitenganishwi, ukitenganisha unapata uiumbe nusu.
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 5 лет назад
Nataka nataka kwenda america, gonga like kama nawe unataka kwenda america
@petrojacob1133
@petrojacob1133 5 лет назад
Kama masihala lakin funzo hilo. Respect sana mzee hapo mjinga haelew lakin wajanja kitaaaaambo...
@jifaqmoonwalker6032
@jifaqmoonwalker6032 5 лет назад
Ngoma Kali idea Kali video kali
@abdulrahmanjr5573
@abdulrahmanjr5573 5 лет назад
wewe ni bonge la artist kala jeremiah
@sharifmgweno3515
@sharifmgweno3515 5 лет назад
Broo katika nyimbo ambazo huwa c choki kusikiliza ni hii amerika yaan kuna vitu umeongea ndani ni vya msingi mnooo big up broo mungu akujalie kazi uzid kutoa nyimbo za kuelimisha bro
@mshabahafeston1488
@mshabahafeston1488 5 лет назад
I can not believe that we still tuanataka kwenda America after watching this Video . KALA J you kill it Bro No matter were we are from, what language we speak, what color we have. Simple amazing. No war, make music alive . Wewe ndo umebaki pekee unaimba hiphop kuelimisha jamii. God bless You.
@josephhenry3398
@josephhenry3398 5 лет назад
video simple. ujumbe mzito. timamu na aelewe. ushauri mzuri
@asifiwenzoya2015
@asifiwenzoya2015 5 лет назад
Duuuuh!! Unaweza kuona namna wanavyokimbia kwao wakidhani fursa zipo nje, sasa wanarudi wakiwa tofauti kabisa wengine mateja, wengine zinarudi maiti. Its now to understand that ni bora tunavyoviacha kuliko tunavyovikimbilia. AMERICA katika wimbo haimaanishi twende America kweli Bali inatuonesha ni wanaokimbilia huko wanasuffer. Thanks @KALA JEREMIAH . you are my role model. One day I wish kufanya unachokifanya
@UduduComedy
@UduduComedy 5 лет назад
fireeee
@harunikiando2314
@harunikiando2314 5 лет назад
Duuhh more zan artist huyu jamaa nomaa maana msio elewa huyo jamaa mzungu hapo ndo kama airport na hilo jumba hapo ndo america humo sasa Chen jamaa walioenda wanavo rudi wengne mateja,wengine maiti hatari sana hilo song
@emmanuelkateule207
@emmanuelkateule207 5 лет назад
Dah this guy is not only talented but also intellectual, kinu kitu cha kujifunza Ktk hii nyimbo...
@jonasyohana3258
@jonasyohana3258 5 лет назад
kabisaaaaaaaa
@aishasilaji5759
@aishasilaji5759 5 лет назад
Like zenu jamani kwa kalajemia ngoma kali
@binsururu
@binsururu 5 лет назад
UBINIFU wako upo kiwango Cha juu sana, wachache tu ndo tunakuelewa.
@vamo2082
@vamo2082 5 лет назад
Kama mm vile
@danielanderson6185
@danielanderson6185 5 лет назад
-
@nkudwanabakejohn7505
@nkudwanabakejohn7505 5 лет назад
Nadhani video ina ujumbe mzito kashinda mashairi yenyewe
@roseswai5778
@roseswai5778 5 лет назад
Waoo I love what I see
@kizaziperfect
@kizaziperfect 5 лет назад
Yan kala Jeremiah utunga nyimbo kwa mahesabu na farsaf noma sana uyu MTU
@godlandmushi2224
@godlandmushi2224 5 лет назад
🙌 mikono juu goma qali
@josephmathias7021
@josephmathias7021 5 лет назад
Ila we Kala aisee, dah! Mungu akupe zaidi brother u d best!
@jonasyohana3258
@jonasyohana3258 5 лет назад
man of god
@lenardmdee7563
@lenardmdee7563 5 лет назад
Dah watanzania ujumbe umetugusa sajani tujifuzeni jamni
@metrumetru309
@metrumetru309 5 лет назад
Kajemaya ngoma kalisana mze baba anamkubali kajemay achia conty kajemay
@bobramaso825
@bobramaso825 5 лет назад
Gonga lyke kwa Wapenda HipHop wote
@yasinjumanne9209
@yasinjumanne9209 5 лет назад
Kala nakubali kaz zako Mi mwnywe nataka kwenda America 💥💥💥💓
@matarisuma9036
@matarisuma9036 5 лет назад
Nakubali kala ngoma kaliiiiii safari hii umekuja kivingine,,gonga like kama unakubali mabadiliko aloyafanya kala ..
@carenmwaka2117
@carenmwaka2117 5 лет назад
Huyu jamaa anajua sana..❤ He is a thinker n talented. Goma liko juu🔥🔥🔥
@legrandrenson2063
@legrandrenson2063 5 лет назад
He just denied himself a visa...nice msg ,real truth
@georgecharles3144
@georgecharles3144 5 лет назад
Akili nyingi saana zimetumika kuchora huu wimbo
@yudantandu7084
@yudantandu7084 5 лет назад
The return back of HIP HOP!!!!
@tarickadam7294
@tarickadam7294 5 лет назад
Duh bonge la ngoma 😁😁😁 usinifuateeee
@josephryoba9136
@josephryoba9136 5 лет назад
Lake Zone tuko bie kwny field ya hiphop
@momamishevevo8460
@momamishevevo8460 5 лет назад
kala big up unatisha kk
Далее
NCHI YA AHADI KALA JEREMIAH ft ROMA (official video)
4:47
NACHA_BARUA (Official Music Video)
5:08
Просмотров 384 тыс.
Mejja - Siskii (Kamote) [Official video]
3:17
Просмотров 10 млн