#Bright #Ntakukumbuka Audio produced by Bright & Bearbeats Video directed by Jay shot it Bright Booking Info: Email: | brightmusictz@gmail.com Follow Us / brightmusictz / brightmusictz
Uyu jamaa mbona anajuwa kuimba sana ? Ndo watu waku sapoti kabisa ndo mziki wakuelimisha ..... ingelikuwa kwamba angeimba ujinga kama ameshapewa sapoti !!!! Big UP sana bro.
BRIGHT unajuwa kuimba kupitiliza kiasi ! Nimeangalia wimbo zaidi ya 10000. Mbona uyo mondi wenu wa tandale anazidi kusapoti ujinga,nanyinyi ambao mnajuwa mupo ?
Tumebarikiwa vipaji vingi sana kimoja wapo ni hiki cha Bright anajua sana lakini support mazee hakuna nothing kabisa.. Big up sana Starkid watakukubali tuh ipo siku
Very bright concept aisee... Nimependa , as usual, verse ya Kala ni hatari - kuna utundu wa maneno lakini vilevile liujumbe tosha kunyoshea kidole lifestyle mbovu ya wasanii/ustaa Bongo. SHOWBIZ