Тёмный
No video :(

KAMANDA ASIMULIA A-Z SAKATA la WARDA KUPOTEA kwa MARA ya KWANZA,APONGEZA GLOBAL TV,AMTAJA RAIS SAMIA 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 38 тыс.
50% 1

KAMANDA ASIMULIA A-Z SAKATA la WARDA KUPOTEA kwa MARA ya KWANZA, AIPONGEZA GLOBAL TV,AMTAJA RAIS SAMIA...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kupitia kwa Kamanda wa Mkoa, RPC Pius Lutumo limetolea ufafanuzi sakata la binti mdogo, Warda Mohammed (15), mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyumbu, Kibaha kupotea tangu April 19, 2023.
KAMANDA ASIMULIA A-Z SAKATA la WARDA KUPOTEA kwa MARA ya KWANZA, AIPONGEZA GLOBAL TV, AMTAJA RAIS SAMIA...
Kamanda Lutumo amesema walipokea taarifa za kupotea kwa binti huyo kutoka kwa mtoto wa mwalimu aliyekuwa akiishi naye ambapo jeshi hilo linaendelea na uchunguzi wa kina kubaini mahali alipo mwanafunzi huyo.
Kamanda Lutumo amesema matukio ya wasichana wa umri kama wa Warda kupotea, yamekuwa yakiripotiwa mara kwa mara na kutoa wito kwa yeyote mwenye taarifa zinazoweza kupatikana kwa binti huyo, aziwasilishe kwenye mamlaka yoyote anayoiamini.
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 356   
@al-mamarial-mamari5457
@al-mamarial-mamari5457 Год назад
Asanteni sana Global TV
@faridaally-jp1gx
@faridaally-jp1gx Год назад
Globo tv mnafanya kazi nzuri sana msaidieni mama warda
@morjanoman5181
@morjanoman5181 16 дней назад
Tunawapenda watumishi wetu kwa kazi mzuri
@FadhilaKhamis-xe6hg
@FadhilaKhamis-xe6hg Год назад
Hana ponti kabsa kuna kitu anaficha
@daslamonline4665
@daslamonline4665 Год назад
Kabla ya kupotea mtoto alipigwa Sana na huyo Mama jirani alieleza vizuri huyo Mwalimu anajua kila kitu,
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 Год назад
Kwenye kulea kwa nyakati hizi ndg ni kugumu sana , mie mwenyewe mwanangu nilimchapa na mwiko sana ni kwa sababu sikuipenda tabia aliyokuwa anaifanya unaongea hasikii, unamuonya haachi . Mwisho wa siku akiharibika huoni ustawi wa jamii wala polisi ,wala serikali. Mimi ningeomba tu serikali na vyombo husika pamoja na ustawi wa jamii waone namna ya kuweka muongo ambao utawasadia watoto hasa wa kike ambao kwa sasa ndio wanaoongoza kwa kuwasaka wanaume na wakipatikana na shida nwanaume ndio anatiwa hatiani peke yake. Fanyeni uchunguzi muone , tunakoendea tutakuwa na kizazi cha hovyo kama juhudi za makusudi hazitachukuliwa.nilimchapa mwanangu mtundu ,hatulii nyumbani hataki kusoma ,yeye anapenda tu kwenda kila nyumba , ile kumchapa fimbo moja tu alipiga kelele utaniuwa jirani anakuja na kusema mwache au tukushitaki , sasa huyo mtoto kesho kama alikuwa anaenda shule mara tatu kwa wiki sasa si ataenda mara moja maana anajuwa mzazi akinipiga hata akikimbilia nje jamii itamsapoti kwa kuntela , (terrible) hiki kizazi kinahitaji tu mashehe na wachungaji wasile wala kunywa ili kukiombea kibadilike.
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr Год назад
Ahsante dada zary Mungu akubariki
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 Год назад
Maneno mengi atutaki tunachota NI MTOTO Tu please 😢😢😢
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 Год назад
Huyu kamanda kesha kula rushwa jamani hamna huruma kwanini huyu mwalimu hatikiswi yy ndie anae juwa warda alipo ingelikuwa nchi zingine washa mkomowa huyu mwalim acheni ujinga jaman njia nyepesi kumpata warda ashikwe mwalim yaani nyie police kwa rushwa mpaka tuwafundishe kazi yaani mpo tayar mtoto apotee lakin hiyo ruswa haitakusaidia chochote huyo mwalim kamuuwa kesha mtupa chooni
@user-wc7qj1pc3u
@user-wc7qj1pc3u Год назад
Huyo kamanda kwanza anaongea uongo tena hata nafsi yke inamsuta hana lolote
@MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv
Wapo vizuri sana
@beatricemortensen8533
@beatricemortensen8533 Год назад
Kusema kweli kabisa jeshi la polisi na mwalimu kuna na sintofahamu , bila Glob kuingilia polisi wasingefanya cchote . Wakupe wa salute hapo ni waandishi wa Glob na Mama wa mtoto , asanteni waandishi endeleeni na kz nzuri.
@amanimyolo1478
@amanimyolo1478 11 месяцев назад
Allah akbar
@habisnasalum-nz4zo
@habisnasalum-nz4zo Год назад
Maaskari polisi wanapenda rushwa sana mwanzoni mlikua mkipewa rushwa na mwalimu na hamkua na utu mmesikia waziri amesema ndo mnajifanya watu kibaha vituko vya polisi wanapenda rushwa sana hawaangalii watu ukifika kwenye vituo vya polisi wanaangalia mtu mwenye pesa wanakuambia ingia wanaopewa pesa wanakuona wew boya unaambiwa nendeni upelelezi unaendelea mapolisi acheni rushwa
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Год назад
sura imemparama kwa rushwa
@Shuu.A
@Shuu.A Год назад
Polisi hawana sheria yoyote mbwa hawa kazi yao rushwa kuiga raia kuwatia ndani bila ya kosa lolote wenye kosa wanawaacha wabakula rushwa jiso baya limekomaa kwa uhasidi mbwa wakubwa polisi wa tz
@saleemadhiyabalkhatri7800
@saleemadhiyabalkhatri7800 Год назад
@@sabihaibrahim143 ndio hao sheria wanaipindisha na wakanenepa kwarushwa we kamanda pita huku 🔥
@munikhatythabit8687
@munikhatythabit8687 11 месяцев назад
Kabisa na kwanza ametudanganya kila alichosema, iweje wao wamehoji wanafunzi na majirani wakaambiwa Warda alionywa tu ndio akakimbia ilihali Global walihoji majirani na wanafunzi wamesema tofauti, wanamtetea mwalimu kua alitoa taarifa since April na aende kutoa taarifa ya kupotea Warda kwa mwenyekiti mwezi wa 7 baada ya jambo kwenda Viral??? Muongo huyuuuuu kwendraaa
@munikhatythabit8687
@munikhatythabit8687 11 месяцев назад
Mbwa huyu mla rushwaaaa hana jipya nyau mweusi huyu
@aisharamdan8358
@aisharamdan8358 Год назад
Mmeanza kufatilia kwajili yatamko lawaziri
@fatumahapesamohamedfatumah4633
Huyu police maelezo yake hayajanyooka kabsa kwa kwl.Hapa kuna kitu nyuma ya pazia.kwanza Hio story ya warda kua na simu c kwl.Manake shuleni kwenyewe hawajui hio hbr.Muogopeni Mungu.
@vickytorry100
@vickytorry100 Год назад
Haongei kuhusu kesi Hii, anaongea kulaumu global hawakufika polisi, yuko kulaumu badala ya kutatua tatizo
@user-om1yg8xm4l
@user-om1yg8xm4l Год назад
Huyu police yupo pamoja na mwalimu muongo anajuwa kilakitu
@munikhatythabit8687
@munikhatythabit8687 11 месяцев назад
Muongo bwana ww kwendraaaas, kama mama Warda angewapa rushwa mngeshampata mtoto ila kwakua ni maskini mmempotezea ila mmeckia Waziri kaingilia kati mnajifanya kuongea pumba hapa.......wewe Muongo....mnakamata watu wasio nahatia mnajua hadi walipo chooni mshindwe kumpata Warda ....
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 Год назад
Ikiwa imeshasemekana mtoto alikuwa anateswa na mwalimu, kwa nini mwalimu asibanwe aseme ukweli?
@user-ro3ke1vt5f
@user-ro3ke1vt5f Год назад
lakini maelezo ya mama na ufuatiliaji wa kesi hii Kuna sababu nyingi sana za kumuweka mwl chini ya ulinzi
@RizikiIssa-dr1cb
@RizikiIssa-dr1cb Год назад
Asanten global kwa kupaza sauti ikasikika allaah afanye wepes apatikane
@hawaa341
@hawaa341 Год назад
Wote tuna huzuni kwa kupotelewa na MTT halafu mwalimu huyo hajakamatwa inaonyesha njisi ngani sisi wanyonge tunaonewa inauma sana
@kigiryamanichehu679
@kigiryamanichehu679 Год назад
Hongera kamanda MUNGU akueke
@shersaid7988
@shersaid7988 Год назад
Mpaka aingie waziri ndo mseme.Mama anaripoti hapewi ushirikiano .Huyo mwalimu hana uchungu wa kuzaa mtoto apotee asiripoti ingekuwa mwanae angekaa kimya.Mwalimu hana utu.Hongera mama kwa kuripoti global.Hongereni global kwa kufatilia hii issue.
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Год назад
Hii😢
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Год назад
Yani natamani ningekua na uwezo ningeanza na ww askari kwa kupiga makofi kwa nza ili muwe na utu. Jeshi la polisi eti lina spidi, nyoooooooo'🙄 kazi ipi mnayo ifanya anayo ijua waziri? Kazi ya kupokea rushwa? Yani mnakera kupita maelezo. Na watanzania wengi hawana imani na jeshi la polisi. Kilakitu mnakijua vizuri, mnajisafisha mitandaoni.
@saleemadhiyabalkhatri7800
@saleemadhiyabalkhatri7800 Год назад
Sasa hivi aibu imewashika shenzi mnashindwa na global tv eti global wamejitahidi kwa habari na Jessica lapolisi wako kukamata na uchunguzi hamna lolote jeshilapolisi mahodari kwa uzembe na uvivu mbona hamjamkamata huyo mwalimu kama siuzembe nini ovyooo
@Mina.15
@Mina.15 Год назад
😂😂😂
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 Год назад
Ameongea muda mrefu lakini sijamuelewa😢😢😢mtoto yuko wapi?
@user-sn2ef2qt8r
@user-sn2ef2qt8r 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@plasidiapaschal3874
@plasidiapaschal3874 Год назад
Kinachohtajka hapo n hatua zilizochukuliwa na jesh la polis syo kurudia hstoria tunaijua na tushaikarir
@MohammedJaizan-yf5yt
@MohammedJaizan-yf5yt Год назад
Taarifa yako Haina upya na Ile ya wiki iliyopita . Kwako unaelezea kama tamthilia lakini sio ufatiliaji
@zainabwage4658
@zainabwage4658 Год назад
😂😂😂
@mwatangachuma9069
@mwatangachuma9069 Год назад
Afande kumbuka mwl Wema alikuwa anakula pesa za hostel kumbe mtoto hayupo hosteli uo ni utapeli mwl wema mungu anakuina
@zainabwage4658
@zainabwage4658 Год назад
Uo ndio ukwer
@amanisaid9863
@amanisaid9863 Год назад
Nimekuelewa sana
@Enockmakuya-bu4es
@Enockmakuya-bu4es Год назад
Hamna kitu apo jeshi la polisi Mungu anawaona
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 Год назад
Uyo niuwongo mtupu maelezo hayajanyooka vizuri kwanini alikuja mwezi wa 4 mbona mlilifumbiya macho awonijuu mmeona mambo yamefika kwenye vyombo vyahabari 🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️
@dppd4219
@dppd4219 Год назад
Kujitetetea kwingi sasa kwani wazazi c wametoa taarifa na mkapotezea mlivokosa haya mnasema kabisa toka mwezi wa 5 adi leo
@zainabwage4658
@zainabwage4658 Год назад
Alaf maelezo meng ya kujitetea
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Год назад
Niuchungu kwakweri sstu tupohoi kwamawazo nakulia je mama mzazi? 😭😭😭😭Inauma saaana Allah aipe subra hi familia ya mwangu Walda😭
@FatumaMuya
@FatumaMuya Год назад
Amiin
@SaideAndurabe
@SaideAndurabe Год назад
Kamanda una jipya
@dorothysamwel2648
@dorothysamwel2648 Год назад
Mtakwenda kujibu kwa mungu. Kila siku mnajidai eti kwa sababu mmesomea uchunguzi. Tangu tulipoanza kufuatilia taarifa hizi kupitia global TV wameeleza wazi jinsi walivyofika na kupuuzwa, acheni kudanganya na kutupotosha Jamii. Tutaficha madhambi lakini mungu atalipa tu.
@gracekunambi7438
@gracekunambi7438 Год назад
Mh Kama sijaelewa hivi.. Kwa haya Maelezo tukumbuke sisi ni wazazi jamani tuna watoto. Mama Samia wewe ni mama mwenye uchungu angalia hili
@zainabwage4658
@zainabwage4658 Год назад
Maelezo meng lkn ayajajitosheleza
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 Год назад
Hakuna kitu hapo lushwa imetawala tu haki tutaipata mbinguni duniani ukiwa hauna kitu basi kuipata haki nikazi sanaaa ila mungu yupo
@FadhilaKhamis-xe6hg
@FadhilaKhamis-xe6hg Год назад
Mbona askali kama uso wake umejaa uongo anaongea na wasi wasi
@user-di3gt2jk6c
@user-di3gt2jk6c Год назад
Wengine hawajui wanachokifanya.....huwezi kumlaum mama warda hata kidogo....
@estakapufi7582
@estakapufi7582 Год назад
Ila ili swala linaukakasi sana maana mawazo yakusema eti atakuwa kwa mwanaume sizani angebanwa mwalimu kwanini anahama hama alafu hatowi ushilikiano anapigiwa simu anakata kwanini warda apatikane tunacho taka wewe toka mwezi wa 4 hakuna kinacho eleweka, huyo mwalimu kama kweli mtoto amepotea toka mwezi 4 kwanini hakutoa taharifa mapema kwanini wajumbe hawajuwi sehemu aliokaa mwanzo
@Hamidkaran
@Hamidkaran 11 месяцев назад
Kasema alitoa taharifa
@vero57
@vero57 Год назад
Wewe police unatakiwa kutafuta warda sio kuzungumzia boy friend, wewe vipi, ?? Mwalimu lazima arudishe mtoto akiwahai , ndiyo maana watu wanachukua sheria mkononi,
@kulngeleza6733
@kulngeleza6733 Год назад
😢yaan inahuzunisha ingekua amli yngu nazani awo polic na mwl wote ningewa tia ndan vipi mtt apoze nyie mna tafuna maneno wallah roho inaniuma uyu wema km ni mmwema kwann yy hao ngei hamjui vipi mama warda vile anaumia
@aishawapalila8622
@aishawapalila8622 Год назад
na tena tumeumia mwalimu mnamtetea mwalimu
@marthageorge5043
@marthageorge5043 Год назад
Pelisi bado ujasema na atukuelewi ata kidogo mnajua mtoto alipo kwanini msimshike uyo mwalimu,mungu atawalaani nyote damu ya mtu haipotei ata kidogo,walai mimi ningekuwa mama warda ningemroga uyo mwalimu na akawa kichaaa
@noorlheyaljabri602
@noorlheyaljabri602 Год назад
asante waziriwetu wajimabilawewe hawapolic walikuwahawashuliki makikitokeya chovhote kwafamil ya warda aukinazari mjuwinihawopolic auniraniyake.huyomwalim shetani
@minazsaid2470
@minazsaid2470 Год назад
Watu wamepoteza matumaini na jeshi la polisi
@hamisimkulupalile9461
@hamisimkulupalile9461 Год назад
Kwahyo mdada wa kazi ndiyo alikuja kituoni kwako kuripoti kupotea kwa Warda mwezi wa 4 na siyo mwalimu mwenyewe,na mwalimu alienda kutoa taarifa ya kupotea kwa warda kwa mwenyekiti mwezi wa 7.
@hawahussein137
@hawahussein137 Год назад
Kuna kitu hapa kati ya mwalimu na police
@robertsaire3823
@robertsaire3823 Год назад
Sawa umeeleza vizuri polisi lkn unakiri ulipata taarifa mwezi wa tano rasmi na mlivyo mhoji mwl alikiri kumuonya kwa kumpiga na kwa mdogo na ghafla mtoto haonekani kwanini huyu mwlm asikamatwe huku upelelezi ukiendelea kufanyika maana mpk hapo mwlm ndo anahusika kwa maelezo yako.
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 Год назад
Polisi kwa nini hiyo speed hamkuifanya tangu mwezi wa 4 mlipopewa taarifa? Mtu anapotea mnachukua hatua baada ya miezi 4!! Inaonesha ni jinsi gani jamii haipati huduma sahihi kutoka kwenu. Mngempa ushirikiano asingeenda kwenye vyombo vya habari
@hanifa9153
@hanifa9153 Год назад
Yaan inauma sana hawa police wetu ni vilaza 2 njaa zimehamia vichwani wallah hawana Utu kabisa ni pesa mbele na hyo mwalim wema ana pesa gani mtu alikua anakula pesa za mama warda akisema warda anaishi hostel nyie police msituchanganye kabisa qlobal hawana makosa wamewasaidia mlisahau kazi yenu mnafaa kjiudhul
@edgarelikana7204
@edgarelikana7204 Год назад
😢😢😢😢😢😢😢😢 Mdomo Koma ila……
@aishawapalila8622
@aishawapalila8622 Год назад
kwaiyo mwalimu yupo huru daaa 😭😭😭
@patriciamuganda4498
@patriciamuganda4498 Год назад
So vibaya kwa Jeshi la Polisi Tanzania ku exchange expertize na Polisi wa Kenya. Kumekuwa na case nyingi ambazo Zina utata huko Kenya, lakini huwa Jeshi la Polisi linafanya upelelezi na kugundua ukweli mara Moja. Tanzania ni member wa EAC Polisi wenu wasione aibu kuomba msaada wa Cyber Skills kutoka kwa wenzao wa Kenya.
@zainabwage4658
@zainabwage4658 Год назад
Anaenjoy mama warda analia peka mungu mtetee mama warda 😢
@isamony58
@isamony58 Год назад
uyu kamanda hata simuelewii eti kama hataki kuishi na mm ake mzazi mbona unapindisha pindisha uyoo mwalimu kwa nn asibanywe akataja wapi mtt kampeleka😢
@MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv
Sana wapongezwe grobo
@mwatangachuma9069
@mwatangachuma9069 Год назад
Wakati huu afande unatuelza haya mwl Wema yuko wapiiiiiiiiiiiii
@sadaalsheibani7106
@sadaalsheibani7106 Год назад
Hamuoni aibu polis tokea mwezi 4 nimemiezi mingapi sasa mnafanya uchunguzi kuna mmoja wenu kashakula rushwa bwana wa mwalimu wema alikua ashamakiza kila kitu walisahamu kama mungu yuko halali ingekua inchi za wenzenu polis wajali kazi yao ingekua muhalifu yuko jela
@claudiajames2003
@claudiajames2003 Год назад
Kamanda uko sahihi kwa asilimia mia!angalia yule mtoto wa mbeya,nusu ampe kesi mwalimu wake,kumbe yuko kwa baba Jose
@dppd4219
@dppd4219 Год назад
Yani mwenzunu ninavusuburia hili swala 😢😢😢
@habisnasalum-nz4zo
@habisnasalum-nz4zo Год назад
Acheni uongo mapolisi mnataka tu rushwa mkipewa pesa tu basi hata wabarabarani polisi akipewa buku mbili tu teari kwasiku anawaonea watu sabini buku mbili shi ngapi acheni uongo
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 Год назад
Polisi wa hovyo sana Wakisikia Chadema utawaona wakiangaika na magari yao.
@rehemasharifu8985
@rehemasharifu8985 Год назад
Mmhhh mm uyu polisi sijamuelewa kabisa aa kuna kitu hakiko saw
@user-rv7zt6tj3d
@user-rv7zt6tj3d Год назад
Yaan polic mmepangwa mpk mnatunga uongo yaan mtt wa mwalim akaripot kupotea kwa warda! alf mtt wa fm 2 ana umr wa 13 hiyo 16 imetoka wapi?, uongo utajitenga na ukwel taratibu loh😢
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 Год назад
Basi hawaoni vibaya kupoteza mtoto kama hawajui kuzaa jamani 😮😮 ?
@jamilahjamilah4157
@jamilahjamilah4157 Год назад
Watanzania hatutaki porojo yy niwazembe we siku zote hizo tunacho taka ni warda apatikane hao wanao mlaum mzazi na hizi hawajafuatilia maelezo ya mm kama alishindwa kumlea kiusitarabu sim zipo ange mtaarifu mm yake nazani asinge shindwa kuchukua mtt wake watu wanaropoka tuu kuwalaum wazazi jaribuni kuvaa viatu vyao mtaona wanavoumia
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 Год назад
Polisi sio watu wazuri
@janengowi-lt9gu
@janengowi-lt9gu Год назад
Kinachoshangaza kwa nn baada ya Warda kupotea kwa nn mwalimu alihama warudi wakafanye uchunguzi pale alipohama
@mariamissa4029
@mariamissa4029 Год назад
Yani nain hadi hay ya kumuit mwalim Lau ningelikuw n'a pas ya Allah walahi ningemkamat Huy mwalim jaman hapa duniani
@aishaarusha894
@aishaarusha894 11 месяцев назад
Kwamaelezo haya ya polisi yanamkingia kifua mwalimu
@aishaz1
@aishaz1 11 месяцев назад
Mbona hapo kwa kupigwa umefunika? ?
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 Год назад
Yaani nafatilia kwa makini sn lkn mnalichukukulia Poa
@zainabwage4658
@zainabwage4658 Год назад
Inaumiza sana majib mepes km aya
@zeramohamed9672
@zeramohamed9672 Год назад
Kwanini mulimufatilia huyo jirani hapana rais inabidi bado krk polisi haipo sawa
@user-df6ui9ro8s
@user-df6ui9ro8s Год назад
Kamand hapa anatupig 😢
@maidamwaipopo9603
@maidamwaipopo9603 Год назад
Mimi hata niwe fukara siwezi kumpa mtu mtoto Wangu bora nikomae nae tu Mimi mwenyewe
@lucasmlowezi9214
@lucasmlowezi9214 Год назад
Sababu ufukara haujakupata, lazima utamke haya maneno
@zainabwage4658
@zainabwage4658 Год назад
Ukumbuke tu ujafa ujaumbika kikubwa shukuru kila jambo
@user-qr9wi4qm1o
@user-qr9wi4qm1o 11 месяцев назад
Vipi sakata la Warda mmefikia wapi mbona kimya?
@rahimaadam
@rahimaadam Год назад
Niuchungu kwakweli ap ndio utajua kwanini Amza aliwaua police kwauzembe
@rajabmohammed234
@rajabmohammed234 Год назад
Kwann huyo mwalimu alichelewa kutoa taarifa ya kutoonekana kwake na kudai pesa y shule wkt kumbe bint kitambo hayupo,polisi wange deal n huyo mwalimu.
@user-xd9ye7wk6c
@user-xd9ye7wk6c Год назад
Eti atakuwa kwa mwanaume bila kuwa na uhakika angekuwa mwanao ungekuwa unakula unalala miezi yote hiyo acheni uchwara 😮
@omarymbaraj8072
@omarymbaraj8072 Год назад
Hii r wabongo inakupeni shida sana Walda hii hapa.
@bahatimahone4922
@bahatimahone4922 Год назад
Afande twambie mtoto yuko wapi na siyo story ndeeefu swali ni je warda yuko wapi?
@rahimaadam
@rahimaadam Год назад
Mmhhh uong tu
@OmanOman-ty6ef
@OmanOman-ty6ef Год назад
Mama warda aliomba msaada kwa mama samia baada yakuona jeshi lapolisi kutokumpa msaada
@AshuraMkwawa-yx1el
@AshuraMkwawa-yx1el Год назад
Huyo mwalim awekwe ndani na msichana was azi kwa Nini alimwondoa makes Nini kahama ashikiliwe aseme ukweli
@ally0thmanfundikira463
@ally0thmanfundikira463 Год назад
Yeye mwalimu alikua anachukua pesa za hostel akiwa anasema mtoto anakaa hostel
@user-gu2zg8lr3m
@user-gu2zg8lr3m Год назад
Miezi 4 yote mlikua wapi mpaka global tv kusimama na huyu mama samia ni mama hta ww askar ni bba maumivu ya mtoto wa mwenziwe ni km maumivu ya mtoto wako tuwe na utu askari kwenye mataizo ya watu pale yanpo repotiwa police ili tuwe na iman na nyie ssi raia tunaumia sana tukiwa km wazaz mungu simama na family ya mma. Warda apatikane nadi tuwe na fraha miezi 4 siyo mchezo machozi ya huyu mma mungu atakuona ❤ endelea kuomba mungu nasi tuko nyuma yako kukupigania kipenz ❤ 18:57
@zainabusalumu5827
@zainabusalumu5827 Год назад
Mm namuomba wazir mkuu ebu msaidie huyu mama sbb ww nimkubwa Tena wakusini mwenzako chonde wazir namuomba ili mama wawatu apate usingizi
@rukiyyarukiyya6317
@rukiyyarukiyya6317 Год назад
Mwalim ndio akamatwe
@SelinaKaudo
@SelinaKaudo Год назад
Swala si mtoto kukaa kwa mtu: ( 1). Kwa nini taarifa zitolewe na dada kituoni badala ya mwalimu (mlezi)? (2). Warda yu wapi?
@khadijamsumi9043
@khadijamsumi9043 Год назад
Muheshimiwa ashakula hela
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Год назад
naaamini yupo hai na atakuja kusema ukweli nilimuota juzi usingizini amepatikana na anajieleza ilivokuwa lakini nilimuota yupo sehemu ya udanguro ndiko alikopatikana Allah atusaidiye
@kyungualbetina8739
@kyungualbetina8739 Год назад
Dah mwalimu anaendelea kula ugali na nyama choma duh
@Fatma-wi2co
@Fatma-wi2co Год назад
Huyo kamanda wenyewe anarudia maneno hayo kwahayo ,hawana uchunguzi hata mmoja labda rushwa ,anajitafuna mdomo tu hapo .
@lucyandason9336
@lucyandason9336 Год назад
Ikiwezekana mpaka kamada awekwe ndani unavyo onekana Kuna Jambo nyuma ya pazia tatizo Hawa makamada hatuwaamini sukuizi kwa matukiao ya mtwara ya mfanya biashara was madini Nini kilitokea
@salmafrancis6689
@salmafrancis6689 Год назад
Sisi wana inchi tunataka mukawakamete mwalimu na family yake ndio wanaujuwa ukweli kwa nini mwalimu munamwacha tu yeye ndio anaujuwa ukweli
@yasmine937-so4mi
@yasmine937-so4mi Год назад
Mbona anaongea sana bila kwenda kwenye jambo maelezo mengi kma changudoa akinadi utupu wake jinsi ulivyo😂😂😂
@tabuabdallah7980
@tabuabdallah7980 Год назад
Kanacho takiwa mwalim akamatwe mpaka upelezi utakapo kamilika jamani huyo mtoto ni binaada siyo mnyama majirani washa sema alipigwa na alisha limishwa usiku tunacho omba wananchi mtoto aonekane akiwa hai au maiti 😢😢😢inaonyesha kapitia mateso makubwa haijulikani yupo hai au kafa kumpiga na msukumio wachapati ni🙌🙌hatar
@salamaali4726
@salamaali4726 Год назад
itakuache huyu mwalim asitafutwe na kuhojiwa au ajitokeze na kusema yake ya moyoni - hivyo inamaanisha kwa mtazamo hata huyu mwalim kashiriki
@kulngeleza6733
@kulngeleza6733 Год назад
Kwann km kaona warda anatumia cm asimhusishe dada yake achukue maamuzi ya kumpiga bila ndugu kujua uyo kamnyonga ndio maana hatoi ushilikiano
@chichahamis635
@chichahamis635 Год назад
😊z
@RichardMakoko
@RichardMakoko Год назад
Mwlm awekwe ndani ndouchunguzi uendelee
@nasermeme80
@nasermeme80 Год назад
Police kunakitu mnakijua sema macheza na akili zetu ila mnajialibia
@zainabwage4658
@zainabwage4658 Год назад
Angetamka wazir mkuuu apa week tu ukwer hadharan
@noorrajpar3928
@noorrajpar3928 11 месяцев назад
Mbona amumkamati mwalimu msituchanganye sisi mkamateni mwalimu
@mvullamanase
@mvullamanase Год назад
Maelezo Meeengi... Ww eleza Uchunguzi Umefikia wapi. Au huyo mama aliekua anaish na mtoto anasema Chanzo ninini..!? Mnapo zidi kutoa maeelezo mareeeeefu yasio na mashiko Mnazidi kuonekana Wababaishaji
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 Год назад
Kaka wanavuruga kesi maelezo marefu point hakuna wanapoteza ushahid Ila ukweli mwalimu anaijua vizuri tuuuu
Далее
ЭТО мне КУПИЛИ ПОДПИСЧИКИ 📦
22:33