KAMA NDUGU Ndugu yangu, kama Hauwezi kunisaidia; Basi usiwe ukuta wa kunizuia. Acha tu machozi yangu yatiririke Maana Mungu atayafuta. #Ndugu #kamandugu #2021 #gospelhits #GospelHerald #Praise #Praiseworld #Maa #Maasai #Masai
Natamani hii nyimbo na biti hii hii uirudie kwenye studio yako yako ya siria record na uingize sauti upya kwa sababu kwa sasa umeimalika sana kiuimbaji