Nyimbo imeimbwa kiswahili tena vizuri kabisa afu kuna watu wanakuja ku comment kizungu maana yake nini lakin hebu badilikeni bana. AMEN hii nyimbo imenibariki sana MUNGU akutangulie kaka Paul katika safari ya watu kumikia yeye
I love this man and all his music i play his songs almost everyday in my phone but I don’t know the meaning but I understand the ministry in the song God bless you sir I am your top fan in Nigeria 🇳🇬
Sijui kuomba ipasavyo Mungu nifundishe wooow nimependa huu wimbo Mungu akubariki kaka....zaidi ya yote akupe hatua katika safari yako ya kumtumikia Mungu
Sijui kuimba ipasavyo Mungu nifundishe, sijui kuomba ipasavyo Mungu nifundishe, sijui kutubu ipasavyo Mungu nifundishe. Pia "hakuna dhambi kubwa wala ndogo, zote zinafanana" dhambi ni dhambi tuuu..🙏 Ujumbe mzuri Sana, ubatikiwe
ooooooh my Good. kweli mungu ni mwalim mwema tuki kubali kufundishwa na wewe maisha yetu ya hum ulimwenguni tutayaona ni ngazi za kutufanya tusogee kwakwo. sijui kuimba jisijui kuomba sijui kutubu sijui kutoa matoleo niko tayari nifundishe EeeBwaba Yesu nakuhitaji🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hallelujah Glory to Jesus Our Lord, I have danced with the whole of my being I love dancing for the Lord. I do this many times in my life n I don't care my boys look at me like m crazy but you know. When it come to God I don't care what they think, but you know I realize they also enjoy me dancing. Amen. Glory, Glory
Nilikuwa kwa msiba siku ya tarehe 25 ndipo nnlipo isikia nyimbo hii kiukweli ilinibariki na hata sasa inanibariki nanyi mbarikiwe pia kwa kazi hii nzuri sana ya kumtukuza Mungu!
Cjui kuomba Mungu nifundishe Cjui kuomba Mungu nifundishe Cjui kutubu Mungu nifundishe Amen Mungu akubaliki sana Kaka kwa nyimbo zako za kumwabudu na kumsifu Mungu?