Тёмный

KALA JEREMIAH - NISAMEHE (OFFICIAL VIDEO) FT ASLAY 

OfficialKalajeremiah
Подписаться 135 тыс.
Просмотров 742 тыс.
50% 1

KALA JEREMIAH - NISAMEHE (OFFICIAL VIDEO) FT ASLAY
This song's message is for some Men who are perpetrators. Violence negatively can affect women’s sexual,mental,physical and reproductive health. Violence against women and girls has devastating cost and consequences to individuals and socities. violence against Women is real. End Violence against Women now.
#NoExcuseforWomenAbuse
WATCH AMERICA VIDEO HERE 👇
• KALA JEREMIAH - AMERI...
Follow Kala Jeremiah on Instagram:
/ kalajeremiah
Follow Kala Jeremiah on Twitter:
/ kala0444
Follow Kala Jeremiah on Facebook:
/ kala0444

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,5 тыс.   
@saddyclassicfashion9577
@saddyclassicfashion9577 5 лет назад
Uyujamaa ajawahi kosea km unamkubali km mimi tujuane apa like hapa
@fadhiliitambu6210
@fadhiliitambu6210 5 лет назад
Unastahili heshima kubwa kwa jumbe unazotunga kwa jamii yetu...wimbo unagusa makundi yote #Nisamehe ❤
@MOtownTV.
@MOtownTV. 5 лет назад
Msanii namba moja bongo anaefanya muziki wa kuielimisha jamiii anastahl sapoti kubwa mno na kongole pia
@erickamos3102
@erickamos3102 5 лет назад
Bila shakaaaa
@bakalibaruani9168
@bakalibaruani9168 5 лет назад
nyimbo kali sn
@hidayamollel2881
@hidayamollel2881 5 лет назад
Exactly
@ivarngasper2055
@ivarngasper2055 5 лет назад
Nyimbo kama hizi nchi za watu ungechongewa sanamu ya heshima.. god bless you bro
@patrickjohn4135
@patrickjohn4135 2 года назад
nakukubali bro
@supertallone4905
@supertallone4905 5 лет назад
Wabongo kulike nyimbo kama ii n ngum, kaz kulike manyimbo ya ajabu😤😤 #Nisamehe🔥🔥🎶🙌 Gonga like apa tuende sawa na Kala❤ Ooh! Asanten kwa like zenu na comments za kumwaga😍❤❤❤❤❤❤❤🙌
@israelmwakapala2913
@israelmwakapala2913 5 лет назад
Umenena idea kama hizi wanazo wachache sana
@sophiamgonja8757
@sophiamgonja8757 5 лет назад
Its touching and very nice song
@mohammediddi773
@mohammediddi773 5 лет назад
Kala Jeremiah ni super 🌟
@anithaflorian1157
@anithaflorian1157 5 лет назад
Kweli kabisa ujakosea
@abdulazizi6606
@abdulazizi6606 5 лет назад
hahahahaha iyo kweli
@asmininanyalika7387
@asmininanyalika7387 5 лет назад
Yaani sasa hivi watu hawacomment kwa sifa za video (kazi gonga like hapa )mnaboa sana ....! Mziki mzuri kaka ❤️
@shwariahmad9249
@shwariahmad9249 5 лет назад
Asmini Abdalah sahihi usemalo...yaani nilikuwa naangalia coment nani anasifu huu wimbo ila sijampata kila mtu gonga like hapa
@jaywizzy2393
@jaywizzy2393 5 лет назад
Kama umerudia huu wimbo ngonga like twende sawa mchiz katisha kinyamaaaaa💪💪
@mwanzothefirst5338
@mwanzothefirst5338 5 лет назад
Nisamehee! Kama umeangalia Mara mbili kma mimi gonga like twende sawa
@yusufumajid8392
@yusufumajid8392 5 лет назад
kama umeipenda hii nyimbo gonga like Hapa☝☝☝☝☝
@charlesmpemba9387
@charlesmpemba9387 5 лет назад
Bonge la nyimbo.
@fanuellbihita728
@fanuellbihita728 5 лет назад
Yusufu Majid
@yusufumajid8392
@yusufumajid8392 5 лет назад
saana mkuu
@yohanalaiser2667
@yohanalaiser2667 4 года назад
Sasa like hapa ya nin na wimbo sio wako 😒 wabongo cjui tumelogwa na nan
@rasvegas8991
@rasvegas8991 5 лет назад
Mm huu wimbo nishausikiliza mara 11 kama naww km mm like /mzigo ni mzito goligota ndo naelekea
@godrickernestngoda5521
@godrickernestngoda5521 5 лет назад
Kuna nyimbo za kusikiluza ukiwa umelewa zakina inama hii unasikiliza ukiwa unaakili timamu
@godfreyflorence4224
@godfreyflorence4224 5 лет назад
Godrick Ernest Ngoda inackitisha sna nyimbo nzr km izi viwer zke chache
@mogjosely8291
@mogjosely8291 5 лет назад
Ujui kuandika ama shda nn .. Kumbuka kuna edit button bna
@godrickernestngoda5521
@godrickernestngoda5521 5 лет назад
Kwa sababu nimeponda nyimbo zenu za walevi tunapaswa tusapoti muziki wenye meseji siyo kila siku mapenzi tu
@kadjasallum2066
@kadjasallum2066 5 лет назад
Daaaa kweli myn
@christophersoty101
@christophersoty101 5 лет назад
@Mog Josely hujitambui kenge wewe
@josephmassawe7006
@josephmassawe7006 5 лет назад
Kama unasoma comments uku unaangalia ngoma gonga like twend saw
@lussambokingwamishe
@lussambokingwamishe 5 лет назад
Weka like km ulikuwa umemic dude kutoka kwa mchiz
@malab4878
@malab4878 5 лет назад
bonyeza link apo utazame ngoma kali msanii Madsoft daaaa sio poa wazee ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-xMXMjLCLP3A.html
@prosperprospershayo5564
@prosperprospershayo5564 5 лет назад
Daah nimeielewa kinyama iyo ngoma
@abuumo9637
@abuumo9637 5 лет назад
Namkubal sana yuko vzr
@poulsenmc4970
@poulsenmc4970 5 лет назад
Lussambo King Wamishe tusaidie kushare ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-XIL7ML8lKPY.html
@salvatoryshirima4322
@salvatoryshirima4322 5 лет назад
Daha kala ujawai toa wimbo wa kijinga on lov brother kama umeuelewa gonna lk
@mrfranciscocharles8138
@mrfranciscocharles8138 5 лет назад
Nakuelewa man, kaz nzur saana nisamehe pia sikuwa nacomment nyimbo zako tangu mwanzo, najua unasoma nisamehe😁😁😁😂😂❤❤❤nyimbo nzur saan
@athumanabed4213
@athumanabed4213 4 года назад
kweli kabisa sio
@wamichapotz9530
@wamichapotz9530 5 лет назад
Huyu ndio kala mwenye mashairi yake weka like kama tupo pamoja nae 👍👏👏
@masakaupdate1488
@masakaupdate1488 5 лет назад
kama umeamini hii ji story ya kweli imemtokea mtu ndomana kala kaenda kwenye kaburi la mtu wake ni story ya kweli LIKE twende sawa tuamini #MAPENZI yanaumiza sana
@paulojohn8203
@paulojohn8203 4 года назад
uyu mshikaji namkubal san
@masakaupdate1488
@masakaupdate1488 3 года назад
@@paulojohn8203 ata mimi sana
@kinjeathuman2350
@kinjeathuman2350 5 лет назад
Mimi ndo mkaguzi mkuu wa nyimbo kali Tz.. Nasema hivi hii ni yenyewe KBS 👐
@anoldjose7793
@anoldjose7793 5 лет назад
Kinje Athuman 😂😂😂
@jescamussula6971
@jescamussula6971 5 лет назад
Unanichekesha 😂😂😂maana nimetoka kuona comment yako kwenye ngoma mpya ya bella na mobetto
@robertmmary1128
@robertmmary1128 5 лет назад
Makin xan
@danieldacruz844
@danieldacruz844 5 лет назад
From sandton . iv wabongo wanaakil au. nyimbo zakuleta fujo mnagonga like. Izi apa no...dah kwakweli Mungu anawaona. Mnipe like zangu APA kama mmeipenda kama mm😮😮
@madamcolethaa641
@madamcolethaa641 5 лет назад
Hata wasipokupa tuzo mishabiki wako kindakindaki nakupatuzo ulisawa ngosha mungu akongeje❤
@adamcosmas8129
@adamcosmas8129 5 лет назад
Kara we noma
@nuhumangililwe7523
@nuhumangililwe7523 5 лет назад
respect mkal wangu nakukubal sana
@gustavoschone9581
@gustavoschone9581 5 лет назад
aiseeeeeee,bro hajawai kosea abadan
@madamcolethaa641
@madamcolethaa641 5 лет назад
Harafu Jamaa akinyoaga anafanana kama 2park
@Kazimily_Music
@Kazimily_Music 5 лет назад
Skuhizi sinywi bia ni viroba mixsa gongo Kala huuniwalaka wenye maskio nawasikie kama umekubari tia Like🇯🇲💪🎤
@IYANIZZO
@IYANIZZO 5 лет назад
Tatizo Lenyu Ham Support Nyimbo Kama Hizo Sikuizi Mpo Kwa Mwendo Wakutetema Sio Poa . #Nisamehe 🔥🔥
@anoldjose7793
@anoldjose7793 5 лет назад
Most Wanted ] umeona ee
@saloomidd1084
@saloomidd1084 5 лет назад
Wengi wanapenda nyimbo za inama inama inuka inuka
@IYANIZZO
@IYANIZZO 5 лет назад
Aaaiissee Wanaharakati Wengi Wanakata Tamaa Kwa Kukosa Support Kutoka Mashabiki 💯💯💪💪
@davidelias6376
@davidelias6376 5 лет назад
Most Wanted ] timu ndo zinatuponza
@mrbrangiomari7451
@mrbrangiomari7451 5 лет назад
Km kweli ww ni Mtanzania na umeona km.hili ni bonge la nyimbo kuliko zile za kina dada gonga like twende saw Mtz mwenzangu
@jamesemilius4983
@jamesemilius4983 5 лет назад
Mr Brangi Omari kalii
@ibrahcataryan7125
@ibrahcataryan7125 5 лет назад
Alwayz nakubali sanaa kazi zako#kala...god bless you
@poulsenmc4970
@poulsenmc4970 5 лет назад
Ibrah Cataryan tusaidie kushae ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-XIL7ML8lKPY.html
@benjamindenice53
@benjamindenice53 5 лет назад
Aliyesikia sauti ya Aslay agonge like
@asherymichael7975
@asherymichael7975 5 лет назад
Kuna nyimbo za wenye akili kama hii.... Lakini zipo pia za wehu
@agnessjohn8404
@agnessjohn8404 5 лет назад
Ashery Michael 😀😀kweli kabisa
@na0m1fes51
@na0m1fes51 5 лет назад
😂😂😂😂😩
@bahatijohn1220
@bahatijohn1220 5 лет назад
mumny I love u, R.I.P mama & sorry for my life( plz mummy forgive me?)
@gine9011
@gine9011 5 лет назад
Mambo gani haya kala ya kulizana ...maisha yenyewe yanatuliza wewe pia utulize
@wemakingdaily1462
@wemakingdaily1462 5 лет назад
Kuma ww
@gine9011
@gine9011 5 лет назад
@@wemakingdaily1462 Kamuulize vizur Mama'ko Kua baba yako ni nani kama hatonitaja mimi
@jullygodwiny4058
@jullygodwiny4058 5 лет назад
😆😆😆mbavu zngu
@gine9011
@gine9011 5 лет назад
@@jullygodwiny4058 🤓🤓
@kittypritty7196
@kittypritty7196 5 лет назад
Mapesain Kwa pamoja tuna kubali kazi zako, je una amini huyu jamaa ana tengeneza good songs, gonga like hapa tuone wangap wanakubali
@pmctvdsm1157
@pmctvdsm1157 5 лет назад
Mkuu umewanyosha sana wewe mfano wakuigwa Kwa tanzania yetu bonge la ujumbe inabidi upewe cheo uwe raisi wawasanii woteeeee anaye bisha nani nimpe sababu za msingi
@divasonmoke8009
@divasonmoke8009 5 лет назад
hakuna broo si ungewaona
@richardjames7269
@richardjames7269 4 года назад
Weka like zakutosha ili tujuane mashabiki wamnyama mkali kala Jeremiah
@afandebrighttz2887
@afandebrighttz2887 5 лет назад
Mungu azidi kukupa wered zaid wa kufanyakazi bora
@samwellupimo1125
@samwellupimo1125 5 лет назад
Never die mr kalla. Hata ukikaa miaka 100000 bila kutoa wimbo ila ukitoa tu lazuma igonge mazeeh. @kallajeremiah
@najmaharoun2178
@najmaharoun2178 5 лет назад
Safiii sanaa
@dularsparta9004
@dularsparta9004 5 лет назад
Kama una kubali hawaja kosea kila mstari gonga like
@kelvinogaro6948
@kelvinogaro6948 5 лет назад
Sijui mbona mm huwa sipewi like 🤤🤤nyimbo zote.. Anyway song poa all the way from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@tengoboy
@tengoboy 5 лет назад
Kama unamkubaliii kalaa gonga like hapaaa
@godfreyjosephbakerichannel6050
Tafadhali kama umeielewa hii nyimbo like twende sawa make si kwa huzini hii
@selemanmazemle6639
@selemanmazemle6639 5 лет назад
Huyu ndo msanii achana nawapka poda bila kik hawawz kutok gonga like hap kama unampa kala 100%
@mgalulapeter4739
@mgalulapeter4739 5 лет назад
Mashairi yako Huwa yanaeleweka kwa kila mtu katka jamii kama wadau mnamkubali kala gongeni like zenu kwa wingi
@hoseamligula8092
@hoseamligula8092 5 лет назад
Kama unamkubali Kala gonga like hapa
@amour0072
@amour0072 5 лет назад
Nakiri nilikuumiza sana mama yangu Nyumbani kukugonganisha na machangu Pia kukugombanisha na ndugu zangu Ili mradi nifurahi ndani ya nafsi yangu Nakunywa ninalewa na rafiki zangu Nakuangushia kipigo na una mimba yangu Mpaka mimba ikachoroboka kwa ujinga wangu Leo nitaficha wapi mimi sura yangu? Mbele sioni kitu zaidi ya ukungu Na maadui wako wengi zaidi ya nywele zangu Nishike mkono mikosi inaniandama Na usipo nionea huruma haki ya nani nitazama Mwili hauna nguvu kama mwenye homa Nahisi niko kuzimu na shetani ananichoma Ongea chochote na nafsi yangu itapona Nakiri sitorudia tena mbele ya Maulana Najua unanisikiaaa Ila kunijibu ndo huwezi Eeeh Mungu baba saidiaaa Umlaze mahala pema mpenzi Na pia anisamehe maha, anisamehe Na pia anisamehe sana, anisamehe Nisamehe nitakufa, kwa mawazo ya msongo Wapambe walionipamba, wamenigeuzia mgongo Baada ya kuishiwa pesa, wanadai sina mpango Ni kweli sina dini, wala sina mchongo Siku hizi sinywi bia, ni viroba mixer gongo Nisikufiche, nimepoteza malengo Kwenye kupa kwa mizigo, kwenye lori mi ndio tingo Maisha yangu yanaelekea ukingo Na kama nitakufa leo, jua kuu uliacha pengo Nikiongea sana nikajitukana Maana nilifungwa macho na starehe za ujana Nikajiita pimpi kicheche bonge la bana Nikakupa mateso ya moyo, mwili kimwana Na kila nilipolewa ni kichapo cha kufana Nishike mkono japo nimelewa sana Sema neno moja liuponye mwili wenye laana Najua unanisikiaaa Ila kunijibu ndo huwezi Eeeh Mungu baba saidiaaa Umlaze mahala pema mpenzi Na pia anisamehe maha, anisamehe Na pia anisamehe sana, anisamehe Nakiri sina uti, ila sasa nakwangukia Unanijua vizuri, sina haja ya kuhadithia Ila sirudii makosa haki ya Mungu naapia Sauti za kuzimu ninazisikia Bila msamaha wako hakika nita disappear Mi kipofu niongoze, natanga sioni njia Nakiri mi ni bonge la fala tena mburula Nilikuona taka-taka nikazurura Nikapiga chaka kwa chaka na kina Shura Sasa cheki nilivyo, nimenyooka kama rula Natamani ardhi ipasuke nijifiche sura Ama kweli dunia imenielemea Mzigo ni mzito Golgotha naelekea Ndugu wa damu yangu, sioni walikoelekea Hakika ni wewe pekee unaweza kunitetea Nadhani sasa sina tena cha kuongea Najua unanisikiaaa Ila kunijibu ndo huwezi Eeeh Mungu baba saidiaaa Umlaze mahala pema mpenzi Na pia anisamehe maha, anisamehe Na pia anisamehe sana, anisamehe
@elisifamollel866
@elisifamollel866 5 лет назад
Nice song japo story inackitisha mweh😢😢
@bonykaro9097
@bonykaro9097 5 лет назад
video inaendana na wimbo asante sana , kama umekubali ngoma gonga like
@joelchiloloma4287
@joelchiloloma4287 5 лет назад
Nakubali sana Zao La Bongo Like kama Tuko Pamoja
@flolajamanalex6621
@flolajamanalex6621 5 лет назад
toka kitambo nakuelewa sana brother hakika wasanii wote wangekuwa na akili kama zako tasinia ya muziki TZ ingekuwa mbali💪💪💪👏👏👏 Gonga #LIKE na KUNISAMEHE pia KALA THE BEST MUSICIAN IN TZ💪💪💪💪💪 mambo ni Yente... yechu....fasi...ya....edwasi
@normanrevocutus1158
@normanrevocutus1158 5 лет назад
Kala ndo superstar hzo zingine ni wakatikaji viuno tu, unajua bro kaz nzur👍🥰🥰
@doricemassawe5128
@doricemassawe5128 5 лет назад
wewe ni jembeeee
@boniphectoboniphace7187
@boniphectoboniphace7187 5 лет назад
Noumaaa inagusa moyo kama imekugusa nipe like 100
@lawranceseverine7894
@lawranceseverine7894 5 лет назад
Hizi ndio Bongo flava tunazozitaka bonge la nyimbo hili
@jazakamohamedi8356
@jazakamohamedi8356 5 лет назад
Good
@mbachaliletv6548
@mbachaliletv6548 5 лет назад
We missed you brother Kala. Umeua band kaka waooowaoooo waooooo lyk na views nyingi kwa wote wanaoikubali ngona hii kama mimi. Ivi moyo wako unamwelewa kala kama mimi? Like nyingi kwa kala aiseee
@saidesanto1120
@saidesanto1120 5 лет назад
nimekuelewa jemedal wangu ebu gonga like kama tuko wote
@edwinmashimba8520
@edwinmashimba8520 5 лет назад
pamoja sana kala umetugusa wengi kwa huu wimbo
@Minsa-sx5kp
@Minsa-sx5kp 5 лет назад
Firts song that nimesikia mwanaume akimkumbuka mwanamke wake na kuona dhaman ya mwanamke but too late love this song my fav of all time🥰😍😘🥰🔥🔥🔥🔥🔥
@ramadhanijuma4539
@ramadhanijuma4539 5 лет назад
ngoshaaaa from Mwanza Tanzania autuangushi wanamwanza uje Mwanza KaManda wetu tuujaze uwanja ccm kirumba kpata radha ya witu adimu ulio nyo Mwanza tuko juu sna kwa marapaaaaa aseee
@emedishebabinbawili4732
@emedishebabinbawili4732 5 лет назад
Sijuwi kiswahili lakini nimeipenda sana ihi ngoma kama na ww aujuwi kiswahili na umeipenda ihi ngoma gonga like 👍 hapa
@macktnolasco1768
@macktnolasco1768 5 лет назад
Emedi Sheba Bin Bawili acha uongo umeandikaje comment afu ujui kiswahil
@macanilusiji3423
@macanilusiji3423 5 лет назад
Hahahahaaaaa hata mie sijui kabisa KISWAHILI hii coment ameniandikia jirani yangu hahahahhaaaa🤣🤣🤣🤣
@emedishebabinbawili4732
@emedishebabinbawili4732 5 лет назад
@@macanilusiji3423 hahahahah sieti tuko pamoja
@emedishebabinbawili4732
@emedishebabinbawili4732 5 лет назад
@@macktnolasco1768 kweli ivi sijuwi kiswahili
@mohamedmnjeja2836
@mohamedmnjeja2836 5 лет назад
Bonge la ngoma...respect kwako bruh🔥
@HabilyTech
@HabilyTech 5 лет назад
Hii yamoto sana asee
@shabanialmasi
@shabanialmasi 5 лет назад
Hizi ndio nyimbo tunahitaji sio msanii anapanda jukwaani na kitanda anatuonyesha anavolala na demu wake,,,,, Gonga like mingi kwa kala jeremiah tuende sawa
@almasially6509
@almasially6509 5 лет назад
Chorus ya ki-legend sana
@fffttty8173
@fffttty8173 5 лет назад
Jeremiah Mungu akubariki na kazi yako nzuri sana, upo creative sana na ni uhalisia wa jamii zetu , big up Kalah
@hatibunjiku2065
@hatibunjiku2065 5 лет назад
Naombeniii like 10 tuu kwa huu wimbooo jamaniii maaana nimerudiaaa maraa 10
@petermahimbo9450
@petermahimbo9450 5 лет назад
Kala the true bongo star.God bless you my fellow countryman.
@jumausungu2561
@jumausungu2561 5 лет назад
hbl
@justmustafa5328
@justmustafa5328 4 года назад
Kkk*ppu l
@thestorybookwasafi4225
@thestorybookwasafi4225 5 лет назад
High creativity Kalah aliye elewa hii ngoma like kwa kushow love
@paulcosmas2317
@paulcosmas2317 5 лет назад
Wabongo kwann hatushikani mikono kama huyu jamaa kaachia dude kali sana alafu ww na roho mbaya yako unapita bila hata kulike chochote acheni hizo buana kama vipi shusha like twende pamoja
@nalingacomedian3251
@nalingacomedian3251 5 лет назад
nahisi kama umeniimbia mm tyu huu wimbo maana daaah😢😢😢
@husseinmuganza8355
@husseinmuganza8355 Год назад
Aslay sauuuti jamaaaani wewe ndo mungu wa Bongo flava 👑🇨🇩🇨🇩
@emmasele605
@emmasele605 5 лет назад
Kama umekubali nyimbo gonga like hapa👇👇👇
@givengiven63
@givengiven63 5 лет назад
Huu mziki mzuri sana cha ajabu watapewa show zako wapige wanaoimba mziki mbaya
@chidoohtz3836
@chidoohtz3836 5 лет назад
Kala we ni best ov de best. Hii song mpk nimeccmka 😭😭
@richardommy1610
@richardommy1610 5 лет назад
Ujumbe mzito sana had choz linalenga lenga... Big up bro kaz Nnzur
@shahazadymasha6076
@shahazadymasha6076 5 лет назад
Umetisha mzee ngoma kali sana
@nasibukapati5801
@nasibukapati5801 5 лет назад
Kweli vinyozi watu ebu angalia kala midevu hii Vinyozi wanatusistili sana nipeni like zenu
@shafiiismailshafiiismail9988
@shafiiismailshafiiismail9988 5 лет назад
Unashangaaa ndvu Kwan zimefkia za yesu
@anoldjose7793
@anoldjose7793 5 лет назад
Dah!! Nlikuw nmemic knouma kala💪💪...wapambe walionipamba wamenigeuzia mgongo💪💪 kala noma
@denoignasio5240
@denoignasio5240 5 лет назад
Ngoma kali brothers and sisters kama umeguswa badilika
@bwanambwana6169
@bwanambwana6169 5 лет назад
Skuiz sinywi bia ni viroba na gongo #ebaba mungu saidia @nisameeee mana thx song inanifanya nikumbukee mengii thank kara
@zedekiahmagwega8044
@zedekiahmagwega8044 5 лет назад
aiseee hii nyimbo inagusa sana hisia mzee dah haya mambo yapo 4rear na yanawakuta watu uko
@ozacsic2832
@ozacsic2832 5 лет назад
Ngoma ni balaaa mwamba umetisha its a leason to take. Hizi situation ni mingi sana bora mapema thn too late 🇹🇿👍💪
@moiseramsey4579
@moiseramsey4579 5 лет назад
Asly kapendezesha sana nyimbo alioliona hilo agonge Lk
@tomplexbrigedier2282
@tomplexbrigedier2282 5 лет назад
When u say hiphop knowledge... Is not #babasaleh or #Mwendo tu Meanz future thinker in bigger... And maintaining in hiphop icon' Na sio usikilize wezele ukasahau Yenye funzo kwa wote. Respect to kalaJeremaya If you believe in kala jeremaya You believe in hiphop #LIKE HERE....
@sirfabiano767
@sirfabiano767 5 лет назад
Tomplex haruatani
@habelmabway54
@habelmabway54 5 лет назад
that is true
@mabenzimabenzi4348
@mabenzimabenzi4348 5 лет назад
Kama umesikia saut ya aslay kaunguruma kama simba wa bongo gonga like
@alexgerald2976
@alexgerald2976 5 лет назад
Kama umeikubali kuwa ngoma hii ni kali sanaaaaah gonga like hapa
@benmtwasi3961
@benmtwasi3961 5 лет назад
saf kaka
@omaryhusseinlibenanga6134
@omaryhusseinlibenanga6134 5 лет назад
Gonga like kwa kala mwenye mashaili yake
@tengoboy
@tengoboy 5 лет назад
Kama umemyndi venyeee aslay hayupo gonga like hapa
@kapuboydaud5209
@kapuboydaud5209 5 лет назад
Aslay yuko kwenye hii nyimbo sema video hamo
@yustamathapaschal5103
@yustamathapaschal5103 5 лет назад
Tengoboy official yaan sjapenda
@daimavlog
@daimavlog 5 лет назад
Nasikia sauti yake ila namtafuta simpati. ”Najua unanisikiaaa, ila kunijibu ndo huwezi”
@tengoboy
@tengoboy 5 лет назад
The Wandelt’s haha achha utani subscrib kwan chhannel yngu
@daimavlog
@daimavlog 5 лет назад
Tengoboy official huwe una subscribe kwa wengine watajileta. Ngoja nione unapost nini
@calvinntinder3722
@calvinntinder3722 5 лет назад
Dah! Hii ni uhalisia kabsa et
@rg_digitalnewzonline5770
@rg_digitalnewzonline5770 5 лет назад
daah! braza jeremah umenifundisha kitu kikubwa san ktk hii goma😢😢😢
@jmtafya8727
@jmtafya8727 5 лет назад
wimbo haunichoshi kabisa nakunikinai ndo usiseme kila muda nakula hii ngoma ujumbe mzuri kaka shukurani sana kwa sanaa yako nzuri
@SwahiliMedia
@SwahiliMedia 5 лет назад
Dah Huyu Jamaa Anaimba Sana Facts
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 5 лет назад
Hii nyimbo kwa wanaowatesa wanawake zao hawawezi ku like. Ila ujumbe umefika nzuri sana
@richardmajula7488
@richardmajula7488 5 лет назад
Sema Chochote Nafisi Itapona Na Dunia Imenielewea
@michaelmaximino1234
@michaelmaximino1234 5 лет назад
Gonga like twende sawa Kala ni nomaaa nimejifunza kitu 💯💯💯
@hafidhimarijani8349
@hafidhimarijani8349 5 лет назад
Hivi viroba bado vipo eeeh?! Project kali Hongera Kala 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@ghosttalkvibe
@ghosttalkvibe 5 лет назад
Nyimbo ya 2016
@sayulap9107
@sayulap9107 5 лет назад
Mh
@chimbolavipaji7738
@chimbolavipaji7738 5 лет назад
Amazing Hit Song Ever! Reflection Of The Real Feelings🎧:::: Definition Of The Artist.
@charlesateli6977
@charlesateli6977 2 года назад
Ngoma iko vizuri nataman nyengine kama hii aisee
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 5 лет назад
Dah Kala unanitoa machozi
@sabatosamwel1873
@sabatosamwel1873 5 лет назад
Mungu nimkubwa Sana kalajeremaya karuditena munguakulimde mikayote utakapokuwepo duniani 1000000%
@kassimutekele4277
@kassimutekele4277 5 лет назад
Ngoma kali kutoka kwa Mzee Wa Dear God...sema Aslay nae kajua kunogesha...Ngoma Ipo 🔥🔥🔥
@oookkk3965
@oookkk3965 5 лет назад
Nimetokea kuipenda kam ume yikubali gonga hapa
@eunicejoseph3870
@eunicejoseph3870 5 лет назад
Bonge LA ngoma r. I. P scolastica,,kwamba sasa Huyu isihaka amegoma kushoot au ndio mambo ya game ya bongo
@gine9011
@gine9011 5 лет назад
Huyu Dogo ndo kawaida yake hua ni Nadra sana kutokea kwa nyimbo shirikishi
@adamonesmo6269
@adamonesmo6269 5 лет назад
Kala big up bro
@esthergideon4326
@esthergideon4326 5 лет назад
Nyimbo nzuri na nifundisho,big up broo
@sjaykigomatz
@sjaykigomatz 5 лет назад
Nyimbo ndio hizi
@augustinobenedictor4180
@augustinobenedictor4180 5 лет назад
daaaaahhhhh nakukubaliii xanaa Kala hii nyimb nixhid mzee baba👍👍👍👍👍👍👍
@josephmwanakijiji8283
@josephmwanakijiji8283 5 лет назад
Kala, umeuwa mende kwa nyundo. Bonge la ujumbe. Kimya kingi kimetua na kishindo.
@felistermwangalaba7658
@felistermwangalaba7658 3 года назад
"najua unanisikia ila kunijibu ndo huwezi"........inaumiza..xana..😭😭😭😭😭😭@Nisamee#....keep it up Kaka💪💪💪💪
Далее
NCHI YA AHADI KALA JEREMIAH ft ROMA (official video)
4:47
KALA JEREMIAH - RAFIKI (Official video)
4:23
Просмотров 421 тыс.
Kala Jeremiah Ft Sholo Mwamba - WEWE (Official Video)
4:42
Kala Jeremiah ==Ningekuwa Rais
4:58
Просмотров 9 тыс.
Osama,Podo ft Aslay - HOMA (official video )
3:37
Просмотров 1,5 млн